Iyiiii nyimbo unanikumbusha mbali sana nikisia tuuu, nakumbuka nilipo achu na mupenzi wangu niliye mupenda sana. Nikijifaridji nahi nyimbo. Rayvany aksanti kwa nyimbo chuma ulete.
i used to think your songs, are after praising women, but this one, touched me,Ravvany,be blessed, you sang what many African women treat their husbands,,i have subscribed.
you killed it vvanny boy video is on point song message is great too keep it up dude. wenye tunamkubali kijana wetu please do continue to support him. just give him a thumb up to appreciate the great job he's doing
vitunguu, mboga za majani laki tano kwenye genge, Nyama tuu, nikupe milioni kwani unapika kenge, Si jana tu, nimelipa pochi na doti za vitenge, viatu tu, ulivyojimua, kama unaduka mwenge Chorus Chumaa uleete, usiiiiwe chuma uleete X2 usike badili jina nikakuita chuma ulete
Raynanny has evolved i this video. When we talk of talent, this is it! On attire, he really spent virtually nothing on himself and the video is still lit!
Nyimbo za dizaini hii huwezi sikia zimepotea wala kuchuja masikioni mwa wasikilizaji, Forever utadumu huu wimbo...
sure
Nikweli kabisa yani huwezi ichoka kusikiliza
2024 and still rocking!
all the way kutoka kibiti Huku wcb nyie ni noma Sana mwambie kaka Mkubwa Simbaaa anatisha
Daah mda unaenda kabisa ngoja nione anaetizama nyimbo hii in 2024 to 2025
🎉🎉🎉😅
Uuuiiii!!!napenda Ray xnh.....uliweza.....Kila siku wimbo huu lzma niuskilize dooooooo!!hatari 🔥 💕💕💕💕
Raymond usinyamaze ki muziki wa mapenzi kenya tunakutambua tena umenyamaza sana waonyeshe wewe chui
Gonga like kama una support
🇰🇪2020
I tell u hii 🔥🔥
Moto❤❤❤
Nani yuko hapaa kwa vannyboy 2020🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥
2024 kama umeiangalia like hapa
Tuko😂😂😂
Love this song❤😩
❤ RSC c you 😂😂
Iyiiii nyimbo unanikumbusha mbali sana nikisia tuuu, nakumbuka nilipo achu na mupenzi wangu niliye mupenda sana. Nikijifaridji nahi nyimbo. Rayvany aksanti kwa nyimbo chuma ulete.
Message sent coz Dada zetu wamezid mno bonge la ujumbe congratulation my broo
Kawaambia ukweli kabisa kwa hii ngoma.
Nabambika ety inafka kenge,kiswahili kitamu sana huu wimbo waniguza hadi kwa pulmonary vein. Kazi safi sana from 254
Team yangu Barcelona, zaidi hapo shabiki wa mzuki mzuri. Vanny boy buda uko juu
Vanny boy ww ndio bigwa tz hakuna wakukupita kila aina ya nyimbo unajua hipop love fujo hee baba nuksu
Absolutely good message, wapi likes ya huyu mxito tukisonga
Jamani huyu anajua kuimba tena sana
Nani huyu au hulikua hauja zaliwa kipindi hicho😅😅😅😂
🇨🇩👁️🗨️
Wenye tuko 2024 weka like maana nimepata chuma ulete nimekumbuka hil song
Nyimbo za dizaini hii huwezi sikia zimepotea wala kuchuja masioni mwa Wasikilizaji forever Utadumu huu wimbo❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Kama kuna ngoma napenda ni hii napenda vile vanny boy anatumia sauti yake kwa hii nyimbo alafu lyrics amazing kazi nzuri
It go like that 🌷🌹🌷🌹😀😍🤩😍😍
Real life out there. Bigup Rayvanny its a very touching story. Wapi likes kwa huyu kijana #mtotowamama.
Rayvanny! Nani kama wewe?! Your music kills me wallahi.
Niko ndaaani ndaniiiii!
Real struggle
Vitunguu mboga za majani laki tano kwenye genge, nyama tu nikupe million kwani unapika kenge vanny boy noma
Wakenya mpo 2024 vile tumepelekwa na hii serikali ya ruto😢
Tumekita kambi huku zakayo anatupeleka mbio
Ndio manaa nasugua hamamu kwa bidii coz sitaki kuwa Chuma ulete😂😂..ngoma iko fresh sana👏👏👏
Betty Kanana hahaha usijali Betty ni kwa mda Mungu Hatwagazia
+Karimi Lydia Edah ppe
Betty Kanana asanteeee mama nimependa comment yako
Alexandrina Domaino shukrani sana
Betty Kanana ....apo sawa.penda hiyo commend sanaa.hamam pap
Rayvani,hongera sana!hapa burundi tunakukubali tena.
i used to think your songs, are after praising women, but this one, touched me,Ravvany,be blessed, you sang what many African women treat their husbands,,i have subscribed.
WBC Big Power for a Long.
Stay on Top Label in Tz Music.
Wakimbizeni Hivi Hivi.
Mshazari umefika.
Nani anamkubali Rayvanyy sana kana mimi
I can listen to Ravanny songs whole day and night without getting bored.
I can support you
you killed it vvanny boy video is on point song message is great too keep it up dude. wenye tunamkubali kijana wetu please do continue to support him. just give him a thumb up to appreciate the great job he's doing
Pretty Angel 👍👍
what does chuma ulete mean?
Pretty Angel
harry mo, dependent for everything, like a parasite!!
Pretty Angel mmh Rayvanny boy keep fire ring in all 4 cylinders, you got golden voice from heaven.
Wenye tuko 2023 nabado tunatambua huu wimbo. ..nipe lyk
2023 Dec 👍👍
2024 tena. Very nice.
🇺🇸🇺🇸🇺🇸❤❤❤❤❤
Wah don't accept such ladies
2024
Poa mzee madem ni ivyo tu bro pole
Nani tupo pamoja 2020 dondosha Like za nguvu 👍
Ukovizuli
Nakukubalisana
Ninoma
I lake it
Mapema sana
from kenya 254 and am loving this... vannybwoy never dissapoint
2021..still huge song here in KENYA
Me too
Mateso baana
vitunguu, mboga za majani laki tano kwenye genge,
Nyama tuu, nikupe milioni kwani unapika kenge,
Si jana tu, nimelipa pochi na doti za vitenge,
viatu tu, ulivyojimua, kama unaduka mwenge
Chorus
Chumaa uleete, usiiiiwe chuma uleete X2
usike badili jina nikakuita chuma ulete
ViAtu juu...
Epic World mbogazamajan
Epic World the all song plz😍
Yan Nixhidah nimeuchek hadi raha ila hauniishi hamu jamn mfuko hali mbaya
Epic World i
Hii NYIMBO naipenda sana aisee nimeikumbuka ikabid nirud hapa2022
Mm nasema Kama mapenzi pesa bado natafuta walah haya unaimba viko mungu akuzidishie Rayvanny
Kenya like hapa kam uko in
Stanley Nakoche tuko hapa
Stanley Nakoche 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙌🙌🙌
Stanley Nakoche nko ndaaaaani yaan ndaaaaaaani
niko ndani rep +254 iko tu sawa vvany boi
THE GREAT MJ TV pia watch yangu RUclips plz nakoche msela like subscribe plz
vitunguu mboga za majani laki tano kwenye gengee🔥🔥
#chuma_ulete
#wcb_4_lyf
wapi LIKES za Rayvany
Ifunumz Simba iko pouw
ki ukweli ngoma ni kal
Ifunumz Simba nn
Hatari sana
Raivanni boi
Leo ndiyo naiona hii nyimbo...
Pia Mimi ndio naiona Leo tu,16/April 2022
Chuma uletee
Imagine May, 22 ndo naiona ... It's 🔥
Kuna ingine inaitwa,'wanaweweseka'❤️
@@mjtraders4989 mamae ioo ndio motooo..vanny boy is firee
Ray uko juu mdogo ako hapa
this gotta be the best song vanny boy ever did......#kenyalove
Who listen in 2020 like me
Hapa
Nipo
💪✌
@@diajerevian4239 sawaka
S awa ka
Wakenya Kwa Kukoment Ni Balaa Mnatupa Sapoti Saaaana One Love
GkaVeVo East is ze best! 254..
Ellein ViK ..capital ndiyo Tanzania 😎
unatishaa
rayvanny upo gudi chifu komaa mungu yu pa moja
I don't understand swahili😕 but ngoma nzuri sanaaa👍🎤🎵🎧🎧🎧🎵🎶
Julie Ngugi u dnt understand wat? 😂😂😂 bt u know how to write
😂😂😂
Julie Ngugi hio ni Kiki unatafta
Julie Ngugi 😂
julie kiki hyooo🙌🙌🙌😂😂😂😂😂
Thank you so weet rayvanny CHUI pambana achana na watu waogee mabaya na ravnnyn
Sauti tamu yaani Vanny amebarikiwa...
Who's watching 2020 drop alike 👍🥂
Me
Me👌
Duuuhhhh
@@sanaipeiletungaisanahletun2801 d
Akina nani wanakubaliana na mm kua shabiki wa muziki mwenye raha na furaha zaidi ni yule wa WCB
mm
MM nawakubali maana hakuna ladha unakosa
in naaamib
Rose Hillary true
daimd
Chuma Ulete. Good lord Rayvanny never disappoints. I fuck with his music big time.
Daah kwel hlo chuma ulete huwa nawakimbiaga hao
Love ur music from Kampala Uganda
wakenya wap siwaoni like wapi
Edison Charles tmeipenda
Uyu jamaa anapika chipo mwitu na mayai
@@zablonnyamweya5496 chipo mwitu ni zipi tena?
@@perisabuti8379 ni chips zimepikwa kwa kuni.. Si stima
Tuko hapa
Rayvanny the best from wcb in my humble opinion 👂💙
kumbe kwa opinion yako sasa tukusaidie nini
frank jully kimya mshamba
vann boy
ww ndo mshamba umesema opinion yako nmekuuliza swali tukusaidiaje ? jibu swali
This one is lit.... enjoying even in 2021💥💥
Ravnyn Chuiii kasha kuja napeza zake❤
😍😍😍😍😍love this
Tuliooopo hapa 22
Huyu ndio anajitia mtt wa gadner
Team 254 pita na like na tuombee nchi yetu
Ilike this song
I like old songs
I don't know when I will find another airtst like Ray who will always make me feel proud with his voice l 💘 😻 your voice and your talent buddy
I am chinese lakini nakubali nyimbo za bongo sana
Diana Ogutu chaaaaaah....😀😀😀
wow! Chinese mbongo
msanii mpya haha kama wolper mgermany mbongo😃yaani watu hawa wanachekesha sana
Diana Ogutu Nakubali Chinese
Aye baba engina tiga egana eyio obwate gaki... chinese ya gusii😂😂😂😂
Big up boy.... What a nice job..i really like your video 😍😍😍😍😍😍
Waaaaah uyo msichana ata hana adabu like seriously anafanya ivo
IS🔥🔥🔥
Moto kama pasi...nikupe milioni KwAni unapika kenge😂😂😂😂
Raynanny has evolved i this video. When we talk of talent, this is it! On attire, he really spent virtually nothing on himself and the video is still lit!
honestly this song has touched me. iko sawa kabisa. big up Ray
Aiseeeee salut kwa huyu mkaka ....yupo juu kishenzi
I like old songs ❤❤
Natokea west Africa, lakini naishi marekani uuuuhhhhhhhh jamani hii ngoma,naisikiaga every day
Chuma ulete njoo na kuni jioni ikifika
My favorite song always 🔥🔥🔥💃💃💃
Rayvanny u never disappoint us big luv 💖
Kenya, anyone???
Awesome song, kijana uyo kweli talanta
Mmm
eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
Pole sana
Nimekutana nayo tena imenikumbusha kitambo kidogo
yani nampenda sana tena sana msani huyu natamani nimkute siku moja.
Reality what life is all about..some hussle while others Benefit🤔 love this ..
too talented...damn can't get enough of rayvanny songs
Wew nae umezidi upole au anakunogesha sana had umelewa
Vanny bwoy mbona kimya sana......angusha ingine Moja Kali ya mapenzi😜😜
theres something special about rayvannys songs.....i love
Love from🇰🇪🇰🇪...still watchinv in 2019😘😍💗🌹💯
Nice song with a strong message
Mungu akulinde sana kaka utakuja kuwa mtu mkubwa Africa nzima
Nakukubali sana, Juzi ulikunja ndita, unataka mchele tani sita. 3:10 hahaha
Kama una mkubali ray vanny gonga like tuwe pamoja 🙏🙏🏃🏼
tu na ngoga
I have never had this song 🎵 its meaningful thanks broo 🇺🇬 loves you
wow
Hapa kwetu Kenya wasanii kazi nyimbo za kilabu tu, hamna ujumbe kwa jamii. Tujiangalie sana
kuja kitale kenya show we bana,,shabiki wengi huku
kazi yako nzuri bana
Unaweza sana sasa ulijichanganya kwenda kule kufanya nn unaendana na hamonazi
The Final part😍😍😍😍😍he clearly brings out his emotions through the song
Nakwambia Ray kawaida unatisha. Tema +254 leo namark register basi kama wamkubali ngoga like hapa tukisonga.
I didn't understand VB Swahili ila Ngoma ni kali kinyama
Juliana Makau we kmkooo
vvany we mkali
Eii raivny unatesa walai...ilov yu oooh
ni kama wewe tu
kenya loves rayvanny because is more than real in his music
Wow, Rayvanny ana kipaji kweli
Eti nikupe million kwani unapika kege😱
Vany boy🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿