DIAMOND 'AMWAGIA' ZUCHU MAPESA, ZUCHU AMUIMBIA KIMAHABA - SWAHILI NIGHT

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 янв 2025

Комментарии • 119

  • @theresedusabe6056
    @theresedusabe6056 Год назад +16

    Acheni wivu zuchu and couple pendwa ❤❤❤❤hapo hapo usiludi nyuma zuchu forever

  • @VaraneIbobos
    @VaraneIbobos Год назад +4

    Jaman zuchu na simba nawapend na mnanikosha love you zuchu the queen of Africa

  • @marymolel800
    @marymolel800 Год назад +13

    Zuchu hajawah koseaga akipewa nafasi anauaaaa❤️

  • @estheraimee8053
    @estheraimee8053 Год назад +21

    Zuchu na Simba nawapenda sana ❤️❤️❤️❤️

    • @joyhylton7901
      @joyhylton7901 9 месяцев назад

      Me tooooooo❤❤❤❤❤❤ them

  • @kimah9855
    @kimah9855 Год назад +11

    Zuuh na Simba ❤❤❤❤❤❤Mapenzi yao hajifichi

  • @neemajames5137
    @neemajames5137 Год назад +11

    I love you zuchu kapo naipendaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @amiryyazidi9098
    @amiryyazidi9098 Год назад +11

    You killed acoustic 👍👍👍🔥🔥🔥🔥

  • @selinamwambe5311
    @selinamwambe5311 Год назад +4

    ❤❤🎉z🎉🎉 Zuuu Wangu maua yako chukua

  • @desmaambiche1679
    @desmaambiche1679 Год назад +21

    My queen 💝👑 never disappoint

  • @BlackNjana
    @BlackNjana Год назад +8

    Zuchu zuchu so mwaaaaa 2meelewa sasa kwann Simba naye kazama

  • @fuadaladawi1255
    @fuadaladawi1255 Год назад +18

    I like this song; one of the best songs of the year

    • @Kwazulu1
      @Kwazulu1 Год назад

      Ndo nyimbo gani hizo????… Taarabu World. Harmonize ingilia kati. Show imetawaliwa na Taarabu.

    • @jamilarajab6352
      @jamilarajab6352 Год назад +1

      @@Kwazulu1 Ndiyo ikaiitwa Swahili Night. Hakuna aliye kulazimisha uipende wala uitizame. Chuki zako tunayajui kutoka kwa Drezzy.

    • @OlgaAmboulou
      @OlgaAmboulou Год назад

      ​@@Kwazulu1tu as toujours détesté ZUCHU vas chez drezzy on a pas besoin de toi ici.

  • @anclekipuso7410
    @anclekipuso7410 Год назад +5

    I luv ose 2 souls

  • @sophieibrahim633
    @sophieibrahim633 Год назад +4

    Mrembo zuchu ❤❤❤❤

  • @CHARLIEBINTITALASWE
    @CHARLIEBINTITALASWE Год назад +2

    Zuuuu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @BriannahMariannah_5455
    @BriannahMariannah_5455 Год назад +6

    Zuchu kweli ka zama kwa Simba ❤❤❤

  • @OscarCharles-gl4tu
    @OscarCharles-gl4tu Год назад +1

    Tumewazoes 🦁 n,a zuchu 😗❤️

  • @QueenRashid-i5d
    @QueenRashid-i5d Год назад +2

    Inapendeza kweli kwel

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 Год назад +3

    Haya ndio mahaba ya kweli banaaaaaa

    • @antonywilliama2868
      @antonywilliama2868 Год назад

      ndio maana wanapendana milima na mabonde wapita wengine hawana mapenzi ya dhati halafu mapenzi yahitaji heshima hata kama zuu kakosewa anamshimu mtu wake ndo mnaona haya sio watu wanabaki kuropoka tu nawaake wengi huwa ni wakorofi

  • @dullymsafi3149
    @dullymsafi3149 Год назад +14

    SINA SHAKA NAKUAMINI SIMBA SS NANI TUMPINGE SUPPORT ZETU MUHIMU ILI KUHAKIKISHA D VOICE ANAFIKA MBALI

  • @PolyneKhalende
    @PolyneKhalende Год назад +1

    Ni Raha kupendwa❤❤

  • @joyhylton7901
    @joyhylton7901 9 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤❤ them

  • @ZainabuYusuph-cl9nm
    @ZainabuYusuph-cl9nm 8 месяцев назад

    Nina wivu nazuchu🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🥀🥀🥀🥀🥀🥀🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @nantaliamwema8083
    @nantaliamwema8083 Год назад +5

    Nimekuwa kwanza leo❤❤😅

  • @vickynyakio7346
    @vickynyakio7346 Год назад +8

    ❤❤❤wa pili hapa leo...moto sana😅

  • @LearnwithMadamnaomi
    @LearnwithMadamnaomi Год назад +1

    Nawaombeen uvumilivu uwadumishe

  • @nyakahodenis1473
    @nyakahodenis1473 Год назад +4

    Mapenzi hayanaga Hawa hawaendani,mapenzi nyoyo kuriziana

  • @fertmermuhammad
    @fertmermuhammad Год назад +2

    nmemuona cutting master❤❤

  • @TajiriHalisi-ez1tf
    @TajiriHalisi-ez1tf Год назад +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🦁🦁🦁🦁

  • @hannahgodsonjoseph7457
    @hannahgodsonjoseph7457 Год назад +3

    Simba akawa anaimbia moyoni😅😅

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc Год назад +2

    Sasa juzi hapa wamezamiana alafu wakachefuana!!!!!!! Jamani jicho la husda liliwaangalia.....ila wanapendana hawa

  • @kingDavid867
    @kingDavid867 Год назад +2

    Jamani raha rahani 🤔🥲🥲👌👌🔥🔥

  • @robertmasu2311
    @robertmasu2311 Год назад +1

    Zuchu anajua jaman

  • @chrisk.efreestylerofficial149
    @chrisk.efreestylerofficial149 Год назад +1

    Mkali

  • @mwanahkombo9496
    @mwanahkombo9496 Год назад +5

    Nice one❤️❤️❤️❤️

  • @saumumasha-in2qw
    @saumumasha-in2qw Год назад +2

    🔥♥️♥️♥️🔥

  • @shamimsianga1852
    @shamimsianga1852 Год назад +1

    Nimejikuta nakenua meno km taahira😅😅😅

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 Год назад +3

    ❤❤❤

  • @mariabikyeombe9050
    @mariabikyeombe9050 Год назад +1

    ❤❤❤👏👏🙏🙏🙏

  • @marinteldaisy855
    @marinteldaisy855 Год назад +1

    This dude D voice kinda giving low-key Remas vibes 😅

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc Год назад

    Jamani Wasafi Festivals ziliisha??

  • @ManzabaySalim
    @ManzabaySalim Год назад +1

    Taarab hio

  • @KimZoo-gx7do
    @KimZoo-gx7do Год назад +2

    Zuch kaimba kwa hisia saaana Dai alivyoanza kumtunza anampend saana jaman

  • @Espe2009
    @Espe2009 Год назад +1

    Raha si raha

  • @ABUUALLY-tv8rl
    @ABUUALLY-tv8rl Год назад +1

    Kuleni ujaaana vizurii tuu na jiachieni vizurii bila ya wasii ilaa mwenyezimungu anakusubirini uzeeeni akutieni adabu vizurii tuu

  • @ZuhuuraAthumani
    @ZuhuuraAthumani Год назад +1

    Nimee kuku Bali zuchu

  • @mayungashaban7259
    @mayungashaban7259 Год назад

    Huyu atachezewa sana kwanza Hana shape, km hizo pin ambazo diamond anakutana nazo frankly.

    • @NYAMSUMIJUMA
      @NYAMSUMIJUMA Год назад

      Kwani mapenzi shepu acha ushamba sikiliza kwanza lafudhi ya zuu na sauti tamu halafu vita picha simba anapewa wakiwa faragh na kumbuka zuu mama yake fundi mizungu yote kampa mwanae ww fata shepu na mikucha mirefu

  • @EmrysLegea777
    @EmrysLegea777 Год назад +1

    What language is this 😊

  • @sullehtz9327
    @sullehtz9327 Год назад +1

    🙌

  • @djjohn255tz9
    @djjohn255tz9 Год назад +1

    simba kama katunga hapo hapo

  • @lydialutomia3398
    @lydialutomia3398 Год назад +10

    Zuchu knows how to act.😅

  • @ellieellie1469
    @ellieellie1469 Год назад +3

    D VOICE night or Zuchu and Diamond kimahaba ndi ndi?

  • @ManzabaySalim
    @ManzabaySalim Год назад

    Jeshi Tembo

  • @joybitesy
    @joybitesy Год назад +2

    "Zuchu" I will not repeat my self again STOP BEING FOOLED 😢😢😢😢😢

    • @michelinemapendo6652
      @michelinemapendo6652 Год назад

      Mapezitawo niya kustage 😂😂😂😂

    • @Smokeylucas
      @Smokeylucas Год назад +3

      Mind your own biashara. Zuchu has no time for negativity

    • @jamilarajab6352
      @jamilarajab6352 Год назад +2

      Did Zuchu ask for your advise. Jipatie shughli nyingine ya maana itakayo kufaidi.

    • @dianamonyo1960
      @dianamonyo1960 Год назад

      ​@@michelinemapendo6652uwe unaingia snap chat ya zuu ndo utajua kama ni ya kustage au hapana

  • @asiaiddi2539
    @asiaiddi2539 Год назад +1

    Ila mapenz n matamu iwe yanakuumuza au hayakuumiz mapenz n matamu bwana hahah

  • @sugarthompson9369
    @sugarthompson9369 Год назад

    Aseeee nyie pendaneni tu yn pendanendi hadi shetani akimbie

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz Год назад +4

    Hadi raha poleni wenye chuki zenu

  • @chire4574
    @chire4574 Год назад +1

    Hana mvuto

  • @alhamdullilla5108
    @alhamdullilla5108 Год назад

    Kisura kibaya zuchu😂😂😂😂

    • @qamaryasalim9531
      @qamaryasalim9531 Год назад +6

      Umba wako tumuone

    • @shishgal2274
      @shishgal2274 Год назад +2

      Na kapendwa

    • @iptisamismaill-f6h
      @iptisamismaill-f6h Год назад +2

      Acha wivu

    • @Lina4285baby
      @Lina4285baby Год назад +4

      Maskini makasiriko na bado 😂😂😂😂😂

    • @Kwazulu1
      @Kwazulu1 Год назад

      alihamudulila ni kweli Zuchu sura hana ni zito. Style ya nywele sliyosuka ndo kawa mubaya zaidi. Aliye mushauri asuke hivo Mungu anamuona.. Umeona snavyo jishauwa na Taarabu. Anamuoneshea Tanasha Mama TomKaka.

  • @margaretbirenge4081
    @margaretbirenge4081 Год назад +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @WetchiKhams
    @WetchiKhams Год назад +3

    ❤❤❤❤❤❤

  • @mozaummy327
    @mozaummy327 Год назад

    ❤❤

  • @MaryamHajj-ds8hl
    @MaryamHajj-ds8hl Год назад +2

    ❤❤❤❤

  • @tridun.65
    @tridun.65 Год назад +1

    ❤❤❤

  • @AshaMussa-i2p
    @AshaMussa-i2p Год назад +1

    ❤❤❤❤❤

  • @user-qk4gt3dw6m
    @user-qk4gt3dw6m Год назад

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @FaneliPhiri-l2k
    @FaneliPhiri-l2k Месяц назад +1

    ❤❤❤❤❤❤