Nakupenda kwa ajili ya Allah sheikh wangu,Yaa Allah wahifadhi wazazi wetu dunian na akhera na waliotangulia fanya makaburi yao yawe miongoni mwa bustani za peponi🤲
Mungu amjalie mama yangu katika waja wa peponi inshallah amjaalie mwisho mwema mama yangu kipenzi nampenda sana mama mungu awajaalie wazazi wote inshallah katika waja wa peponi
Mashaallah asante Sheikh kishik kwa kutupa hutuba hii ya mama. Ya Allah muweke mama yangu mahala panapo stahiki..na baba yangu kipenzi uwa rehemu WAZAZI wangu.
Allah amlaze Mahal pem peponi mama yng dah haya maumiv hayan mfano wke huu mwez wa pil tokea nimpotez mama yng lkn hii dunia naiyon km hain thaman kwng 😭😭😭😭🙏🙏
Jazzaka Allaah kheri shekhe wetu sasa mm ninaswali mm mzazi wangu alikufa akiwa mkristo na yasemekana huwezi kumuombea duwa haimufikii hilo nalo shekher namba nijuwe hilo Inshallah Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu wenye afya na baraka tele yarabialamin
Ya Allah mjaalie mama yangu afya njema uje kumpa mwisho ulio mwema pia yarab muhifadhi baba yangu mzazi mahala pema na umuepushe na adhabu ya kaburi awe miongoni mwa waja wako wema amiin
Mawaidha ya kishki maashallah sasa binafsi naomben ushaur mm ni bint sina mume nina mtoti mmoja nilitalikiwa na mwanangu yupo kwa mama angu sasa nina kijibarua cha kupata kwa mfano 50 sasa hua naigawaga kwa mama 30 baba 20 sasa sasa hv imebadilika mama 20 baba 30 kwa sababu baba ni mgonjwa so hii 30 hua ananunua dawa ishu inakuja mama ananung'unika kichin chin kwa kuwa Nampa ndogo nishaurin nifanyaje nauumia sipend mama asilizike lakin nazidisha kwa baba kwa kiwa ela ya dawa anaumwa moyo na hawakai pamoja walishaachana nishaurin mimi sielew 😇😇😢😢😭🤲🤲
Mi nakushauri dada yangu, umfahamishe mama yetu ya kwamba majukumu yako sasa inabidi uyagawe kwa namna hiyo kwa Dharura kwa sbb si kwa Kutaka kwako bali ndo imetokea ni mtihani. Mueleze hayo, Napenda nikupe 30 Lkn kwa sasa natoa 10 namuongezea baba kwasbb ni mgonjwa, mambo yakikaa sawa nitafanya kama mwanzo, Mueleze hayo huenda akakuelews
Inalilah wainailah rajuun Allha awape makaz mema marehemu wote inshaaaallha na pia awajalie Nuru kwenye makaz Yao ya milele mmngu Allha akupe kauli thabiti inshallah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏
Ya Allah awarehem wazazi woote walotangulia nawazazi wetu walo hai atudumishie nao insha Allah awacukuw hali yakuwa amesha waridhia nasis tuwe wenyekunufaika na dua zao hadi Peponi insha Allah
Walai mimi niliachwa na mama 20yrs ago na sijaai ona mamangu adi leo na naskia yuko,mamangu wa kambo aliaga,,sasa mimi sina mama,,huwa na uzunikaa sana nikikumbuka sina mama😓😥😥
Nakupenda kwa ajili ya Allah sheikh wangu,Yaa Allah wahifadhi wazazi wetu dunian na akhera na waliotangulia fanya makaburi yao yawe miongoni mwa bustani za peponi🤲
Mashall shk wetuu kishk ,,,,kwaa mawaizaa yakoo mazr yaaa mama ,, yarrabiii nakuombaa umpeee ma'am yanguu umrii mrefuu,,,andelee kukuabd wewe tuu pekeeee,,,,,
Allah amrehemu mama yangu kipenzi ampe kauri thabiti amuangazie nuru ktk kaburi lake😭😭😭😭😭😭😭
Ya Rabbi wape wazazi wetu maisha mazuri hapa dunya na akhera 🤲🏻🤲🏻🤲🏻
Asante shekh kishk mola akujalie afya na hatupe mwisho mwema pia Allah awajalie wazazi wetu wote wawe na mwisho mwema nawapenda Kwa ajili Allah
yaa rabbi tupe wepesi kuwalea wazazi wetu kama walivyotulea Amiin yaarabb
Aameen
Amiin
Mungu amjalie mama yangu katika waja wa peponi inshallah amjaalie mwisho mwema mama yangu kipenzi nampenda sana mama mungu awajaalie wazazi wote inshallah katika waja wa peponi
Mungu amjalie mama yangu katika waja wa peponi insallah
Nawapend mama wote ❤❤❤allah awajalie kher dunian n akher awajalie mwisho mwema 🤲🤲🤲pepo ikawe makaz yenu n walio tangulia mbele za haki ❤❤🤲 inshallah
Shukrani shekhe kwamawaitha mazuri Allah akuhifathi hee tuenderee kujifunza
Allah awasamehe wazazi wetu wawili
Mashallah asante kwa ujumbe mzuri wenye nasaha nzuri
I love so much my mama,,, Allah akulinde mama yanguu kipenz,,,
Hakika najifunza mengi sana allah akupe maisha marefu Kila nisikiapo hotub zako nazidi kumupenda mama yangu zaidi nazaid
Mashaallah asante Sheikh kishik kwa kutupa hutuba hii ya mama. Ya Allah muweke mama yangu mahala panapo stahiki..na baba yangu kipenzi uwa rehemu WAZAZI wangu.
Hooo single mothers much respecrt worldwide ur a r our hero salute 2 these wo respect their mothers
Mashallah Allah akupe hekima zaidi nazaidi uendelee kutupa nasaha nzuri shekhe wangu
❤Allah akuhifadhi shekhe wangu kipenzi
😢😢😢nasikia uchungu kama vile nimefiwa mie yarabii tuhifadhie wazazi wetu na walio tangulia wape kauli thabiti huko walipo
Naitamani niichukue lkn siwezi jamani
Mashaallah Allah akujalie mwisho mwema na akuingize katk pepo ya fridausi
Allah amlaze Mahal pem peponi mama yng dah haya maumiv hayan mfano wke huu mwez wa pil tokea nimpotez mama yng lkn hii dunia naiyon km hain thaman kwng 😭😭😭😭🙏🙏
Pole sna 😢
Ma sha allah
Sheikh Allah akuhifadhi na akubariki
Shukran kwa ukumbusho
Allah wape wazazi wangu maisha mema hapa duniani na kesho akhera
MashaALLAH sheik mungu akuzidishe kheri
Allah nifanyie wepesi ya kuwalea wazazi wangu km walivyonilea
Mashaallah sheikh ya rabbi amrehmu wazazi yangu awatileya noor maqbri Yao
Mungu atujalie mwisho mwema
Mashaallah yarabii muifadhi mama ang na muingize katk Pepo ako
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭ALLAH AMREHEMU MAMA ANGU 🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭INNAHILLAH WAINNALILLAH RAJHUN
Shukraan kwa mawaidha yko jazakallahu lkheir sheikh kishki
Jazzaka Allaah kheri shekhe wetu sasa mm ninaswali mm mzazi wangu alikufa akiwa mkristo na yasemekana huwezi kumuombea duwa haimufikii hilo nalo shekher namba nijuwe hilo Inshallah Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu wenye afya na baraka tele yarabialamin
Ingia utub uandike niipi hukum ya kumuombea dua mzazi aaliyekfarki akiw simwislam
Mashallah allha akupe umri mlefu shukurani Kwa madha❤
Allah amponeshe maradhi yake mama yangu kipenzi na Ampe Rehma mtoto wangu AbdulBasit Marehem kipenzi changu
Ameen ya Allah
Ya Allah mjaalie mama yangu afya njema uje kumpa mwisho ulio mwema pia yarab muhifadhi baba yangu mzazi mahala pema na umuepushe na adhabu ya kaburi awe miongoni mwa waja wako wema amiin
Mungu umujalie mzazi wangu umuzidishie umri WA kuishi umufungulie milango ya pepo
Asante kwa kukmbusha 😢😢😭😭😭
Mwenyezi MUNGU AKUTANGULIE
Allah Amraham mama na wawenzangu awapokelee kitabu Chao mkono wa kulia awape pepoya juu
Mawaidha ya kishki maashallah sasa binafsi naomben ushaur mm ni bint sina mume nina mtoti mmoja nilitalikiwa na mwanangu yupo kwa mama angu sasa nina kijibarua cha kupata kwa mfano 50 sasa hua naigawaga kwa mama 30 baba 20 sasa sasa hv imebadilika mama 20 baba 30 kwa sababu baba ni mgonjwa so hii 30 hua ananunua dawa ishu inakuja mama ananung'unika kichin chin kwa kuwa Nampa ndogo nishaurin nifanyaje nauumia sipend mama asilizike lakin nazidisha kwa baba kwa kiwa ela ya dawa anaumwa moyo na hawakai pamoja walishaachana nishaurin mimi sielew 😇😇😢😢😭🤲🤲
Mi nakushauri dada yangu, umfahamishe mama yetu ya kwamba majukumu yako sasa inabidi uyagawe kwa namna hiyo kwa Dharura kwa sbb si kwa Kutaka kwako bali ndo imetokea ni mtihani. Mueleze hayo, Napenda nikupe 30 Lkn kwa sasa natoa 10 namuongezea baba kwasbb ni mgonjwa, mambo yakikaa sawa nitafanya kama mwanzo, Mueleze hayo huenda akakuelews
Shukran kwa ukumbusho shekh wangu
Ya Allah mzidishie mum yngu maisha marefuu inshaallah ❤❤❤
Mwenyezi mungu Ni mwingi wA rehema na mwenye kurehem , Allah subuana wA tahala amulaze mama ye2 maali pema pepeni AMEEN
❤ allahumma ghufirlahuma warahmahu wa sukunu FIL Jana ya umuuka allahu Akbar 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Mwenyez mungu naomba umuondole azab za kabr mama yangu mzazi na umpe pepo iliyo nzur amiin
Ee mwenyezi mungu nakuomba umuondole mama ya yangu adabu ya kaburi amina
Inalilah wainailah rajuun Allha awape makaz mema marehemu wote inshaaaallha na pia awajalie Nuru kwenye makaz Yao ya milele mmngu Allha akupe kauli thabiti inshallah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏
Nakupenda kwajili yalah mungu akuweke
Allaah tuhifadhie wazazi wetu
Rabbi ghfrillih waliwalidaiyya warahamhumaa kamaa rabbayan swakhiraa 🙏🙏
😭😭😭😭😭😭😭😭 allah wapemaixha mrefu mamazetuu inshaalah
Ya Allah awarehem wazazi woote walotangulia nawazazi wetu walo hai atudumishie nao insha Allah awacukuw hali yakuwa amesha waridhia nasis tuwe wenyekunufaika na dua zao hadi Peponi insha Allah
Ooh Allah simamia haki itendeke mola wangu
mungu wajaalie wazazi wetu mwisho mwema 😢😢😢😢💕💕💕
Rabi qfiri walliwalidaya kamarabayan swaqira🤲😭😭😭
Mashallah mashallah Allah akukinge na mabaya yote sheikh wetu
Allahu akbar ALLAH ATUFAHAMISHE ALLAHUMA AMIIN
اللهم غفرلها ورحمها وأدخلها الجنة الفردوس الأعلا 🤲
Maashaalla
Allahumma ghfrillaha warahamaha waskanaha firrjannah 🙏
Pole sana shekh wangu
Rabbi muondolee adhabu ya Qaburi Aminna
Allha.wajalie.wazaza.wangu.wasamehe.makosayao.nshallha.
Mungu amlaze 😭😭😭😭😭😭😭
Yaa rabbi wabariki wazazi wetu
Mashaa Allah tabarak'Allah nani kma mama?
mungu akuweke mahali pema peponi inshaallah
Manshaallah jazakalah kheira
MashaaAllah
Ee yarabbi warehemu wazazi wangu walioniacha nikiwa mdogo innalilah wainna iraih rajiun nawpenda wazazi wangu
assalam aleykum warahmatullah wabarakatul maaashaa Allah sheikh wangu
Ya Allah nihifadhiye wazazi wangu mama kipenzi cngu mupe pepo Maman yangu Ya Rabby 🤲🤲🤲🤲
Da zubeda naomba tujuane 0753547266
@@shankanamatipa7377 usijali
Nitafute plz
@@shankanamatipa7377 nimekukosa nawe nitafute pls+966598638924
mungu yupo nawe inshaala 😓😓😓
Mashaallah💕💕
Aww Leila madame.il 3 ans yaa rabbi type wepesi kuwalea wazazi wetu✍️✍️✍️
Wallah machoz yamenitoka
Mungu atupe mwisho mwema
Wow am 40 2 comment & 200k 2 like wo z still watching in 2021 while reading gv mi sm likes bajaameni much from UG 256
Pôle sana sheikh
Eeee mwenyezimungu naomba uniekee wazazi wa ngu wote wawili ewe mjumbe wa mwenyezimungu
Mashllh
Nitumie
Mashaallah jazzakallah kheir
Maashallaa
Ammin yarab 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Hakuna kma mama au baba khasa mama😢
Mashallah
Shukran jazeelan
Alwahaibia Maryama mashalllah mwenzi mungu amjalie zaidi ya hapo shekh wetu
Almd labilaalamin
Amin yarrabil alamin in sha Allah Allah jaalia fiik sheik wetu
mashaAllah
Maashaallah
Amiina rabilallahmiin
Walai mimi niliachwa na mama 20yrs ago na sijaai ona mamangu adi leo na naskia yuko,mamangu wa kambo aliaga,,sasa mimi sina mama,,huwa na uzunikaa sana nikikumbuka sina mama😓😥😥
Amiin usa rabal-âlamiyyn
Ya ra
mmmhh 😯😯😯😯
Ewe MUNGU wangu wape afya njema mama yangu na mrejem baba yangu uko alipo na mpe kauli sabit nakupenda sana t mama yangu
Nakuelewa sn shekh
am no longer living in East afrika and I love shikh kishkis''s lecture's how would I get directly on my phone
❤❤❤❤❤❤
No life without mother 💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓
Amen
Ya rubby tupe wepesi wa kufaulu huu mtihan kwa wazazi wetu
MashaAllah
Shkrn usthad Ameen rabb Ameen
Umenichekesha , eti picha aziendi kwani movie ya
اللهم عفرلها ؤ اسكنهم في الخنة
*Huyu mzee anayepiga video amekosa FADHIRA ya hii HUTBA*
I Love mamaaaaaaaàa
Mawaidha
Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yang kama hautojali
Tuwapende wazazi wetu
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭