Mungu ni Mungu asiyeshindwa, Mungu azidi kukuinua binti, umeinua imani za watu wengi, nimekupenda sana...na kulikubali hili Neno MUNGU WA YASIYOWEZEKANA...yale tunaona hayawezekani Mungu hufanya njia🙏🙏
Je huyu mama hakupata ht kujua ndugu za mtu aluyezaa nae au ht wafanyakazi wenzao...licha ya mawasiliano kuwa magumu ila miaka 40 ni mingi mno kutokujua kabisa habari za mwanao. Mtoto sehemu kubwa ni mama, hakuwahi ht kupata mshtuko kuwa kizazi changu hakiwezi kupotea, angetafuta ht bdugy au jirani ili apate kumuona na kujua kuwa mama yeye yupo. Ni huzuni kubwa sana hii...wajukuu utawauma mno wakikua na kujua. Ni ngumu kuunganisha udugu. Mungu tusaidie na utusamehe.
Nafrah sana mama angu yupo....mungu ahsante kwa ili ❤pia naiman baba yangu nawe utakuepo na wish nikuone ...mimi ni mzima na wishi nawe nataman nikuone baba ata sekunde moja❤....daaah sijui ntampata wapi mana najina moja tu nalolijua....Temu❤
Kuna wamama wanaroho mbaya miaka 40 hujui mwanao anaishi vipi looo huyu mama anaonekana anaroho ngumu kweli ata ongea yake kwanza anaona aibu looh😂😂😂 Ahsante mama angu kwakutukuza watto zako nitakupe daima❤❤❤
Huyu mama ana roho ngumu kwa sababu angekuwa na nia ya kumtafuta mwanae angeweza kwan mzazi mwenzie alikuwa ni mtumishi wa serikali ni rahisi sana. Na baba wa huyu Angel ni mtu mzuri inaelekea maana angekuwa nunda angemwambia labda mama ake alikufa siku nyingi lakini hajamficha kitu. Huyu baba akapewa maua yake.
Vitu kama hivi vikitokea huwa vina Ishara nyingi mfano inawezekana Mama ameishi kwa majonzi na amekuwa akimuomba Mungu kabla hajaondoka Duniani akutane tena na Binti yake. Huyu Binti afanye Ibada ya Shukrani pia afanye mpango yeye na Mama yake waende Tabora kumuona Baba yake ili Wazazi hawa waombane Msamaha. Tanzania Imara Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿
Inawekana pia huyu binti alitaka kuonana na mama ili amuoneshe wajukuu na mkwe wake kabla hajatwaliwa; suala la kwenda Tabora si muhimu kwa sasa kwani mzee ana maisha mengine
Tenda wema wende zako. Mama ametoa pongezi Kwa binti yake na clouds TV akamuacha mzazi mwenzake alie kuza.Baba nakupa hongera Kwa kukuza binti yako jazza yako iko Kwa mungu.
Pole kwa kutopata mapenzi ya mama udogoni na hongera kumpata mama yako ukubwani ingalau uweze kuonja mapenzi yake MMUNGU awalinde and continue to cement your relationship
Nikwambie kitu ndugu, sio wamama wote wenye mapenzi kwa watoto wao, kuna mtoto analelewa na mama mzazi lkn mitihani anayopitia! Na kuna mtoto analelewa na mama wa kambo ukiambiwa sio mama yake huta amini! Tunategemeana na moyo wa mtu. Japo mama ni mama

Jamani ni jambo jema sana,,,,nami namtafuta baba yangu mzazi tangu nizaliwe sijawai kumuona naitwa Robert mwangomale ( ila Jina baba niliambiwa anaitwa mlewa A mlewa anaasili ya iringa na dodoma
Wapo wameru furani wakiona hii vedeo cjuwi wanajiskiaje kwa kweli maana hao wameru ninao wataja watupa mtoto wa miezi 6 kwa baba mpaka sasa huyo mtoto yupo zaidi ya miaka 23 na hawana hata muda wa kutaka kujuwa yupo au la 😊
Inavyo onekana uyu mama sio poa kwake ajapenda afu anasema anaelekea kuwa mubibi wakati kishazeeka unamuachachia mwanaume mtoto wako eti yupo mikono salama duh dada pole sana pia onger
Nilichogundua mama Amna hapa eti nilijua yupo kwa baba yk atakua salama mzima kweli ww mqwanao hata umuache kwa bilionea kumtafuta muhi dah we dada unamoyo Sana Kama mm mwenye roho ya kinyama sizani Kama ningekutafuta thubutuuuuui
Mm nilitelekezwa na baba yangu nikiwa na miez mpaka Sasa Nina miaka 25 nimefanya jitihada za kumtafuta mitandao mpaka nikampata ila kiuhalisia waalimu Wana tabia ya kukimbia watoto alihama kikaz akahama mazima
Mama Amejaa Asira Sijajua Kama Anajisikia Vibaya Kwa Kukaa Mbali Na Mtoto Bila Kumsaka Au Bado Yuko Na Asira Wenda Kati Yake Na Mmewe Awakua Na Mawasiliano Mazuli Sasa Bado Amejawa Asira
Dah😭 miaka yote hiyo hatimae umempata Mama yako mungu mwema lakini pia baba yako ni mtu mzuri maana ingekua baba mwengine angekwambia Mama yako ashakufa haswa ili usimtafute
MUNGU NI MWEMA SANA. KILA KITU KINA WAKATI WAKE JAMANI. MAMA YANGU NAYE HIVYOHIVYO ALIACHWA NA MAMA YAKE AKIWA NA MIAKA 3 NA AKUFANIKIWA KUKUTANA NA MAMA YAKE . LAKINI KATIKA KUMUOMBA MUNGU NA KUMTAFUTA. 2022 AMEFANIKIWA KUMPATA MAMA YAKE AKIWA AMEZEEKA HUKO KIJIJINI MOSHI.
Niko na miaka 25 mamangu n tz kutoka moshi ila ako kenya tangu tuzaliwe ajawai kanyaga kwao kwa wajomba zng ata siwajui Allah atueke nikutanishwe na familia ya mamangu 😢 😢
Uyu Maman siyo Maman muzuli ila dada Yangu Maman ni Maman tu njo Mungu amekupa ila kwa bingine Mmmmmmm ana roho ya Jiwe njo wa kwanza nasikia hana upendo wa mutoto !! Myaka kama iyo yote!! Apana sija kubali mimi
Sasa mlitaka apige mayowe ya kinafki ama anaonekana huo ukimya alishaathirika kisaikolg kama unamwelewa mimi nimemwelewa kwa sababu nimeyapitia kama sio Mungu da! Ilikuwa ni hatar ya wangu kunisahau kwa ajili ya mjinga mmoja
Mama mbona amkumbatii mtoto jamani huyu mama Amesema neno moja eti nilimwacha mtoto akae na baba yake kwa kuwa nina wengine. Lo hatausifanye juhudi ya kujua yuko wapi.
Ndugu zangu wapendwa,hizi story za kuachwa na mama kwa baba ukiwa mtoto mdogo zisikie kwa jiran isikupate eiseee. Mimi mwenyewe niliachwa nikiwa na miaka minne ila naisi mpaka Leo hii maumivu ayajawahi kuisha rohoni. Nimefurahi wamekutana ila lazima ukweli tuseme,wanawake wengi uwa wanaogopa kuogopa na watoto wa mwisho au wadogo Sana kuogopa usumbufu wa maisha.maana mtoto wa miaka 2 uwezi kumuacha kwa baba yake na kuondoka na watoto wakubwa iyo Nini Sasa. Of course mm siwez kudanganya hii kitu uwa inanisumbua akili Sana mpaka naisi ivi au nilikuwa sipendwi na mzazi wangu au tatizo ilikuwa Nini mpaka akaniacha na kuondoka na watoto wakubwa na kuniacha mm mdogo kiasi kile. But anyway tupendane tu na maisha yaendelee ndugu zangu. Ila tujifunze kitu wazazi tunawaumiza watoto kuwatupa wakiwa wadogo kiasi kile.but kitu Cha kumshukur mungu imenifundisha kuheshimu mke wangu na kuwapenda watoto wangu sitaman ata second kuishi mbali nao au mama yao kunitelekezea watoto km ulivyo kuwa kwangu. Kuna mda inanipa moyo wa uvumilivu Sana kwenye familia yangu.Nimeipenda hii story japo imeniumiza maana nimekumbuka mbali Sana.naisi tuna la kujifunza kwenye Aya maisha.
Hii iwakute watoto wote wakike na wakiume unalea mtoto anashinda akikusumbua nataka babangu au nataka mamangu haya sasa huyu kakutana na mamake mama mwechewe nikama alizoea kuishi bila yeye
Ila bibi mmh mbona kama hajaelewa vizuri kweli mtoto wako humuoni kipindi chote icho mpaka amekutafuta mwenyewe mama apo ukosea sana wewe mama ndo ulitakiwa kujua mwao yuko wapi na mwanao anaishi vipi ata kama baba alikua na uwezo na nanimlezi pia lakini si kwakumuacha mwanao iyvo
Kweli mama ni mama hata hivyo furaha ya mtoto kumuona mamake imekithiri zaidi ya mama kumuona mwanawe nimeangalia kwa kina hata hivyo mungu azidi kuwapa mapenzi na muhitimishane kwa salama
Jamani I know this lady, alikua jirani yangu.
She is just a sweet soul.
She has a strong faith jamani.
Mama B nimefurahi kukuona tena sweetheart ❤️
Anakaa dar sehemu gani
I know her too ...ni m2livu na mchamungu mno dadaangu
Mungu ni mwema anajibu kwa wakati sahihi
Napenda kuwapongeza walezi wahuyu dd,,mmemlea vzr sn,,anamjua Mungu,, waooooooo hongeren walezi wote,pokeen maua yen🎉🎉🎉,,mama yak mh
Mungu ni Mungu asiyeshindwa, Mungu azidi kukuinua binti, umeinua imani za watu wengi, nimekupenda sana...na kulikubali hili Neno MUNGU WA YASIYOWEZEKANA...yale tunaona hayawezekani Mungu hufanya njia🙏🙏
Je huyu mama hakupata ht kujua ndugu za mtu aluyezaa nae au ht wafanyakazi wenzao...licha ya mawasiliano kuwa magumu ila miaka 40 ni mingi mno kutokujua kabisa habari za mwanao. Mtoto sehemu kubwa ni mama, hakuwahi ht kupata mshtuko kuwa kizazi changu hakiwezi kupotea, angetafuta ht bdugy au jirani ili apate kumuona na kujua kuwa mama yeye yupo. Ni huzuni kubwa sana hii...wajukuu utawauma mno wakikua na kujua. Ni ngumu kuunganisha udugu. Mungu tusaidie na utusamehe.
Mungu ashindwi yeye ni muweza wa yote.Hongera kwa ulilofanya kumtafuta mama ,hakuna kama mama
Huyu mama , moyoni mwake, hamna furaha, sijuwi anakumbuka alicho fanyiwa na mwenza wake. Hongera sana dada.
Nafrah sana mama angu yupo....mungu ahsante kwa ili ❤pia naiman baba yangu nawe utakuepo na wish nikuone ...mimi ni mzima na wishi nawe nataman nikuone baba ata sekunde moja❤....daaah sijui ntampata wapi mana najina moja tu nalolijua....Temu❤
Mama ana roho ngumu , sijui ni hasira daaah🥲🥲
Huyu mama mmmmh roho ngumu 🥲dada ww ni kupe hongera sana👏🏽👏🏽👏🏽
😂😂 kabisa mama roho ngum mi hata nigombane Vipi na Mzee siwez Acha watt wangu isitoshe Baba angle ni Baba mzuri mdada anahekima
Nilijua mimi tu ndio nimeliona ilo😃😃🤔
Usiwe mwepesi kulaumu mpaka ukiona Mama kamuachia mtoto Baba mengi yalihusika
Ana roho ngumu sana yn sijui anachinja ng'ombe. Ila huyu dada anamjua sana Mungu ndy maana ana furaha na amani yn kasahau yote.
Hongera Sana angel
Yesu nilijua movie. Big up sweet heart kumpata mama.
Kuna wamama wanaroho mbaya miaka 40 hujui mwanao anaishi vipi looo huyu mama anaonekana anaroho ngumu kweli ata ongea yake kwanza anaona aibu looh😂😂😂
Ahsante mama angu kwakutukuza watto zako nitakupe daima❤❤❤
Yani huyu mama Hana hata aibu
Bi mkubwa samahani lkn wew ni mtu mbad sana
@@michaelchristopher2452 😂😂
Huyu mama ana roho ngumu kwa sababu angekuwa na nia ya kumtafuta mwanae angeweza kwan mzazi mwenzie alikuwa ni mtumishi wa serikali ni rahisi sana. Na baba wa huyu Angel ni mtu mzuri inaelekea maana angekuwa nunda angemwambia labda mama ake alikufa siku nyingi lakini hajamficha kitu. Huyu baba akapewa maua yake.
Dada anajua kujieleza,( anatiririka kama Mtangazaji)
Conguraturations 🎉
yuko vizuri kama mimi tu
Maskini🙏🙏🙏 hongera Sana kwa kumpata mama ako mzazi kweli una fraha kubwa moyoni.
Ila uyu mama kauzu sana
Hongera dada kwa kuweka Imani kwa Mungu
Ni kweli hakuna jambo lisilowezekana kwa Mungu
MUNGU WA MAMBO YASIO WEZEKENA 🙏🏿AMEN AMEN MAMA HUYU ❣️
Hakuna kama mama kwa kweli
Hongera dear
Dah!mama komando professional ps but matendo commando jmn miaka 2-40 hujui Hali ya mwanao dah!! hongera dada nimekupenda bure
Vitu kama hivi vikitokea huwa vina Ishara nyingi mfano inawezekana Mama ameishi kwa majonzi na amekuwa akimuomba Mungu kabla hajaondoka Duniani akutane tena na Binti yake. Huyu Binti afanye Ibada ya Shukrani pia afanye mpango yeye na Mama yake waende Tabora kumuona Baba yake ili Wazazi hawa waombane Msamaha. Tanzania Imara Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿
Kweli kabisa
Ni kweli kabisa
Inawekana pia huyu binti alitaka kuonana na mama ili amuoneshe wajukuu na mkwe wake kabla hajatwaliwa; suala la kwenda Tabora si muhimu kwa sasa kwani mzee ana maisha mengine
Glory to Almighty Living God. Amen
Barikiwa San dada mama ni mama kns🎉❤🤲🙏👏🔥
Barikiwa sana dada enjo
Huyu mama hakuwa anamuhitaji kwa sababu alikuwa na watoto wengine🤔. Namshangaa alivyomsahau mtoto wake kabisa😢
Pengine ameona din yke tofaut
@@saynabmohammed6263 Alimwacha akiwa mdogo. Hakuna sababu yoyote. Mtoto mdogo hajui dini. Alimtafuta mama alipojua wokovu.
Usishangae miaka 41 ni mingi jamani huez kumkumbuka mtu
@@mwitaagness455 Alikuwa wapi mpaka akafika miaka hiyo??
Hata baada ya mwaka au miwilu hakutaka kwenda kumwona alipomwacha?
Tenda wema wende zako. Mama ametoa pongezi Kwa binti yake na clouds TV akamuacha mzazi mwenzake alie kuza.Baba nakupa hongera Kwa kukuza binti yako jazza yako iko Kwa mungu.
Namuomba mungu kila siku anifunguliy njia nikutane na mama yangu hakika nitafulai sana
Huyu mama asamehewe tu... nawasihii wamama wale hizi roho achaneni nazo! Mnawatesa watoto wenu wasikuwa na hatia...
Mungu yumwema jmn tumregeshee sifa na utukufu 😭😭😭🙏🙏🙏
Dada unaimani kubw sana na mungu
Mama roho ngumu amegawa mtoto na kumsahau kabisa miaka yote inaima Dada Imani yako kwa Mungu ni kubwa ubarikiwe kabisa mm hana mapenzi na mtoto kabisa
Hongera sana Mungu amejiinua na hakika ni Mungu wa yote yasiyowezekana,
Maombi Yana nguvu Sana Dada hongera kwa kumtanguliza MUNGU
Pole na ongera my dear
Mungu wa mbinguni hashindwi
Pole kwa kutopata mapenzi ya mama udogoni na hongera kumpata mama yako ukubwani ingalau uweze kuonja mapenzi yake MMUNGU awalinde and continue to cement your relationship
Nikwambie kitu ndugu, sio wamama wote wenye mapenzi kwa watoto wao, kuna mtoto analelewa na mama mzazi lkn mitihani anayopitia! Na kuna mtoto analelewa na mama wa kambo ukiambiwa sio mama yake huta amini! Tunategemeana na moyo wa mtu.
Japo mama ni mama

😢😢mi nilikaa 7yrs bila mama na alivyorudi hakukaa akafa
Jamani ni jambo jema sana,,,,nami namtafuta baba yangu mzazi tangu nizaliwe sijawai kumuona naitwa Robert mwangomale ( ila Jina baba niliambiwa anaitwa mlewa A mlewa anaasili ya iringa na dodoma
Uyu mama ni mtata hakuwa na uchungu na mwanae
Wapo wameru furani wakiona hii vedeo cjuwi wanajiskiaje kwa kweli maana hao wameru ninao wataja watupa mtoto wa miezi 6 kwa baba mpaka sasa huyo mtoto yupo zaidi ya miaka 23 na hawana hata muda wa kutaka kujuwa yupo au la 😊
Magamba wooow nyumbn
Waoow Asante Mungu
Hongera sana my dear kwa kuwa na imani kubwa sana
My
Inavyo onekana uyu mama sio poa kwake ajapenda afu anasema anaelekea kuwa mubibi wakati kishazeeka unamuachachia mwanaume mtoto wako eti yupo mikono salama duh dada pole sana pia onger
huyu mama noma duu
Huyu mama alijitoa muhanga dah, Bora tu umeonana nae lakini amama yako ana roho ngum sana
Inaonekana mama kweli anaroho ngumu hata mwonekano wake kwenye picture hachangamki
Mungu ni mwema Angel Barikiwa Sana na Mama,wabarikiwe pia waliokulea.
Mashallah 🙏🙏 nimefurahi sana kusikia umeipata pepo yako🔥🔥🔥
Pepo ya Dunia ni mama🥰
Uyo mama mwenyewe Sasa ongea yake tu ana kiburi zarau na roho yake ngumu kinyama mbona haonyeshi kumfurahia mwanae khaa 😂😂😂😢
anasikitisha kwa kweli yaani hana furaha hata ya kuigiza ile ya kinafiki aibu tupu kwake kama mzazi
Aibu na kujickia mkosaji kwa mwanae
Hata mi huyu mama simuelewi duuu...
Alafu mtoto anamkumbatia yeye wala, ndugu zake Angel ndio wamefurahia ila huyu mama 😢
Ni aibu. Watoto wanaPotezaga Baba siyo Mama.
Mungu mwema Jamani
Huyu mama anaonekana hasira ya mwenza wake aliihamishia kwa mtoto maana kama vile bado anahadira jamani. Mungu atusaidie wamama
Kahsmishiaje Sasa wakat baba alitaka mwanae
Una psychology kali sana,hata mimi nimegundua hilo
Yani pia naona HUYU mama hajafurahi
Unamaanisha yupo kama bibi Ester yaani wa kwenye CD ya teke la mama,umenifurahusha ndugu yangu.
@@memoryngambi7570 🤣🤣🤣🤣🤣
Hongera bibi sahili Kwa kumpata mwanao
Kweli damu nzito kuliko maji🙏🙏🙏🙏
Hawajafanana hataaaaa!!!!Ila binti ana Mungu ndani yake Walezi wake pongezi kwenu
Mungu yu mwema
Hello Clouds naomba muanzishe na ya kukutana na baba japo ni ngumu lakin tutawashukulu❤
Maman ni maman tu hakukulea ila unatamani umuone .upendo wa mama na mwana ni wakipeke
Hakika cloud ni kiboko mno big up
Nilichogundua mama Amna hapa eti nilijua yupo kwa baba yk atakua salama mzima kweli ww mqwanao hata umuache kwa bilionea kumtafuta muhi dah we dada unamoyo Sana Kama mm mwenye roho ya kinyama sizani Kama ningekutafuta thubutuuuuui
Mm nilitelekezwa na baba yangu nikiwa na miez mpaka Sasa Nina miaka 25 nimefanya jitihada za kumtafuta mitandao mpaka nikampata ila kiuhalisia waalimu Wana tabia ya kukimbia watoto alihama kikaz akahama mazima
Glory be to our God almighty
Najifunza kuendelea kuwapenda wanangu sana sana Mimi ni wa maana sana kwao
Mama Amejaa Asira Sijajua Kama Anajisikia Vibaya Kwa Kukaa Mbali Na Mtoto Bila Kumsaka Au Bado Yuko Na Asira Wenda Kati Yake Na Mmewe Awakua Na Mawasiliano Mazuli Sasa Bado Amejawa Asira
Dah😭 miaka yote hiyo hatimae umempata Mama yako mungu mwema lakini pia baba yako ni mtu mzuri maana ingekua baba mwengine angekwambia Mama yako ashakufa haswa ili usimtafute
Suala la mama mzazi ni zito mnoo❤❤
Huyo mama wala haoneshi furaha kakalia kiroho mbaya
Kabisa
Mimi nahis kama moyo wake umekufa ganzi sijui amini amin
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Astaghafirullah
Kakika, pia atakua Hana mapenzi nae sababu hajamzoea, na mazoea pia yanaongeza upendo
Hakika Mungu ni mwema sana kwake yote yawezekana
Kwenye cm mama qlichangamka mno ile ck ile nashangaa live mama kapoa kiasi hiki hajachangamka sana haoneshi furaha
Dah furaha ilitawala sana hongereni jamani ❤️❤️
Siqezi kuachia mtu mtoto wangu hata km niko na Hali gani we!
Ni kweli wanacho kifanya clous Fm ni huduma ya Mungu
Mapito wanayo pitia akinamam weng nimagum simlaumu huyu mam kupotezan huwez jua ilikuwaje
Naomba namba
Ila uwezo wa kila mtu kumtafuta mwezie ilikua inawezekana kabisa sema hawakutaka
MUNGU NI MWEMA SANA. KILA KITU KINA WAKATI WAKE JAMANI. MAMA YANGU NAYE HIVYOHIVYO ALIACHWA NA MAMA YAKE AKIWA NA MIAKA 3 NA AKUFANIKIWA KUKUTANA NA MAMA YAKE . LAKINI KATIKA KUMUOMBA MUNGU NA KUMTAFUTA. 2022 AMEFANIKIWA KUMPATA MAMA YAKE AKIWA AMEZEEKA HUKO KIJIJINI MOSHI.
Woo😂😂😮❤
Mmmmh, Mungu ni mwema.
Oh glory to Jesus❤
Niko na miaka 25 mamangu n tz kutoka moshi ila ako kenya tangu tuzaliwe ajawai kanyaga kwao kwa wajomba zng ata siwajui Allah atueke nikutanishwe na familia ya mamangu 😢 😢
Ongera saaana dada
kuacha mtoto wangu na kufunga milango ya kumuona tena for 40yrs jamani hiyo ni roho ya namna gani? i feel for Angel
Katika hii dunia mama ni kila kitu
Uyu Maman siyo Maman muzuli ila dada Yangu Maman ni Maman tu njo Mungu amekupa ila kwa bingine Mmmmmmm ana roho ya Jiwe njo wa kwanza nasikia hana upendo wa mutoto !! Myaka kama iyo yote!! Apana sija kubali mimi
Sasa mlitaka apige mayowe ya kinafki ama anaonekana huo ukimya alishaathirika kisaikolg kama unamwelewa mimi nimemwelewa kwa sababu nimeyapitia kama sio Mungu da! Ilikuwa ni hatar ya wangu kunisahau kwa ajili ya mjinga mmoja
Mungu nimwema
Mmmhh! Wewe mama! Muda wooote miaka 40?
Hakuna linalo mshinda Mungu!!!
Huyu mama 🙌
Huyu mama kama Astuki misijaona kufulai kwauo mama ila samahani
Mungu ni mwema kila wakat
Uyu mama ana roho ngumu sana miaka yote iyo umekaa hujui mtoto wako yupo sehem gani du
Nazani ndio sababu ya Mungu aliamua kumtenganisha na mtoto wake, vinginevyo binti angekuwa kama mama yake
Yaani jamani
Mama mbona amkumbatii mtoto jamani huyu mama
Amesema neno moja eti nilimwacha mtoto akae na baba yake kwa kuwa nina wengine. Lo hatausifanye juhudi ya kujua yuko wapi.
😭😭😭😭 Mungu wangu
Ndugu zangu wapendwa,hizi story za kuachwa na mama kwa baba ukiwa mtoto mdogo zisikie kwa jiran isikupate eiseee. Mimi mwenyewe niliachwa nikiwa na miaka minne ila naisi mpaka Leo hii maumivu ayajawahi kuisha rohoni.
Nimefurahi wamekutana ila lazima ukweli tuseme,wanawake wengi uwa wanaogopa kuogopa na watoto wa mwisho au wadogo Sana kuogopa usumbufu wa maisha.maana mtoto wa miaka 2 uwezi kumuacha kwa baba yake na kuondoka na watoto wakubwa iyo Nini Sasa.
Of course mm siwez kudanganya hii kitu uwa inanisumbua akili Sana mpaka naisi ivi au nilikuwa sipendwi na mzazi wangu au tatizo ilikuwa Nini mpaka akaniacha na kuondoka na watoto wakubwa na kuniacha mm mdogo kiasi kile.
But anyway tupendane tu na maisha yaendelee ndugu zangu.
Ila tujifunze kitu wazazi tunawaumiza watoto kuwatupa wakiwa wadogo kiasi kile.but kitu Cha kumshukur mungu imenifundisha kuheshimu mke wangu na kuwapenda watoto wangu sitaman ata second kuishi mbali nao au mama yao kunitelekezea watoto km ulivyo kuwa kwangu.
Kuna mda inanipa moyo wa uvumilivu Sana kwenye familia yangu.Nimeipenda hii story japo imeniumiza maana nimekumbuka mbali Sana.naisi tuna la kujifunza kwenye Aya maisha.
Pole sana
Pole bro mwenyez mungu mtukufu awajaalie mema ww na familia yko
Pole sana kaka,Hongera Mungu amekuwa familia yako
Pole sana,pole mnoo,samehe tu
Pole kaka Mungu ndo mpangaj wa yote
Mungu anisaidie niwalee wanangu mpk mwisho wangu
Amen
Amenn
Toeni no zenu kuna watoto pia ambao hawajawahi muona baba miaka 25 sasa,wanatamani sana kujua baba kama yuko hai au ndugu wa baba
Sasa kwann alimuacha mdogo akachukua wakubwa mdogo simuach ht kwa dawa nitamuiba tu
Hii iwakute watoto wote wakike na wakiume unalea mtoto anashinda akikusumbua nataka babangu au nataka mamangu haya sasa huyu kakutana na mamake mama mwechewe nikama alizoea kuishi bila yeye
Ila bibi mmh mbona kama hajaelewa vizuri kweli mtoto wako humuoni kipindi chote icho mpaka amekutafuta mwenyewe mama apo ukosea sana wewe mama ndo ulitakiwa kujua mwao yuko wapi na mwanao anaishi vipi ata kama baba alikua na uwezo na nanimlezi pia lakini si kwakumuacha mwanao iyvo
Wanawake wa kipare wana roho ngumu sana
Mmh mama mbona bado ana hasira na ba mtoto sijui nisemeje?kama hana furah kivile🤷🏻♀️
Hakuna upendo hapo ndiyo maana kila mmoja hana furaha sana na mwenzake.
Yani Hadi nimebubujikwa naachoz, mungu ni mwema
NANI KAMA MAMA
Kweli mama ni mama hata hivyo furaha ya mtoto kumuona mamake imekithiri zaidi ya mama kumuona mwanawe nimeangalia kwa kina hata hivyo mungu azidi kuwapa mapenzi na muhitimishane kwa salama
Yaani. Soo painful but tumuachie Mungu, tusihukumu. Lkn how comes mama hakustruggle kumtafuta mwanae.
Ila huyu mama mmmmh 41 yrs