Namkubali Sana mwalimu, ananibariki Kwa mafundisho yake MUNGU anavyomtumia, anajua Mwl. Wangu sana huyu namfuatiliaga sana Redio kicheko saa tatu asubuhi.
mtumishi, upo vizuri,,, sema tunaojua kukutumia e-mail ni wachache ili kupata notes,,so tu naomba utume video full huku u-tube ili tupate mafundisho full
MUNGU akulinde na akuzidishie neema nyingi tunabarikiwa mafundisho yako
Mwalimu unajua kufundisha ase daaah mungu akuongoze
I wish mungekua mnapost full message so that wale tuko nje ya inchi ya Tanzania tufaidi...
Nabarikiwa Sana na mwalimu...
Pokea salamu toka kenya
Mwalim nimefulah kukuona leomwak 2017wakat nimeokoka nilipitia wakat mgumu sana hata kuomba sikuwa😢 nawezalakin sikumoja niliokota kitabu chako ambacho kilihusumaombi nashukuru kilinisaidiasanakujuwanamnayakuombamungu akubaliki sana
Namkubali Sana mwalimu, ananibariki Kwa mafundisho yake MUNGU anavyomtumia, anajua Mwl. Wangu sana huyu namfuatiliaga sana Redio kicheko saa tatu asubuhi.
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Hakika najihisi nimechelewa kumjua mwalimu
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
I appreciate the lesson...upo vyema baba...wew umekua sababu ya mmi kuokoka.
Nilikua wapi sikuzote jamn, naona kama nimechelewa kumjua huyu mwl... Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
Tunabarikiwa sana
Mwalimu Mgisa Mtebe kwa kweli tunaendelea kujifunza
Mungu azidi kukupa maisha marefu mwalim
Amen nimekuelewa
Asante mwalimu,tunakufwata goma DRC
Naitaji maombi
Nimeget point barikiwa sana mtumishi
Halina ubishi ni Mwalimu bora sana tangu nimeanza kumsikiliza,jana nimeMwomba MUNGU anipe karama ya ufundishaji kama yake.AMEEN
Nimecheka Sana mwanzo ikitokea ulikunywa majuice
Mungu akupe maishamalef kwakazi ya bwana
Ubarikiwe sana mtumishi
Ubalikiwe mwalim tuko pamoja toka shinyanga kolandoto
kweli kabisa napenda fundisho hii
Ubarikiwe mnoo
Baba unapatikan sehemu gani
Ubarikiwe sana
Bwana akupe mafuta mabichi
Aminaaa kubwa
Nabarikiwa sana na mahubiri yako asante sana
Mwalimu tunaomba utufundishe somo la mavazi na mapambo🙏🙏
Safi Sana mtushi
barikiwa sana kupenda wa Mungu
Kabisa Nguvu ya mawazo ni mkubwa.....Amen
Ubarikiwe Mwalimu Mgisa, somo zuri ila Sasa mbona linakuwa fupi sana
Mwlm unapatkan dar sehem gn nakkbal xn
Asnteee
Ubarikiwe mtumishii🙏🙏🙏🙏🙏
Yaani mungu akubariki sana mtumishi wa mungu nimejifunza kitu kikubwa sana endeleeni kutupa vitu vya ukweli njo baraka ze'yewe
Oooyes it's true
Asante kwa somo mtumishi.
Ubarikiwe sana Mwalimu.
Mtumishi barikiwasana
Be blessing
AMEEN!MAWAZOOO!
Asante mtumishi,upo vizurii Mungu akubariki na uduma yako nzurii.
Somo zuri sana linanikomaza sana
Amen barkiwa mwalim
Hakika n somo zur
barikiwa saana Mtumishi
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Hahahaha, mtumishi ujumbe mzuri 😁😁 barikiwaaaaaa sanaa
Barikiwa mtumishi.
Hahaa napenda jinsi umefafanua hii
Inaitwa mindset!
Amina amina
nakuelewaga sana Mgisa mtebe
Mwalimu tusaidie kupost full video kama baba mwakasege, mafundisho ni matam lakin yanakuwa kpande
Me nakupenda mno Mungu akubariki mnoo.mwalim mzur na Mungu aendele kukuongoza
Tafadhali tunaomba videos kidogo ziwe ndefu angalau dk15_20
Thank u
Mtumishi tunaomba uweunaweka vipande vilefu
Very true Amen
mtumishi, upo vizuri,,, sema tunaojua kukutumia e-mail ni wachache ili kupata notes,,so tu naomba utume video full huku u-tube ili tupate mafundisho full
True
@@nakembetwakilimba2834 Naomba kufahamishwa nanma ya kupokea notes za mafundisho yako kwa email ( gabriellusubilo@gmail.com)
Nice illustrations 😂😂😂😂
Amina
Awesome teachings ,but tunaomba mda uwe mrefu kiasi.. Madini yasitupite tulio mbali. Blcd Mwl
Hahahahh barikiwa mtumishi
Supper
Kanisa la mwalim lipo wapi?
Mtumish hana kanisa yeye ni mwlm tyu anafundisha
True that 👌🏽
😂😂😂😂😂
Amina
😂😂😂😂😂😂
Amina
Amina