Bora umeenda kusikiliza Konde gang kuliko kuwa Ikulu ya Marekani kipindi hichi cha vita, sellout na puppet wote hujulikana kipindi cha vita, tuko pamoja SSH na ubarikiwe
Mama na mimi hapa ni msanii naimba Singeli, next montn nitazindua album yangu..Nilitaka nikuulize Mama vp utakuja? Usipokuja utakuwa umezingua sana. Ila jamani mama sami enzi zake alikuwa bonge la pisi. Kama hapo tuu hiv amependeza kinoma je wakat wake alikuwaje? Wongo zambi our president is so beautiful. Tumpe 🎉🎉 yake
Mh raisi mimi sina jina wala sina jinsi yotote ya wewe kunifahamu. Ila nina jambo la kuigwa na wengine. Unapowakumbuka wengine wenye majina na connection kama hutajali unione na mimi. Asante🙏
sasa hiki ni nini mbona kwenye mambo ya msingi huonekani na kutoa neno la msingi lakini kwenye haya mambo ya duniani unaongea vzr sana tunahitaji maisha bora sio siasa hizo
Mama na Sisi madereva wa malori hebu tunaomba huruma zako utuzungumzie km unavyowazubgumzia wasanii wa muziki na Sisi tunamoyo tunaumia tunadhoofika tunateseka tunakufa na masumu lakini pia ndio sababu serekali kukusanya mapato
Jpm alifanya mikutano ya kuzindua miladi sasa hzi hanasa znazofanya sasa nahuyu mama zandani ya nchi nanje daa nashindwa nianzie wapi mungu iangalie tz aaaaaaaaaaaaaaMin
Tusipangiane chakusema, na mapenzi hayalazimishwi, kama mnampenda ni nyinyi usilazimishe unachopenda ww wengine wakipende, urais ni taasisi na si mtu, kama mkataba wa bandari ni mzuri na hao dp world kwa nn usipelekwe na bandari za Zanzibar? Ongezeko la kutoa kontena bandarini unajua linaathiri vipi maisha ya mwananchi wa Hali ya chini? Usichojua mfanyabiashara haumii popote yy ni mkusanyaji wa kodi kwa niaba ya serikali atakachofanya ni kuongeza tu fedha kwenye bei na atakaebeba huo msalaba ni sisi wananchi wa Hali ya chini, hivyo mkimpenda mpendeni na wanaomchukia pia acha wamchukie
Aliye ongonzwa na Allah hakuna wakumpoteza na ALIYE POTEZWA HAKUNA WA KUMUONGOZA. TUNAMUOMBA ALLAH ATUTHIBITISHE KTK DINI, NA ASITUFANYE KAMA ALIVYO MFANYA MTU FULANI ALIKUWA NA MUONEKANO MZURI KTK DINI MARA AKAPOLOMOKA KABISA.
Safi sana Rais wetu tunajivunia kuongozwa nawe 🇹🇿🌾
Muheshimiwa Rais, Mama yetu Samia asante kwa speech yako nzuri
Duuuu!....hapa tuliingizwa Chaka watz!...let me still remembering comred JPM...🎉🎉😭😭
Endelea kuota
😢😢hii ndio 🇹🇿 yetu
Well done. Hongera Harmonize
Hongera Mama yetu Dkt Samia.
Hongera sana kwa wanawake wote.
Sku ya kilele cha wafanyakaz hukuwepo ulikwepa leo upo hapa kwenye mambo ambayo hayana tja kabsa,hii ni ajabu kwakwel
Acheni makasiriko watanzania, ukiona hakuja Kuna jambo la mhimu alulokua nalo hawezi acha kuja bila sababu yoyote
Safi sana konde umewafunika🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤❤
Where album
We Acha tuu, yaani uzinduzi wa albamu ila nyimbo, zinaimbwa za zamani, daaaah,
Mungu atubaliki
Subuhana yarabi tunusuru wajawako nautupe mwisho mwema wa maishayetu
Acha ujinga ww huyu Ni rasi was kila mtu muislamu mkiristo asie na dini wanamuziki waigizaji nakula mtu anahaki kwabhuyu mama
Yaani 😭😭😭😭😭😭sijui nisemeje mimi ila Mungu atukumbuke Tanzania kiukweli tumebaki wenyewe
Bora umeenda kusikiliza Konde gang kuliko kuwa Ikulu ya Marekani kipindi hichi cha vita, sellout na puppet wote hujulikana kipindi cha vita, tuko pamoja SSH na ubarikiwe
Yaani kuzindua albam mpaka raisi
Ulitaka nani awepo. Katibu kata au?😊
@@Brunn-mh2bq Ha ha ha... sasa ndo umjibu hivyo? hehehe
huu ujinga bandarini upambavu unaendelea mama anaendelea kupita kwenye mipasho ya wasanii na kwenda ulaya...
hii nchi Rais aingie kwenye ukaguzi ...
@@Brunn-mh2bq😂😂😂mbona katibu kkata ebu heshimu vyeo vya watu😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@Brunn-mh2bq😂😂😂😂😂
Huyu ndo Rais huyu
Mama na mimi hapa ni msanii naimba Singeli, next montn nitazindua album yangu..Nilitaka nikuulize Mama vp utakuja? Usipokuja utakuwa umezingua sana. Ila jamani mama sami enzi zake alikuwa bonge la pisi. Kama hapo tuu hiv amependeza kinoma je wakat wake alikuwaje? Wongo zambi our president is so beautiful. Tumpe 🎉🎉 yake
Rip magufuli
don't give up,never give up
Mh raisi mimi sina jina wala sina jinsi yotote ya wewe kunifahamu. Ila nina jambo la kuigwa na wengine. Unapowakumbuka wengine wenye majina na connection kama hutajali unione na mimi. Asante🙏
Jamani naomba naombaaa nataka nionane na mama jamani mamaangu Mh Samia
Asante mama kwa kujali mamb ya kijamii.. Najua una majukum mengi lakini umetoa mda wako.
Mwanao mama nataka nionane na wewe mamaaa
❤❤❤❤❤❤ nampenda uyu mama jamani 🙏🙏❤️
Huyu mama hafai kuakiongoz wanch jamn
Kazi ipo
Kazi ......
Nyie mnaponda kosa liko wap rais anaishi ndani ya jamii samtime lazima ajichanye na mambo ya kijamii.
Kwann uanzee na rayvanny jamani😂😂😂😂
Rais mwema na mwenye upendo👏
Never usikate tamaa..kweli mama...mimi sikati tamaa...upo wapi mama...nina jambo nawe...sikati tamaa...uko wapi mama..
❤
Nice
Sijui hata nataka niongee nini wallah
Allahuakbar x100
sasa hiki ni nini mbona kwenye mambo ya msingi huonekani na kutoa neno la msingi lakini kwenye haya mambo ya duniani unaongea vzr sana tunahitaji maisha bora sio siasa hizo
mtaalamu wa sanaa
Hii nchi yetu inaelekea wapi?yaani rais wa nchi"anazindua album na waziri muhusika yupo!
Kwani Kuna ubaya gani mamako kumletea chakula mkeoo na wakati wewe upo
Naombeni like zenu wakuu🎉
Super woman♥️
Hakuna raisi hapa mm nionavyo
Aseee mama wa muziku huyuuu 😅😅😅😅
konde kafanya mapinduzi poleni wasafi
Too low
Huyu bibi hana keep azi
Ongera sana mh, Rais upo vizuri sana .
Never🎉🎉
Mama umependeza balaa........
Yaani uyu Rais watanzania tumepigwa kwakweli hakuna kitu apa
Utakufa na roho mbaya yako. Ss tunaupiga mwingi
kwenye musiki na ulaya...zima data tu
Hamia nchi nyingine ziko wazi, uende hata hapo Burundi tu.
Usijali DR SLAA ATAKUWA RAISI 2060 😢😢😢😢😢
Huyu mama jamani miaka aliyokaa inamtosha! Hapa hamna kiongozi
😅😅😅😅😅
😭😭😭😭😭😭😭😭😭 maisha yamekuwa magumu Tanzania,
Ukisema hivyo maisha ni magumu kwako hii nchi watu wana maisha mazuri ni wachoyo
MAGU ALISEMA VYUMA VIMEKAZA 😢😢😢😢😢
Hakika huyu ni Mama wataifa
❤❤❤❤❤
Mama na Sisi madereva wa malori hebu tunaomba huruma zako utuzungumzie km unavyowazubgumzia wasanii wa muziki na Sisi tunamoyo tunaumia tunadhoofika tunateseka tunakufa na masumu lakini pia ndio sababu serekali kukusanya mapato
Jpm alifanya mikutano ya kuzindua miladi sasa hzi hanasa znazofanya sasa nahuyu mama zandani ya nchi nanje daa nashindwa nianzie wapi mungu iangalie tz aaaaaaaaaaaaaaMin
Kwan raisi anakazi gan kwenye nchi ?inamaana raisi ni WA mirad tu huku hausiki achen hzo bhana🤣🤣🤣
Hahhahahahahaaaaaaaaa, mamaaaaaaaa!! Kazi iendereee
Harmonize na Jini lake la Mzee Popo ameamua kua mchawi...kuroga youtube accounts za Wasanii wa WCB..AIBU Tanzania 🇹🇿 😅😅😅😅😅😅😅
Umeuza bandari usijizime data,
Unajua unachokisema?
Acha kukejeli rasi sisi tunampenda kumuheshimu na ktakia kazi njema
Tusipangiane chakusema, na mapenzi hayalazimishwi, kama mnampenda ni nyinyi usilazimishe unachopenda ww wengine wakipende, urais ni taasisi na si mtu, kama mkataba wa bandari ni mzuri na hao dp world kwa nn usipelekwe na bandari za Zanzibar? Ongezeko la kutoa kontena bandarini unajua linaathiri vipi maisha ya mwananchi wa Hali ya chini? Usichojua mfanyabiashara haumii popote yy ni mkusanyaji wa kodi kwa niaba ya serikali atakachofanya ni kuongeza tu fedha kwenye bei na atakaebeba huo msalaba ni sisi wananchi wa Hali ya chini, hivyo mkimpenda mpendeni na wanaomchukia pia acha wamchukie
Aliye ongonzwa na Allah hakuna wakumpoteza na ALIYE POTEZWA HAKUNA WA KUMUONGOZA.
TUNAMUOMBA ALLAH ATUTHIBITISHE KTK DINI, NA ASITUFANYE KAMA ALIVYO MFANYA MTU FULANI ALIKUWA NA MUONEKANO MZURI KTK DINI MARA AKAPOLOMOKA KABISA.
Nenda na ww ukaimbe taarabu na kina adijakopa Ili tukusifiye
inasikitisha kwa kweli...😢
Mama kizimkazii 😂😂 😂
Mama Ile royal tour vp Sasa HIV hutaki kujgeuza rambo
😂😂😂😂😂