Laaa ila hailla llaah Muhammad rrasuulullah Hivi hii pia Qasida???? Ina tofauti gani na nyimbo za ISSA MATONA?????? Wanzanzibar na vikundi vyenu vya taarbu kwa madai ya QASIDA muogopeni Allah!!!!! Subhanallaah subhanallaah Innaal llaah wainnaailayhi raajiuuni Hatari hatari sana
Hakuna tofauti na taarabu mnazidi kupotosha kwa kuandika qaswida mngeandika Newtaarabqaswida . Na ndo nyie mnawapa wapinga maulidi kupinga kutokana na huu mtindo mnaokwenda nao . Acheni hayo mambo mnapotosha fuatieni yale aliyoamrisha M mungu na mtume wetu Muhammad S. A. W. Kwa hilo ni msiba kwa kweli .
Me Hata sielew jaman....wanaume wanalegeza saut,,mchanganyiko wake kwa waume siskii Hata maneno ya akhrak...kimasomaso ni taarab imekopiwa..tuandae majibu mazur kwa Allahu Rabbu izza njaa zetu tuseme nazo
Hakuna tafauti na taarab hapo tena afadhali taarab atleast coz tayari wao hata mavazi waisha amua bt hapo mevaaavazi zuri laheshima kisha mnaenda kuchanganyikana na wakke htari wake zawatu dada zawatu jameni
Yanı bılısı anavotupambıa mambo yanı mnajıvalısha kanzu kısıngızıo kasıda mnaona ndodını hıyo ? Laa yanı hapo hamna tofautı na mzee yussufu karudı mjını yanı hapo wake za watu warı wawatu mnawaangalıa uo nı uhunı tuu taftenı kazı za halalı mfanye ukoo sıo uwo mzıkı wa rusharoho
Dhambi kwa wanaume pia Waume wao hao wanawake wako wapi kuwapa ruhusa wake zao watangamane na waume na wamejipamba harusini na kucheza mbele ya wanaume...
@@ishadulla4525 oohk so nimeongea makosa mm ama wataka nifanyacho mm hapa tunasema hili Jambo sio halali niharamu iwe mm nafanya ama sifanyi hio sio muhimu kwako ww na mwengine Sisi nikujua halifai tuache ukiniambia hivyo nihatari itakua tena kauli kutoka Kwa muislam jina la mama etu Aisha kwahio hata tukiina watu huzini barabarani tupite tusimwambie tukiona wasilam walewa tuwawache Kwa kuakua mpka mm niwe malaika ama mtume la hashaa mm sio mtu wala malaika ni binaadam nakosea lakini Kwa kua nakosea nisiseme lile ambalo halifai huko nikuangamia haswaa sasa
@@ishadulla4525 pole mama changinyikanani kunywani matembo hata baa siezi kukukatasa Ila nitasema sio halali niharamu ukitaka kufuata fuata hutaki bc Ila hupaswi kusema hivyo dada hata masheikh wale waongoza msikiti wote bunadamu wakosea ila ww hupaswi kumfuata yy fuata anayo sema Kwa mujibu wa Qur'an na hadithi
Laaa ila hailla llaah
Muhammad rrasuulullah
Hivi hii pia Qasida????
Ina tofauti gani na nyimbo za ISSA MATONA??????
Wanzanzibar na vikundi vyenu vya taarbu kwa madai ya QASIDA muogopeni Allah!!!!!
Subhanallaah subhanallaah
Innaal llaah wainnaailayhi raajiuuni
Hatari hatari sana
Mashallah mashallah qaswida zenu zote mzuri wallah
From Zambia we endorse !!! Qaswida very NICE NICE Subhanallah
mashaAllah... from jakarta indonesia....
Muogopeni Allah wanawake hawafai kuchanganyika na wanaume tena wamejipamba kweli mbele ya wanaume inna lilahi wa inna ilaiyho rajiuun
Mtihan wallah😢😢😢
Dunia ya mwisho
Watu wanaedelea kurudi kwa mola wao
Lakini wao wanazidi kuharibika
Allah akuhidini In Shaa Allah
Janat from Uganda mashalaah
Manshallh Allah awajalie insha'Allah 🙏🙏🙏🙏🙏
Maa shaa Allah biidhnillah harusi ya mwanangu nitakukodini kuifanya znz in shaa Allah
Subhanallah mtihani huu Allah atunusur na vizazi vyetu
Aamin
@@ishadulla4525 kuangalia ndio kujifunza kuwa hichi ni sawa na sio sawa na nisinge angalia nisinge jifunza au nisingejua kosa liko wapi.
Allah atuswamehe 😭😭
Ilaaa sio mabyaaa Allah wazidishe in shaa Alla,,
Macha Allah vous êtes géniaux haroussi ndjema inchallah belles voix naturelles magnifiques
Ma shall ah,,,,qaswida nzuri😘😘😘
INNA LILAH WA INA ILAIH RAJUN msiba huu ummat Mohammad SAW
Inlilahi wainalahrajiunmdibhuuummatmohammad saw
Msiba mkubwa sanaaaaaa
Mmh msiba msibani....
Jaman hii niqaswida au nitaarabu ya marehemu mzee issa matona mnatupeleka wapiiii
Manshallah nawapenda bule nitawaita kwaharusi yangu😍😍
Mashaa Allah 🥰🥰kabis sihiyana Allah atuwezshe pia
mashaAllah 👌👌👌👌
Hakuna tofauti na taarabu mnazidi kupotosha kwa kuandika qaswida mngeandika Newtaarabqaswida . Na ndo nyie mnawapa wapinga maulidi kupinga kutokana na huu mtindo mnaokwenda nao . Acheni hayo mambo mnapotosha fuatieni yale aliyoamrisha M mungu na mtume wetu Muhammad S. A. W. Kwa hilo ni msiba kwa kweli .
Masya Allah saya di INDONESIA hadir
Mnacheza mabanati na ma shabaab wanaimba wimbo... Kama si haramu ni nini? Allah atuongoze.
Amiin yaa rabi
Jamani mm nimecheka kwa maneno yenu mashaa Allah Qaswida nzuri sana almadrasat shahibu Allah awazidishiye vipaji
Vipaji vya laana
Allah awaongoze ...makosa sana haya
@@zulfasalim8770 umeona eee na ibrisi aliyolaaniwa
@@salimkigarimbwe4911 amina yaa rabbi
A alleykumu warahmatullah wabarakatu vp khar samahani naombeni hi Qswida mnitumue mwenye nayo
😄
Mashaallah so nice maneno kuntu na yachangamsha .
Watu wamuaswi mola ww wawapigia mashallaah.
Subhana Allah qaswida zilikua Zaman
Hii ni nyimbo jamani muogopeni Allah
Muokope mungu Wanaume na wanawake pamoja sio vizur kabis
Ndoa nifuraha ,kaaswida nzuri mashallah,Wala siyo shambi baazi yawatu mnhusuda mnawaonea wivu kuimba kaaswida Koda liko wapi? mhhh mtihani Sana.Hongereni mmesherehesha vizuri
Dhambi unaijua lakini au unasema tu! Vp mchanganyiko wa wanawake na wanaume kuimba wakicheza pamoja useme si makosa kiislamu hayo!?
Allah atunusuru
Msiba huu ,mashekhe mwasemajeeee
Mashallah mashallah 😘😘😘
Jameni hizindio qaswidaa mola atstiri
Mzidishe spo mpo vizufi
Mashallah nataman niolew Zanzibar nipate mema na dini yakutoshaa
Mh
Masha Allah sauti nzuri
Mashallah furaha mashairi maridadi
11:04🔥
Shungi wanawake tumeambiwa zishuke kifuan sasa hapo zimeishia shingon
Me Hata sielew jaman....wanaume wanalegeza saut,,mchanganyiko wake kwa waume siskii Hata maneno ya akhrak...kimasomaso ni taarab imekopiwa..tuandae majibu mazur kwa Allahu Rabbu izza njaa zetu tuseme nazo
hata ww mckilizaj mama una jukum
Ukikaa ukickiliza hyo cqaswida ngoma tu hakuna qaswida watu wanachumia matumbo yao.
Jaman hawa vijana wabarikiwe
Masha Allah
Mashallah ana habete waidi
Mashallah pambeee Hatar🌹🌹🌹
Hakuna tafauti na taarab hapo tena afadhali taarab atleast coz tayari wao hata mavazi waisha amua bt hapo mevaaavazi zuri laheshima kisha mnaenda kuchanganyikana na wakke htari wake zawatu dada zawatu jameni
Tumeshasema sana hayo ila watu hawajali wanaona ni sahihi tu wanavofanya!
Very nice... Big up zanzibar qaswida😍
Kaswida gani hio upuuzi tu
Nitarabu hii s qaswida
Mashalla mashallah
Mashaallah!
Mashaallaah ya nn hapo watu washenzi kama hao
Kwel dada mtihan
Mashallah Allah
Yanı bılısı anavotupambıa mambo yanı mnajıvalısha kanzu kısıngızıo kasıda mnaona ndodını hıyo ?
Laa yanı hapo hamna tofautı na mzee yussufu karudı mjını yanı hapo wake za watu warı wawatu mnawaangalıa uo nı uhunı tuu taftenı kazı za halalı mfanye ukoo sıo uwo mzıkı wa rusharoho
Sana nimtihan
Mashaallh Qaswida nzuri ya harusi
ruclips.net/video/0TtuuMjFvNo/видео.html
Nimtihan
Bonne courage et bonne chanson
Ok
واو لابسين عماني اخوانا الزنجبارين☺️💓
Taarabu za Asili 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Yaani mtihani huu
Umeona
Mashaallah 💋
Mantap sodara ku
Mashallah mungu awazidishie
Kaswida nzuri sana
Jamani nzur
Nawapenda
Mashallah nataman ni mm ndo naolewa
ukotayari nije?
@@abdallafahmi6816 njooo
Usikubali Hawa wa yutub.muombe Mung atakupa
Paambeee😍😍😍😍
Ma challah😘😘😙
Mashaallah wana yimba vizuri
Jamani hya yote ni haram,wanaume katik holi na wenywe wanwke mwacheza
Nitaarabu waungane namzee yusuph
Kweli kabisa unayosema Haram holini wako wanaume na wanawake pamoja
Dhambi kwa wanaume pia Waume wao hao wanawake wako wapi kuwapa ruhusa wake zao watangamane na waume na wamejipamba harusini na kucheza mbele ya wanaume...
Ziitwe tu nyimbo na si qaswida.....qaswida zina maana yake na si hii
Ma shalal ah.
Allah awaongoze maana mnajali heha mungu hapendi huo nimziki kabisa duuuh
Wao
Kazur sann
Machalla fi senegalia gharbo ifrikia
Mkumbukeni allah jamani so sad to se dis
Sikuizi hakuna kaswida nitaarabu tuuh
Zaman zazimbar ilikua inasifika kusoma qur ani saivi inasifika kwa ngoma
Hamna lolote mshaangalia mpk mwisho ndo mnajiadai fyoko fyoko pisheni uko
Nitaarab hii s qaswida
@@kalssambaboo9932 kwa hiyo ndoushamaliza kutowa nasaha zako ama?
MashaAllah.hongereni
Good allaaah
Mashaallah
Mashaallaaa
Nyie waume mulosimama hapo huku mwaimba hakuna sunna yoyote hapo haramu tupu hata kama mumejisitiri hao kina mama madada watatu watatu mume simama
manshaallah
nimewahi kufanya mara 2 nikakodi maulidi ya wanawake naambiwi haichangamkii lakini potelea bondeni wakati nimeridhika basi .
Wangepewa na kangaa wakacheza wanaume hawaezii Kaa faraghaa na wamama karibuu
Maa sha Allah !!! aaaaa yani jamani ndugu mmegonga ndipoooo.....jamani ntafanya nini nijiunge na kujifunza qaweeda?
Subhanallah
Ramadhan Gigi....mashaallah
🎉🎉😢😢o
ni tarabu si qaswida. haramu kuchanganyika waume kwa wanawake. mmelikosea heshima vazi la kanzu na kofia
Marshall ah
apo sass sio mchezo mingoma kwenda mbele
Hakuna kasida siku hizi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
tena hakuna ivyo mtihan huuu
Allah atuswamehe
MaashALlah
Hamna kipya so
Mi naona nimsomdo wa harusi siyo kaswida
Ni Yale yale Abdallah kumwita dulla,sasa taarab palepale
ivyo b unavyotaka ivyoivyo 😄😄 kheri kuliko beni chupi nje
Sasa kuna tafauti gani na hilo beni wacheni kuhalalisha haramu
Hahaha
mashaallah
Jamani hii ni qaswida ama taarabu? Muogopeni Allah jamani 😭😭😭 huu msiba sasa
Wapuzi sana hawa
Hongeri wanzanzibar wenzangu jamanii ad raaa
Hiyo taarabu bwana
Mashaallah Mashaallah
Naomba audio yake plz
mashaaallh
inalilahi
Nyiewahunituuu mwachezea dini taaarabu zenu mkilingalinisha na dini mchen allah mwamfuata mtume yupi???
Uhuni unaujua
Mtume aliwalingania watu kwa lugha nzuri sio maneno makali yenye matusi tujitahidi
Mashallah 😚😚😚
J
👌
Nice qaswida
ججج
Mashallah
@@hagartel8271 ewwww
Qasida mzuri Ila tatiza waume waimbe ndani ya Holi na wanawake wacheza hapo ndio haramu hatari hio jamani
@@ishadulla4525 oohk so nimeongea makosa mm ama wataka nifanyacho mm hapa tunasema hili Jambo sio halali niharamu iwe mm nafanya ama sifanyi hio sio muhimu kwako ww na mwengine Sisi nikujua halifai tuache ukiniambia hivyo nihatari itakua tena kauli kutoka Kwa muislam jina la mama etu Aisha kwahio hata tukiina watu huzini barabarani tupite tusimwambie tukiona wasilam walewa tuwawache Kwa kuakua mpka mm niwe malaika ama mtume la hashaa mm sio mtu wala malaika ni binaadam nakosea lakini Kwa kua nakosea nisiseme lile ambalo halifai huko nikuangamia haswaa sasa
@@ishadulla4525 pole mama changinyikanani kunywani matembo hata baa siezi kukukatasa Ila nitasema sio halali niharamu ukitaka kufuata fuata hutaki bc Ila hupaswi kusema hivyo dada hata masheikh wale waongoza msikiti wote bunadamu wakosea ila ww hupaswi kumfuata yy fuata anayo sema Kwa mujibu wa Qur'an na hadithi
Mumepotea hiyo siyo mafundisho ya mtume MOHAMMAD
Alhabibiiii
My thumbs up🔥🔥🔥
Subhanaallah
🥰🤩😘
Heee
Acheni ujinga huooo wanaume wazimaa katafuteni kazi mfanyee
😂😂😂😂😂
😁😁😁😁😁😁😁