Mwenyezi Mungu Nakuomba tena kwa unyenyekevu nilindie wanangu... Tulindie watoto wetu Ya raabh teketeza wale wote wenye kufanya matendo Haya maovu kusudi Wasije kuharibu watoto wetu amiina
Mungu una kila sababu ya kupata ghadhabu juu yetu. Dhambi zetu ni nyingi mno na tena mbaya ama chafu mnoo. Turehemu na utusamehe kwa huruma zako. Vizazi vyetu ukavifundishe Wewe mwenyewe wasitekwe na huyu mwovu ibilisi. Tutendee kwa ukarimu Mungu wetu, Amen!
@@benjaminkundy128 hiyo isikusumbuwe,kwan hujuw pepo ya dini inafunga watu mpaka wanakuwa watumwa wa dini kuliko hata kuwa watumwa wa Mungu,na upumbav wao unasababisha kusahau kuwa Mungu mwenyewe hana dini.
Unaweza mzaa mtoto kumbe umezaa shetani. Wamama myaombee sanaa matumbo yenu nasi wababa tuombee sana viuno vyetu ili vitoe watoto bora kwa Mungu, familia, jamii na kwa dunia nzima.
Innallillahi wainaillahi rajiun,,ewe mwenyezi mungu naomba utulinde na vizazi vyetu nakuombea kwa heshima na tadhima zote ALLAH tuepushie vizazi vyetuna zahma za kaumu lut!!
Haya, yangu macho tu!!! Lkn siku YESU atakaporudi kukuchukua, kama bado hujatubu na kuacha dhambi hii, bac usimlaumu. Ndugu zangu tuache dhambi. Maana hakuna dhambi kubwa au ndogo. Tudumu katika BWANA MUNGU aliyetuumba. Amen.
Ukiona mambo makubwa na ambayo kimfumo wa maumbile ni laana mbele za Mungu lakini watu wanafanya bila hofu ni dalili kubwa ya kihama mambo hatar naya laana kuzidi kutokea ,Mwenyezi Mungu atusaidie nakutuepushia haya kwenye vizazi vyetu.
Inasikitisha sana maana anatafuta utajiri na kujiridhisha hajui kwamba nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Mungu kama unataka utajiri umtafute Mungu kwanza na huo utajiri atakupa kama unavyostahili
Audhubillahi mungu atunusuru tena najitemea mate Mara zote subhannalla huu ni msiba Mkubwa ...mungu usitujalie umbebe mtoto miezi Tisa tumboni kisha anakuja kuwa msenge
Inna ilah waina ilehi rajiuni Allah awahifadhi watoto wetu na jamii islamu InshAllah 🤲 na awaongeze katika njia ilonyoka na atuepushe na tamaa ya dunia
Hutauona uso wa munguu ni laana kubwaa duniani mpaka akhera pole kaka dada ni vya duniani hutazikwa na Gari wala nyumba. Wala utajiri ulio nao Ila nguo mojaa tu na amali zako ulizo xichumaa adhabu utaazia hapahapa. Duniani poleni wazazi. Kwa kumpoteza kijana wa kiume. AMEKUWA dada hukumu ataikuita . ..
Jmn huyu mtu cjui siku ya mwisho atajibu nini kule kwa Mungu. Kumbuka vitendo kama hivyo humchukiza Mungu wa Mbinguni. Sasa huyu ni dhahiri kabisa kwamba atahukumiwa..na ajiandae..sisi tusimhukumu..tumwachie Mungu Baba muumba wa Mbingu na nchi. Ila tuepuke tabia mbaya..tuziheshimu amri zake zote kumi..wala usivunje hata kimoja. Kwani ukivunja moja tu tayari na zile zote utakuwa umezivunja. Tuwe makini sana. Amen.
Mungu alishatuonya akisema siku za mwisho zitakuwa kama wakati sodoma na gomora ilipoangamizwa kulikua na ushoga kama hivi hivyo tunapoona hay tusishangae maana tulishaonywa mapema bali tujiandae kwa hukumu inayoujia ulimwengu maana Mungu atahukumu kwa haki ila kwasasa kila mtu ajiweke tayari
Huyo bado haja kutanana na kiboko yao Simba wa yuda yesu christo siku mbingu zitagusia case yake atajishanga na hataamini na bado Mungu anamuacia tu Muda atengeneze maisha yake pasipo hivo kunasiku atajuta na atashidwa kujitizama kwenye kio bado tu Ni neema tu n'a pumzi ya uhai lakini siku Mungu atasimama kwaajili yake atashidwa hata kunywa maji ni wengi ambao Mungu aliwabalilisha na huyo atabadilika tu yéyé hayuko njanja mbele za Mungu ila tu Mungu anamuacia Muda ili sikumoja awe naushuhuda nzito wakuokowa hata wengine yesu Ni mwanaume wa shoka
Tubia kabla hujafa watu Wa nabii lutw walilaaniwa Kwa kuwaingilia wanaume wenzao acha hiyo tabia Ya ushoga Ya kuliwa kiboga utajuta utakapokufa maisha haya yanapita Na kuna moto Wa milele jehannam
Richa ya kufanyiwa interview nyingi kwa kujibadilisha kutoka mwaume kuwa mwanamke bobrisky anakazania kusema kuwa yeye sio shoga lol Msisahau kulike share na kusubscribe
Mwenyezi Mungu Nakuomba tena kwa unyenyekevu nilindie wanangu... Tulindie watoto wetu Ya raabh teketeza wale wote wenye kufanya matendo Haya maovu kusudi Wasije kuharibu watoto wetu amiina
Amen
See no evil, speak no evil, hear no evil
Aaaammmiiinnn
Amin
Amiin yarabilaa alamiin
Mungu una kila sababu ya kupata ghadhabu juu yetu. Dhambi zetu ni nyingi mno na tena mbaya ama chafu mnoo. Turehemu na utusamehe kwa huruma zako. Vizazi vyetu ukavifundishe Wewe mwenyewe wasitekwe na huyu mwovu ibilisi. Tutendee kwa ukarimu Mungu wetu, Amen!
Subhanllah mungu atulinde na vizazi vyetu vya kislam yarrab
Aamin yarabbi🙏🙏🙏
Wewe umeona uombee tu waislam?? Dua yako hauitakubaliwa Amen
@@benjaminkundy128 hiyo isikusumbuwe,kwan hujuw pepo ya dini inafunga watu mpaka wanakuwa watumwa wa dini kuliko hata kuwa watumwa wa Mungu,na upumbav wao unasababisha kusahau kuwa Mungu mwenyewe hana dini.
Mamy Mdogo acha zako kwani mungu ni wa kislm au kikirist waombee watu wote maombi yako bado kwamungu hayajafika achaubaguz wa din
Mamy Mdogo acha zako kwani mungu ni wa kislm au kikirist waombee watu wote maombi yako bado kwamungu hayajafika achaubaguz wa din
Unaweza mzaa mtoto kumbe umezaa shetani. Wamama myaombee sanaa matumbo yenu nasi wababa tuombee sana viuno vyetu ili vitoe watoto bora kwa Mungu, familia, jamii na kwa dunia nzima.
Nimecheka mno
Amin
😂😂
Amen amen mungu atutenge na dunia nakutuepusha na maovu sisi na vizazi vyetu
Da aisee inaumiza sana
Mabalaa kila kukicha. watoto wetu wanapenda simu wazazi wenzangu tuwe makini na vijana wetu. yaa raabby tustiri . Subhanallah
Duuuh Mbaya sana Mungu Atusaidie pamoja na familia zetu Ziwe salama
Innallillahi wainaillahi rajiun,,ewe mwenyezi mungu naomba utulinde na vizazi vyetu nakuombea kwa heshima na tadhima zote ALLAH tuepushie vizazi vyetuna zahma za kaumu lut!!
Subhanall endelea kuwa2mbua hawa watu wanao badili jinsia .... kumbukeni amri ya mungu nyinyi wanaume mfirwa na mfiraji wote motono
Hongera dokta jon pombe joseif magufuli.kwa uamuzi wa kuto kubali mahamia hawa.tukopamoja baba...
Subhanallah Allah allah atunisuru kwa kila jambo atuepusha na haya mambo ya kidunia na atupe njia ilioko sahihi sisi wazazi na watoto wetu
Mungu wa huruma na neema tulindie kizazi chetu niepushie watoto wangu na mabalaa ya dunia hiii nakuomba kwa unyenyekevu Amina
Haya, yangu macho tu!!! Lkn siku YESU atakaporudi kukuchukua, kama bado hujatubu na kuacha dhambi hii, bac usimlaumu. Ndugu zangu tuache dhambi. Maana hakuna dhambi kubwa au ndogo. Tudumu katika BWANA MUNGU aliyetuumba. Amen.
Kwa nini asiuawe na korona huyu!!! Ni kwasababu Mungu ni mwema antupebda wote wenye dhambi na wema. Amina!!
Ukiona mambo makubwa na ambayo kimfumo wa maumbile ni laana mbele za Mungu lakini watu wanafanya bila hofu ni dalili kubwa ya kihama mambo hatar naya laana kuzidi kutokea ,Mwenyezi Mungu atusaidie nakutuepushia haya kwenye vizazi vyetu.
Allah atuepushie na fitina ya nafs Zetu atujaliye kheir na vizazi vyetu
Innalillah wainnailayhi rajiuu...
Allah akuongowe kaka pamoja na sisi atuhifazi na uchafu km huo..
Inasikitisha sana maana anatafuta utajiri na kujiridhisha hajui kwamba nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Mungu kama unataka utajiri umtafute Mungu kwanza na huo utajiri atakupa kama unavyostahili
Daaaa huu mtihan Allah tunusur na vizazi vyetu
Subhana llah Allah atuepushe navizazi vyetu Yaa Rabbi mpe muono huyo atoke kwenye hilo balaa Yaa Rabbi
Khayriya Mussa
amiiin
Amiin yarabi
Khayriya Mussa yarabtustrnavizazvyetu
Subhannallah mtihani mkubwa... Allah atuongoe tusiwe ktk minalihasirina
Yarrab mwenyezi Mungu nilinde mm na wanangu na vizazi vyangu utuepushe kwa laana hii,ameen
Daaaaah mwanaume mzima unakojokewa shahawa na wenzio aibu
Ya ALLAH tuepushe cc na watoto wetu na mitihani hiyo na mingine mikubwa na midogo na wao pia waongoe amin
Safi
Allah atulinde na vizaz vyetu
Audhubillahi mungu atunusuru tena najitemea mate Mara zote subhannalla huu ni msiba Mkubwa ...mungu usitujalie umbebe mtoto miezi Tisa tumboni kisha anakuja kuwa msenge
Aaamin 🙏🙏🙏
Subhanalha 😭😭😭😭😭😭😭
Mungu hamsamee,Mungu kumbuka vizazi vyetu🙏🙏🙏
Kama umeona ziwa la shoga gonga like apo
Mungu akulaani kuanzia duniani Hadi ahera shetani we!!
Dooh hatar jaman mungu tulinde na vizaz vyetu
Laaana ya mungu imshukie.
daah Mungu atulinde kweli Na watoto wetu Na dunia ya sasa Ameen
Hyoo ndiyo nafsi ya jezabelii yenyewe,inayoshawish watu kuwa mashoga Mungu atusaidye sana mana tunakipind kigumu sanaa
Mwandishi bwana! Et kujenga majumba na magarii
Mwenyezi mungu amlaze mahali pema peponi ameeen
Eeeee mwenyezi mungu tuhurumie na utuepushe na mitihani ya kishetani.
😭😭😭😭😭😭 huuu nimtihani mzito sana kutoka kwa Allah msifurahiie kabisa kwaanacho huyu kijana
Allah atunusuru na vizazi vyetu awape hofu ya mwenyenzi
Lana2llah innalilahi yanamwisho ayo
Nakupenda nasa
Inna ilah waina ilehi rajiuni Allah awahifadhi watoto wetu na jamii islamu InshAllah 🤲 na awaongeze katika njia ilonyoka na atuepushe na tamaa ya dunia
Hutauona uso wa munguu ni laana kubwaa duniani mpaka akhera pole kaka dada ni vya duniani hutazikwa na Gari wala nyumba. Wala utajiri ulio nao Ila nguo mojaa tu na amali zako ulizo xichumaa adhabu utaazia hapahapa. Duniani poleni wazazi. Kwa kumpoteza kijana wa kiume. AMEKUWA dada hukumu ataikuita . ..
Subuannah allha allah atuepuxhe🙏🙏🙏🙏
Namshauri ache huo uhuni maana Hio ndio dhambi inayoitesa dunia
Jmn huyu mtu cjui siku ya mwisho atajibu nini kule kwa Mungu. Kumbuka vitendo kama hivyo humchukiza Mungu wa Mbinguni. Sasa huyu ni dhahiri kabisa kwamba atahukumiwa..na ajiandae..sisi tusimhukumu..tumwachie Mungu Baba muumba wa Mbingu na nchi. Ila tuepuke tabia mbaya..tuziheshimu amri zake zote kumi..wala usivunje hata kimoja. Kwani ukivunja moja tu tayari na zile zote utakuwa umezivunja. Tuwe makini sana. Amen.
Huyunilaana kabisa Allah atukinge nahayama sheitwaniya kibinadam THE BIG BOSS NASRI
Mimi sio mtoa hukumu lakini vitabu vya mungu vinasema hivyo.kwa hiyo huyu kazi anayo kwa Allah.
Subhannallah subhannallah subhannallah subhannallah subhannallah
ALLAH akupe mwsho mwema
Ubadilike na kutubu yote uliyoyafanya kwa Siri na kwa dhahiri
Nitakupata je Nakupenda
نستغفر الله ونتوب إليك يا رب العالمين،،والم تغفر لنا وترحمنا لنكونن من الخاسرين،،، :-)
Mwisho wake Ni mbaya sana
Ooooooooh? Mungu nusuru kizazi hiki
Allah nilindie mwanangu na wanangu wajao..inshaallah.... laana hii ya dunia
Sahivi ni pure mwanamke
Jamani mmesoma shule kweli? mbona hata kuandika kiswahili ni makosa matupu? sio tajili?? ni tajiri.!!!
Corona hiyooo mungu tunusuru
Unasemaje tajiri zaidi manake unawastimulate na wengine wawe ivo ili wawe matajir au
nakerwa na nnavyokuskia unamwita et mrembo wa kiume😢
Haka kadada Ni ka kima
Shangaaaa! Km vile anapenda😂😂😂
Mungu muokoe huyu kiumbe bobrisky
Malioosong
Mungu Amlani mshenzi mkubwa 😏
Mbona ana manyonyo kayatoa wapi
@@afsahbabymaraha7075 😆😆😆😆midoli
Mung viponye vizazi vyet mung tusamee makosa yet
Subhanallah ya rabbi😭😭😭
Mwenyezi mung alinde vizazi vyetu
Eeeeh Mungu tusaidie na vizazi vyetu
Yaarabi vilinde vizazi vyetu 🙏
Innalilah wainna illah rajiun.Allah awanusuru watoyo wetu .In sha Allah
Allah atunusuru na hili jambo
Dunia imeisha.... KUOKOKA NI LAZIMA TU
Allah atuhifadhi
Allah Akbar yallabi tunusulu umati wa Muhammad (s .w. s)
Anabadili jinsia!!!!
Atakuwa anapenda kutiwaaa
Utajili wa duniani mbinguni wewe masikini wakutupwa Mungu tujalie mwisho mwema sio huu
Ayo maziw vp
Tumuombee ili Roho wa Mungu ambadirishe
Tulinde yarrabi mungu uaongoze watoto wetu
Amiinaaaaaaaah
Mungu alishatuonya akisema siku za mwisho zitakuwa kama wakati sodoma na gomora ilipoangamizwa kulikua na ushoga kama hivi hivyo tunapoona hay tusishangae maana tulishaonywa mapema bali tujiandae kwa hukumu inayoujia ulimwengu maana Mungu atahukumu kwa haki ila kwasasa kila mtu ajiweke tayari
Mungu huyo ni mja wako ! Wewe wamjua zaidi tunaomba Muingoze na pia mtoe huko alipo!!!!!!!
Huyo bado haja kutanana na kiboko yao Simba wa yuda yesu christo siku mbingu zitagusia case yake atajishanga na hataamini na bado Mungu anamuacia tu Muda atengeneze maisha yake pasipo hivo kunasiku atajuta na atashidwa kujitizama kwenye kio bado tu Ni neema tu n'a pumzi ya uhai lakini siku Mungu atasimama kwaajili yake atashidwa hata kunywa maji ni wengi ambao Mungu aliwabalilisha na huyo atabadilika tu yéyé hayuko njanja mbele za Mungu ila tu Mungu anamuacia Muda ili sikumoja awe naushuhuda nzito wakuokowa hata wengine yesu Ni mwanaume wa shoka
😂😂😂😂😂😂 YANI IMEANDIKA KITABU KIZIMA UNAHASIRA KWELI 😂😂😂😂
Km unaamini huyo jamaa analiwa Tigo gonga like
Allah atuhifadhi na vizazi vyetu ya raabbi
Yaa rabbi tuokoe na laana hii na kizazi chetu ya rabbi tusitiri sisi waja wako
Tubia kabla hujafa watu Wa nabii lutw walilaaniwa Kwa kuwaingilia wanaume wenzao acha hiyo tabia Ya ushoga Ya kuliwa kiboga utajuta utakapokufa maisha haya yanapita Na kuna moto Wa milele jehannam
Uyo hana rana kubwa anamkosea mungu sana Allah atusameee
Mh uyu jamaa jinga sana
Love you
subuhanaaa laaaa kwa jina LA mwenyez mungu
Mungu hazihakiwi kwa usalama wako tubu ukabatizwe upate ondoleo la dhambi na uache mchezo wako mchafu huo
Allah atuhifadhi na vizaz vyetu atuepushe mbal na laan za watu km hawa 😭
Dah aseh zambi tunatofautina sana mwenyez mungu tuhurumie cku ya hukumu tutajibu nn SS😭😭
wee!laana mbaya sana hii
Jamani dunia inaelekea wapi mungu atusamehe jamani kwa matendo tunayo fanya
Richa ya kufanyiwa interview nyingi kwa kujibadilisha kutoka mwaume kuwa mwanamke bobrisky anakazania kusema kuwa yeye sio shoga lol Msisahau kulike share na kusubscribe
Mungu Bab turehemu wanao 🗽😭😭😭
Hayo maziwa vp
Ooh god
Dahaa mungu nilindie kizazi changu
Subhanalllah
Mungu walinde watoto
Mungu tunusuru, yaa Rabbi!
Devoth media IPO pouw
Ko huyo new duu
Mazishi lini huyu marehemu
Mbona ana maziwa
Namjua huyu manzi
Uyu unaweza ukatongoza kabisa kumbe dume😂😂😂😂😂😂😂