KWA NINI NIMESILIMU 22 August 2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии •

  • @HamdiNuh
    @HamdiNuh 3 месяца назад +26

    Ma sha Allah ❤tabarak Allah ,, mwenyezi mungu atupe mwisho mwema pia mimi nilisilimu mwaka jana 2023

  • @juliahkamau7169
    @juliahkamau7169 3 месяца назад +68

    MashaAllah dadangu nimefurahi kukuskiza. Mi pia nilisilimu 2020 kutoka Christianity nimelelewa kichristo in full gospel church. Naleo hii nafurahia kua muislamu Alhamdulillah nasoma madhrasa yakina mama na kwakweli pia mimi niliona ukristo haufati sheria za Mwenyezi Mungu ipasavyo

  • @FahaddHussein
    @FahaddHussein 3 месяца назад +37

    Mashallah....Allah leo Na kesho akhera akupe wepesi akufungulie milango yko ya rizki kila penye ugumu akutilie wepesi upate Pesa ukasilimishe wengine huko ushagoo kwenu ameeen Inshallah

    • @muhammadhariz1100
      @muhammadhariz1100 3 месяца назад +2

      اللهم أمين يارب العالمين

    • @saadarashid8350
      @saadarashid8350 3 месяца назад +1

      ALLAHUMMAH AAMIIN YAA RABBUL AAMIIN!!

    • @saadarashid8350
      @saadarashid8350 3 месяца назад

      In sha ALLAH!! ALLAH amazed e,ilmu yenye manufaa!! Allahummah aamiin!

    • @emmanuelsunday8325
      @emmanuelsunday8325 3 месяца назад

      Hizo njaa zako tu

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 3 месяца назад

      ​@@emmanuelsunday8325Kwani waislam wanagawa pesa 🤷‍♂️

  • @MusinHamad
    @MusinHamad 3 месяца назад +40

    Hongera Sana mama mapenzi YA ALLAH NIMAKUBWA JUU YAKO
    amekutoa ktk Giza LA DUNIA ishallah atakutoa ktk Giza LA akhera na ata kufanya mingoni mwa walio nanuru milele HAKIKA umeni FANYA
    Kusismka nakuongeza Imani ya uislaam ktk moyo wangu Nikweli uislaam una ladha tam ktk maisha yetu kwa wale walio taka kujua yaliomo ndani na sio kwawLe wenye hofu ya dunia kwa 7bu ya Mali mungu awajalie awaongoe ktk jamaa zako pia lm'from Tanzania

    • @AliAbdullah-oy6yo
      @AliAbdullah-oy6yo 3 месяца назад +4

      Allahumma Amin yaa Rabb 🙏🏾

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 3 месяца назад +4

      Waislamu Raha sana sio Dunia tuh na pia akhera yako Allah subhana wataala awafunguwe walio kosa kwamini wapate Nuru inshallah 🤲

    • @asilahassan9965
      @asilahassan9965 3 месяца назад +3

      Ammina ya rabbill allamin allhuma amin kwa sote kpnz

    • @SamAbrahman
      @SamAbrahman 3 месяца назад

      Amiiiin

    • @nasoroabdallah6253
      @nasoroabdallah6253 3 месяца назад

      Aamiin

  • @rashidissa5887
    @rashidissa5887 3 месяца назад +47

    Napata faraja Wakikuyu, Luos,Baluiyas, nk. wanavyo silimu. Hongera sana kutoka Zanzibar

    • @NuruKhavele
      @NuruKhavele 3 месяца назад +2

      Mimi nilisilimu 13years ago

    • @zahraalbaloochi2841
      @zahraalbaloochi2841 3 месяца назад +1

      @@NuruKhaveleMashaAllah Allah bless you

    • @sophiamumba-jv9zq
      @sophiamumba-jv9zq 3 месяца назад +1

      MaashaAllah Allah akulinde nakupenda kwa ajili ya Allah dad's yangu kipenzi.Waislam wenzangu tuchukueni ushauri mzuri wa dad's yeti huyu na iingoe kwenye program zetu za mission.

    • @artisthusnatalal3099
      @artisthusnatalal3099 3 месяца назад +2

      I Love you all for the sake of Allah😊❤

    • @HamisMghuna-fj3vz
      @HamisMghuna-fj3vz 3 месяца назад +1

      Mashaaalah Allah awa silimishe wtt wko

  • @BintiSuleiman-f5v
    @BintiSuleiman-f5v 3 месяца назад +45

    Takbir Allahu Akbar karibu katika uislam dadangu , Allah atuongoze sote umati muhammad

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 3 месяца назад +58

    Nmelizwa na hyu mama Allah atupe imani thabiti😭😭😭

  • @didasmajor9288
    @didasmajor9288 3 месяца назад +4

    Am Christian, your testimony is good, I pray to almighty God to offer you happiness and peaceful in your beliefs, to show you true path, AMEN

  • @FARAJIFADHILI-v6x
    @FARAJIFADHILI-v6x 3 месяца назад +5

    Ogera dada angu kwa uamuzi na mm nilikuwa ni mkirito lakn akuna dini nzur sana kama wisilam ni mzur sana na ninapenda sana kuliko Kila kitu

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 3 месяца назад +28

    Kutoka Tanzania, karibu sana sister. Allah akupe uvumilivu wa kumtii Yeye tu katika dini yake.
    Ulilolifanya si rahisi.
    Ndugu Waislamu kila mwenye uwezo afanye wajib. Allah atakuulizeni.

  • @bontenirera4795
    @bontenirera4795 3 месяца назад +3

    Asww maneno ya mama uyu yana nisisimuwa allah ampe fya na rizk namwosho uliyokuwa mwema ❤

  • @hassanwasiche1538
    @hassanwasiche1538 3 месяца назад +30

    Dada yasmin allah akupe hidaya kwako na kwa wanao waione nuru ya uislam na wawe nawewe kwa imani moja

    • @sultansallah8772
      @sultansallah8772 3 месяца назад +2

      Kuna wajinga watakwambia umeshikwa na pepo. Hongerabkwa kuuona nuru

    • @asilahassan9965
      @asilahassan9965 3 месяца назад

      Ammina ya rabbill allamin allhuma amin kwa sote

    • @muhidintahir3194
      @muhidintahir3194 3 месяца назад

      Ameen yarabeel alameen

  • @shafiimayanga3588
    @shafiimayanga3588 3 месяца назад +3

    Allah kuongoze njia iliyonyoka. Na akujaze Imani kifuani mwako. Nakupata vzr nikiwa Tanzania mtwata wila ya Tandahimba

  • @honeyadan6531
    @honeyadan6531 3 месяца назад +24

    LISTENING TO THE STORT OF THE SISTER YASMIN'S JOURNEY TO ISLAM, I COULDN'T STOP CRYING.MAY THE ALMIGHTY ALLAH GIVE YOU STRONG EMAN.
    SISTER NEVER GIVE UP AND KEEP GOING ON. ❤

  • @YasminaMkali
    @YasminaMkali 3 месяца назад +16

    Mashaallah! Mashaallah! Umepata jina zuri ❤Karibu sana na Mwenyezi Mungu atusimamie upate ijua Dini ya Kiislam vizuri. Alhamdulillah!

  • @AliKimela
    @AliKimela 3 месяца назад +1

    Dada wangu mungu akuzidishie afya yaani nakutabiria Mambo mazuri siku yamwisho maneno yako hayaja nigusa Ila yamenichoma mungu akulinde na Kila baya aamin

  • @zabibuwazir2377
    @zabibuwazir2377 3 месяца назад +13

    Allah atakusimamia na kukufungulia milango ya kheri katika kila jambo lako ,nimekupenda sana.

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn 3 месяца назад +84

    MASHALLAH NA MATENDO MABAYA WANAYOFANYA BAADHI YA WAISLAM WASIOJIELEWA YASIKUREJESHE NYUMA NA BIDII YA KUSOMA DINI YA UISLAM ILI UZIDI KUONA RAHA YA UISLAM

    • @salminabuhudhaifa4273
      @salminabuhudhaifa4273 3 месяца назад +4

      kabisa

    • @muhammadhariz1100
      @muhammadhariz1100 3 месяца назад +12

      Muhimu sana ni asomeshwe uislamu, na dua zetu Allah ampe thabati pamoja na sisi na waislamu wote

    • @Mammymuhamed
      @Mammymuhamed 3 месяца назад +7

      Unatakiwa kuwaombea waislamu Allah atuongoze, waja wake. Tunaweza tukajione tupi sawa kiumbe na sisi tunakosea. Allah atupe mwisho mwema.

    • @asilahassan9965
      @asilahassan9965 3 месяца назад +2

      Swadakta ndugu❤❤❤barakallahu fiikum

    • @user-ub8ig1rl7h
      @user-ub8ig1rl7h 3 месяца назад

      MOLA yuko pamoja na mkweli ,maa a ye anatuona mpaka robo zetu, SUBHANALLAH

  • @safinananzala1407
    @safinananzala1407 3 месяца назад +13

    ALLAHU AKBAR,MwenyeziMUNGU akuelekeze katika mambo yako n akhufungulie Jannatul Firdaus wengine nao wawe ni wenye kusilimu.ALLAH(S.W)Afungue milango ya Rizq misikiti iwe ni yenye kujengwa huko kwenu n kwengine insha'Allah kupitia Kwa umoja wa Waislamu.

  • @SajdaTunda
    @SajdaTunda 3 месяца назад +2

    Mashallah mama Allah akupe khusnilkhatima akuongoze kwa rehma zake nimekupenda sana kipenzi cha Allah

  • @MariamSalum-sm4ok
    @MariamSalum-sm4ok 3 месяца назад +2

    Marshallah nimependa sana maombi yako ya kujenga hostel Mwenyezi Mungu amekuongoza katika njia ya ukweli, we umeweza, insha-Allah. Aamin

  • @AliHassanAli-jd9ru
    @AliHassanAli-jd9ru 3 месяца назад +2

    Allah Akbar Mamangu Mwenyez Mungu kakufunulia moyo wako Wallai una bahat sana Mamangu nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @sulehassanshall6140
    @sulehassanshall6140 3 месяца назад +7

    Mungu Atakupa Nguvu kubwa yakuwanusuru Familia yako..najamii yako ..Na Atakupa Mali nyingi ujenge miskiti namdrasa .

    • @AllyNgaubela-l2u
      @AllyNgaubela-l2u 25 дней назад

      dini ya kweli mbele al Lah ni uislamu mpendwa al Lah nam pende mtume hapo ndio ukamilifu

  • @SakinaKukudume-r8e
    @SakinaKukudume-r8e 2 месяца назад

    Mashaallah,, Allah akuzidishie iman kweny din yetu ya kiislam,, namshukuru allah kuzaliwa kwenye uislam,,allah anijaalie nifie katika usilam wang
    From Tanzania

  • @benin9773
    @benin9773 3 месяца назад +3

    ALLAH amekutoa gizani akakuleta katika nuru .Maa shaa Allah .Karibu Uislamu

  • @sitnafaraj2813
    @sitnafaraj2813 3 месяца назад +2

    Assalam aleykum warahmatullah wabarakatuh dadangu Yasmin.
    Uisilamu ni usafi, kuwa . Kwanza tumshukuru Allah kwa neema za afya, swiha na Amani.
    Mwenyezi Mungu ame kukubali, kuingia kwa usilamu si kitu rahisi vile watu wanavyo fikiria.
    Shukran JUMAA MUBARAK

  • @katore1982
    @katore1982 3 месяца назад +17

    Asalamalleikum warahmtullah wabaraqthu tafadhali tunawezaje kusaidia huyu dada yetu,Kwa alivyosema angependa kuendeleza uislamu kijijini kwao tafadhali kama kuna number ya mpesa iweke hapa na jina la mpokezi, shookran sana dada karibu katikati dini yetu

  • @KarimHusseinGau
    @KarimHusseinGau 3 месяца назад +1

    MashaAllaah,Mungu akuongoze na akupe nguvu.Mungu akujaalie rizki tele tele shangazi.

  • @husseinali-fc2xl
    @husseinali-fc2xl 3 месяца назад +16

    Mungu akupe imani zaidi ya hio

  • @osmanmussa9979
    @osmanmussa9979 3 месяца назад +1

    Allah akuhifadhi my Big Sister
    Akuruzuku mwisho mwema
    Malipo yako ni makubwa sana kwa Allah

  • @hassanwasiche1538
    @hassanwasiche1538 3 месяца назад +7

    Allah akujalie uwe mnara wa hiyo sehemu unayo toka

  • @MariamMpanga
    @MariamMpanga 3 месяца назад +1

    MashaAllah jamani
    Alhamdulilah kwa kuzaliwa Muislam nafrahi pia watu kufata Dini ya haki,,,,!!!

  • @abeidkhamis6130
    @abeidkhamis6130 3 месяца назад +3

    M'as ha'Allah dada ktk iman Allah akuzidishie imani na atujalie mwisho mwema

  • @hairatyhassan7973
    @hairatyhassan7973 3 месяца назад

    Mashallah allah akuzidishie iman asikwambie mtu ukiwa nje yauislam unaona nimbaya sana naukichanganya namaneno yawatu lakin ukiingia ndoutajua raha yakuwa muislam mimi nimeslim na nainjoy sana namshukuru mungu

  • @masoudmohamad-g5m
    @masoudmohamad-g5m 3 месяца назад +12

    Nitumanie no,yako Dadaangu katika uislam Allah akupe istiqama na Niko na zawadi yako Nipigie

    • @HashimSalim-qj7zn
      @HashimSalim-qj7zn 3 месяца назад +2

      Iwe ya kheri In sha Allah

    • @Zanzibar-e4h
      @Zanzibar-e4h 3 месяца назад +3

      No hawezi kujutumia tambuwa huyu ni mwanamke usimtizame kwa umr wake.ww weka no yako towa maelezo wakutafute

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 3 месяца назад +1

    Mashaallah Allah Akuzidishie Imani Na Akujaaliye Umriy Mrefu Wenye Afya Nzury Nakuendelea Kuwa Nadini Yahaki Allah Atasimama Nawewe Yarabiy..

  • @MkubwaKhamis-m4l
    @MkubwaKhamis-m4l 3 месяца назад +3

    Mm nakutakia kher Allah akupe mwisho mwema dada natamani upate mume mwenye elim uone raha zaidi ya hapo ulipo

  • @YusuphKayanda-vn7de
    @YusuphKayanda-vn7de 2 месяца назад

    Takbir Allah akbaru, kwakua unampenda Mungu kutoka moyoni hapa sasa ndio sehemu sahihi utakapo wajuq na manabii wake hongera sana kwa maamuzi sahihi karibu sana ktk dini ya kaki.

  • @Mwabundusalim5818
    @Mwabundusalim5818 3 месяца назад +4

    Aya waislamu tichangieni iyo kitu Kwa kila mtu alicho nacho siz ako na Good idea iyo wenye land izo area wapeana michango tuanze mara that that

  • @ZabibuKinoni-tj4jt
    @ZabibuKinoni-tj4jt 3 месяца назад +1

    Hongera sana dada umechagua sehemu sahihi sana allah akufanyie wepesi dada usonge mbele na imani ya kweli

  • @arafatalhabsi9839
    @arafatalhabsi9839 3 месяца назад +5

    Yasmin mimi niko Omani na kusikiliza Allah akupe afya njema na karibu sana katika uislam ndo dining ya haki

  • @omarkumbu3612
    @omarkumbu3612 2 месяца назад

    Allahu Akbar... very touching story, Allah akuzidishie .

  • @abdulmalikimteleke1769
    @abdulmalikimteleke1769 3 месяца назад +5

    Allah akudumishe kwenye uislaamu na uwaitie wengine kwenye uislaam

  • @suleimanabdillah7490
    @suleimanabdillah7490 3 месяца назад

    Mwenyenzi Mungu humwongoa amtakaye na humpoteza amtakaye.
    Jasmini Njeri Mungu akubariki na udumu katika imaan.
    Ubarikiwe sana.

  • @IdhamarieAhmed
    @IdhamarieAhmed 3 месяца назад +7

    Mashaa Allah ,umechukua njia ya haki, Islam is the way of life. Umefaulu .umeongea vizuri sana mambo ya ukweli na haki. Namba yko ya watsup

  • @timurmauga6559
    @timurmauga6559 3 месяца назад +2

    Karibu ukhtiiii, Maa shaa Allaah. Sasa kifuatacho nusura, naweza kuwepo kwa mlolongo

  • @FarhiyaThani-yc5et
    @FarhiyaThani-yc5et 3 месяца назад +9

    Mashallah tabarak rrahman Allah akuongoze kwenye njia njema yaraby 🤲

  • @ALLYBULULA
    @ALLYBULULA 3 месяца назад +1

    Mamaangu nakupenda kwaajili ya allah naamin kama ungekua kama enzi ya mtume s.a.w. bas ungehesaniwa nikatka maswahaba wakubwa sana

  • @jumaomar8419
    @jumaomar8419 3 месяца назад +8

    Umeuona ukweli bado hujachelewa umeshazaliwa upya numokoka na shari za kanosa.Allah akujaalie uwe moongoni mwa waja wema na wenzako wa kifiate kwenye haki.

  • @AnnoyedIslandRetreat-pr6st
    @AnnoyedIslandRetreat-pr6st 3 месяца назад +1

    ❤❤❤❤Maashaallah tabarakah Allah Alhamdulillah karibu sana dadangu katika uislam mwenyezi mungu akujaalie wepes insha Allah Amiin Ya Allah

  • @sitimakame1537
    @sitimakame1537 3 месяца назад +10

    Karibu katika dini ya haki. Mola akusimamie katika kila hatua

  • @UkhtyMwana
    @UkhtyMwana 3 месяца назад +1

    MashaAllah Allah akusamimie Umefata haki hii ndio dini ya haki Manabii wote wamekuja na kalima ya Lailallah .Allah akupe Taufiq firdaus ndio makaazi yako

  • @Saaid-yv6bg
    @Saaid-yv6bg 3 месяца назад +49

    Tunakusikiliza tukiwa cape town south Africa nimefurahi sana kuona nchi yangu ya kenya watu wanavyo silimu kwa wingi inshallah.....

    • @asilahassan9965
      @asilahassan9965 3 месяца назад +2

      Allhmdullah kiukwl ni neema kubwa ktk uislam Allah azidi kulainisha nyoyo za wasoijua dini ya hakki waweze kuifaham na kuelewa dini ya hakki

    • @ShannyBrowntz
      @ShannyBrowntz 3 месяца назад +1

      Akilii kubwa sanaaa Uwezii kudanganya mwenye akilii kubwa Mungu lazima abarikiii,,

    • @ShifaKh-qx7tb
      @ShifaKh-qx7tb 3 месяца назад

      Mungu akubark
      Sana

    • @ramlamohamed1955
      @ramlamohamed1955 3 месяца назад

      Maashaallah

    • @ramlamohamed1955
      @ramlamohamed1955 3 месяца назад

      ​@ShifaKh-qxameen7tb

  • @abdulmkadala8597
    @abdulmkadala8597 3 месяца назад +1

    MashaAllah huyo mama ana nia ya kuongoa watu wakijijini kwao viongozi wa jaamia mjengeeni msikiti huyo mama daaha ametia nia kubwa sana

  • @millyikundi3943
    @millyikundi3943 3 месяца назад +5

    Mungu akuongoze kwa kuiyona haki mungu umuingiza peponi amtakae

  • @AmnaAmna1-xs3rx
    @AmnaAmna1-xs3rx 2 месяца назад

    Asante Sana ndugu Yangu Asimin Mwenye zimungu Akupe baraka zote Ishaar Dada yetu ❤❤❤❤❤❤❤

  • @fauziamussa381
    @fauziamussa381 3 месяца назад +5

    Asalm alaikum wa rahmatu Llah wa brkatu, takbir, Allah akupe mema akujalie msimamo wa uislam, akujali kheri kwa kila hatua, akujalie uwaite wengi tuingie jannah amin

  • @MussaMohammed-g6o
    @MussaMohammed-g6o 3 месяца назад +1

    Mashaa Allaah,,
    Sister, Allah akupe nguvu na simama na msimamo Thabit,,, Allaah Akubariki,,

  • @MusinHamad
    @MusinHamad 3 месяца назад +4

    Subhanallah daaaah mama mungu akubariki saaaaaaan

  • @MeswalehShaban-mg5kk
    @MeswalehShaban-mg5kk 3 месяца назад

    Taqbir Allah Akbar..Taqbir Allah Akbar...krb sna kwenye dini yetu ya haki n yenye huakika ,Mungu akujalie utajir w afya njema daima Ameen ...Mungu hakuepusha n husda ...Mungu hakulinde...be proud to being a muslim mama ❤..

  • @SayyidAhmadBaalawy
    @SayyidAhmadBaalawy 3 месяца назад +14

    Nakuona nikiwa qatar.. tuna kuombea mola akupe moyo nguvu na afya njema uweze kupambana na wengine kuwaleta kwenye nuru haki na njia ilionyoka inshaaallah mola akujaalie wewe na wengine pamoja nasisi imani thabit na atujaalie kila la kheri na atakapo tuita atukubali na kauki thabit ameen❤ naomba namba yake tafadhali tumsaidie kuweza kupambana na maisha yawe mazuri inshaaallah

    • @AwesoMohammed
      @AwesoMohammed 3 месяца назад

      Tuna pataje no, Yako dada yasmin

  • @HileHile-ns9xv
    @HileHile-ns9xv 3 месяца назад +2

    Karibu sana dada Allah akuzdishie ufamahu wa kuijui dini na kuipenda alhmdllh Allah anakupenda

  • @alishee6571
    @alishee6571 3 месяца назад +3

    Masha Allah mungu akupe NuRu ya Dunia nakesho akher naomba namba Yako ddangu

  • @muniraswaleh9716
    @muniraswaleh9716 3 месяца назад

    Masha allah mwenye ezi mungu atakubariki akupe zaidi wepez,i yakui soma dini yakii islamu azidishe moyo wako nuru, aameen ya rab

  • @RamadhanSalimu-ez4ok
    @RamadhanSalimu-ez4ok 3 месяца назад +3

    Mashaallah mashaallah karibu kwenye dini ya haki Wala aina shaka ata kidogo

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq 3 месяца назад +1

    Hongera sana dada angu mwenyez mungu akupe umri mrefu na Imani ya kweli tuko pamoja kwa ajili ya mwenyez mungu

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 3 месяца назад +3

    mashallah karibu kwenye dini yahaki nakutoka kwenye giza ❤

  • @MohammedMzee-e5f
    @MohammedMzee-e5f 3 месяца назад +2

    ma shaa ALLAH... ALLAH BARIK...naomba namba ya huyu mama Yasmine

  • @issarashid7707
    @issarashid7707 3 месяца назад +14

    MaashaAllah Allah akutie nguvu katika Uislam

  • @RakhmanHassan-ei3kn
    @RakhmanHassan-ei3kn 3 месяца назад

    Manshaa Allah kwakweli dada yetu mungu anakupenda Sana shaitwani hata akupoteze kwamdagani kama Mungu alikuumba na wislam ndaniyako lazma nafsiyako itafata tu shukuru Sana Mungu anakupenda,haukuingiya kwenye uislam Ila wislam uliokuwa ndaniyako umejizihirisha, Allah akupe mwisho mwema

  • @TatuJuma-et8hz
    @TatuJuma-et8hz 3 месяца назад +3

    Masha Allah Allah akufungulie milango ya kheri

  • @muhmahahmshaibrahim3109
    @muhmahahmshaibrahim3109 3 месяца назад

    nilitumiwa hii clip 3 weeks ago.leo nimepata time nimeiangalia.dah,machozi yamenilengalenga.speechless.Allah akuongoze. Huu ushauri alioutoa dada yetu wa kujenga hostels na misikiti ni ushauri wa kufanyiwa kazi. nitamtafuta siku nikitembelea Kenya inshaallah.from zanzibar

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 3 месяца назад +2

    MASHAALLAH MASHAALLAH MASHAALLAH ALLAH AKUONGOZE UBAKI KTK UISLAM UFE HALI KUWA MWISLAM ALLAH AKULIPE PEPO

  • @AliSaidHamad-e6u
    @AliSaidHamad-e6u 3 месяца назад +1

    Dada Yasmin, Allah akuongoze zaidi na akuhifadhi. Akupe maisha marefu duniani na pepo ya milele. Ameen

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 3 месяца назад +3

    Mashallah
    Kinachi zidi kunipa FURAHA zaidi kuona Kenya inazidi kuwa na ongezeko la waislam wakisilimu baada ya kukijua haki ya dini

    • @AminaIbrahim-qh2gn
      @AminaIbrahim-qh2gn 3 месяца назад +1

      Inanikumbusha Ile sura aloshushiwa "MTUME Muhammad " kwamba watu wakizidi kumiminika ktk dini ya mwenyezimungu Amsabbih MOLA wake na amtake msamaha. Mashekh watuelezee vema. "Idhaaja anasurullah....!!!"

  • @mwawekomiuda9779
    @mwawekomiuda9779 3 месяца назад +1

    MashaAllah M'mungu azidi kukuongoza inshaAllah.

  • @Mwabundusalim5818
    @Mwabundusalim5818 3 месяца назад +3

    Aya wenye uwezo KAZI kwenu khairat ndio izo in Shaa Allah

  • @FatimaFatima-bx8ez
    @FatimaFatima-bx8ez 3 месяца назад

    Mashaallah tabaraka Allah mungu akuzidishie Imani ishaallah amin 🙏 chaguo ulilolichagua ni sahihi kabisa na ishaallah naomba marafiki zako pia wakufatefate kwani mlago ulio uchagua nimlango wa kweli ❤karibu karubu Tena kabu dadaetu❤❤waislam takbir Allah akbar ❤😊

  • @abdulkhalfan8586
    @abdulkhalfan8586 3 месяца назад +4

    ALLAH AKUBARIKI DADA YETU

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 3 месяца назад

    Mashaaalah njerri ku silimu tunaomba Allah akuweke,karibu na MARIAMU mama yk YESSU ISSA BN MARIAMU,

  • @muniraramadhan9097
    @muniraramadhan9097 3 месяца назад +4

    KARIBU UKHTY YASMIN KTK UMMA WA KIISLAM TUKO PAMOJA ALLAH ATAKUFUNGULIA MILANGO YA KHERI

  • @asseidabdallah
    @asseidabdallah 3 месяца назад +1

    Yaani kwakweli tafiti zako dada yangu ni za kina na ulichokipata ni sahihi, hongera sana

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 3 месяца назад +14

    ALLAH akufanyieni wepesi wakristo wote muone haki kama aluvyoona dada Yasmin ❤
    Aamiin

  • @kinanaomar
    @kinanaomar 3 месяца назад

    Masha’Allah na Allah (SWT) akubariki na akupe roho ya kuweza kumuabudu yeye peke yake tu na uendelee kusoma dini sana ili uelewe zaidi dini na wewe uweze kuwa elimisha wengine wasio ijuwa dini na wao waweze kujikombowa kama ulivyo jikombowa roho yako na la pili kama bibilia ilivyo sema kila mtu tata beba msalaba wake hii ndio sasa umebrba msalaba wako mwenyewe Allah (SWT) akusaidie kwa kila njia, tabu na dhiki za aina yeyote zile Amin Allahuma Amin Ya Rabil Alaamin 🤲🤲🤲

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 3 месяца назад +2

    RAMADHANI KURIA HUU UJUMBE UFANYIE KAZI NATUMAI WEWE NI MKENYA NA KAPIGE DAWA HUKO INSHALLAH

  • @ishimwerahma9810
    @ishimwerahma9810 3 месяца назад

    Asante dada kweriiii tangu za mani waritupiga vita tangu za mani .lakini umeingia umejionea miujiza.hamuwezi kufunika mwanga dada tutasonga mbere kwa ju tunaabudu Mungu wapekeee.nakupongeza dada yangu.

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw 3 месяца назад +3

    Mashaallah Allah akupe hidaya na akupe kher nyingi my sister

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 3 месяца назад +1

    Allah akuzidishie imaan Baraqah-llah na rehma ameen ya tunakupenda kwa ajili ya Allah

  • @ummohammed8380
    @ummohammed8380 3 месяца назад +8

    Masha allah
    Tabarak rahman
    Ndugu yangu umefanya
    Uamuzi mzuri sana
    Allah amekuongoza
    Katika njia ya kheri njia iliyonyooka
    Alhamdulillah

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 3 месяца назад

      Afu kuna sisi hapa ambao tumepata neema ya kuzaliwa ktk uislam tunazurula tu na kujiona tushamaliza kila kitu Allah atuongoze in sha Allah

    • @AbdulrahmanRashidsimba
      @AbdulrahmanRashidsimba 3 месяца назад

      Mtazame allah anavowaongoza watu allah ampe pepo

  • @fatmaalbeity9097
    @fatmaalbeity9097 3 месяца назад +1

    Mashaallah tabarakallah Allah akusahilishe na fanya bidii usome elimu ya dini ndio utajua mengi mazuri ya dini hii

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 3 месяца назад +3

    MUNGU akulinde na akufanyie wepesi kwa kila hatua ya kuisoma DINI ya Uislam , karibu sn ktk uislam , na usifate waislam Fata uislam mn Kuna waislam wengi lkn hawaufati uislam

  • @SaidhassanThebarez
    @SaidhassanThebarez 3 месяца назад

    MashaAllah Allah akuongoze mama na sisi pia, InshaAllah atakupa uwezo pia ujenge mosque huko mashinani🤲🤲

  • @suleymanali431
    @suleymanali431 3 месяца назад +4

    mashaalh nuru usoni mwake

  • @KhadijaAli-e7e
    @KhadijaAli-e7e 3 месяца назад +1

    Mama Yasmin nimekukic kwa upendo. Allah akuongoze na sisi sote ktk njia ya Haki, atujalie mwisho Mwema. Amin ❤

  • @Mohamed-qz7yp
    @Mohamed-qz7yp 3 месяца назад +3

    Very true waislamu hawanaa hostel ya New muislims.kazi kipingana maulidi khitima na mambo ya upuuzi.

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 3 месяца назад +1

      Allah atufanyie wepesi

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 3 месяца назад

      Si upuuzi, uende darsa kusoma Uislamu sahihi, siku ikifika huko mbele yake muumbaji hatohitaji ibada za kujitungia tu. Ndio ikasemwa kuna Bidaa na bidaa ni uchafu, Kuladhalala finarii.
      Jisomee Uislamu sahihi.

    • @RashidBHassan
      @RashidBHassan 3 месяца назад

      Tuna njia nyepes zakuwa somesha Kur, An kwamda mfupi washa ijua kur, Ani ndani ya mwezi minne

  • @sundusabdullahi2015
    @sundusabdullahi2015 2 месяца назад

    MashaAllah kina dada wanangara wakisilimu.look the light on her face.may Allah give us husnul khatima

  • @hassanomaryselemani418
    @hassanomaryselemani418 3 месяца назад +3

    Taqbir! ALLAHU Akbar!🤲

  • @sheikhanasser4714
    @sheikhanasser4714 3 месяца назад +1

    TabarakaAllah Ma Sha Allah Alhamdelilah Blessed you Ukhty

  • @RajabuOmary-j6h
    @RajabuOmary-j6h 3 месяца назад +3

    HONGERA .SAAANA MAMA DADA YANGU MWENYEZIMUNGU AKUJAZE TAUHIDI NA UCHA MUNGU AKUONGOZE KWA KUUJUA UKWELI NA KUUFUATA TAKBIRII ALLAH AKBAR

  • @roseatienoogutu7641
    @roseatienoogutu7641 3 месяца назад +1

    ❤❤❤❤❤❤wellcome Akkah Akbar umejua wewe mwenywe. Allah akubariki zaidi.