Mungu akubariki sana Mwl kwa somo hili limenibariki sana. Ifike mahali tuone na tutambue Baba yetu wa mbinguni anatupenda upeo na atatimiza ahadi zake kwetu. Basi tujifunze kutenga muda wa kumsifu na kumtukuza ili nasi tumuonyeshe tunampenda kiasi gari🙏🏼
dickson kimaro kutoka rombo nabarikiwa sana mwalim kwa masomo yako ya neno lamungu shukran sana lakini mwl. nisha tazama nakuskiliza yote naomba mengine uyaweke ili nipate jifunza zaidi
Bwana yesu asifiwe, ntapataje mfululizo wamasomo yako, naomb msaad wailo, namungu akubarik.
Asantee Sana mtumishi wa Mungu kwa Somo zuri mno, ubarikiwe Sana Mungu akuzidishie nondo zingine zaidi utufundishe asantee
Mwalimu masomo yako Mengi huyaachii mpka mwisho sijui tatizo ni nini
Yaan mm pia natafuta mwendelezo hapa
Mungu akuinue zaid una madin ya Mungu
My teacher
Namshukuru MUNGU kwa kukuinua na kutupa mafundisho ya kutufumbua macho
Mungu akubariki sana nimeingia sehemu sahihi❤❤
Asante mwalimu Mgisa. Somo hili ni la muhimu sana na umefundisha kwa namna nzuri sana. Ubarikiwe
Ubarikiwe mwl nimepata kitu cha kujifunza hapa.
Asante kwa kunifundisha Hekima hii.
May the Lord bless you
Thank you Lord Jesus Christ Thank you Thank you. I love you Lord Jesus Christ
Nimekuelewa sana Mwalimu Mgisa Mtebe
Bwana yesu asifiwe ,mungu akubali ki kwa mafundisho mazuli
Nimefundishika Vema. Nimeelewa zaidi kuhusiana Na UPENDO. Mungu Atukuzwe Kwa AJIRI ya Fundisho hili. Amina
Napenda mafundisho yako wewe ni mwalim mzuri mno Mgisa Mtebe
Mungu akubariki sana Mwl kwa somo hili limenibariki sana. Ifike mahali tuone na tutambue Baba yetu wa mbinguni anatupenda upeo na atatimiza ahadi zake kwetu. Basi tujifunze kutenga muda wa kumsifu na kumtukuza ili nasi tumuonyeshe tunampenda kiasi gari🙏🏼
Asante Mtumishi wa Mungu
dickson kimaro kutoka rombo nabarikiwa sana mwalim kwa masomo yako ya neno lamungu shukran sana lakini mwl. nisha tazama nakuskiliza yote naomba mengine uyaweke ili nipate jifunza zaidi
Nimeguswa sana
Amina mwalimu, Barikiwa sanaaa wewe ni zaidi ya mwalimu
Nabarikiwa sana na mafundisho yako MUNGU akubariki
Najfnza Ving xn kupitia mafundixho Yako kamwe usichoke ktupa nondo
Hili somo Zuli sna 🙏🙏🙏🙏🙏
Huku Mwalimu anachazaidi ya kawaida .,..nimwalimu mzuri sana Mungu akutunze mgisa
Ubarikiwe Baba yangu na Mwalimu katika ufalme wa Mungu
Amen amen, nimebarikiwa nimejifunza vzr pia
Powerful❤
Amen, Mwalimu.
Nikikusikiliza uwa nashiba
I have loved this very much thank you teacher for teaching us😅
Barikiwa sana mtumishi wa BWANA
Najifunza....✍️
somo zuri sana, limenibariki sana .
✍️ asante mwalim nondo zako ni 🔥🔥 Ubarikiwe
Mwalimu wangu.
Ni kwa roho mtakatifu tu.
Jina lake lihimidiwe
Ameeen Ameeen
Ttunaomba mwalimu uongee kuhusu kuongea kwa ndimi
Amen
❤
Woow
powerful message
Nimekusikiliza redioni Leo umefundisha kuhusu utakaso wa mwili, natamani kulisikia zaidi Somo Hilo nalipataje?
❤❤❤❤❤
Amen 🙏
Amee
Ubarikiwe mwl nimepata kitu cha kujifunza hapa.
Amen
Amen