HAPA NDIPO NUKSI ILIANZA KWA SENIOR DAVE 💔WAMBOI HAS A CHILD ALIMCHOMA NA UJI WAKIKULANA NA DAKTARI❗

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 224

  • @harrietkatushllme6960
    @harrietkatushllme6960 18 дней назад +9

    I love Anita first lady. She persevered and worked hard with Dave to pursue a better life.

  • @lydiarugut8232
    @lydiarugut8232 18 дней назад +7

    Malaika huyu wamboi alikuja mission kwa Dave... tusilaumu Anita,Mimi sijewahi penda wamboi ako na hidden agenda,janzo ya Dave kupata visirani na Anita kutoka ni wamboi.may God unite Dave and Anita

  • @Anast-o2m
    @Anast-o2m 18 дней назад +5

    Watching from US. Malaika I watched those other videos of Wambui on Christmas day and here I am listening to you. Wamboi's past videos tells a lot about her.

  • @eunicecheruiyot8604
    @eunicecheruiyot8604 18 дней назад +7

    Hi malaika ,that’s very true she came to destroy Dave’s marriage and ngoko said she has to accomplish the mission she came to do .thanks for addressing this issue again ndio watu wajue where the problem started marriage ya Dave ikaharibika

  • @SaraSara-m3z5d
    @SaraSara-m3z5d 18 дней назад +10

    From 🇧🇮❤️🇧🇮 napenda anita kbs. Kwa sababu hataki ujinga. 🙏🙏👍👍👍🇧🇮🇧🇮❤️

    • @DorothyKyalo
      @DorothyKyalo 18 дней назад

      , 🙏🙏🙏🙏👍👍👍👍👍👍

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 18 дней назад +16

    Mm mwenyewe nilirudi kule nyuma nikaangalia ile vidio. Wamboi siyo mtu mzuri hata kidogo, ni kashetani kabisa.

  • @KalekyeElizabeth
    @KalekyeElizabeth 18 дней назад +16

    Mimi since day one sijawai.penda uyo dem

  • @StephanieBeth-k4l
    @StephanieBeth-k4l 18 дней назад +17

    Wamboo alikuja kuharibu doa ya Anita

  • @JuneErasto
    @JuneErasto 18 дней назад +7

    Umeongea point sister ubarikiwe❤

  • @olivialilian7212
    @olivialilian7212 18 дней назад +4

    Wambo aliaribu kwake na akarudi kwaaribu nyumbaya dave sipoa...

  • @NancyWanguiMaina
    @NancyWanguiMaina 18 дней назад +7

    Malaika but hata nyinyi hamfanyi poa Kwa sababu mmepiga Anita for nothing but mtashangaa Mungu akimuinua Anita juu wamboi hata akiolewa Na Dave hawaendi mbali.

  • @ChristineKyalo-zb3sh
    @ChristineKyalo-zb3sh 16 дней назад +1

    I said it and i personaly called dave and told him that wambo , she is in a mission, dave soon atalia soon

  • @KevinMiles-c3y
    @KevinMiles-c3y 17 дней назад +1

    Hata hyu wambo ni part of kasongole alikuwa anajua kila kitu periods 😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @sechemaguha7262
    @sechemaguha7262 18 дней назад +5

    Mm tangu mwanzo wamboi yuko mission nakashakamilisha Ila bado tukidogo kuchukua vilivyobaki Dave abaki hana kitu ndo ataanza kukumbuka Anita

    • @julietnelima3253
      @julietnelima3253 18 дней назад

      True my dear but watu hawaoni, I love Annita

  • @FloraMeeme
    @FloraMeeme 18 дней назад +5

    Hi malaika thanks for your updates i recall wambo akitolewa nguo na kdf alafu wambo akamtoa shirt yenye alikua amembuia which means wambo was a married woman

    • @KevinMiles-c3y
      @KevinMiles-c3y 17 дней назад

      Very true hii ndio ilikuwa maombi yangu watu wafunguke macho juu awaelewi hii ni shetani iko na pembe

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 18 дней назад +7

    Wamboi baada ya kuokolewa alikuja kutudanganya kuwa kdf hakuwa mtu wake. Ila ukweli walikua pamoja na kazan yake. Na davi kitakuramba na uyo wamboi gaidi ya mtu. Anita ni mtu na nusu.

    • @BintiDanford
      @BintiDanford 18 дней назад

      Yupo kazini huyo Malaya siku wameenda kumuokoa ndio siku alienda kupikwa na waganga akili ya Dave ikahama kutwa kumsifia wamboi..Mungu halali aki

  • @BintiDanford
    @BintiDanford 18 дней назад +1

    Anasema hana mtoto na maziwa yamepoa kama uji wa mgonjwa mi tangu siku ya kwanza kumuona niliona ni hatari imefika kwa dave...

  • @marymutavi
    @marymutavi 18 дней назад +8

    Malaika ulikosea kusuport Wambui kabla ya kuwatch cz hata ulisema Wambui hana mtoto,Wambui hata akaolewa na Dave itakua tu kumfagia na aede cz she is after money .

    • @julietnelima3253
      @julietnelima3253 18 дней назад +1

      I was looking for this comment ❤

    • @BintiDanford
      @BintiDanford 18 дней назад +1

      Ile siku niliyosikia malaika akimsifu wamboi niliomba siku mzma Mungu amfunguwe macho malaika nashukur Mungu sasa

  • @marykagendo354
    @marykagendo354 18 дней назад +8

    Unakumbuka ukiongea ukisema wambo is a good woman.....Haaaiya hukuwa umeona hivo

    • @MalaikaKNorway
      @MalaikaKNorway  18 дней назад +1

      Hizo video zote nimeona jana and i wanted to know where dave obstacles started

    • @marykagendo354
      @marykagendo354 18 дней назад

      @MalaikaKNorway wambo ni mkora na pia sijui mbona senior alifanya hivo

    • @marykagendo354
      @marykagendo354 18 дней назад +3

      @MalaikaKNorway Nliskia vimbaya sana mkisupport Mtu anaharibi mbona ya mwingne

    • @lizbethnkarara
      @lizbethnkarara 18 дней назад

      @@MalaikaKNorway i knew hujawatch vile ulikuwa unamsifu

    • @BintiDanford
      @BintiDanford 18 дней назад

      Dave ndie kalongwa sio Anita maana Kwa akili ya kawaida haiwezekani kabisa kama mtu uko na macho ya rohoni unaelewa wambui sio mtu mzuri Kwa familia ya Dave wamejificha Kwa maombi ili aonekane mwema

  • @josphinekageha7865
    @josphinekageha7865 18 дней назад +1

    Oh ngai,,,kumbe ni huyu wamboi umeongea nimekumbuka niliona ,,,,Mungu awe mwamuzi katika hio familia yes umeongea ukweli

  • @Loisekuria-l1x
    @Loisekuria-l1x 18 дней назад +11

    Ata mm ilibidi nikazirudia hizo videos jana,,wambui ni mtu wa kuharibu ndoa za wenyewe,na sijui bona mnapiga shagwe akiharibia anita ndoa,na venye dave wametoka mbali na anita, anyway siongei sana juu mtu akiongea ukweli anarushiwa mawe😂

    • @MalaikaKNorway
      @MalaikaKNorway  18 дней назад +2

      Watu wakiambiwa ukweli bado wanalalamika😢 she were not acting it was real and that's how senior dave his good deed got destroyed

    • @SaraSara-m3z5d
      @SaraSara-m3z5d 18 дней назад +1

      Mimi sioni makosa ya anita

    • @julietnelima3253
      @julietnelima3253 18 дней назад

      ​@@SaraSara-m3z5dTrue ANNITA hana makosa watu kumtusi tu na WAMBO aliharibia cuzo wake ndoa na anataka kuharibia Annita. Sasa she want to take over. Acha aingie kwa Dave mtashangaa she will cheat kama kawaida Dave utalia sana 😢😢😢

    • @julietnelima3253
      @julietnelima3253 18 дней назад +1

      ​@@SaraSara-m3z5dANNITA is right nani atafurahia kukaa na mtu anataka kuchukua ndoa yako 😢😢hata mimi siezi nitatoka nimuachie nafasi. But kitakuja kuramba kila mtu hapo let's wait and see every woman has her own devil in her 😢😢😢

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 18 дней назад

      Wametoka mbali sana, ila dave alivyo kuwa mkosefu wa wema ndo ayo anayomlipa mwenzake. Ila kitamramba, masikini amepata sasa mkundu walia mbata. Wamboi kapita kwingi, yeye ndie atakae muweza? Kameshindikana.

  • @RachaelNeema-g3r
    @RachaelNeema-g3r 18 дней назад +5

    Nikisema wamboi awache kuaribu nyumba ya wenyewe watu wananivamia

  • @Maggykiongo224
    @Maggykiongo224 18 дней назад +5

    The things was too hot and thats why watu wengi walimutuc annita sana bila kugojea vedio huwa ziko acted ni vire watu huwa hawaeli na mtu mwenye anajua ukwel kutuliko sisi ni annita so the truth heart sana sahizi watu wamepinga annita vita ambayo wao hawayajui at a sahii hadi wanatafuta familia ya Dave dio wa tarnish annita name kwa anjiri ya do a may God bless that girl sana na mungu a strengthen his heart juu sirahis
    Pastor Joshua alifanya vizuri kutoeda juu agekuwa amepakwa matope sahii na watu
    Annita na kwambia hawezi lipa mtu ata those who know him they can tell that
    Peace is paramount mama
    Hata kama that girl need time to heal na tuzidi kumuombea sana

    • @MalaikaKNorway
      @MalaikaKNorway  18 дней назад

      Anita need peace too. Na ndio maana nimesema nuksi za dave zilianzia hapa

    • @Maggykiongo224
      @Maggykiongo224 18 дней назад

      @MalaikaKNorway true na pia utakuja kujua ukwer wote soon

  • @JulianaWambui-eq8bw
    @JulianaWambui-eq8bw 18 дней назад +3

    Myself I was amazed how became in employee of senior dave and he knew her well after sanitation.There was a person who said dave huajiri wakora
    ... da

  • @ndettothejuice3094
    @ndettothejuice3094 18 дней назад +3

    I said it here a home breaker will ever be a home breaker.Who has the evidence of what Anita did to deserve all this ?who said Anita doesn't care dave?ni nani atashangilia mwanamke mwingine akichukua bwanake peupe?si waelewi binadamu.

  • @PamelaNaitore
    @PamelaNaitore 18 дней назад +2

    But nguku wa ngure said he is using wambui to finish Dave

  • @estheraluko3661
    @estheraluko3661 18 дней назад +5

    Wamboi atoke kwa DAVE.😮😮😮😮😮😮😮

    • @lizbethnkarara
      @lizbethnkarara 18 дней назад

      yes atoke immediately.

    • @Happy-n5i5x
      @Happy-n5i5x 18 дней назад +2

      @estheraluko3661 mimi siku namuona kwa dave kichwa yangu haijamkubali hat kidgo niliona vitu havitaenda sawa japo watu walimkaribisha kwa shangwe but mimi hapana

    • @lydiarugut8232
      @lydiarugut8232 18 дней назад

      Kabisa

    • @faithkariuki7286
      @faithkariuki7286 18 дней назад

      She has a channel.she can work on it

    • @estheraluko3661
      @estheraluko3661 18 дней назад +1

      @@Happy-n5i5x uliona mtu mwenye anaongea na vile anafanyafanya vidole mtu kama huyo ni dictator yaani nimeboeka to tangu aingie kwa hiyo office 🥱🥱🥺

  • @annnjane1697
    @annnjane1697 18 дней назад +12

    Malaika na huyu mama aliopeleka Elvis kisumu alikuwa anataka Dave avute hio video ya wambui na kdf akisema kdf ni bwanake na Wambui ni cousin yake na Wambui anaharibia bwana ya huyu mama cv.. By the way alisema atauwa Wambui kama hiyo video haitafutwa.

    • @MalaikaKNorway
      @MalaikaKNorway  18 дней назад +2

      ASK YOURSELF IF NOW SHE'S STILL ACTING WITH DAVE CONTENT ❓ WHEN YOU SEE THE WHOLE VIDEO YOU WILL UNDERSTAND THEY WERE NOT ACTING.❗ HATA SIMU ALIKUWA AMEZIMA DOCTOR JACKY ALIKUWA KWA SIMU. INAUWEZEKANO YEYE ALIKUWA ANAHANYA NA BWANA YA COUSIN YAKE.

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 18 дней назад +2

      @@MalaikaKNorway Wamboi ni big shetani, tupo hapa, atakacho kuja kumfanyia dave hatuto amini. Wanaume wengi wanatusahau cc tulo taabika nao mwanzoni pale wakifanikiwa. Ebu angalia vidio za anita na dave huko waliko anzia maisha kama nisawa anacho fanya devi.

    • @gracekaruga897
      @gracekaruga897 18 дней назад +1

      True​@@MalaikaKNorway

    • @winfredkarambu5459
      @winfredkarambu5459 18 дней назад

      TRUE mama​@@myunaniniahmad6463

    • @Loisekuria-l1x
      @Loisekuria-l1x 18 дней назад +1

      Ukweli Anita alikuwa msichana mndogo sana na kwa kweli wametoka mbali na Dave,,Sasa mm sioni haja ya kutetea wamboi ati aolewe na Dave nikijua kabisa nikuharibu ndoa ata kama Anita nimbaya aje hatufai kupiga shangwe ati atoke kwake​@@myunaniniahmad6463

  • @geschenk79
    @geschenk79 18 дней назад +13

    dave arudi kwa anita that's all, better shetani unayemjua kuliko malaika usiyemjua

  • @HildahKastar
    @HildahKastar 18 дней назад +3

    Thank you,you always talk the truth❤

  • @aln9225
    @aln9225 18 дней назад +2

    There is a lot of truth in your analyses 👌🏾. Thanks gal for bringing this out.

  • @FaithMuia-f3k
    @FaithMuia-f3k 18 дней назад +2

    Malaika nakupenda juu hunanga kipendeleo ka MTU amefanya makosa lazma umwabie same time akifanya mazuri unasema pia

  • @WinnieWekesa-t9y
    @WinnieWekesa-t9y 18 дней назад +3

    Mimi naona wamboi aoleke kwa fred, then dave atafute another woman aoe ju Anita issue ya kubebabeba miziko kila tym akitoroka nazo atawastia dave tym. Bibi mzuri ukikasirika unaenda bila kubebana na vitu hasira ikiisha unarudi. Tena Anita ako na roho ya kuua mtu anaeza fanyia dave kitu kibaya.

    • @MalaikaKNorway
      @MalaikaKNorway  18 дней назад

      Kabisa.

    • @isabelakerubo3753
      @isabelakerubo3753 18 дней назад

      Kwa Fred Mimi nimekataa hapana wamboi X sioni Fred anaweza ushi na wamboi karibu boringo siende ​@@MalaikaKNorway

    • @SaraSara-m3z5d
      @SaraSara-m3z5d 18 дней назад

      Sasa akitoloka shida iko wapi ?! Acha msichana wabatu apumzike Ako saw na maisha yake

    • @faithkariuki7286
      @faithkariuki7286 18 дней назад

      Fred is a good man. He deserves better.

  • @ManyasiBeatriceTsisiche
    @ManyasiBeatriceTsisiche 18 дней назад

    Alafi senior Dave anamuandika kazi Waa ajunge sana

  • @FATUMANgala-j1z
    @FATUMANgala-j1z 18 дней назад +1

    Nyny hamujui ndoa inalingana na nyota, dave wake ni Anita but dave alijichanganya alijiwekea makaa ya moto kwa utosi

  • @recheal-hq8cm
    @recheal-hq8cm 18 дней назад +2

    Wamboi atoke Kwa Dave yye ndio sahii wamboi anacontrol hata DCI Kwa studio hyu n agent bdo

  • @sechemaguha7262
    @sechemaguha7262 18 дней назад +1

    Kıla alichoambiwa na kinariaga kinatimia kwa dave sababu hashauliki Dave

  • @sechemaguha7262
    @sechemaguha7262 18 дней назад +1

    Hmalaika hata kama Anita nimbaya lakini wanajuana kuliko wamboi wasiojua alijiingiza kWa dave akijua ameowa iliapate nini kama sio kuharibu dave atapoteza vingi wamboi akibaki hapo ila anita hatapoteza chochote zaidi yakusubili dave atakapopotea ndo ataanza kupona mapungufu ya anita ni madogo kuliko wamboi sababu hata hawajazaa naye wamboi hana chakupoteza dave ndo ataludi zero

  • @beaticeMwani
    @beaticeMwani 18 дней назад +4

    Wambi was acting with his cousin and i remember she confirme wewe ni kiguegue

    • @PurityMusyoka-h5z
      @PurityMusyoka-h5z 18 дней назад +1

      And if she was acting so it means she is stil acting with dave ?

    • @MalaikaKNorway
      @MalaikaKNorway  18 дней назад

      ​@@PurityMusyoka-h5zThat's a good question 📍

    • @MalaikaKNorway
      @MalaikaKNorway  18 дней назад

      Hapa hakuna kigeugeu lazima ukipata ukweli unaleta kwa meza.

    • @PamelaNaitore
      @PamelaNaitore 18 дней назад

      ​@@AgnesKamau-h6jIf she was from Arabs countries,mbona Hana kakitu,alitoka huko bila kitu! Hii story yake huwa sielewi, how comes waliona Dave kwa street wakapanga all over sudden hayo mambo yote na ata texts ironically zilikuwa ameforwadiwa na mtu mwenye hakusema. All those things huwa hazi add up Hadi saa hii

  • @khamarahmed6597
    @khamarahmed6597 18 дней назад +1

    Hawataki pea DCI pesa iliyochangishwa kwa ajili wahengee wazazi wao sd,Dj

  • @sechemaguha7262
    @sechemaguha7262 18 дней назад +1

    Malaika sio kigeugeu Dave ndo anafanya aonekane kigeugeu sababu mambo ya Dave hayaeleweki tangu wamboi kuingia kWa studio Sasa mambo ya Dave imeisha hivyo

  • @giftedhandsfamily
    @giftedhandsfamily 18 дней назад +1

    I like you Malaika because you are wise and true.Me from the start I knew wambo was the cause Anita Moved out of her house because no Woman can allow any lady close to her Man.

  • @KalekyeElizabeth
    @KalekyeElizabeth 18 дней назад +3

    Mtakuja.kuamini anita siku moja

  • @philvankadenge7805
    @philvankadenge7805 18 дней назад

    Thank you mamy,, personal sijawai penda huyo wanboi for real

  • @vincentcheruyot427
    @vincentcheruyot427 18 дней назад

    Exactly ata waja Dave agaramie juu ataki kiskia uyo wambo ajunguswe sawa

  • @sechemaguha7262
    @sechemaguha7262 18 дней назад +1

    Wamboi pengine ni malikia wa baharin kashajua udhaifu dave kıla kitu. Chake delila kamdanganya samsoni ndo story ya Dave inaisha hivyo sababu Dave hashauliki na hawezi mfukuza wamboi mpaka apoteze kila kitu

  • @lydiarugut8232
    @lydiarugut8232 18 дней назад

    Leo malaika umefunguka macho thanks God umeona hizo videos

  • @faithkariuki7286
    @faithkariuki7286 18 дней назад

    Thanks malaika.
    I have been asking this question about wambui because i watched her break up videos with her kdf husband!!!

  • @josphine759
    @josphine759 18 дней назад +1

    Mungu atapaki kukuwa mungu umefanya vizuri kurudua kuona hiyo video aki nivizuri wambo ahambiwe ukweli kaa ajafika mbali lakini naona akiharibu nyumba mingi vile umesema

  • @WinnieKarimi-q1x
    @WinnieKarimi-q1x 18 дней назад +1

    Wambui haende annita harundi kwake

  • @monicahnjoroge5075
    @monicahnjoroge5075 18 дней назад +1

    Ata ww huwereweki 😢😢mara wambui nimuzuri aorewe na dave ,mara wambui nimubaya 😢😢,sasa which is which🤯🤯🤯🤯🤯

    • @MalaikaKNorway
      @MalaikaKNorway  18 дней назад

      Go watch all those vidoe on my community and you will understand bado tuko kwa investigation

  • @EdinahMogire-d4w
    @EdinahMogire-d4w 18 дней назад +1

    Ni kweli koz zile vedeo adi wakiwa kwa office alimtoa adi shirt aty ni yeye alimbuiya

    • @MalaikaKNorway
      @MalaikaKNorway  18 дней назад

      Now you're talking.. Wengine wanasema mimi ni kigeugeu

  • @joanongera7042
    @joanongera7042 18 дней назад +1

    Hakuna mwanamke hapa ndani atafurahia kuharibiwa ndoa mbona watu mko ivo mnashinda tu kutusi annita na adi akaeka vida na record vile wambo anamwambia wanadate na SD,, mko tu ati wambo we love you mwanamke yeyote hapa ndani anafurahia vile annita aliachwa pia ww utaachwa ivo ivo tu hamjui uchungu wa bwana nyinyi

  • @MaryMunyao-dw8xb
    @MaryMunyao-dw8xb 12 дней назад

    Wambo SI mtu mzuri ata kidogo alikua anaplan kuua huyo KDF achukua Mali yake,Anita arudi kwake na aachane na mambo mingi

  • @lydiarugut8232
    @lydiarugut8232 18 дней назад

    Huyu wamboi ako na mapepo ya kumaliza Dave... Ngoko wangoli alisema aliingia ndani ya wamboi hili aharibu ndoa ya Dave na Anita.. Dave akasifu wamboi yet Anita alimpata kwa nduti amevumilia sana mpaka saa hii unajukana...unless Dave awache wamboi ataanguka vibaya.

  • @stellaprotazibashaijaban-gq4mb
    @stellaprotazibashaijaban-gq4mb 18 дней назад

    Hii video ya Wabui kwakweli nashauli Wambui aludi kwa mume wake walee mtoto wao.kumbuka mtoto aliunguwa na uji jamani Wambui nenda umlee mtoto wako.Anita uludi kwa mume wako mlee mtoto wenu nawaomba msimpe sheitani nafasi.Dada Maraika Mungu akubariki sana kwa ushauli na upatanisho mimi nakuelewa sana ❤

  • @annann9751
    @annann9751 18 дней назад

    Remember one time wangole said this all akamalizia hopes wambo did as I advised

  • @janewangari-g3j
    @janewangari-g3j 18 дней назад

    Waboi c mtu mature juu if angekuwa mature after kutafutwa na dave na akasaidiwa agetafuta anita amuobe msamaha na amwabie nikutumiwa alikuwa anatumiwa na wangaga na anita agemuelewa na wamupee kazi lkn waboi alipewa job na akanyamaza na alikuwa anajua yeye ndiye chanzo cha bibi ya dave kuenda

  • @everlynechepkoech5649
    @everlynechepkoech5649 18 дней назад

    Truths be told we want the truth from both wamboi and senior Dave coz ..mambo said she was acting

  • @VeronicaVeronica-mn2gi
    @VeronicaVeronica-mn2gi 18 дней назад

    Mammy you are saying the truth

  • @KevinMiles-c3y
    @KevinMiles-c3y 17 дней назад

    Kasongole ako dani ya wambui😅😅😅😅

  • @NuruNdegwa-yg2bm
    @NuruNdegwa-yg2bm 18 дней назад

    Malaika wewe ni mama mwenye unakaa na hekina kindly dave nikama your son kama inawezekana ju wewe ni big fan wake ukiona kuna mahal anakosea basi unaeza mcall dave umuulize naona itakua poa mm sijai ona makosa ya dave ju yeye husaidia sana tatizo ni kiburi tu

  • @sechemaguha7262
    @sechemaguha7262 18 дней назад

    Dave aludi kWa anita shetani unayemjua kuliko wamboi anayejifanya malaika usiomjua utaishia kama jerry na wamboi ni jini sio mtu endelea na mahusiano na jini

  • @SWALHA577-y3z
    @SWALHA577-y3z 18 дней назад

    Yeah hapo umesema ukweli postor joshua na Elijah amefanya mambo mengi saana cha kushangaza amekuja kum sifu stive ghafla na mizawadi juu yake mbele ya camera sio poa dikufurahia kabisa.Dave have to man up.

  • @rosenyambu7954
    @rosenyambu7954 18 дней назад +1

    Again maraika he gave pastor Elijah 200k and it was stollen, why didn't he take it to Apostle Joshua?? that's a fight to senior dave, remember maraika.

  • @dorothyosoko4661
    @dorothyosoko4661 18 дней назад

    Please Malaika what I can say is that Elvis please don't tell Wamboi the password for senior Dave RUclips channel please. Cz wambo can play her cards very well to finish Dave

  • @eileenjeff1114
    @eileenjeff1114 18 дней назад +1

    Wa Moi was doing cpr to Dave mouth to mouth by the river😒

  • @PeterKamau-gu1tx
    @PeterKamau-gu1tx 18 дней назад

    Dave hagepea wambui job

  • @sabinamukonyo6518
    @sabinamukonyo6518 18 дней назад

    Napenda wambui tu bure na siwezi jaji mtu kama sinjui kiini ndani yao huyo jamaa na sinior Davi na wambui na huyo mama alipeleka elvis kisumu. ..but mambo ikikua sawa .tutaitaka live ya S.Davi ,wambui,na huyo cousin wake .tunjue ukweli ..mimi siwezi ongea saa hii.sipendi chuki nasipendi kuchukia mtu ..bila sababu.

  • @MaryMunyao-dw8xb
    @MaryMunyao-dw8xb 12 дней назад

    Wambo ni mbaya coz badala ashugulike na mtoi wake mwenye alichoma alianza kubomoa nyumba ya Anita,Dave anapenda Anita coz ata Ile time alikua hosi alikua anauliza Anita ako wapi

  • @recheal-hq8cm
    @recheal-hq8cm 18 дней назад

    Kutoka wamboi Angie Kwa studio Mambo yaliharibika hyu n agent anajifanya lkini anatumika ndio amalize Dave riaga alisema hya Mambo Kabila 666 saii yametimia Kwa dave

  • @sechemaguha7262
    @sechemaguha7262 18 дней назад

    Malaika alikuwa anamkubali sana Dave na kumuamini sasa kashaanza kuchoka

  • @EmillySande
    @EmillySande 18 дней назад

    Wenye wanasema wamboi ni mzuri atukatai but mbona aharibie mwingine nyumba, c atafute bwana yake, na ni ebu mmujukue mkae naye kwa mabwana zenyu eshi mm siwezi dharau Anita

  • @FATUMANgala-j1z
    @FATUMANgala-j1z 18 дней назад

    Anita anajali mumewe mbn sai dave amekuwa vbaya hata kama walisema Anita hajui kupika ila hiyo tu chakula ndio ilikuwa inamfanya dave anawiri,alafu cha kusikitisha Anita na dave walianza zero mbn aharibu ndoa ya wenyewe

  • @HamisiHemedi-u8k
    @HamisiHemedi-u8k 18 дней назад

    Enyewe umeongea kitu nimeelewa

  • @AmosNgeny
    @AmosNgeny 18 дней назад

    Mnitumie Link ya hyo video

    • @MalaikaKNorway
      @MalaikaKNorway  18 дней назад

      Iko on my community. Uanze na hiyo walipatana kwa barabara😢

  • @luciamwikali3616
    @luciamwikali3616 18 дней назад

    Only God knows

  • @IreneWasike-pn4mx
    @IreneWasike-pn4mx 18 дней назад

    Wambo aliojiwa hajawai oleka walakuwa na mtoi walitaka kula pesa na hyu mwanaume ni cousin ako na bibi anaitwa AGNES kwani haukuwatch hyo malaika

  • @SheillahMwende
    @SheillahMwende 17 дней назад

    Huyu wambo sijawai mpenda

  • @FATUMANgala-j1z
    @FATUMANgala-j1z 18 дней назад

    Mimi nilimwambia wamboi kwa comment section hatowai pata amani kama alivunja ndoa ya Anita hatawai pata amani narudia, achane na ndoa ya wenyewe,mimi naongea hvyo ju pia nilikuwa nimeharibu ndoa ya mtu mimi namshauri tu

  • @maggyshish8353
    @maggyshish8353 18 дней назад

    Imebidi nikubali kumbe ndio haka kanuguu wambo

  • @marthamburu1785
    @marthamburu1785 16 дней назад

    I saw it earlier wambui amekuja revange kwa SD Kim destroy na his family ata anakaa kiburi maongeo and still hypocrite

  • @janetmugure234
    @janetmugure234 18 дней назад

    Hi malaika huyo dame mm naonanga kama ni yy wambui sometimes ni nashaka

  • @sechemaguha7262
    @sechemaguha7262 18 дней назад

    Wambo alikuja akijifanya malaika na elvis alivyopelekwa kule kisumu walimchezea kichwa kwakujifanya dave akaye karibu na dave watamuuwa wamboi Au wazazi wake kumbe ni trap kuweza kukaribisha wamboi kwa studio akamilishe mission

    • @BintiDanford
      @BintiDanford 18 дней назад

      Nikweli kabisa ni kitu kilitengenezwa hata Anita alisema ilikuwa njia yakumtambulisha mke mpya

  • @FATUMANgala-j1z
    @FATUMANgala-j1z 18 дней назад

    Wamboi is after money fully stop

  • @sechemaguha7262
    @sechemaguha7262 18 дней назад

    Malaika kama inaongeaga na dave wamboi ndo atakaye mchukulia kıla kitu kama jerry ambaki 0 sisi typo wamboi yuko mission kashakamilisha kabakiza kidogo tu

  • @philvankadenge7805
    @philvankadenge7805 18 дней назад

    Wamboi ndio chanzo ya hii story yote

  • @Anast-o2m
    @Anast-o2m 18 дней назад

    Malaika "msema ukweli" mimi nilisema kama wewe baada ya kuona hizo videos za mwanzo. Hazikuwa fake ni ukweli. Na Wamboi was so rude to denior Dave and her ex too. She told him to remove the shirt and socks that she bought it. That was real not an act. Mimi nilijiuliza maswali mengi kuhusu that Wamboi and the one we are seeing currently. She lied they needed money but she failed the loyalty test, how did that sound!

  • @lizmwale
    @lizmwale 18 дней назад +1

    Kimani, everyone has his past,. Hata wewe ni vile tu hatujaambiwa your past,so kuwa mpole and don't judge people like you're special, ni lini wewe Kimani ukawa Mungu??wacha mjingambo, you say last day God is using you,yani ulisema vitu mingi ambavyo Avi make sense. wacha kiburi nyingi yani ni kama wewe uliteremswa from even ukaletwa duniani.mbona wewe na Anita mko na uchungu na Wambui,.Nani asiye kuwa na past haki.please wacha hii story ya senior Dave, and Wambui. Ni wewe Kimani uko na makelele mingi mtadaoni wacha kushinda ukisema Mungu amekasirika na senior Dave.so wacha wivu hata kama Anita amekutuma,.

    • @MalaikaKNorway
      @MalaikaKNorway  18 дней назад

      All my past is on social media goggle you will gzt kt. Everybody has past but this is a hitted story and this is all this started ❗wakati mwingine lazima tuangalie ni nini ilileta NUKSI kwa studio 😢 and this is the cause

  • @MaryWangui-xd2di
    @MaryWangui-xd2di 18 дней назад

    Tinga muchene 😮

  • @mamayaohappyhappy1316
    @mamayaohappyhappy1316 18 дней назад

    Apana maraika umekosea coz studio ya sd ni wakati waganga walianza kuenda studio yake

  • @anisiawanja1303
    @anisiawanja1303 18 дней назад

    Better the devil you know than the angel you don't know

  • @rubenkioko6500
    @rubenkioko6500 18 дней назад

    By the way nimewatch tena...sio script hio ya Wambo..the msgs were For the past 5 days....kwani walijua watapatana na senior Kwa road???? Hako ndo katamaliza Dave

    • @MalaikaKNorway
      @MalaikaKNorway  18 дней назад

      It was real thing📍 hadi akamtoa nguo kdf😢

  • @AishaTyler-q6d
    @AishaTyler-q6d 18 дней назад

    Malaika nakupenda sana kwa kuongea ukweli,,, for real shida ilianzia hapo na senior Dave asifikirie hio shida itaisha,,,ndo mwanzo sasa pili senior alifanya mistake kubwa sana kutoa mwanamke kwa street n kuleta kwa kazi ambayo walianzisha na Annita,,,, Dave kama angekuwa anaskia maneno anafaa atoe wamboi hapo coz bado naona vita kubwa sana zaidi ya yenye imetendeka coz how comes yeye n mtu wa kusafisha street na anajingiza uko n kutoka n somebody wife ata mm ningekuwa huyo mume hapo apawezi kuwa n amani ata kidogo mpaka achane n mke wangu

  • @EstherOpechu-Hill
    @EstherOpechu-Hill 18 дней назад +1

    Wamboi said ,they were just acting with her cousin to get money from Dave. It's acting , wamboi said.

    • @carolyewa4711
      @carolyewa4711 18 дней назад

      Bamboo toka hapo!!

    • @beaticeMwani
      @beaticeMwani 18 дней назад

      Bamboo was acting with her vousin

    • @lovelyrose2383
      @lovelyrose2383 18 дней назад

      What about the message and the conversation they were talking.i trust messages more than what someone says

    • @PurityMusyoka-h5z
      @PurityMusyoka-h5z 18 дней назад

      Acting na afuate mwanaume mpaka amtoe manguo mbele ya watu?

    • @lizbethnkarara
      @lizbethnkarara 18 дней назад

      total lie if they were acting why have cheating messages yet the needed money. wamvo ni devil. anita to the end

  • @estheraluko3661
    @estheraluko3661 18 дней назад

    Sikumpenda wamboi in the bigining hakuna vile anakuja kupanga kazi na hata wrnye wamekuwa hapo kama elvis hawana makeherehre.

    • @EmillyOduori-j2b
      @EmillyOduori-j2b 18 дней назад

      Ata Mimi sikupenda Wambo right from the begining

  • @JoyceWanjiru-wv6ib
    @JoyceWanjiru-wv6ib 18 дней назад

    If you want to know the truth about wambui,end kwa video ya kwanza two months ago ,wambui hata alitoa kdf nguo coz ninyeye alinunua,she is a devil coz hata nguku wa ngule alisema anatumia wambui kuharibu ndoa ya dave,in all these dave is not a gentleman coz he should declare his stand,,,now his name is going to the drains ad he will loose

    • @MalaikaKNorway
      @MalaikaKNorway  18 дней назад

      NOW YOU'RE TALKING. HAYO YOTE NIMEWATCH JANA IKO ON MY COMMUNITY❗ IMAGINE IF THEY WERE ACTING WHY DO THEY ALLOWED THEMSELVES TO BE FOLLOWED ❓ WATU WAGUNGUKE MACHO

  • @milkamokua2699
    @milkamokua2699 18 дней назад

    Wambui is a liar that act was not a script in real sense she was left and wanted Dave mwenye aliharibu ndoa yake amuoe. How can you plan all those things and act infront of pple without fear no way!.The message in the phone that angetoa ndani ili mtoto hasichomeke hiyo ni kitu utawesa kuplan kweli na ukuje kusema ni uongo. The truth of the matter is that wambui was left and wants to be married with the one who destroyed their marriage. She planned well with the woman whom she said was a wife to her cousin so that she can get another husband that is my view.

  • @jacquelinemushi9550
    @jacquelinemushi9550 18 дней назад +1

    Wamboi hana mtoto alikuwa anaact na binam yake

    • @MalaikaKNorway
      @MalaikaKNorway  18 дней назад

      And why they acted ❓ was this not where she brought obstacles to senior ❓ go and watch that video and understand its not scripted and she was not acting ❗MWIZI akishikwa huwa anajitetea kwa hivyo asikatae mtoto wake

    • @JoyceWanjiru-wv6ib
      @JoyceWanjiru-wv6ib 18 дней назад

      Wambui ako na mtoto na alichoma mtoto na uji akifanya mapenzi,she is a cheater na ataibia dave mali yake na acheat na mwingine

    • @PeterKamau-gu1tx
      @PeterKamau-gu1tx 18 дней назад

      wambui ni kabaya sana, and if they were acting then we can say it's true have huwa basi anaact then, wambui aliashwa na bwanake akamwaacha na pia mwenye alicheat na yy, so akaona sd ndo wakujishikilia

  • @LornaMakena-b4m
    @LornaMakena-b4m 18 дней назад

    Kusema ukweli wamboi alikuwa anadate na bwana ya cousin yake iyo alisema eti pesa alikuwa anajitetea