Ni wajibu kwa kila mmoja wetu, kulinda Haki za Watu wenye Ulemavu.Mhe. Othman

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 янв 2025

Комментарии • 2

  • @kheirrama4933
    @kheirrama4933 Месяц назад +1

    Mh: OTHMAN , sisi watu wenye ulemavu tumejiajiri kwenye kazi ya bodaboda tunatumia vyombo aina bajaji. Tulipew fursa ya kufanya kazi bandarini ndani ili tujikimu kupato kwa kuondokana na umasikini, lakini ghafla tukatolewa nnjee na hali ikawa ngumu zaidi kulingana hali zetu za ulemavu. Sasa tunakuomba mheshmiwa uzungumzee na mamlaka husika ili turudishwe ndani kana mwanzo kwa ajili ya kujinasua na umasikini tulonao. ( bandarini unguja).

  • @adamstour5736-kb6zq
    @adamstour5736-kb6zq Месяц назад

    Ni saw mkuu lkn tabia ya kuomba hadi kweny fukwe za utalii sio sawa