SONAA _ Episode 12

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 май 2024
  • #bintinyoka #kp #kpnazebuu #lastcard #wamangushi #zebuu #sonaa #kpcomedy
  • ПриколыПриколы

Комментарии • 449

  • @ThaskyCaga-mi9hb
    @ThaskyCaga-mi9hb 25 дней назад +57

    Anae hitaji suraji nze likoma n'a dipozi agonge like hapa😢😮

  • @JaneAnyona-bu3rj
    @JaneAnyona-bu3rj 25 дней назад +37

    GONGA LIKE YAKO HAPA IWAPO UNAKERWA NA NOLA

  • @RaulentMuungano
    @RaulentMuungano 25 дней назад +27

    Nikwel tnAombA wArud Diboz na mzee LikomA wAnachAngAmshA movie 🙏📌💯@kp

    • @LUCYKHALAI
      @LUCYKHALAI 25 дней назад +1

      Jamani nawamiss sana natamani kucheka hao hunichekesha

  • @FelisterNdanuJumaa
    @FelisterNdanuJumaa 25 дней назад +69

    Wakwaza naomba like zenu jamani nawapenda sana nko Saudi Arabia Riyadh center 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-fw2jk3mx7g
    @user-fw2jk3mx7g 25 дней назад +11

    Malkia umedanganywa na wewe umekubali kirahisi hivyo mwanao halisi sio huyo norha kazi nzuri kwako

  • @celinendikiminwe6053
    @celinendikiminwe6053 25 дней назад +12

    Za mwizi40 Nora unashikwa tuuuuu ivi Zébu anajishikisha nawakina Kisayi na mwenzake basi batamusadiya Zébu kumutafuta KP nawa❤❤❤❤

  • @Dickson20
    @Dickson20 25 дней назад +23

    Mimi Leo wakwanza from Mozambique, Like apo kama unaipenda SONAA

  • @MawazoJustin-fw2ws
    @MawazoJustin-fw2ws 24 дня назад +1

    Wa 19mm jamani from South Africa

  • @mansourymnyongo9088
    @mansourymnyongo9088 25 дней назад +14

    Leo ni mm wa kwanz like zen ata 5 jaman

  • @user-ez6ex5wq1k
    @user-ez6ex5wq1k 21 день назад +2

    Namuitaji mzee likoma, Suraji na bwana Dibozi Manuva❤ nawafata kutokea RDC

  • @Beathaprotace
    @Beathaprotace 25 дней назад +6

    Haa jamani apo mnatupiga ivi jini anaanzaje kudanganywa. Tena malikia kabisa

  • @user-dv2wl3gh4n
    @user-dv2wl3gh4n 25 дней назад +12

    Makubwa norah kumbe na wew una wivu makubwa lakini nakpenda sana mwaaah ❤❤

  • @Baudouin-Tv
    @Baudouin-Tv 25 дней назад +14

    Wa 18 leo Mimi jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💯♥️♥️

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp 25 дней назад +14

    Tupo wengii tuu tunao teseka na mapenzii ❤.Norah anateseka.kp.Zebuu.sheila ata mm Collis❤❤

    • @mitchellKenya896
      @mitchellKenya896 25 дней назад +2

      😂😂😂😂😂

    • @UwajenezaJazira-cv7et
      @UwajenezaJazira-cv7et 25 дней назад +2

      Norah Hana mapenzi ana tama ya kulisi 👑 👑 👑 ramalikia!

    • @CollisBill-mu3zp
      @CollisBill-mu3zp 25 дней назад +1

      @@UwajenezaJazira-cv7et Ndugu kuna sirii kwenye aya maisha
      Anateseka na mapenzii ❤️🙌

    • @UwajenezaJazira-cv7et
      @UwajenezaJazira-cv7et 25 дней назад +1

      @@CollisBill-mu3zp hapa kwa Norah hakuna mapenzi ni tamaa tu ya 👑 👑 👑 inamujah

    • @CollisBill-mu3zp
      @CollisBill-mu3zp 25 дней назад +1

      @@UwajenezaJazira-cv7et Sawa
      Uyo mtoto atampata pasipo kukwichii na Kp..Lazma Akwichii na Kp ...na ndio mapenzii ayo

  • @user-qv4kw4bq1s
    @user-qv4kw4bq1s 25 дней назад +11

    Wakwanza jamn kp naombeni like zenu

  • @victoriangasa
    @victoriangasa 25 дней назад +8

    Hata mimi ph nimewahii jmn ❤❤🎉🎉🎉 love from Tanzania 🇹🇿

  • @user-ie8om7kh5w
    @user-ie8om7kh5w 25 дней назад +6

    Kazi nzuri sana nawapenda much love guys congràts❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @Misheckkazilist-cv2hb
    @Misheckkazilist-cv2hb 25 дней назад +2

    Kp kazi nzuli sana ila dakika zako nichache mno pia kazi inachelewa sana kutoka bwamba hongereni kwa kazi nzuli ila mtufikilie dakika zinakua siyo rafiki

  • @MulukweJohari-ip2cs
    @MulukweJohari-ip2cs 23 дня назад +1

    Daah siku izi munachelewa sana wengi tunapenda sana filamu zenu

  • @user-wj7vo5kv4n
    @user-wj7vo5kv4n 25 дней назад +6

    Nawapenda san naomba like from zanzibar

  • @user-pp2dr9jk5r
    @user-pp2dr9jk5r 25 дней назад +4

    Kazi zuri sana na tunawapenda sana tunawatazama kutoka hapa Kenya

  • @Professor.Irene95
    @Professor.Irene95 24 дня назад +2

    Majin ya kp kama matahira😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @pauloosward9690
    @pauloosward9690 25 дней назад +5

    Wa kwanza Leo mm naomba likeee ata 4

  • @Phoebenafula
    @Phoebenafula 25 дней назад +3

    Daaah Norah unacheza vizuri kwa Nafasi yako hongera sana dada🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ Nawapenda sana nikiwa kenya🇰🇪🇰🇪

  • @Zadig_Le_Juste
    @Zadig_Le_Juste 25 дней назад +5

    good morning fans wa duo die hongera kwa vijana wanaopambana night &days ili wapate hela kama mimi😢

  • @EliethAleni
    @EliethAleni 25 дней назад +12

    muv inaboa manuva digala hatumuon likoma na suraji ndo wanajulia

  • @SamuelAloo-qv3kg
    @SamuelAloo-qv3kg 25 дней назад +3

    Leo mi sigongi like maana mnakataa kuwaleta mzee Dibozi,suraj na Likoma

  • @AsmaRamadhani-ok6iv
    @AsmaRamadhani-ok6iv 25 дней назад +6

    Jamn dibos na likama hawajagombana na kp ila ni majukum ya kikaz watakuja na mtaendelea kuwaona jwa sasa hawapo dar

    • @JaneAnyona-bu3rj
      @JaneAnyona-bu3rj 25 дней назад +1

      Ahsante sna...ila kma ingekua wamezinguana leo ningetoka somalia nije tanzania❤

  • @aishaqassim1777
    @aishaqassim1777 25 дней назад +18

    Nora unaroho mbaya mapenzi hayalazimishi utakuja kujuta sikumoja acha tuendeleye kufatilia tuone mwisho yake sibola ukamukutanisha kp na mama yake wewe unaanza kufosi mapenzi duuh pole sana ndugu yangu acha tuone itakuwaje ila nawapenda sana ❤❤❤❤❤❤❤

  • @christinebarasa7984
    @christinebarasa7984 25 дней назад +13

    Number 1 from kenya 🇰🇪 wapi likes zangu

    • @Mattutu
      @Mattutu 25 дней назад

      Hawayu kenya

  • @princeshytz6762
    @princeshytz6762 25 дней назад +3

    Kp story iko vzr na naifuatilia toka mwanzo ila uhalisia wa majini mmmh... hpna

  • @sofiakinyia2734
    @sofiakinyia2734 25 дней назад +7

    Nani hajapenda mtoto aliye pelekwa na nora🎉🎉

  • @JoynessMshaija
    @JoynessMshaija 25 дней назад +7

    Ni 14 minutes lakn tayar ni 150k hii inaonesha wazi kazi yenu ni nzuri, nawapenda sana 😘

    • @mitchellKenya896
      @mitchellKenya896 25 дней назад

      150k.???..mbona ni 50min saii na naona 3.3k,,,nimefurahi ila sujui simu yangu ina matatizo

  • @marleymukangwa8955
    @marleymukangwa8955 25 дней назад +2

    Kp, nikama vile husomi coment zetu, tumekuuliza mara kibao kuhusu kina mzee likoma na dibozi mbona mpaka sasaiv hatujapata majibu yoyote? Sio nzuri bhana, tujibu basi.

  • @MohdSako
    @MohdSako 24 дня назад

    Miss sheyshey napenda xn kazi zako uko vzr xn

  • @mauridjuma9650
    @mauridjuma9650 21 день назад

    malikia sio rahisi hivyo kudanganyika anatego lake. tunao amini malikia anamtego wake like zenuuuu hapa 👇

  • @cedricklumiti
    @cedricklumiti 24 дня назад +1

    movie tamu sana aisee ,kutoka Kenya nawatizama🥰🥰

  • @user-ef1zl5gi1k
    @user-ef1zl5gi1k 25 дней назад

    Hongeleni sanaa kwa kazi nzur sanaa 🎉❤❤

  • @user-wg7yw6bb2g
    @user-wg7yw6bb2g 25 дней назад +3

    Kp na zebuu jamn mko poa wapenda nao ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MarindaComedy254Ke
    @MarindaComedy254Ke 25 дней назад +2

    Kumi na tatu tafazalii,,,sonaa KP anatongozwa Na nora😂

  • @Vannybozah
    @Vannybozah 25 дней назад +1

    Kazi nzuri sana nawapenda sana❤❤️❤️❤️❤️

  • @Amina-Rshd
    @Amina-Rshd 23 дня назад

    Jamn Kp mbon ino Team yko haijakamilka wengine wako wap? Sion Likona,Suraji and Dibozi nmewamiss san haw watu Aki 🇰🇪🇰🇪🇸🇦

  • @JasinthaAngelo
    @JasinthaAngelo 11 дней назад

    Nataka uyo binti ashutukiwe na udanganyifu wake

  • @moulynnyaboke-sh9vj
    @moulynnyaboke-sh9vj 25 дней назад +1

    ❤❤ wapenzi wa sonaaa naomba likes jamani

  • @aishaabeid8106
    @aishaabeid8106 25 дней назад +5

    Norah mpuuz sana kaenda mchora ile alama huyu roboti nyampua😂😂

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 25 дней назад

      😂😂😂ngoja kitamramba mwisho wake mbaya

    • @aishaabeid8106
      @aishaabeid8106 25 дней назад

      @@m.mmarckus6298 tena kwenye utawala wa Sheila tupo hapa😂😂😂

    • @mwanalimasaid2368
      @mwanalimasaid2368 25 дней назад

      😂😂😂😂et nyapua ila nyiee

  • @user-bj1gu8cw3b
    @user-bj1gu8cw3b 25 дней назад +5

    Wakwanza jmn

  • @user-yi6ub2uq2i
    @user-yi6ub2uq2i 25 дней назад

    Kazi nzuri xna guys much Love 🎉🎉🎉🎉

  • @fatumaandrea247
    @fatumaandrea247 25 дней назад +1

    Hakha Yani malikia umeshindwa kabisa kugundua kua huyo siya mwanao 😂😂

  • @bilkissumayah1034
    @bilkissumayah1034 24 дня назад

    Wow bravo to you all. Watching from Uganda waiting for episode 13

  • @nyamiziramadhani4232
    @nyamiziramadhani4232 25 дней назад +1

    Malkia aliema akimuona mwanae anamkumbuka.kil

  • @user-nk9rk7gt5c
    @user-nk9rk7gt5c 24 дня назад +1

    Ata kama sio kwanza naombeni ata like mbili

  • @user-ji2ks9ex9s
    @user-ji2ks9ex9s 25 дней назад

    Kazi nzuri sana ❤❤❤❤Kenya 🇰🇪

  • @SaudaLipoyo
    @SaudaLipoyo 25 дней назад

    Vipande ni vifupi sna kp jaribu kurefusha hta kdgo2 na unavyotoa kipande kimoja kwa wiki ndo shida kabsa

  • @FranckShabani
    @FranckShabani 25 дней назад

    Sonaa inaendeleya whooooooooo bien vraiment

  • @Mattutu
    @Mattutu 25 дней назад +4

    KABLA YA KUOMBA LIKES ...KP MAKE ARRANGEMENTS MSEE LIKOMA NA DIBOZI WARUDI ..... ANYWAY KAZI IKO SAWA LAKINI SIO KAMILI PLEASE LETA WALE WASEE. ...NAKUOMBA KEA NIABA YA SUBSCRIBERS

    • @MwanamkasiBakari-pb2gw
      @MwanamkasiBakari-pb2gw 25 дней назад +1

      Na suraj pia tumewamiss wallah 😢

    • @user-nh3jt3dr5w
      @user-nh3jt3dr5w 25 дней назад +1

      KWELI BHANA HATA MM NAONA KUNA KITU HAKIJAKAMILIKA SIO YA MOTO KAMA LAST CARD WAMANGUSHI KAKA NA DADA ILE YA NYOKA HATA MZEE WA GIZA ILIKUA YA MOTO KULIKO HII

    • @adonightkerush6875
      @adonightkerush6875 25 дней назад +1

      Exactly 💯💯

  • @user-mx5il7zf6u
    @user-mx5il7zf6u 17 дней назад

    Mtoto kazeeka kuliko mama 😂😂😂 kp humepigaje hapo

  • @user-pj7hu7qc4x
    @user-pj7hu7qc4x 25 дней назад

    Huyo mtt kila ktu sawa

  • @user-sd6gi1nb8w
    @user-sd6gi1nb8w 24 дня назад

    Waooow norah inakubalika hio cheza kama norah❤❤❤❤❤

  • @GreffilySimiyu
    @GreffilySimiyu 25 дней назад +2

    Napenda team yenu ❤❤❤

  • @valinemkanamkuverammbone-ci9ou
    @valinemkanamkuverammbone-ci9ou 25 дней назад

    From Kenya kazi nzuri 🇰🇪 🇰🇪

  • @Grace-ev6kf
    @Grace-ev6kf 25 дней назад +1

    Mko sawa lakini wazee mbona mliwatoa hao sasa wakiwemo wanachekesha jameni mngewaleta nimewamisi sana wanaongeza kachumbari kunakuwa mwaaaah

  • @pascalinebirhashwirwa3729
    @pascalinebirhashwirwa3729 25 дней назад +1

    Nora naanza kukuchukiya naona umejipanga kweli kweli hautafanyikiwa ,unatafuta kuwa malkiya kwa ujanja ujanja aiseee

  • @jaliamartinz
    @jaliamartinz 25 дней назад +1

    Tunamutaka Dibozi, Suraji na Mr Likoma 😢😢❤

  • @MawazoJustin-fw2ws
    @MawazoJustin-fw2ws 24 дня назад

    Uyo kaka bado ajakaza sipendi ata

  • @rizikisam6481
    @rizikisam6481 25 дней назад

    Mtoto wa malkia kama roboti yunice 😂😂

  • @user-dq8uv2tg1c
    @user-dq8uv2tg1c 25 дней назад

    ❤❤❤❤ 😅😅😅😅,nolhah kwa roho mbaya ,haya ngoja tutaona gisi.utamufaanya kp

  • @Kinyua-ye8kk
    @Kinyua-ye8kk 24 дня назад

    Wewe Nora una roho mbaya sna mapenzi hayalazimishwi bana

  • @FeristerJames
    @FeristerJames 25 дней назад +1

    Wakwanza mm nipeni lake zangu 🎉🎉❤❤❤

  • @annamarymakala1233
    @annamarymakala1233 25 дней назад +1

    Likoma na dibozi wapo tarade 🤭🤭🤭🤭

  • @user-nz7kl1to2y
    @user-nz7kl1to2y 25 дней назад +1

    Ila Norah nimnafiki sana,hivi wewe Malikia mzima eti unachezewa vipi akili na NORAH..Norah Norah nimekuita mara ngapi. Dawa yako ikoo jikoni inachemka😢

  • @WardatyOmary
    @WardatyOmary 17 дней назад

    Nawapenda zebuu na kp❤

  • @aminamohammdl-so7cx
    @aminamohammdl-so7cx 25 дней назад

    Wapili kutoka saudi Arabia kazi nzur nawapenda nyote❤

  • @GODFREYJUMA-ky6yt
    @GODFREYJUMA-ky6yt 21 день назад

    Huyu katokea wapi nayee!!! Rudishen zuraji kwenye ile nafasi ya huyu jamaa

  • @NestoryMbaga
    @NestoryMbaga 25 дней назад

    Mnachelewesha banaaa toen na 13

  • @user-yo6dy7kp2m
    @user-yo6dy7kp2m 21 день назад

    G vip changamkia deal chapchap kata mkia kwenye itikadi za doo akuna uruma

  • @PaulIzaki
    @PaulIzaki 25 дней назад

    Nataka kupata picha siku kp akijulikana

  • @salehmutuwalazima
    @salehmutuwalazima 25 дней назад +1

    Ebwana mzee dibozi na mzee likoma biko wapi

  • @Vannybozah
    @Vannybozah 25 дней назад

    Kazi nzuri sana nawapenda sana❤

  • @jacksonkalolosinkamba3098
    @jacksonkalolosinkamba3098 25 дней назад

    I like your work. your big fan from Zambia 🇿🇲

  • @kura.the.boy-
    @kura.the.boy- 25 дней назад

    Aweee kazi nzuri San burudani yakwenda akili kubwa ubunifu wa hadhi ya juuu ALLAH awabariki Zaid team KP 🎉🎉🎉

  • @user-bo6ir8vo7u
    @user-bo6ir8vo7u 24 дня назад

    Maneno makalu na malamute from zebuu makof kwke

  • @Bitulomaingu
    @Bitulomaingu 25 дней назад

    Nimemss mzee likoma Na dibozi

  • @agaboy
    @agaboy 25 дней назад

    Kazi nzuri kp nakufatilia sana

  • @YoashiPetro
    @YoashiPetro 24 дня назад

    Aisee penzi huwaga ni hisia kweli

  • @fhnchjk5195
    @fhnchjk5195 25 дней назад

    Hongereni sanaaa ❤❤❤

  • @RuthMwende-qv7jo
    @RuthMwende-qv7jo 25 дней назад +1

    Heko kwenu

  • @arikibok4735
    @arikibok4735 25 дней назад

    Nawapenda san ❤❤❤❤

  • @user-zb6pb9rj7n
    @user-zb6pb9rj7n 25 дней назад

    Mzee Likoma ,plus Mr.. Dibozi warudi jmni

  • @saumunasike4474
    @saumunasike4474 24 дня назад

    Waaa Norah wee zebu akupendi acha kulazimisha mabo

  • @MariaMariakessy-xz4ev
    @MariaMariakessy-xz4ev 24 дня назад

    Nawapenda sana❤❤❤❤

  • @finegatwiri2597
    @finegatwiri2597 25 дней назад

    Noma sana jamani 😊nimependa vile sonaa ameshirikiana na darkid na kisai mchezo unaenda kuchemka Sasa Nora dio yatamponza

  • @Miriamsanga-wf9si
    @Miriamsanga-wf9si 25 дней назад +2

    Wakwanza ❤❤❤❤

  • @MaryMuia-se9te
    @MaryMuia-se9te 25 дней назад +1

    Next episode ❤❤❤ Mach love from UAE ❤❤❤

  • @sianguphilip5396
    @sianguphilip5396 25 дней назад

    kp warejeshe mzee likoma Debozi na zuraji

  • @RehemaElendela
    @RehemaElendela 25 дней назад

    Nawapenda sana

  • @onchweridee
    @onchweridee 25 дней назад

    Kazi safi,ila inaisha haraka

  • @MauaroseMauarose
    @MauaroseMauarose 25 дней назад

    Gays kp na zebuu naomben basi fursa ya kuigiza napenda sana

  • @neemabaraka3800
    @neemabaraka3800 25 дней назад

    Kumbeeeeee suraji,Dibozi,na mzee likoma mko wap?kp kapoa hukuuu.

  • @philohmutua2968
    @philohmutua2968 25 дней назад

    Lakini munaona shei shei akijuwa huyu si mtoto wake atafanyaje Norah 😂😂😂

  • @kipetatz4674
    @kipetatz4674 25 дней назад

    hakuna movie hapa we jamaa umeanza kufel