Binadamu WANAOLINDWA zaidi DUNIANI,Bajeti zao za ulinzi ZINATISHA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 дек 2024

Комментарии • 118

  • @georgenyaumba3925
    @georgenyaumba3925 4 года назад +18

    Ulinzi wetu in Mungu tu

  • @juliusmangombela4396
    @juliusmangombela4396 4 года назад +1

    Mko vizuri..... Sasa TWENDE KAZI......

  • @stevenkambeytz2459
    @stevenkambeytz2459 4 года назад +34

    🤣🤣🤣eti 'sisi wengine ulinzi wetu ni MUNGU tu'.ila huu wa MUNGU ndo wa uhakika zaidi kuliko ulinzi wowote unaoujua wew!!kama unaamni hivyo gonga like hapo..

  • @henryj3304
    @henryj3304 2 года назад +2

    Sisi wengine ulinzi wetu ni Mungu tu, tuendelee kuomba 😂🙏

  • @emmyngoi2997
    @emmyngoi2997 3 года назад

    Kwanini ulinzi wawatu na unasema unamtumikia mungu je mungu wa mbinguni malaika wake wanafanya kaZi gani hata uwe na walinzi wengi ivi lkn Kuna wengine wanaogopa TU wamemwacha mungu

  • @erickkaaya9178
    @erickkaaya9178 4 года назад +10

    Papa kwanini alindwe kwa pesa nyingi hivi wakati mungu ni muweza wa yote.

    • @blackwarrior-animations593
      @blackwarrior-animations593 4 года назад +1

      Genius question

    • @marcominja8850
      @marcominja8850 4 года назад

      Nje ya masuala ya kiimani ni rais pia wa vatcan kama nchi kamili lazima itakuwa na protocal kali ya ulinzi kama ilivo nchi zingine.

  • @gracealex9020
    @gracealex9020 4 года назад +3

    Umenifurahisha kweli.
    nikweli sisi wengine ulinzi wetu nimungu tu

  • @eliuskamwelwe1018
    @eliuskamwelwe1018 3 года назад +2

    Basi Kama mkiongelea watanzania wanaolindwa zaidi Diamond platnumz hawez kukosa😂😂😂

  • @tuliafidelis2067
    @tuliafidelis2067 4 года назад +5

    Hakika sisi wengine ulinzi wetu ni Mungu tu

  • @shadyseengaiz5489
    @shadyseengaiz5489 4 года назад +41

    Acha walindwe duniani tuu lakin kaburini hakuna ulinzi

  • @moseserasto7011
    @moseserasto7011 4 года назад +4

    Mm nalindwa kuliko wote duniani, sababu nalindwa na mungu mwenyewe

  • @swahiliboyswb5666
    @swahiliboyswb5666 4 года назад +7

    Mmmh Kali..... SOUTH C NAIROBI TUKO NDANI

  • @frankmartine5354
    @frankmartine5354 4 года назад

    Wapo sawa unajua watu sio wastaarabu wanaweza kumng'ang'ania mtu yeyote maarufu uo ni utaratibu mzr

  • @jofreybanzoo9340
    @jofreybanzoo9340 4 года назад +1

    Mm wakwangu unazid hata wakwao mungu tu ndo kila ki2

  • @lightnesseramson7654
    @lightnesseramson7654 4 года назад

    Naupenda Sana ulinzi nilionao wa kiMungu pekee ni zaidi ya ulinzi wote

  • @rashidsaad7948
    @rashidsaad7948 3 года назад

    Dah bongo sihami llove Tz

  • @simaraphael4525
    @simaraphael4525 4 года назад

    Nakukubali brother

  • @suleimankhalfan6938
    @suleimankhalfan6938 4 года назад +9

    Iyo cku ambayo papa alipo pigwa risasi walikufa wangap

  • @bwana_ya_mtu
    @bwana_ya_mtu 4 года назад +1

    Huu ni uwongo wa hali ya juu sana ati jz ana ulinzi mwingi kuliko queen

  • @brackstz9235
    @brackstz9235 4 года назад +3

    Thanks BongoFasta

  • @martinfrancis9808
    @martinfrancis9808 4 года назад +20

    KAKA UNAJUA SANA KUELEZEA JUSTINE SHEDI... NIMEPENDA HAPO MWISHO SISI WENGINE ULINZI WETU NI MUNGU 🤣🤣🤣

  • @mgwilaphanricky1643
    @mgwilaphanricky1643 4 года назад +1

    kwa kweli Mungu tu

  • @abuuashyam8417
    @abuuashyam8417 4 года назад +2

    bora uyo mungu kuliko vyote ulivyotaja maana yy hasinzii wala halalii

    • @gabrieldevid9
      @gabrieldevid9 4 года назад

      Abuu Ashyam nimesoma koment zoot lakin wewe unamjuwa MUNGU ndugu yangu.(BIBLIA INASEMA BWANA ASIPO ULINDA MJI WAULINDAO WAFANYA KAZI BURE)

  • @bettygm3577
    @bettygm3577 4 года назад

    Yaani huwezi kumuweka Meghan and Harry, Jay Z na Beyonce, Kim ukaacha kumuweka Queen Elizabeth ambaye anaulinzi tangu akiwa tumboni kwa Mama yake. Eti unamuweka number 9. Yeye Queen Elizabeth akipata tuu kunakuwa na helicopter zinazunguka.

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 3 года назад

    666. Huyu ndio maana haamini kwamba kuna ulinz wa mungu kabisa

  • @theeokorah8320
    @theeokorah8320 4 года назад

    Umemsahau Dr.Owuor wa Kenya

  • @mustafakisosola8305
    @mustafakisosola8305 4 года назад

    Napenda sana stry zako man

  • @Hiphobongo
    @Hiphobongo 4 года назад +3

    Love bongo fasta & Justine shed

  • @abdulathuman8644
    @abdulathuman8644 4 года назад +1

    Malaika wa Bwana hufanya kituo na kuwazungukia wamchao Bwana

  • @Teacher_Hassan_Lemunje
    @Teacher_Hassan_Lemunje 4 года назад +1

    Good job

  • @brayankennerd13
    @brayankennerd13 4 года назад +1

    Nawapata vizuri nikiwa hapa london

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 4 года назад +3

    sisi wengine tunalindwa na Mungu

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 года назад +1

      Hakika ulinzi wetu ni MUNGU

    • @jamilambarouk5402
      @jamilambarouk5402 4 года назад +1

      Goodluck Temu Anatosha yeye ndo tegemeo letu t

  • @andrewsteven5375
    @andrewsteven5375 4 года назад

    Sisi wengine ulizi wetu ni Mungu

  • @robsontz8424
    @robsontz8424 3 года назад

    Hatarii

  • @midosakatv8016
    @midosakatv8016 4 года назад +5

    Kaka napenda san unavyo chambuwa endelea ivyo ivyo kutuletea abal nzuli za dunia kiujumla

  • @felicianbwinyende4884
    @felicianbwinyende4884 4 года назад +1

    ila kufa ni lazima
    hizo mbwembwe za mda tu

  • @muhkil
    @muhkil 4 года назад +2

    Brother hii tathimini tena vizuri. Ukiitaji msaada ntafurahia kusaidia, uongeacho ni kweli lakini namba sio kweli, unataka kuniambia KIM au may weather analindwa kushinda Roman abromovic???

    • @emmanuelmoshi4938
      @emmanuelmoshi4938 4 года назад +1

      Hon Muller inawezekan pia

    • @muhkil
      @muhkil 4 года назад

      @@emmanuelmoshi4938 chunguzaa uniambie

  • @stivinethobias6509
    @stivinethobias6509 4 года назад +1

    Kim jong ni fire (tishio wa marekani)

  • @thadeusmuthemba5557
    @thadeusmuthemba5557 4 года назад +1

    Sisi wengine ulinzi wetu ni Mungu tu, kwa hivyo tuzidi kuomba.ukweli kabisa.

  • @severinmmassy7627
    @severinmmassy7627 4 года назад

    Mungu ndio kilakituuuu

  • @sibukuleatayi8370
    @sibukuleatayi8370 4 года назад

    Illuminated pple

  • @abdalayusuph3332
    @abdalayusuph3332 4 года назад

    Unasauti nzuri hongera

  • @isayansi
    @isayansi 4 года назад +1

    Weka story za time travellers e.g pan America na Philadelphia experiment

  • @piterasifa3757
    @piterasifa3757 4 года назад

    Raisi wa uturuki eddo

  • @gadsonndato2941
    @gadsonndato2941 4 года назад +4

    Kabulin hakuna ulinzi

  • @sidemnyamwez2574
    @sidemnyamwez2574 4 года назад +1

    adds ni nyingi hadi zina kera

  • @bongokingtv2220
    @bongokingtv2220 4 года назад

    kwa hiyo jay z ana ulinzi zaidi ya papa au

  • @rodsconehenry4249
    @rodsconehenry4249 4 года назад +1

    inadaiwa zinazidi tumia reference za sources ili hata na sie tujiridhishe kwa kufollow izo source,

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 года назад

      Hakuna source moja,we google "Most protected people in the world" utapata hizo source.

  • @dr.b5029
    @dr.b5029 4 года назад

    Brother unajua hadi unaboa yani mimi nikiona bongo fasta lazima nidownload hata iweje big up

  • @rademm8924
    @rademm8924 4 года назад +1

    Kutokea Kishumundu siwapati kabisaa!

  • @jefenggg3442
    @jefenggg3442 4 года назад +2

    Sasa nataka niulize samahani, apo trump alipo onekana anakimbiya huwa anakimbizwa na Nani? Na nn sababu?

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 года назад +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍

  • @johnrimoy6874
    @johnrimoy6874 4 года назад

    Mbona Billigate anakuwa Tanga na Kilimanjaro bila hata ulinzi, Tanga alishiriki chakula cha mchana na wanafunzi km mtu wa kawaida kabisa (Tanga)

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 года назад

      Kabla hajaenda sehemu huwa wanaangali level ya hatari iliyopo eneo hilo.

  • @MA_Law.
    @MA_Law. 4 года назад

    Queen anaulinzi mkubwa sana.

  • @wazirbashir7626
    @wazirbashir7626 4 года назад

    Hii list bila ya uwepo drug lords ni utopolo mtupu

  • @imanlwinga9935
    @imanlwinga9935 4 года назад +2

    Uko vzuri ila pia naomba na historia ya Sadam hussen

  • @ntelebhalekananitz2597
    @ntelebhalekananitz2597 4 года назад

    Nakuku bali sana kaka

  • @chudabad6539
    @chudabad6539 4 года назад +1

    Kim joung katisha

  • @jacksonvalerian4399
    @jacksonvalerian4399 4 года назад

    Mmmmmh only God knows Brooo

  • @godfreychristopher4733
    @godfreychristopher4733 4 года назад

    Mi nmependa hapo ulipomalizia

  • @omary9192
    @omary9192 4 года назад

    Gwajima

  • @ernestmajula5143
    @ernestmajula5143 4 года назад +1

    FSB SIYO FBS ... RUSSIAN INTELLIGENCE SECURITY AGENCY

  • @aminamohd604
    @aminamohd604 4 года назад +1

    Ulinzi wote huo lkn malaika mtoa roho anakuja peke yake

  • @farihiamass8739
    @farihiamass8739 4 года назад

    Justine tuletee taarifa kwanini marekan ina malkia na raisi wana kazi gan kwenye taifa, kwanini wawepo???

  • @gabrieldevid9
    @gabrieldevid9 4 года назад

    BWANA ASIPO ULINDA MJI WAULINDAO WAFANYA KAZI BURE.Huu ulinzi ni wahapa duniani tu.

  • @villagekid2346
    @villagekid2346 3 года назад

    Utupe stor ya harry na megan

  • @stephenonyango7291
    @stephenonyango7291 4 года назад

    wasee ebu mgoogle the that were removed from the bible eg Enoch,Jude na kwa kweli l know mliskia pope aki confess ask

    • @mfipastudio8397
      @mfipastudio8397 4 года назад

      Mungu ndio mwazo na ndio mwisho ahoo wanajisumbuwa

  • @eliasimushi4487
    @eliasimushi4487 4 года назад

    Mbona nimesaulika mimi hata nina ulizi mkubwa

  • @callmoha534
    @callmoha534 4 года назад

    Wi ar 666 papas farans

  • @christophersikaonga8880
    @christophersikaonga8880 4 года назад

    Lakini chooni hulindwi

  • @middleplatnumz3629
    @middleplatnumz3629 4 года назад

    Napenda saaana channel bomba

  • @officiallydommy7055
    @officiallydommy7055 4 года назад +2

    Gonga like apa twende sawa

    • @stephenonyango7291
      @stephenonyango7291 4 года назад

      Kigaza Dominic like unapewa na reason sio we kusema nakupewa kula hiyo moja

  • @kijangapeter5135
    @kijangapeter5135 4 года назад +1

    Yani jay Z anaulinzi kuliko ule aliokuwanao Obama au ambao anao Papa?,bro hizi takwimu unazitoa wapi aisee?,fix nyingii

  • @saalumalasmy8052
    @saalumalasmy8052 4 года назад

    Diamond jeee

    • @lameckmichael2388
      @lameckmichael2388 4 года назад

      Huyo nipanyatu

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 4 года назад

      @@lameckmichael2388 😀😀😀

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 4 года назад

      Yani unamuingiza diamond humu khaaa wale walinzi migambo

  • @mabeekeniya9710
    @mabeekeniya9710 4 года назад +1

    Mimi naona mulinzi mukubwa ni mungu

  • @adambritish435
    @adambritish435 4 года назад

    Ok

  • @philoteuslwena3082
    @philoteuslwena3082 4 года назад

    comment ziko ngapi hapa zinasoma???

  • @hemedmkweso8459
    @hemedmkweso8459 4 года назад

    Mung ndo mlinzi pekoe

  • @mwanzomatesomwanzomateso7928
    @mwanzomatesomwanzomateso7928 4 года назад

    Raivani

  • @paulmukopi2089
    @paulmukopi2089 4 года назад

    Kazi naikubai lakini ina ads mingi hadi zinaboesha. Mbili tu zatosha nadhani

    • @patrickcosmas7612
      @patrickcosmas7612 4 года назад

      paul mukopi adds wanaweka youtube sio yeye

    • @paulmukopi2089
      @paulmukopi2089 4 года назад

      @@patrickcosmas7612 Basi hapa napo wamezoea sana, maanake video zingine ukitazama yaweza ionekana mara moja ama mbili ama zingine isionekane kabisa lakini hapa Bongo fasta baada ya kila baada ya dakika tatu hivi

    • @patrickcosmas7612
      @patrickcosmas7612 4 года назад

      paul mukopi nazani kunajinsi yakutoa adds ila nimalipo

    • @paulmukopi2089
      @paulmukopi2089 4 года назад

      @@patrickcosmas7612 Nashukuru sana kaka kwa kunijuza, nitajitahidi niondoe, nilikuwa nadhani ni wao

  • @josephbalayata4506
    @josephbalayata4506 4 года назад

    Adui mkubwa korona