Usiku Watu walikusifu sana kwa kazi yako nzuri ya kuambia mtu adharani, and what you say about the Ex is true and on your side that lady according to me nobody can listen to ni kichwa ngumu and she looks like stubborn and those people who force issues ,huyo Simeon amechanganyikiwa sana
Mm ata sijui mbona spendi huyu Simeon kabisaa huwa anaongea tu kiupuzi c Kuna tm alisema yy anaona dangulos ndio wataleta Dave so ata afai kufwatilia tm senior Dave😏
@susanmwihaki1037 huyu Simeon n ghasia alisema eti Fred n lazma aungane na dangulos na akianza kuona Nuru ahead side ya Fred ndio anakimbia kutoa content akimsifu 🫤
Anita amezoea huyo ujinga wa kufula kama mandazi na kufagia kila kitu. This is not the first time. Sitting with senior Dave in the office and ladies entering without inspection and when Dave requests her to do so she is always reluctant and busy on her phone until things get out of hand.
Anashindia akiropoka huku... lakini kikulacho Kiko nguoni mwako wambui alitumwa na nguku kumaliza doa yao... but NO weapon formed against marriage of Dave will prosper
Watch Anita a few hours ago! She says that senior Dave has bn coming to her house and communicating with her while you believe that he was kidnapped! Anita says it’s a lie! You dont believe what she is saying?
Kuna nuru gizani,huyo Simeon si mtu mzuri ,police from other counties are calling to join DCI Fred , the EX was not for the marriage, for me that Ex let her go I never liked her and in my heart has no hatred
Halafu dada samahan naomba ingia kwa account ya annita maina uone kuna clip fupi ametapost katika hiyo video kuna kijana mmoja alikua mbele yake anakuja kwakwe sasa anita anaongea kikwao nimeshindwa kuelewa kasema nini ,nimesikia tu akitaja jina nguku wangole then yule kijana akasema wewe ndo anita😢 nashindwa kuelew ni nini kinaendelea huku bado tunaendelea kumtafuta sionior wetu ,na huyo saimon achana nae huwa anaongeaga tu
Me I expected yeye aseme kwa mamba baba ya mtoto yake Amelia kidnapped mchangieni ndio wenye wanasaidia kutafuta wewe na uwezo nothing she mentioned was about her husband who made her known in y you tube . Dave looked for her when she was kidnapped she should have returned hand in monitory form for heavenly sake
Ukweli usemwe wamboi hana makosa ni kazi anafanya waachane na wambo .
Thanks bby gal,,you have been supportive since dave apotee
Mrembo mtrue ALLAH bless you ❤
Usiku Watu walikusifu sana kwa kazi yako nzuri ya kuambia mtu adharani, and what you say about the Ex is true and on your side that lady according to me nobody can listen to ni kichwa ngumu and she looks like stubborn and those people who force issues ,huyo Simeon amechanganyikiwa sana
Simeon mmi hata sipendi huyo mwanaume 😊😊
@@ConsolataWanjiru-n7z weka volume maama🫂
very true malaika
Ww unaongea sana, unge wakopesha hata pesa zikaja kurudishwa baada ya dave kupatikana. 🙄
Wewe usieongea sana ila unafuatilia umeshawakopesha ngapi?
Acha kuongea vibaya uyu msichana amesaidia sana
Sasa kama amesaidia analazimisha na wengine kutoa ?kutoa SI moyo wa mtu
Very true
Dave is alive we thank Jesus
Malaika I just agree with you please. I have been seeing this too very true sister. My God very very true ❤please tell him the truth.
Baytheway huyu jamaa io kazi ya mwanaumbe
Mm ata sijui mbona spendi huyu Simeon kabisaa huwa anaongea tu kiupuzi c Kuna tm alisema yy anaona dangulos ndio wataleta Dave so ata afai kufwatilia tm senior Dave😏
Mimi pia simpendi anaongeanga upuzi
@susanmwihaki1037 huyu Simeon n ghasia alisema eti Fred n lazma aungane na dangulos na akianza kuona Nuru ahead side ya Fred ndio anakimbia kutoa content akimsifu 🫤
Imagine tuko stress kutafta dave.simon hako anita rudi kwako mara oooh .huyo nkama amechanganyikiwa
Huyo Simeon ni mbwa saa hii kitu yenye tunataka ni kujua senior Dave ata patikana aje😊😊
Simion ajielewi
Malaika mama ongea ikutoke ❤❤❤
Sure that's strong message sister Malaika juu huyo Simion ye nimdomo tu na anajiita dci simuelewagi
Simon is underrated ,I swear I have no words to compose him
Thank you for that madam Malaika,huyu DCI Simeon hata ni afadhali mtu hakusoma ako na reasoning mzuri kushinda hii nyang'au walaahi🥺
Toa pesa acha kelele mingi.
Wewe usiye na kelele umetoa ngapi
Kwa kijiji Kwetu kumeoleka mama anaitwa WAMBUI very good shosho saa hii anaelekea 100 yrs
Very true mama ❤❤❤❤❤
Very true malaika..Simon hana msimamo
Listen Malaika! Anita says that Dave was not kidnapped! It’s a lie!
Kama Simon,ni DCI ..mbona hakuenda kw mission kusaidia DCI Fred.
Am not happy when munaingililia anita bcos no one can leave her marriage without reason ba cna Mambo
Huyo Simeon ni msaliti mkubwa Sana simpendi ata
Anita amezoea huyo ujinga wa kufula kama mandazi na kufagia kila kitu. This is not the first time. Sitting with senior Dave in the office and ladies entering without inspection and when Dave requests her to do so she is always reluctant and busy on her phone until things get out of hand.
Wewe kwanza umetuma cotribion ya dev ama ni bwebwe tu
Welcome our beautiful Mama Analyzer,we missed you.Huyu Simeon huenda kama upepo was surprised all what he is talking about is Anita Anita……..
Hej Malaika mimi ni Fanny wako Niko sweden;huyo simeon nakufuatilia sana huwa anadandia treni kwa mbele hata hajui akae upande gani
Mwaabie kabisa hananga musimamo ni kama izi
Simron should style up hatutaki upuzi..aim nikupata dave
Mama tumekutag Uko ukuje ununue Mafuta ya Gali Walai tumechanga
Annita ameongea mambo yote mwache kujichokesha
Anashindia akiropoka huku... lakini kikulacho Kiko nguoni mwako wambui alitumwa na nguku kumaliza doa yao... but NO weapon formed against marriage of Dave will prosper
Very true
My dear 💘 nakupenda sana juu unaongea ukweli kabisaa,Akome kwa mambo ya Dave maybe Hawa ni wasaliti na anajiita DCI Simeon
Tarani Anita coz hayuko. SD amepotea and we are concerned. Anita ako na demons more than you can imagine huyu niarakomio ni mashaitani atwirage ni SD.
Hawa kidnappers wote wakiwachiliwa si ni hatari sàana!!!!!
Unaonaje? Lipi maoni yako?
Wamariziwe
Malaika ❤❤❤❤❤❤
Ai DCI,?????
Huyu Simeon simpendi Na siwezi tupa buddles zangu nisikize Simeon bure kabisa
Bona hamsaidii Fred ni kuongea TU? Nini baya
Kuna nduru ngizani
Munashinda kutusi anita wapo dave alitudi anita?
Kumbe umemujua vizuri uyu anasema tu kama mutoto mudogo
Mm atanashingwa simon huwa anasemanga nini
Smeon huwa anaongea upusi tu he doesnt help other than talking things that doesn't mk sense
Exactly 💯💯
Malaika umempea makavu na yamacho I mean waziwazi .Simon ni mwendà na upepo msimamo Hana.
Watch Anita a few hours ago! She says that senior Dave has bn coming to her house and communicating with her while you believe that he was kidnapped! Anita says it’s a lie! You dont believe what she is saying?
Have you watched Anita today? She has revealed Whats going on!
Kuna nuru gizani,huyo Simeon si mtu mzuri ,police from other counties are calling to join DCI Fred , the EX was not for the marriage, for me that Ex let her go I never liked her and in my heart has no hatred
Wewe Anita amesema Leo nguku wa ngule si mganga. Anafanya kazi ya car wash sijui wapi!watch her broadcast frm today.
Help them with your money then because you come to Kenya
Halafu dada samahan naomba ingia kwa account ya annita maina uone kuna clip fupi ametapost katika hiyo video kuna kijana mmoja alikua mbele yake anakuja kwakwe sasa anita anaongea kikwao nimeshindwa kuelewa kasema nini ,nimesikia tu akitaja jina nguku wangole then yule kijana akasema wewe ndo anita😢 nashindwa kuelew ni nini kinaendelea huku bado tunaendelea kumtafuta sionior wetu ,na huyo saimon achana nae huwa anaongeaga tu
Ya lini
@KalekyeElizabeth mimi nimeamk usiku saa nane ndo nilikuta hiyo post ni fupi tu so ht coment kwa mda huo niliona za masaa mawili had matatu
Wewe unaongea nn
Malaika wanasemangaa kuna nuru gizani
Anatafuta tu contents,I hate him and if Kuna a girl who will change seniors life is wambui if they come together
Tuma.peeeesa.kwajay.acha.kelele
Kutoa ni moyo Wala SI kulazimishwa na akituma unataka akupe ripoti wewe.wewe umetuma ngapi
Annita is very silly Jana alikua kws harusi na hajui what Dave is going through in the forest Simeon yeye anarusha tu mdomo mimi Sasa ameanza kuniboo
Me I expected yeye aseme kwa mamba baba ya mtoto yake Amelia kidnapped mchangieni ndio wenye wanasaidia kutafuta wewe na uwezo nothing she mentioned was about her husband who made her known in y you tube . Dave looked for her when she was kidnapped she should have returned hand in monitory form for heavenly sake
@janewafula2821 very painful
Very true malaika