ASANTE KAMANDA Usalama wetu uko mikononi mwenu TAASISI yenu inategemeana na Wanazuoni, Wataalamu,na Sisi sote kw mistakabali wa Amani,Utulivu wa Taifa letu.Mungu ibariki Tanzania
Tuliambiwa intelligence iko juu sana, mbona ktk swala la utafutaji watu linakuwa gumu? Polisi mmoja aliwaambia wanaotafuta ndugu zao, akasema tangazeni kifo tu, ndugu wakabakia wanashangaa
Jeshi la polisi poleni sana mna kazi ngumu na muhimu sana, tunaomba mtusaidie sisi wanyonge tusiofahamu sheria, wanapokija watu na kijitambulisha kuwa ni polisi awe na sare au hana sare tufanye nini na matukio yanayoendekea?
Kamanda vijana wa CCM hujinadi ktk hotuba zao kuwa mtu akimsema raia watamporeza na msimtafute, je hamzioni kauli hizo? Uanzishwaji wa vikundi vya ulinzi wa vyama kunaweza kuwa lango la utekaji kwa maslahi makubwa ya hisia za vyama na vyama vyao...
Tatizo ni Polisi foss ,ndio maana hata ongea yako ya kutisha tisha .Sioni sababu mtu kuwa Polisi ni lazima uongee kwa ukakamavu.Yote umeongea ila siamini kwa nini huamini huyo Sativa anayosema. Mbona nyinyi mnabuni kutatokea machafuko wakati ni ufalme njonzi ?
Tunataka taasisi za uchunguzi kutoka nnje kwa sababu nyinyi hamuwezi kuchunguza mkatuletea mjibu ya kueleweka Lile tukio la kupigwa lisasi kwa tundulisu uchunguzi huu mbona uliwashinda haya ya beny sanane mpaka Leo hajulikani aliko kwenda ni miaka mingapi imepita mlishindwa uchunguzi alfu naleo tukae tuwasubili mtuchunguzie kwa mda Gani mtatoa majibu tuwaelewe kuhusu ndugu zetu walio potea
Hapo ameomgea ujinga, Scotland yard inaaminika na waingereza hata kama Kuna shida ni za kibinadamu na Kuna uwajibikaji, jeshi la polisi haliaminiki si watu wa ndani tu wa nje hawawezi kabisa kuelewa polisi wanafanya nini, lakini Scotland yard wanaoaminika Hadi nje ya mipaka
@@sistymsigwa2738 unaandika Ili ujue au unataka kusema hakukamatwa, Lee Harvey Oswald ndie alikamatwa Kwa hayo mauaji tena alikamatwa bàada ya masaa 12 tu tangu afanye mauaji
Tatizo hawa wapo makini sana kujikinga kuwa hawahusiki ,wanajua sana kuremba kwa mifano ya kujikwepesha wao na makosa yao.Anatumia mda mwingi kutoa mifano ya kujitetea wakati kuna makosa wao wanahusika. Ni mbaya sana kukataa kosa au kuficha Polisi wahalifu wanalindana sana hawa
Muliro yupo vizur kajitahid sanaaaa,good speaker is good listener
Mbona sio kweli
Kamanda uko vizuri.
Very good speech from Milito
Great professional speech from Muliro
ASANTE KAMANDA Usalama wetu uko mikononi mwenu TAASISI yenu inategemeana na Wanazuoni, Wataalamu,na Sisi sote kw mistakabali wa Amani,Utulivu wa Taifa letu.Mungu ibariki Tanzania
Naomba sana hotuba ya maelezo hayo yatolewe na katanga,wa kwenye vyombo vya habari ili wananchi waelewe nimeelimika
Kabisa
Maelezo mazuri sana Kamanda
Muliro anajua mpaka anakera 🔥 🔥
Tuliambiwa intelligence iko juu sana, mbona ktk swala la utafutaji watu linakuwa gumu? Polisi mmoja aliwaambia wanaotafuta ndugu zao, akasema tangazeni kifo tu, ndugu wakabakia wanashangaa
Hongera kama elimu tumeipata umeongea vizuri sana kamanda
Jeshi la polisi poleni sana mna kazi ngumu na muhimu sana, tunaomba mtusaidie sisi wanyonge tusiofahamu sheria, wanapokija watu na kijitambulisha kuwa ni polisi awe na sare au hana sare tufanye nini na matukio yanayoendekea?
0:54 ❤hongera umejiahidi Sana kubalance na unafaa kuwa Mkuu WA jeshi hilo😮
Kamanda vijana wa CCM hujinadi ktk hotuba zao kuwa mtu akimsema raia watamporeza na msimtafute, je hamzioni kauli hizo? Uanzishwaji wa vikundi vya ulinzi wa vyama kunaweza kuwa lango la utekaji kwa maslahi makubwa ya hisia za vyama na vyama vyao...
Good kamanda murilo
Tatizo ni Polisi foss ,ndio maana hata ongea yako ya kutisha tisha .Sioni sababu mtu kuwa Polisi ni lazima uongee kwa ukakamavu.Yote umeongea ila siamini kwa nini huamini huyo Sativa anayosema. Mbona nyinyi mnabuni kutatokea machafuko wakati ni ufalme njonzi ?
Toa jibu la mafwele kamanda
Mwambukus viva bos wewe ni mzarendo
😅😅😅kamanda umenifurahishi papa msofe akaja kufa kwa kufa umefundisha vitu vingi vyenye maana sana
Kamanda nimekuelewa you are smart and very good in argument.
Kamanda ni mzima Hatari yaani very smart
Acha siasa 😎😎😎
Sasa mbona anatoa mifano kwenye case ndogo ndogo, tuzungumzie maswala nyeti.
Swala la Imani ya wananchi juu ya Jeshi la Polisi.
Excellent kamanda
Muliro good you are very good
Asnt kamanda Murilo nimekusikiliza kwa makini ninakupongeza kwa uweledi umenielimisha vizr ast fanyakazi yako.
mnaegemea upande mmoja wa sarekari mnatukandamiza wanainchi wala hatukuelewi Mungu anawaona nyie endrleeni
Humwelewi wewe
Dah! Afwandee!! Ha! Pole Baba hata Idd Amin naye aliyaishi hayo afande
Kwa Lissu je? Ushahidi hamna?
Duuuuuuuh mjadala ulikuwa wa moto Hatari sana
Bado sana
Force inamaana gani kiswahili wenzangu wenye mkopo lugha?
Huyu Mafwele Mbona Anatajwa kwenye Mambo makugumu hivi, jamani familia yake Inajisikiaje
Tunataka taasisi za uchunguzi kutoka nnje kwa sababu nyinyi hamuwezi kuchunguza mkatuletea mjibu ya kueleweka Lile tukio la kupigwa lisasi kwa tundulisu uchunguzi huu mbona uliwashinda haya ya beny sanane mpaka Leo hajulikani aliko kwenda ni miaka mingapi imepita mlishindwa uchunguzi alfu naleo tukae tuwasubili mtuchunguzie kwa mda Gani mtatoa majibu tuwaelewe kuhusu ndugu zetu walio potea
Hotuba nzuri
shida wanapata maelekeze kutokakwa ccm hapo hamnamajibu
Mbona wanaopotezwa sana liwale wanao ikosoa serikali tu kwanini
Mna akili sana
Lazima ukubal8 kwamba kuna maeneo bado mtahitaji msaada wa nje. Hata training si mnawategemea wao??
Hawa wako mwisho wanastafu kesho.
Na Yule Jamaaa aliyemteka Mohamedo Mo aliishia wapi .uongo ambao mliotengeneza mpaka Makufuli akawasema.
Msisitizo wa "London na crime zao" hapo ameongea ukweli kabisa
Hapo ameomgea ujinga, Scotland yard inaaminika na waingereza hata kama Kuna shida ni za kibinadamu na Kuna uwajibikaji, jeshi la polisi haliaminiki si watu wa ndani tu wa nje hawawezi kabisa kuelewa polisi wanafanya nini, lakini Scotland yard wanaoaminika Hadi nje ya mipaka
Naomba mtumie kuswahili bila kuchanganya na kiingeleza .kwani nyie viongozi mmekataa kiswahili kisitumike mpaka vyuo vikuu kulikoni
Hajaimaliza Duuuuu😢😢😢😂😂😂 Raisi Boniface maana mwambukusi ni Jina la Ugomvi 😂😂😂😂
Hahaha 😊
Najua nafsi inakusuta sana tu
Panya road.
Marekan wahalifu wanakamatwa on the sport au wanauwawa
Osama alikamatwa baada ya muda gani
@@injaphetjoel4230 zungunzia wahalifu wa ndani, anzia waliofanya majaribio ya kumuuwa Trump wako wapi
Waliomuua raisi Kennedy wa marekani walikamata lini
@@sistymsigwa2738 unaandika Ili ujue au unataka kusema hakukamatwa, Lee Harvey Oswald ndie alikamatwa Kwa hayo mauaji tena alikamatwa bàada ya masaa 12 tu tangu afanye mauaji
Tatizo ni pale mmaposema hamtaki ushshidi wa kuungaunga kwa baadhi ya mambo , mambo mengine ni ushahidi wa kuungaunga ndio kawaida yenu.
Walete manakamani
Msitutishe walakutulazimisha tuwamin tulishawajua ninyi ndo mnao tuteka mnatutesa mnatuwa
Nakibao mlie muwa jee
Tatizo hawa wapo makini sana kujikinga kuwa hawahusiki ,wanajua sana kuremba kwa mifano ya kujikwepesha wao na makosa yao.Anatumia mda mwingi kutoa mifano ya kujitetea wakati kuna makosa wao wanahusika. Ni mbaya sana kukataa kosa au kuficha Polisi wahalifu wanalindana sana hawa
Huyu ujinga utamtokea kaburini
Haukutakiwa at kupigiw makof
Msituamishe walakulazimisha tuwaamini wakati hamtendi haki
Ukiona umepewa HAKI ujue mwinzio kaipiteza,,