Maseneta wapinga taratibu mpya za kuvuka Likoni

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 окт 2024

Комментарии • 144

  • @salmashuffa3745
    @salmashuffa3745 3 года назад +3

    Hilo dude halijajengewa hadi chini alafu wanavuka watu wengi ivyo aya mungu awalinde

  • @griffmartin4276
    @griffmartin4276 3 года назад +7

    Very true..1st of all they dont know the capacity of the bridge 2nd of all hiyo msongamano hapo kwa bridge...yani gvt cannot balance their decision

  • @charlyb3560
    @charlyb3560 3 года назад +1

    Kenya ukiwasaidia watateta,usipowasaidia watateta...heri wache na shida zao...

  • @juliushinzano4363
    @juliushinzano4363 3 года назад +7

    Mnataka kuua watu sio

  • @taucetus3657
    @taucetus3657 3 года назад

    as is with every project Kenya does, it is simple and basic not necessarily economic, nor problem solving but simple. Brilliant leadership like the british administration of would've developed this region years ago and resolved some of these issues to the books of history.

  • @shulestuff
    @shulestuff 3 года назад +8

    Huyo jamaa wa @1:40 👍👍👍

  • @jacklinenduta9238
    @jacklinenduta9238 3 года назад +8

    Nina hofu kubwa Sana kunusiana na hichi kifuko. Ya Kwanza bridge yenyewe haijulikani inaweza kumbemba uzito kiasi gani. Ningeomba government ifungue pia ferry kuwa na mgawanyiko wa watu, otherwise inatisha Sana.

    • @shifaazawadi4438
      @shifaazawadi4438 3 года назад +3

      Tutakuja kutumbukia wote hapo kwasababu hapo hapawezi kubeba uzito huo wawatu wengi tutakuja kufa mm naona wanataka kutoa kafara mwanzo hapo kwakuunganishwa Kunahasara Sana

    • @rechomutuku3591
      @rechomutuku3591 3 года назад

      @@shifaazawadi4438 zawadi hapo nakuunga mkono hizo ni kafara zinatafutwa maana kwani I wafunge ferry wakati watu ni wengi wanaovuka

  • @duncanwarah9188
    @duncanwarah9188 3 года назад +16

    My thinking is that the foot bridge and Kenya Ferry Channel should compliment each other and not close one channel leaving the other channel with all the weight.Both channels be left open and people will choose which one is more convenient for them.

    • @mercymaina7335
      @mercymaina7335 3 года назад

      @Duncan right ongeza volume

    • @elizakinuthia9218
      @elizakinuthia9218 3 года назад

      which weight are you talking about.that bridge is very safe...watu wa mbasa ni wavivu

    • @maimunaabdalla7146
      @maimunaabdalla7146 3 года назад +2

      @@elizakinuthia9218 elizer acha ujinga,unasema watu wa mombasa ni wavivu,unatulishia watoti wetu??unatusomeshea watoto wetu???unatupikia?unatufulia nguo??tunaishi kwenu bara mjinga wewe??usitusi watu wa mombasa kabisa,nyinyi si wavivu mnaangaishwa na nini???sisi wavivu,tunakula,tunavaa,tulala nyumba nzuri .jiheshimu sana.001

    • @maimunaabdalla7146
      @maimunaabdalla7146 3 года назад

      Kazi kuja tubiya kazi zetu mkitumia neno uvivu,babu zetu mlikua mkiwabeba nyinyi wakati wanaijenga bandari ambapo mmejileta kuiba kazi zetu,kahawa zenu hakuna wa mombasa hata mmoja ,msituudhi chenye mwanzo na mwisho upo!!!mwisho wa dhulma zenu utafika tu.ndo mtajua mvivu ni nani kati yetu na nyinyi.koma!!!!!,tukana wa mwambao.kaa kwenu kikuyuni kama uvivu wetu unawaudhi hatujaita mtu tusaidia kazi ni njaa zenu zinafanya muibe kazi zetu mkizingizia uvivu.koma!!!mwana kukoma!!!!

    • @elizakinuthia9218
      @elizakinuthia9218 3 года назад

      @@maimunaabdalla7146 but ain't an NGO

  • @petermakaumutuku9150
    @petermakaumutuku9150 3 года назад +6

    Kuna cartels walikuwa wana benefit kutokana na ferry..Lazima wapigane..

  • @abbaimran4122
    @abbaimran4122 3 года назад

    Nchi isikopeshe tena wajitengezee pesa zao waingeze floating bridge more than 5 hapo.Mikopo inarudisha nchi nyuma.Najua ni vigumu pesa itakosa thamani lakini lisilo budi hubidi.Itengezwe ya kulipa madeni na za miradi.Sisi wananchi tukipunguziwa fuel price tutajituma vizuri sana

  • @b.9811
    @b.9811 3 года назад +7

    The only 1st Flooting brige in Africa...
    Ahhh watu wa mombasa...
    Wacheni raha za ujinga....
    Now they dont want to walk...tunachoka sana tukitembebea😂😂☺❤.
    Haya mimi nitawaletea aeropleni ya ku float...mta float ndani ya ndege...
    Mkiland nitawapepea na parachuti❤❤❤❤

    • @ednariechi5732
      @ednariechi5732 3 года назад

      Vb

    • @bellarose3978
      @bellarose3978 3 года назад +1

      😂😂😂😂😂 cheza na waswahili

    • @loreleylady3371
      @loreleylady3371 3 года назад

      @@bellarose3978 😂👍

    • @salimdzuya5480
      @salimdzuya5480 3 года назад +1

      Peleka ujinga kisumu uko,

    • @kalamahafricanah3958
      @kalamahafricanah3958 3 года назад +2

      Watu wa mombasa si wajinga. Tatizo ni msongamano, wanabiashara wanao ingia na kutoka kisiwani... Usalama wa bidhaa zao wakati wa msongamano. Usalama wao pia upewe kipao mbele... wako na haki ya kuskilizwa.

  • @masikamohamed6897
    @masikamohamed6897 3 года назад +2

    Mm pia nina hofu si mbaya bt atari kwa usalama

  • @tutukagara9452
    @tutukagara9452 3 года назад

    That thing is strong wacheni wasiwasi

  • @rizikinassor8848
    @rizikinassor8848 3 года назад

    Ulisikia wapi kenya hiii ikajali maskini?mtalaki wew?kenya KILLING kenyan softly

  • @marthalasoi8253
    @marthalasoi8253 3 года назад +3

    kweli wanadamu hawana lililo njema kwao mlisema hamtaki ferry mjengewe daraja leo hii mmejengewa daraja tena mwataka verry. Makubwa haya

  • @vincentnyawa
    @vincentnyawa 3 года назад

    Kenya mpaka shida itokee ndio Tufikirie. Sasa management ya ferry haifikirii kwamba msongamano huo wawezaa zidisha Corona.

  • @graymwendwa4936
    @graymwendwa4936 3 года назад +1

    Tumieni Bridge na muwache maneno mingi.... Mlilia wenyewe.

  • @johniemarsha1561
    @johniemarsha1561 3 года назад +2

    Siku accident itatokea ndio utasikia oooh oooh saitaaan....si kuandikwe watu wazuie watu wakiingia kwa hio bridge waende Kama hawajasongamana...

  • @hassanjuamchipua9384
    @hassanjuamchipua9384 3 года назад +7

    Binadam hatuna shukran

    • @sponsalfaThedjalfani
      @sponsalfaThedjalfani 3 года назад

      Kabisa... Wanataka kufa kijinga

    • @melvinwafula6379
      @melvinwafula6379 3 года назад +2

      shukran ya nini hao wakifanya hio project walienda kwa wananchi wakawauliza km wanataka hiyo Project?

    • @shifaazawadi4438
      @shifaazawadi4438 3 года назад +3

      We we unaongea nini ? Ungejua matatizo yahapo kati Kati haungeongea huu ujinga hapo haiwezekani pawe na msongamano hivyo nawasipo punguza hao watu hapo watakuja tumbukia wote ndani

    • @mamymdogomamy3670
      @mamymdogomamy3670 3 года назад +1

      Shukran gn apo sasa??

    • @hassanjuamchipua9384
      @hassanjuamchipua9384 3 года назад

      @@shifaazawadi4438 wacha ufala walk tengeneza ni ma engineer na hilo ni floating wajua maana ya floating ?

  • @priscillankatha3139
    @priscillankatha3139 2 года назад

    Iko poa

  • @kennedychovu8823
    @kennedychovu8823 3 года назад

    Faki alianza kulalamika hata kabla floating bridge haijamalizika, hatanakumbuka alikuwa anapinga ujenzi wa steji hapo Ganjoni,

  • @margaretnamubi4565
    @margaretnamubi4565 3 года назад

    Mwenye kusema watu warudi kutumia ferry ni adui
    Watu wameteseka sana na kenya ferry

  • @beatriceatsiambo7692
    @beatriceatsiambo7692 3 года назад

    I'm the one It's very very true

  • @muanashaswaleh5110
    @muanashaswaleh5110 3 года назад +2

    Sasa siwafungue hiyo feri wengine wafuka naferi wengine waende na brige

  • @agnesmwikali539
    @agnesmwikali539 3 года назад +1

    Serikali divyo hupea mwanadamu macho,how come wanjenge darja wenye wanasema ni kafara mnatolewa ,then wakose kua na kipimo za watu???wakinjenga walijua itabeba uzito ina gani, mnataka hii, mnataka hii ,sasa wanalalamika ifungwe ama ?colona itaisha Tu,waache kusema ni msongamano wa colona

  • @steveoketch1057
    @steveoketch1057 3 года назад

    very true

  • @abdulhemedabdulhemed7110
    @abdulhemedabdulhemed7110 3 года назад

    Usawa ni kufunguliwe kote nakama ni kukinga wata basi upande mmoja uwe wa kuvuka na wapili wakurudi itakua vizuri kwa pande zote mbili

  • @stevekioi2044
    @stevekioi2044 3 года назад +2

    Watu wa amrishwe kuingia daraja waki maintain footi sita kila mtu na mask iwe ni lazima

  • @salmashuffa3745
    @salmashuffa3745 3 года назад

    Kweli kabisa hilo si kitu cha kubeba uzito

  • @dyinaoulo
    @dyinaoulo 3 года назад +1

    Twaumiaa nahayooo masharti

  • @stevekioi2044
    @stevekioi2044 3 года назад

    That simple

  • @noushaddammam8805
    @noushaddammam8805 3 года назад

    joho ndio wa kulaumiwa washakula psa za kujenga bridge sasa awana habari na watu

  • @naomymose1866
    @naomymose1866 3 года назад +4

    Sasa hamjui kufuka wataka Uhuru akacha kuwabeba mgongoni, basi ataweka lock down Tena.

  • @alwyjahdhamy8094
    @alwyjahdhamy8094 3 года назад +3

    Not all complained the last one amesema it's hata ni nzuri kwa mazoezi. Yes it's 10 to 20 minutes just to pass the bridge. Haina shida

    • @queenbee1588
      @queenbee1588 3 года назад

      Kumbe ni 10-15 minute walk only

    • @alwyjahdhamy8094
      @alwyjahdhamy8094 3 года назад

      @@queenbee1588 yes

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 года назад

      @@queenbee1588 20 minutes wallhahi ni daraja peke yake, na mm hapa natoka shelly beach naenda kizingo just imagi kama sina 110 tikiti nitatembea 1 hour and 45 minutes nizunguke kutoka ferry Hadid bridge hadi juu stage tena niende kizingo, kazi yenyewe ni ya nyumba mshahara ni 8 k

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 года назад

      He said no mazoezi manake yeye pengine ameletwa na pikipiki hadi kwa bridge, na akivuka bridge atapanda gari, na akifika kazini anaketi ,jiulize na ufikirie ni kobarua gani mwengine anaenda kufanya, na mm hapa siwezi jimudu kutumia fear ya 110 shillings kila siku na mshahara wa kazi yanyumna ni 8 k

    • @muhajeerWorld
      @muhajeerWorld 3 года назад +1

      @@habibasalim3092 lazima tujifunze kubadilika na hali za kimaisha. Tusibweteke na hali ya mazoea. Ni wakati sasa ujifunze kuwa mbunifu na kuwa na kipaji cha kutafuta solutions kuliko kulalamika coz the government is doing all this n are clearly aware of the inconvenience itakayowaletea wananchi wake. So ni wewe kama wewe kujikwamua. Al muhimu kuwa na subra dadangu.

  • @christineokwiri4720
    @christineokwiri4720 3 года назад

    How did they build the bridge,, inside Indian Ocean 🌊

  • @amyskitchen_jikoni
    @amyskitchen_jikoni 3 года назад

    Wakaazi wa coast tuseme tuko wavivu na Kenyans walalamishi general. Before mlikuwa mnaolalamika mnacheleweshwa kazi na misongamano especially raining days heri Daraja. Sasa limewekww bado mnaolalamika. Heri mtoe kisababu cha mizani/kiwango cha watu watakao pitia kwa pamoja nitaelewa ju ju ya safety measures. Ila kusema ni mbali ni ndefu wacheni uvivu. Mngekuwa bara tunavyokula milundi Hadi sokoni hangelalamika.

  • @yusufkamonde9191
    @yusufkamonde9191 3 года назад

    Ukweli sio wakati muafaka kulingana na hili janga mbona hivyo jamani kweli mwenye kutoa hii amri anajali hali ya afya ya mtu wa kawaida? ukweli ferry huko juu ina nafasi ya kutosha ilimradi sheria ifatwe

  • @saadiaali5609
    @saadiaali5609 3 года назад

    Afadhali wapinge kwasababu twauliza mtu akiwa na mzigo wake umebebwa na gari sasa mzigo upite na gari kwa ferry alafu mwenye mzigo anapita na daraja na wale wanao wanabiashara wanao enda tanzania wakifika ferirry inabidi washuke kwa bus za tanzania gari ivuke na farry abiria wavuke na daraja ujuwe gari litafika haraka upande wa pili kuliko abiria sasa watangoja abiria itakuwa mda pia inachelewa na pia wakati wa mvuwa je watu wanao vuka na kivuko watajiziba wapi unajuwa kila mtu katika serekali ataka kujionyesha yy anaweza fanya anavyo taka bila yakufukiria wananchi wataathirika vipi

  • @menradmwaliko3661
    @menradmwaliko3661 3 года назад +4

    Human beings will still complain no matter what you do. Even if you carry them on your back they will still say it’s not straight enough.

    • @yusufkamonde9191
      @yusufkamonde9191 3 года назад

      it's so congested just imagine during dis pandemic no social distance

    • @theblessedone7526
      @theblessedone7526 3 года назад

      @Menrad Mwaniko kama hujui halo ilivo au kinachozungumziwa ni bora ukakaa kimya

  • @mohamedrahoy34
    @mohamedrahoy34 3 года назад

    Serikali iko na shida. Ukifanya hii ,shida hii usipofanya hii shida hii ngine .malalamiko tu .solution stop breeding like mosquitoe in tropical wet weather. Kenya sihami

  • @ramadyzo5587
    @ramadyzo5587 3 года назад

    Hapo hadi wauwe makumi yawatu ndoo watafurahi ikiwa akuna ata huduma za zarula wemejikulupushatu hao viongoz wakaunt waboreshe kwanza huduma iwapo zarula ita tokea hatuombei itokee ila usarama wako ndoo usarama wamwenzio

  • @fauzishma8033
    @fauzishma8033 3 года назад

    Uamzi bila akili wange wacha wazi anae taka avuke na ferry ama avuke na bridge

  • @eogato46
    @eogato46 3 года назад +3

    Oh boy, Kenyans always find something to complain about, loo

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 года назад +1

      You should come and experience for yourself, dont judge people. Sisi ndo twajua gharama ya hapa mahali kutoka makwetu hadi kufika kwa bridge mtu anatumia fear kubwa la sivyo atembee kitambo akanyage faraja ni 45 minutes then 20 minutes ya katikati then upande mlima hadi kwa stage na ujue hio stage hata iko sehemu ambayo hataaa, kama mimi naenda kizingo kule kwa matajiri kufanya kazi ya nyumba, hakuna gari either u hire tuktuk amd motorbike

    • @jacklynewekulo9910
      @jacklynewekulo9910 3 года назад

      We complain for our dear life

  • @shifaazawadi4438
    @shifaazawadi4438 3 года назад

    Hili daraja nalihofia Sana kwasababu watu niwengi wanao vuka nahauwezi jua mizani ya watu here feri ifunguliwe ili tupunguze msongamano

    • @f.b.i.4601
      @f.b.i.4601 3 года назад +2

      Nikafara wanatoa watu trust me wote watazama

    • @shifaazawadi4438
      @shifaazawadi4438 3 года назад +1

      @@f.b.i.4601 wewe waongea ukweli acha hivyo hapo kati kulifanya kuunganishwa na nyororo nahiyo mizani yawatu wengi tutakuja kufia wote hapo nahakuna hata msaada

  • @bijumaathman2968
    @bijumaathman2968 3 года назад

    Anyewe serekali lazima hiangalie hao watu ni wingi sana kuvuka kwa pamoja

  • @elizakinuthia9218
    @elizakinuthia9218 3 года назад

    walk walk walk ...don't be lazy we all know majority of you cant walk a km.the bridge is very safe i assure you.i costructed that bridge perfectly

  • @tsegaymehari3436
    @tsegaymehari3436 3 года назад

    Utajengaje nyumba bila choo, hapo serikali haikufikiria

    • @Jiloo-o4r
      @Jiloo-o4r 3 года назад

      Choo ni cha County government, I know what you mean by choo.

  • @innerpeacemusics4848
    @innerpeacemusics4848 3 года назад +1

    It's funny that Kenyans have been fooled. That bridge practically is owned by China. Check the Shijing ping documentary

  • @riziqkhamis1157
    @riziqkhamis1157 3 года назад +2

    I don't think so if there was public participation.They will walk by hook by crook.

  • @abduljuma2147
    @abduljuma2147 3 года назад

    Ngojeni project nyengine ya bridge inakuja msilalamike na hii floating bridge

  • @Tugalukeni
    @Tugalukeni 3 года назад +1

    Taratibu nyingi za corona duniani zinaonekana zinatungua na mwendazimu huko WHO. Joho asirudiswe kamwe. Anakuwanga amezidiwa zaidi ya mno kwa hii mambo ya corona. Hii mfano ya hii dhiki inayonekana wazi hapa kwa hii daraja ndio ille ile dhiki hizi lockdown and curfew zinasababisha inch zima. Viongozi watumiye akili kama vile raiya kama huyu hapa na wengi wengine kwa ujumla wanaonyesha kutumiya.

  • @tysonasuka1156
    @tysonasuka1156 3 года назад

    Ukoloni unarudi kwa mpiko

  • @murimikaburu1376
    @murimikaburu1376 3 года назад

    Sasa mnataka aje !!!

  • @kunmwas9437
    @kunmwas9437 3 года назад

    Watu wafanye mazoezi

  • @martinmuithya2343
    @martinmuithya2343 3 года назад +2

    Seneta wamekosa kazi za kufanya

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 года назад +1

      Mjinga ni wewe hapo usiejua, sasa hivi watu watumia tikiti kama 110 kila siku ama sivyo utembee 1and a half hour mwanamke ,utembee huo mwenye huo kila siku na waenda fanya kazi ya nyumba, ukifika mbavu zauma famu imepanda kichwani wataka kulipuka, we wajesemea upumbavu tu hapo kumama zenu wote mnaokosoa ma senator

    • @ummiissaabdulissaabdul8117
      @ummiissaabdulissaabdul8117 3 года назад +1

      We huna akiki wajua dharubu ya hapo kivukoni au waongea tu upuzi wako

    • @jacklynewekulo9910
      @jacklynewekulo9910 3 года назад

      Sababu huvuki na hapa mahali. Usolijua ni usiku wa giza

  • @evelyngetty5002
    @evelyngetty5002 3 года назад

    Kufunguliwe kwote

  • @annemukami2388
    @annemukami2388 3 года назад

    ...watu wa Mombasa hamna shukrani.....stop complaining...

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 3 года назад +6

    Joho is doing all this for his fvccin benefits

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 года назад +1

      Kabisa umenena, Joho anataka kiwanja cha matatu watu wa matatu wamlipe pesa, ndo maana alasema tupitie daraja

    • @davidwalalason7630
      @davidwalalason7630 3 года назад +1

      @@habibasalim3092 kilicho na mwanzo kina mwisho akae akijua na haramu anayoila hadharani mwishoe itamponza

  • @muanashaswaleh5110
    @muanashaswaleh5110 3 года назад

    Lakini raiya wakenya hawana shukrani sijui wafanyiwe nini akiamungu mbona kazi

  • @rizikinassor8848
    @rizikinassor8848 3 года назад

    Kumbe hujui wewe mtalaki hiii ni njia ya kumaliza wapwani wanahizaya hatufiiiii mtakufa nyinyi

  • @b.9811
    @b.9811 3 года назад +4

    This peope are funny..
    Some are complaining coz of Walking 1 km.
    = 10 minutes walk ikienda sana 15 minutes..
    Watu wa coast wamezoe taratibu kwa raha zangu sterehe zangu.
    Sisi hatutaki kuchoka na kutembea haraka😂😂😂.
    Now they need old ferry
    Old ferry wali complain magari ' blaa.....
    Blaaaaa.😅

    • @alwyjahdhamy8094
      @alwyjahdhamy8094 3 года назад

      Kabisa

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 года назад +2

      Yafaa ufikirie mtu anakotoka na anaenda wapi, na kazi anayoenda kuifanya sio kujiongelea ujinga tu hapo

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 года назад +1

      @@alwyjahdhamy8094 nadhani hujawai toka shelly beach na ukawa unaenda kizingo hii ni mwendo mrefu sana, mm kama mwanamke napata tabu sana, nikosa tikiti inabidi nitembee kutoka shelly Hadi ferry, kisha hadi bridge, nipite nizunguke hadi lizingo na natakiwa saa moja niwe nimeingia kazini, nikifika siwezi pumzi damu imepanda kichwani wataka faint 1hour and 45 minutes, na wangojewa na kazi za lupita deki kifua chauma

    • @alwyjahdhamy8094
      @alwyjahdhamy8094 3 года назад

      @@habibasalim3092 pole sana mama. Lakini hawakufunga muda wote. Vile njuavyo ikifika saa mbili usiku wanaruhusu watu kupanda ferry. Ni masaa machache ndio wanaruhusu watu wapande bridge. Saa kumi jioni hadi saa mbili usiku. Sasa ukitoka kazini ni saa mbili usiku utapanda ferry badali ya floating bridge. Kisha Mimi nishawahi kwenda na hio floating bridge ni mwendo wa 30 minutes kamili. Ama mwendo wenyewe kwa ile bridge pekee yake ni 10 minutes only. Ndio nakubali mpaka kuifikia stage ya likoni ni dakika 10 zengine. Sasa tuseme ni 30 minutes yote. Na silazima utembee speed waeza tembea taratibu tu

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 года назад

      @@alwyjahdhamy8094 na je wajua asubuhi kuanzia saa kumi na moja hasi saa mbili asubuhi ndo nyakati za kwenda job,

  • @salmashuffa3745
    @salmashuffa3745 3 года назад

    Wanataka kutoa zaka ya mwaka huu wapate watu wengi

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 3 года назад

      U mean kafara ya wanyonge?

    • @Jiloo-o4r
      @Jiloo-o4r 3 года назад

      Those are just superstitions.

  • @raykatana7449
    @raykatana7449 3 года назад

    Kulalamika tuuu

  • @farhiyajamaa7717
    @farhiyajamaa7717 3 года назад +2

    Likn sorry

  • @shii6902
    @shii6902 3 года назад

    Kenyans hamunanga shukran

    • @shifaazawadi4438
      @shifaazawadi4438 3 года назад +2

      Wewe umuvukaji waferi kweli uliwahi kuvuka naile daraja ama waongua utopolo hapo haiwezekani watuwote wapitie napale kunamatatizo lazima warekebishe nawakiwa hawata punguza watu kwenye kuvuka namiguu watatumbikia pale nahakuna hata msaada wakiingia wote wanakufa heri feri irudishe wapunguze watu wewe uwawapi unayesema wakenya hawana shukrani

    • @mamymdogomamy3670
      @mamymdogomamy3670 3 года назад

      Shukran hiyo kwio

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 3 года назад +1

    We mwarabu nyamazia huko, we wajua hua mtu yuatoka wapi na anaelekea wapi,,na pia ni kazi gani unayokwenda kufanya baada ya kufika huko,zoezi fanya wewe keamanake wewe ukifika waketi tu

    • @salimalmahry
      @salimalmahry 3 года назад +1

      Heshimu mawazo yake na uache chuki ya ukabila.

    • @mamialsawafi8020
      @mamialsawafi8020 3 года назад

      👍

    • @mamialsawafi8020
      @mamialsawafi8020 3 года назад

      @@salimalmahry safi broo chuki binafsi na roho mbaya tu mungu hakumpa Afya mwarabu au mzungu binaadam sote tumepwa

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 3 года назад

      @@salimalmahry hawa watu wana chuki tangu wakiwa matumboni mwa mama zao na katka comments nyingi za chuki ktka social media always ni wao...muungwana ni lake moyoni.

  • @hussenali3804
    @hussenali3804 3 года назад

    We