AYA ILIYOMLIZA IBILISI. SHEIKH KISHK

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии •

  • @amenaallahawazidishieumrin6235
    @amenaallahawazidishieumrin6235 3 года назад +12

    Mashallah tabaraka Allah mola akuhifadh na akuepushe na hasad na khain awajalie umri mrefu uzidi kumtetea Manan pomoja na mtume wake Mohammed ( saw ) dawa iwafikie watu wote Inshallah

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 2 года назад +1

    Mashallah yarab akulinde sheikh wetu yailah nakuomba Umjaalie mwanang awe kiongoxi bora wakulingania dini kama Sheikh Nurdin kishk😍🤲😭😭😭

  • @زينببنتسعيد-د9ح
    @زينببنتسعيد-د9ح 3 года назад +8

    Rehma na Amani za MWENYEZI MUNGU zimshukie Mtume wetu kipenzi Mohammad Swalallahu Alleyhi Wasallam Ahli zake na Maswahaba zake wote

  • @aminaabood2898
    @aminaabood2898 Год назад +1

    Aslm alykm. Mashallah shekhe Allah akuhifadh. Kwa ujumbe huu Kuna kitu nimejifunza mpaka nimelia.. Asante. Allah akupe Umri mrefu akuondoshee nahusuda akupe hitaji la roho hapa Dunia. Na Akhera f

  • @زينببنتسعيد-د9ح
    @زينببنتسعيد-د9ح 3 года назад +21

    Shukraan na sifa zote zimuendee Muumba mbingu,ardhi na vote vilivomo ndani yake ALLAH SUBHANAHU WA TA'ALA

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 3 года назад +12

    Masha ALLAH sheikh wetu kipenz, ALLAH akuhifadh na ukuzidishie umri mrefu uzidi kutuelimisha..🤲🤲

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 3 года назад +6

    Mashaallah mwenyezimungu akupe umli mlefu shekhe kishik🙏

  • @johntay8813
    @johntay8813 3 года назад +34

    Yaa Allah mpe umri mrefu shekhe Nurdin kishiq

  • @aminamohammed7946
    @aminamohammed7946 3 года назад +11

    Shukran jazakaAllAH khayr kwa mawaidha mazuri AllAH akujalie umri mrefu sheikh wetu kishk

  • @theworldproof1221
    @theworldproof1221 3 года назад +6

    Mungu atuongoe ila hua napenda saut ya Sherkh ya Quran Pindi Aisomapo Good voice

  • @AbdalaMakao
    @AbdalaMakao 5 месяцев назад

    Mashallah m akupe maisha marefu dini yetu isonge mbele

  • @زينببنتسعيد-د9ح
    @زينببنتسعيد-د9ح 3 года назад +4

    Asalaam alleykum warahmatulah wabarakaatuh sheikh wetu #nurdeenkishki SUBHANALLAH MWENYEZI MUNGU akuhifadh na shari ya majini na wanadamu,akupe nguvu,ujasiri,uzima umri mrefu tuzidi kunufaika katika mambo ya Dini yetu Ummah mzima atuongoze katika swiratal mustakeem atujaalie taubatun nasuha kabla ya umaut tuwe na mwisho mwema Amiin ya RABB

  • @kabelegecletus718
    @kabelegecletus718 3 месяца назад +2

    Allah Karim

  • @aminaabdi9465
    @aminaabdi9465 2 года назад

    Shukrn shekh wetu Allah akuifadhi akupe umri mrefu tuzidi kunufaika n ulichojaaliw n Allah ishaallah

  • @AbdulAbdul-pr9qe
    @AbdulAbdul-pr9qe 3 года назад +2

    Namuona marehemu sheikh Mwinyi, ALLAH ampe wepesi ndani ya kaburi lake na kesho akhera

  • @mariamhamisi598
    @mariamhamisi598 3 года назад +1

    Mashaallah sheikh wetu shukuran mungu akulinde na husda za watu na shari mbalimbali za usk na mchan mungu akujaalie Umr mrefu na mwisho na sisi pia amin

  • @nabilajafar180
    @nabilajafar180 Год назад

    Masha allah maneno yako ya dhahabu shekhe mungu akuhifadhi pia mimi namshukuru mungu kanipa mtoto alhamdulilah rabil a'allamina

  • @mahadbashir7967
    @mahadbashir7967 Год назад

    Mashaalah jazakhallahu kher shukran Sana sheikh Allah akujalie mwisho mwema inshaalah na janatul firdos ndo makao yko milele pamoja na kipenzi ya rabb 🙏 mtume Mohamed s a w inshaalah,,🙏🙏👌

  • @dikayahari3387
    @dikayahari3387 3 года назад +2

    Mashallah Sheikh Kishki kuwa safari yko kutoka Tanzania had South Africa Mungu akulipiee

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 3 года назад +2

    Sheikh kishk
    Allah akuhifadhi na akupe umri mrefu ili. Tunufaike na ilmu yako

  • @mkwelionlinetv1108
    @mkwelionlinetv1108 2 года назад +1

    Nakupenda Bure Sheikh wangu Allah ukulipe Fii dunia wal Arhera

  • @thuriyabarwani5111
    @thuriyabarwani5111 2 года назад

    Shk Kishki na Allahumma wote wanaoshiriki jatika vipindi hivi vya kueneza Dini yetu tukufu ya kiIslamu. Mola awabariki Awape jaza kubwa kabisa kesho Akhera -Jannatul Firdaus Ameen !

  • @shinayzashiraaz4588
    @shinayzashiraaz4588 3 года назад +1

    MashaaAllah! ALLAH akuhifadhi na akuzidishie elmu uzidi kutuelimisha🙏🙏

  • @athekhmbacke689
    @athekhmbacke689 3 года назад

    Mashaa'Allah twakupenda saana sheikh wetu. mafunzo yako hunijenga saana, Allah akupe umri mrefu....
    Mimi pia n'na wivu hata kuliko bibi yako sheikh. sheikh niombee Duaa

  • @niyongiraidi7242
    @niyongiraidi7242 Год назад

    Shehe ALLAH akuzidishie kira raheri tunakupenda kwa sabuni ya roho

  • @SalmaMarcelina
    @SalmaMarcelina Год назад

    Allah akupe umri mrefuu na wenywe mwishoo mwemaa 🤲🙏 shekh wetu uzidi kutupa darasa 😊

  • @MwanaidiMahara-rj6qj
    @MwanaidiMahara-rj6qj Год назад

    Mashaallah,
    Allah akulipe kheri kwa kutuelimisha

  • @sophianyangalio3796
    @sophianyangalio3796 3 года назад +3

    MashaAllah Allah awahifadhi masheikh wetu

  • @Aminamuhamed
    @Aminamuhamed 2 года назад

    Maashaallah maashaallah maashaallah barakallah fiikiy shekhe wetu inshaallah ALLAH akulipe malipo mema duniani na akhera inshaallah 🤲

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 3 года назад +2

    JazzakaAllahu Khayra Sheikh wetu kipenzi Allah akuzindishie umri mrefu wenye kheri pamoja na family yak #inshaAllah

  • @faridasaid693
    @faridasaid693 2 года назад

    Mashallah shekh kishik mungu akuajaliye umri mrefu uzidi kutupa daawa

  • @muniramohamed8887
    @muniramohamed8887 3 года назад

    Mashall-Allah Allah akuzidishie elim yenye manufaa uzidi kutuelimisha akujalie umri mrefu wa afya amin

  • @mohammedsalum4418
    @mohammedsalum4418 3 года назад +2

    Asalaam alaykm sheikh kishki kwanza umenikumbusha mbali sana pale uliponiwekea picha ya marehem sheikh wangu kipenzi Allah amrehem inshaallah sheikh saidi mwinyi.aliyekua sheikh wetu ktk madrasat shamsiyah islamiah hapa Johannesburg South Africa hii inaonesha jinsi gani mapenzi ulikua unayo kwake shukran sana Allah akupe afya njema inshaallah

  • @ibrahimabdi3183
    @ibrahimabdi3183 3 года назад

    Allah akuzidishie umri wako,Ili uendelee kutufunza zaidi.

  • @johntay8813
    @johntay8813 3 года назад +2

    Mashaallah nikuomba mwisho mwema tuu

  • @gooleserviceyoutubescandar3450

    M/Mungu Atujaalie kauli thabit Amiiin.

  • @halimandune7317
    @halimandune7317 Год назад

    Asalam alykum warahmatulahi wabarakatuh.Sheikh wangu nakupenda na ninaomba Allah atujalie tukutana kwa kazi nzima hii ya daawa innshAllah.Kina sehemu ninanuia kijenga Masjid tena uje kwa mawaidha.

  • @fatmasharif2491
    @fatmasharif2491 3 года назад

    Maashallah sheikh kishq saut yako maashallah unaposoma Quran dar🙏🙏

  • @hajratunda7392
    @hajratunda7392 3 года назад

    Ya Allah mlipe kheri mja wako sheikh wetu

  • @zawadi9998
    @zawadi9998 3 года назад +1

    Yaa allah memwishomwema kshk bilakusahau wanao kuaminioooot

  • @suleimanbakari-f9f
    @suleimanbakari-f9f Год назад

    Allah akuzidishie elimu

  • @kizamaulidi6004
    @kizamaulidi6004 3 года назад

    Mashaallah allah akuzidishie kheri katika maisha yako

  • @kichunaabdhuu4283
    @kichunaabdhuu4283 3 года назад

    Allah hatujalie mwishomwema ishallah

  • @noahmidumbi3075
    @noahmidumbi3075 Год назад

    asantee shekh tunashukuru sana mwenyezi mungu akupe pepo fildaus pamoja na mtume wetu inshaallah

  • @hajrahajji7804
    @hajrahajji7804 3 года назад +1

    Allah sw atujaalie tuwe mingoni mwa watakaopt rehma zak, Amiiin

  • @saidaswaleh8437
    @saidaswaleh8437 3 года назад

    Tabaarak wataala man hafadhtuallah fiihi minajamii'l muslimin

  • @barakamoina5976
    @barakamoina5976 3 года назад

    Yaarambi mpe oumri mrefou sheih nourdine kisheki yarambalamina

  • @umulkherali1856
    @umulkherali1856 3 года назад

    Ustaad jazakalaah kher

  • @maryjanejusga5049
    @maryjanejusga5049 Год назад

    Allah atupe mwisho mwema🙏🙏

  • @daawalife9941
    @daawalife9941 3 года назад

    Yea ALLAH umbariki afiya njema

  • @afric01
    @afric01 3 года назад

    Aslm alkm ww..... Allah akupe umri. Shukran sana jazakallah kheir 🙏

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 3 года назад +3

    Mashallah jazakallah kheir

  • @زينبعليعبدالله-ز3س
    @زينبعليعبدالله-ز3س 3 года назад +1

    الله أكبر الله أكبر الله كريم الحمد لله استغفر الله العظيم واتوب اليه

  • @furahamossi3199
    @furahamossi3199 3 года назад

    Mansha Allah sheikh Allah akutuifadhie

  • @safinayakub2777
    @safinayakub2777 3 года назад +3

    Yarab muongoze sheik wetu huyu kila anapotupa msg yako atupe yeny haki kabsa isiwe na shak yoyote

  • @khadijamasaninga1092
    @khadijamasaninga1092 3 года назад +1

    Mungu akubariki

  • @kinungarashidi3041
    @kinungarashidi3041 3 года назад +2

    MashaAlah tabaraqalah

  • @fatumadirey86
    @fatumadirey86 3 года назад

    Mashaallah,, jazakallahu kheir

  • @فاطمةسعيد-ث2ق
    @فاطمةسعيد-ث2ق Год назад

    MashaAllah Shukraan

  • @basrobulle9094
    @basrobulle9094 Год назад

    Mashaallah amin❤❤❤❤

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 3 года назад +2

    Maa Shaa Allah

  • @barwaqogalgalo2043
    @barwaqogalgalo2043 3 года назад +3

    Masha Allah🙏

  • @hassanbaseme7579
    @hassanbaseme7579 3 года назад +1

    Barakallahufiq

  • @imanmohamed7632
    @imanmohamed7632 3 года назад +2

    MashaAllah TabarakkahAllah

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 года назад +1

    Allah atuongoze tuwe waja wenye kuskiza na kufata

    • @zeitunkassim9352
      @zeitunkassim9352 3 года назад

      اللهم آمين يارب العالمين

  • @Zamu-ud4zl
    @Zamu-ud4zl Год назад

    MashaAllah ❤

  • @husseinmongolare3417
    @husseinmongolare3417 2 года назад

    Shukran

  • @ukhtynusrat2859
    @ukhtynusrat2859 3 года назад +2

    How can even dislike his video

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 года назад

    Shukran shekh

  • @husseinmongolare3417
    @husseinmongolare3417 2 года назад

    Hhhhhh Shukran ❤

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 3 года назад

    Salallahu Alaihi Wasalam, ❤️❤️❤️

  • @aisharajimbo6784
    @aisharajimbo6784 3 года назад +1

    Masha Allah

  • @mariamnabuo3062
    @mariamnabuo3062 3 года назад +1

    Amina

  • @moutfipogba3554
    @moutfipogba3554 3 года назад +1

    AAAmiiiiiiiine

  • @kellugumba8172
    @kellugumba8172 3 года назад +4

    Mash Allah

  • @OmanFanja-u4d
    @OmanFanja-u4d Месяц назад

    Asalam-alekum-

  • @mashallahroook7637
    @mashallahroook7637 3 года назад

    MashaAllah

  • @saadakhamis5348
    @saadakhamis5348 3 года назад

    Kweli waume zetu hawatusifii

  • @allyberto7617
    @allyberto7617 3 года назад

    Huyo sheikh mwinyi amesha fariki hiii video ni ya lini sheikh kishki

    • @hanifahussein227
      @hanifahussein227 3 года назад

      Hii ilitolewa mda mchache kabla ya Sheikh Mwinyi kufariki

  • @zawadi9998
    @zawadi9998 3 года назад

    Allah tulind nahasir

  • @anliomar9244
    @anliomar9244 2 года назад

    Asalamu alaykum shehe mimi naitua alii kutoka msumbichi je ni halali kuowa wanawake 6 mana wengine wanaowa hadi 7 mimi ninamashaka bado sijapata ukueli naomba samahan lakini

  • @Kids-oe9nf
    @Kids-oe9nf 7 месяцев назад +1

    Man

  • @hafsaali7976
    @hafsaali7976 3 года назад +1

    Mashaalla mashaallah

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 3 года назад +1

    Huyu kijana anayehojiwa anaonekana ni mrundi

  • @johntay8813
    @johntay8813 3 года назад

    Yani nurdin umenichekesha kwa majibu alio ulizwa shekhe wa saudia umetuma nilivyo kuwa namachozi

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 3 года назад

    Sasa sheikh ñdo huoi Kwa vile mkeo anawivu

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 Год назад

    Duh kumbe Waislamu wana Mbingu yao na Sisi wakristo Tuna Mbingu yao kabisaa

  • @khairymussa1509
    @khairymussa1509 2 года назад

  • @aisharajimbo6784
    @aisharajimbo6784 3 года назад +1

    Hawa watu wanaelewa kiswahili kwani

    • @imanmohamed7632
      @imanmohamed7632 3 года назад

      Wanajua kiswahili kwani wametokea east Africa na wanaishi hapo

    • @shenjamamzingi7950
      @shenjamamzingi7950 3 года назад

      "Wanakijua Kiswahili vizuri sana,kama wanavyozungumza Watu wa Nchi zilizoizunguka Tanzania"

    • @hanifahussein227
      @hanifahussein227 3 года назад

      Ndio mimi pia najiuliza hivyo🤔

    • @ndabadugaritseismael3937
      @ndabadugaritseismael3937 Год назад

      Waislamu wengi kutoka Burundi,na Rwanda kiswahili tunaelewa,,

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 года назад +1

    Shehk aya 135 imran sio 132 kuna mada pia niliskiza ulikua waongelea uumbaji wa wanyama ilikua noor 45 wewe ukasema 42

  • @thureyazuheir293
    @thureyazuheir293 Год назад

    mashaa llah

  • @Ummykassimtz
    @Ummykassimtz 3 года назад +1

    Masha Allah

  • @grederoperater7970
    @grederoperater7970 2 года назад +6

    Masha Allah 🙏🏻

  • @chronics3749
    @chronics3749 3 года назад

    MashaAllah

  • @safihassan6170
    @safihassan6170 Год назад

    Mash Allah

  • @babakey5395
    @babakey5395 2 года назад

    Mashallah

  • @tybatyba6552
    @tybatyba6552 3 года назад

    Mashaallah

  • @aminamichaelkupaza1186
    @aminamichaelkupaza1186 3 года назад +1

    Mashaallah

  • @fatumaali9601
    @fatumaali9601 2 года назад

    Masha Allah

  • @AshaWanjiru-o4h
    @AshaWanjiru-o4h Год назад

    Mashallah