Askofu, MUNGU BABA akubariki Sana na azidi kukuinua zaidi katika Utumishi wako. Mke wangu hajawahi kukujua kabla, ile kashfa ya Uongo uliyozingiziwa na maadui zako ambao ni adui za MUNGU imemfanya Mke wangu aanze kuniuliza Gwajima ni nani? Nilimweleza zaidi kuhusu wewe na kumwonyesha mafundisho yako mbalimbali kwenye RUclips channel yako. Yaani hadi sasa amekuwa mfuatiliaji mzuri wa mafundisho yako. Kila nikirudi Nyumbani usiku nashangaa hadi asubuhi chaji imeisha kwenye simu yangu na Mb pia zimebaki chache! Kulikoni! Niliamka Usiku mwingi nikamkuta akipata mafundisho ya Neno la MUNGU unayofundisha wewe! Kumbe yeye halali usiku anakuja kulala Mchana akimaliza shughuli zake ili atumie furusa usiku wa kujifunza. Baada ya kujua hilo nilifurahi na sasa naweka Mb na chaji ya kutosha kila jioni ili afaidi zaidi mafundisho. MUNGU akubariki baba!
Kweli kabisa mimi natamani siku moja nikuone sura kwa sura ,wewe ni mwalimu unaye kamilika. Mimi ni mu kongomani naishi kongo ila nime jifunza mengi kwako, nime fanya vikumbwa kwajili ya mafunzo toka kwako
I really enjoy and understand your teaching so well .they flow inside my heart so smoothly am really blessed. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 to God.
Äååååååååååååååååååååååååååååååååååååååååååååååååååå
Ameeeeeeeeeeen
Asante Yesu kunipa ufunuo huu mkubwa
Napokea ushindi kwa jina la Yesu
Wabadilishe mipango juu ya maisha yangu nipite
Mungu ni Mungu tu ahsante Mtumishi
Amen, laana isiyo na sababu haimpati mtu kwa jina la Yesu.
Thanks to God which have me you in the Internet. Long live Bishop
Mungu akubariki
Amen amen BABA
Penda sana Baba angu gwajima ww umetumwa na BWANA mungu wetu.
Nawakimbilia maaduwi wangu wote kwa nguvu zangu zote amenaaaaaaaaaaa kubwaaaaaaaaaaaa
Ameeeen babangu💕💕💕
Hallelujah..wafwekwe in Jesus name. AMEN AMEN
Ubarikiwe Sana Baba yangu wewe Ni chombo Cha Bwana JOHNVASCO GODFREY watching from Dodoma
Amina amina amina baba 🙏 🙌
Unanipa ujasir sana man of God nakupenda sana
Ameeeen 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mimi ni DAUDI aaamen
Amina Mchungaji Mungu Akubariki sana
Amen
Ameeeen daddy Gwajima 👍
🙏🙏🙏
Askofu, MUNGU BABA akubariki Sana na azidi kukuinua zaidi katika Utumishi wako.
Mke wangu hajawahi kukujua kabla, ile kashfa ya Uongo uliyozingiziwa na maadui zako ambao ni adui za MUNGU imemfanya Mke wangu aanze kuniuliza Gwajima ni nani? Nilimweleza zaidi kuhusu wewe na kumwonyesha mafundisho yako mbalimbali kwenye RUclips channel yako. Yaani hadi sasa amekuwa mfuatiliaji mzuri wa mafundisho yako. Kila nikirudi Nyumbani usiku nashangaa hadi asubuhi chaji imeisha kwenye simu yangu na Mb pia zimebaki chache! Kulikoni! Niliamka Usiku mwingi nikamkuta akipata mafundisho ya Neno la MUNGU unayofundisha wewe! Kumbe yeye halali usiku anakuja kulala Mchana akimaliza shughuli zake ili atumie furusa usiku wa kujifunza. Baada ya kujua hilo nilifurahi na sasa naweka Mb na chaji ya kutosha kila jioni ili afaidi zaidi mafundisho.
MUNGU akubariki baba!
Mimi ameni bado kisha sana kwa mahubir
Nipo Kilimanjaro na nimebarikiwa na neno.. Nawezaje to a sadaka
In Jesus name Amen
Raana waliyosema kwangu ni kama maji yanayopita kumgogo wa bata wara haifui dafu kwangu kwa damu ya Yesu.
Ni dangerous fireeeee🔥
Ameeeeen Ameeeeen
Sauti inapotea poteà pliz
AMEN
Ameeeen
Na nyofoa na fweka mimba zote za kichawi
Wapigweeeeee
Tulifikiri utasemea nchi yetu kuhusu DP World kumbe Bure tu
Kweli kabisa mimi natamani siku moja nikuone sura kwa sura ,wewe ni mwalimu unaye kamilika. Mimi ni mu kongomani naishi kongo ila nime jifunza mengi kwako, nime fanya vikumbwa kwajili ya mafunzo toka kwako
God bless you my wonderful pastor.
Amen
Mungu akubariki
AMEN
Amina
Amen amen
Amen
Amen
Amen