SHETANI |Ep 12|

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 июн 2024
  • #Bhailam#Naomy#comedyplus#2024#
    ⭐⭐ Disclaimer
    This Content is Totally made by us, Don't use Sound or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
    For Sponsorship, Advertisement/Marketing And Booking,
    Please Contact Us Call/Whatsapp : +255758515863.
    Video content managed by : Nasry Khan (Bhailam)
    Subscribe hapa : www.youtube.com/@ComedyPlustz...
    Subscribe hapa : / @bhailamkhan
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : / comedyplustz
  • КиноКино

Комментарии • 335

  • @FilmawardTv
    @FilmawardTv 13 дней назад +19

    MIMI NISEME KITU KIMOJA KATIKA HII TAMTHILIA NI NZULI MNO TAMU NA INAFUNDISHA SANA ,,MWENYEZIMUNGU HAWAONGOZE ZAIDI NA ZAIDI TOKA NIANZE KUMFUATILIA BHAILAM SIMBA KUTOKA WAKE WENZA,,MY LOVE HADI SASA SHETANI YUKO VIZURI SANA NA UKIMSOMA VIZURI BHAILAM ANAONGOZA KWA KUTOA WASANII WAZURI NA MAHILI KATIKA UIGZAJI MWENYEZIMUNGU HAKUONGOZE INSHALLAH WEWE BABA HUKO ULIKO BIG UP TEAM NZIMA HII SERIES NAAMINI NDIO KWANZA INAANZA 🎉🎉🎉

  • @RoziPeter
    @RoziPeter 15 дней назад +104

    Tunaoangalia huku tunapika tupeane like

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 15 дней назад +74

    Km unapata funzo kwa hii movie pitia kwa like love from team strong 🇸🇦🇰🇪🥰🥰🥰

  • @SophysVirginie
    @SophysVirginie 15 дней назад +32

    Wa kwanza leo jameni mnipe like zangu 🥰kutoka burundi

  • @user-ji7cj7gd1p
    @user-ji7cj7gd1p 15 дней назад +36

    Jaman tumrudie Muumba wetu Hii movie inamaudhui mazur sana Mungu azid kuwapa nguvu ktk kaz yenu

  • @rajfamilytherajs6415
    @rajfamilytherajs6415 15 дней назад +22

    Tumefika kazi safi

  • @saidiabdalahshabani941
    @saidiabdalahshabani941 15 дней назад +17

    Naom ni 🔥 wakuotea mbali😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SamakilizyChaulembo
    @SamakilizyChaulembo 15 дней назад +17

    Gostei muito desse história Olá pessoal estou a pedir like

  • @user-mo7vw3iz8p
    @user-mo7vw3iz8p 15 дней назад +19

    Leo nimewai kbx naomba like yangy🎉

  • @joachimmsilombo3
    @joachimmsilombo3 15 дней назад +20

    Wa mwisho hapa nipeni like zangu hapa😂😅

  • @andrewkilave3532
    @andrewkilave3532 15 дней назад +16

    Hii tamthilia inafundisha sana tena sana

  • @LuluFwalo
    @LuluFwalo 15 дней назад +21

    Jamn Leo namimi wa19 naomben like ata10

  • @zenamtembezi4921
    @zenamtembezi4921 14 дней назад +8

    Kiukweli muve hii imenifundisha vtu vngi sana kwamfano ibada sasahv naswali sana nawashukuru kutuelimisha mwenyezi mungu azid kuafanyia wepes kila mnapotoa muve mte zenye maadili nakuelimisha watu naawap maisha malefu ishallahi

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 15 дней назад +15

    Waooh leo dakk zko vzr asanten , tunawapenda,

  • @user-gc2rd8ln3v
    @user-gc2rd8ln3v 15 дней назад +47

    Wapenda like badala ya kucoment nao washafikaa😂😂🤣🤣🤣🤣

  • @joharmussa
    @joharmussa 15 дней назад +13

    Wooooh mapema sana watu washacomment❤

  • @zainaabdallah809
    @zainaabdallah809 15 дней назад +32

    Kuwai kuwai kote nimekuwa wa 20 aya tusalimiane team furus team kupambana team WiFi

    • @AlainKabamba-rs7iy
      @AlainKabamba-rs7iy 14 дней назад +1

      Je suis en RDC,
      Est ce que je peux avoir le numéro de Naomi .

  • @nasraemmanuel
    @nasraemmanuel 15 дней назад +15

    Move inazidi kuwa moto Kila siku

  • @MichaelCharles-uo6rw
    @MichaelCharles-uo6rw 14 дней назад +13

    Mbona hiii sauti ya sheteni asiye onyesha uso ni ya bailamu jaman anae onekana ni mganga mcha mungu kama unaielew hii sauti tujuwane

    • @user-qz2if6nc9j
      @user-qz2if6nc9j 14 дней назад +1

      Umechelewa kujua toka siku yakwanza tulijua

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 14 дней назад

      Ni yeye,hii tamthilia inatuonyesha vile shetani pia hua akiwa na kiwiliwili cha watu tunaowajua ili tuwaamini na watupotoshe😢

    • @MichaelCharles-uo6rw
      @MichaelCharles-uo6rw 14 дней назад +1

      Ila directa wa hiii Kaz mungu amuzidishie imenifanya mpaka nimepata ushuhud hum ndani hakika kafanya kazi nzuli danan

    • @tommyokillah
      @tommyokillah 13 дней назад

      Ni bhailum 😂

  • @JACKMIPAMBA
    @JACKMIPAMBA 15 дней назад +16

    Oya wewe hii hatari SHETANI 😂😂😂😂

  • @user-zu8yr7mh4h
    @user-zu8yr7mh4h 15 дней назад +19

    Nimewahi nipeni liké zenu nduguzanguni

  • @RaimamomedSaidi-wz1yu
    @RaimamomedSaidi-wz1yu 14 дней назад +15

    Leo bairamu umenena neno ambalo binadamu anatakiwa aiishi hivo 🎉mungu akulipe wema wako❤hakika tumejisahau sana wanadamu kumuelekea Allah 😢like zako bairam.

  • @EvodiaDominic
    @EvodiaDominic 15 дней назад +11

    Nimefurahi leo mmetupa dakika nyingi sana

  • @Dickson20
    @Dickson20 15 дней назад +19

    Like apo Mimi Leo wakwaza

  • @patriciachangawa1754
    @patriciachangawa1754 15 дней назад +9

    Kazi nzuri🎉🎉🎉

  • @patrickatsewa878
    @patrickatsewa878 14 дней назад +4

    What have learn to this movie..is that there's no difference between Christian and Muslim wote ni kitu kimoja and that's what am happy for.....tupendane sisi sote🤝🤝

  • @user-ko4in4uy1u
    @user-ko4in4uy1u 14 дней назад +3

    Naomy Nakupend Sana Kiukwel 😢😢❤❤❤❤❤❤ Team Bhailam Hongera Sana Kwakazi Nxuli 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 One Love From Burund 🇧🇮🇧🇮💜💜💜💜💜❤❤❤❤❤❤❤

  • @philohmutua2968
    @philohmutua2968 14 дней назад +3

    Wanaokubaliana na naomi na mariama tusonge mbele ❤❤❤❤ mwenye anashika mafunzo yakohapa. Twendelee hadi mwisho❤❤❤

  • @cablecomedy6487
    @cablecomedy6487 14 дней назад +2

    Hii movie inanifunza mengi...namkubali sana bhailam

  • @damianurio6305
    @damianurio6305 15 дней назад +6

    Kazi nzuri big up

  • @user-wl4uy7qv7u
    @user-wl4uy7qv7u 15 дней назад +3

    Move kali sana ongera bailam mungu akupe nguv zaid auboi wala nn sasa now kunamtu fulani utaanz kumfunik yani nataman kam wake wenza isingeisha ila atuna jins pia tuludishie recho

  • @mohammedmaulid6044
    @mohammedmaulid6044 14 дней назад +3

    Iko poa sana hii series 🎉❤

  • @hythamshadrack2323
    @hythamshadrack2323 15 дней назад +7

    Waiting is over now😂😂

  • @ramadhannyanje6549
    @ramadhannyanje6549 15 дней назад +9

    Nawapenda sana aisee mnafanya kaz nzuri

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 15 дней назад +19

    ❤❤❤❤ Tunaokubali
    🎉🎉🎉🎉🎉series ya❤ ya shetani 😂😂Tujuane kwa like za kutosha

  • @lonahkerubo1090
    @lonahkerubo1090 14 дней назад +4

    Kipindi chenye mafunzo mengi👏hongera

  • @user-to2jw1zj2h
    @user-to2jw1zj2h 15 дней назад +5

    Kazi nzuri sana ❤

  • @JanethJoseph-tq2ns
    @JanethJoseph-tq2ns 14 дней назад +1

    Maneno ya hiii move yamenigusa sana mwili wote unanisisimka

  • @RzikiSaeed
    @RzikiSaeed 15 дней назад +5

    Sjachelewa sana Leo mungu awafanyie wepes kwenye Kaz zenu❤❤🎉🎉

  • @DieudonneSylvain
    @DieudonneSylvain 15 дней назад +7

    Wakwamza toka Congo DRC🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 15 дней назад +4

    😂😂kiongozi wawachawi kavaa namawani ndouzuri haha hongeleni sana kazi nzr sema mnachelewesha sana naomi hongela sana uwatetee wanadamu❤❤

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 14 дней назад +2

    Duuh kwaiyo mm kufanya kazi harahara pia nimekuwa wa mwisho siamini Naom my love np omani nikirud nitakutafuta my dear np hap waif za Bure za warabu Aya wale mashagalq wezangu tuliye maliza kazi mapema tujuwane bas

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 14 дней назад +3

    Chacha nakukubali mwanang wa faida uyo mzee miyeyuso muongo balaaa😢😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @Mr_wenge
      @Mr_wenge 14 дней назад

      Ally Babu more respect mwanangu
      much love sana bro 🙏🙏🙏🤣🤣

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 14 дней назад +1

    Duuh hyoo mwizi kama sio hyuu mama kuwepo leo agekuja kukuta yairi uwnchani mwake alwaka 🔥🔥🔥🔥 kumbe mwanawe eeee mungu vijan wetu acheni uwizi mtakuwa na porsha wallah

  • @aganzeroger
    @aganzeroger 14 дней назад +2

    Mutu mwenye akili aji ongeze movie nzuri sana yenye mafundisho 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @user-mi1kh7vv1c
    @user-mi1kh7vv1c 14 дней назад +2

    Naomi naona ushindi mbere yako🙌🙌🙌🙌🙌

  • @gadafimuemede2985
    @gadafimuemede2985 15 дней назад +9

    Kazi nzuri sana 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @felisminofelixshellapuacha5281
    @felisminofelixshellapuacha5281 14 дней назад +3

    Kali sana❤❤❤from Mozambique🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 14 дней назад +2

    Mchawi wa kuvaa miwani ndio namuona leo ndio uzuli niwachane❤❤❤

  • @Chrismamesofficiel
    @Chrismamesofficiel 15 дней назад +14

    Wakwanza mimi like zangu nipeni

  • @TumainiMolel-jm6eu
    @TumainiMolel-jm6eu 14 дней назад +1

    Hongera sana wote mnaohusika kutuletea kazi mzuri

  • @MARYNAGUJustin
    @MARYNAGUJustin 14 дней назад +2

    Move inatukumbusha kumrudia mungu barikiwen

  • @sarahkahindi6348
    @sarahkahindi6348 14 дней назад +3

    Wale wa betmama tujuane 🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪

  • @user-ft5op2hd6g
    @user-ft5op2hd6g 14 дней назад +2

    🎉🎉❤❤ nzuri sana nayipenda

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 14 дней назад +2

    Bhailam maneno yako😭😭😭 kweli tunasahau kuna kesho...pamoja na burudani tujifunze pia

  • @user-oj7jv2sf9y
    @user-oj7jv2sf9y 14 дней назад +1

    Movie naipenda maana iko na mafunzo mengi sana wakenya tujuane hapa❤❤❤❤

  • @KelvinMwiri
    @KelvinMwiri 15 дней назад +7

    Wakwaza kutoka kenya 🇰🇪

  • @Bibi-he6vt
    @Bibi-he6vt 14 дней назад +4

    Mnafanya vizuri hongereni kitu kimoja tu Rachael actress ndio amekosa

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 14 дней назад

      Bhailam alisema hawako na yy tena

    • @Bibi-he6vt
      @Bibi-he6vt 13 дней назад

      @@aishaomar2287 yes but nothing is fine anymore

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 13 дней назад +1

      @@Bibi-he6vt sorry ooh

  • @gilbertassenga4343
    @gilbertassenga4343 15 дней назад +2

    Bhailam anajua sanaaaaaa

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 14 дней назад +1

    Mdume mizim meupoza mbona mtakufa moja baada ya moja mjipange 😂😂 latifa wapeleke 🔥🔥🔥🔥 hawa nyamenga upo uku ndyo mkume viherehere

  • @JofraySabath
    @JofraySabath 14 дней назад +1

    Movie nzur sana hii ongeren 👍👍👍🎉

  • @joycejoyce9954
    @joycejoyce9954 15 дней назад +4

    Namimi leo nahitaji 😢 like 😅

  • @user-bi9pl4eu2o
    @user-bi9pl4eu2o 14 дней назад +1

    Big up sana Naomi bhailam mariam na wengine wote kazi nzuri sana mungu awabiriki sana

  • @LilianNyalulu
    @LilianNyalulu 9 дней назад +1

    Honger San Bhailam na Tim yako sem ukweli mnafany kazi nzuriiiii sanaaa❤❤❤❤❤

  • @user-nj9tq1kw5k
    @user-nj9tq1kw5k 14 дней назад +2

    Kazi nzuri sana jamani

  • @user-dq5wj1ep5o
    @user-dq5wj1ep5o 14 дней назад +2

    Mnaomba like badae mtoe maon na kelo ety naomba like🎉

  • @ashahassanhiribae1527
    @ashahassanhiribae1527 14 дней назад +2

    Ila sheteni jaman kamfanya ramso hadi kamsahau naomi😢

  • @user-yh7hg5qv7p
    @user-yh7hg5qv7p 15 дней назад +3

    Hongera muandaaji

  • @user-zc1qh6ti2p
    @user-zc1qh6ti2p 14 дней назад +4

    Wachawi hawavaaji miwani nyie macho pia yanakazi.

    • @AlexRichad
      @AlexRichad 12 дней назад

      😂😂😂😂😂😂😂me mwenyewe nimeliona hilo

  • @MaarufuAmani-bq6qc
    @MaarufuAmani-bq6qc 14 дней назад +3

    Mh mchawi na miwani kama huna d2 huwez kuelewa

  • @al-bleproshooteur1922
    @al-bleproshooteur1922 14 дней назад +2

    🎉tujuwane jamani nipeni zangu huku like nipo DRC

  • @pastorhermantv5420
    @pastorhermantv5420 14 дней назад +2

    😂😂😂yaani wachawi kwenye kikao wanavaaga miwani kumbe duh 😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @user-bt1vl8nu5n
    @user-bt1vl8nu5n 14 дней назад +1

    Nimefrahi kumwna swaiba wangu maghembe kanumba the great pacha

  • @frankvicent3059
    @frankvicent3059 14 дней назад +3

    Hii ya leo kali

  • @PeterWilliama
    @PeterWilliama 14 дней назад +1

    Kiukweli hii movie naikubali sana na anajua kuipangilia sana

  • @johnrogeo2161
    @johnrogeo2161 15 дней назад +3

    hii imekua kali🔥 next part ikuje haraka

  • @macrinafuraha-zg3mi
    @macrinafuraha-zg3mi 14 дней назад +2

    Mwapenda kuomba comment sana nyinyi ata mwaboo si mucomment chenye mwajifunza apo 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @luckylucky7153
    @luckylucky7153 15 дней назад +2

    Yani hii team hajawai kufeli mko vizuri hadi rahaa

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 14 дней назад +1

    Mbona mnakimbia tena simumuchinje🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️jaman

  • @user-qf3ck2mv4m
    @user-qf3ck2mv4m 14 дней назад +3

    Tusiopenda like tupoooooh

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 14 дней назад +1

    Naom naom naom my dear umefeli wap mbona hv tena sumaiy kakuupua

  • @kevoboy038
    @kevoboy038 14 дней назад +1

    Leo naombeni likes hata tano2

  • @user-kl7su9br3w
    @user-kl7su9br3w 14 дней назад +1

    Asanteni kwa mafunzo mazuri 🎉🎉🎉

  • @Alineniyizigama-gk8ih
    @Alineniyizigama-gk8ih 14 дней назад +1

    Team bailam Nawapenda sana mno mbona enjo haonekani tena alienda wapi wamepishana na jojo

  • @JohnVicent-xe7qp
    @JohnVicent-xe7qp 11 дней назад

    Atimae ramso amekua msanii mkubwa mungu mwema akupebidii ya kipaji ulicho nacho ndugu yangu amina

  • @kingcicero1708
    @kingcicero1708 15 дней назад +3

    Mtoto wa kiume kuomba like huyo ni upinde😂😂😂

  • @user-rh4ph6fu3p
    @user-rh4ph6fu3p 15 дней назад +2

    Ongela

  • @alfredtebeka2497
    @alfredtebeka2497 14 дней назад +1

    Palipo naomy hakiwezi kushindikana kitu smailia kitakuramba mda si mrefu😂😂😂,, alafu Jojo apunguze jazba naomy ana plan nzuri❤

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 14 дней назад

      Jojo ni kiwiliwili tu ila ndani yake ni shetani

  • @user-bm1oe9lh1m
    @user-bm1oe9lh1m 14 дней назад +1

    Mashallah ❤🎉

  • @MeshackM-dv
    @MeshackM-dv 13 дней назад

    Mupo vizuri sana❤😂🎉😢😮😅😊😊

  • @IliiKalunda-eq2js
    @IliiKalunda-eq2js 13 дней назад +1

    Mchawi kavaaa mawani kweri kichekeshoo😮😮😮😮

  • @LilianNyalulu
    @LilianNyalulu 9 дней назад

    Jaman nimependa hii movie,, Hongeren san 🎉❤ Naomy pamban utashinda tyu

  • @evarlneambiyo881
    @evarlneambiyo881 14 дней назад

    Kweli mungu ndiye kila kitu hakuna mwingine kama yeye mungu nipe uguvu ya kushida majaribu hapa dunian

  • @user-kp4yg7sh7j
    @user-kp4yg7sh7j 14 дней назад +2

    Team strong tujuwe Kwa hapa like ❤❤❤❤

  • @user-yc7uf9qn2j
    @user-yc7uf9qn2j 13 дней назад

    Muendelea namna hii safi kabisa na inafunza kabisaa🤙🤙🙏

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 14 дней назад +1

    Ni atari mungu atuepushe na shetani😢😢

  • @AminaMohamed-td2bi
    @AminaMohamed-td2bi 14 дней назад +1

    Ameniudhi sana huyu Yani amekubali kuingizwa kwauchawi wa babaake.🤔

  • @halemasuliman-js8ug
    @halemasuliman-js8ug 14 дней назад +1

    Tupo tunaangalia filam yetu shetan bhailam oyeeee

  • @abuuqamar58
    @abuuqamar58 15 дней назад +2

    Abuuqamar.
    Kweli hizi ni zama za mwisho

  • @user-wl8cq2rn8z
    @user-wl8cq2rn8z 13 дней назад

    Na istoshe yule mtoto akisema kasema haibadiliki km Qur-an. Nimefrai sana kumbe Mnajuwa km Qur-an ni ukweli mtupu😂❤