WEZESHWA NA INTERCHIC

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 58

  • @AlfredMaingi-mb3ch
    @AlfredMaingi-mb3ch 5 месяцев назад

    Yes mko vizuri,, niliwahi kusikia mnawezesha watu kufuga kwa utaratibu maalum. Naomba kuufahamu

  • @UpendoMvile
    @UpendoMvile Месяц назад

    Naomba namba mm nimfugaji wa kuku wa mayai

  • @MohdJumaa-q3l
    @MohdJumaa-q3l 2 месяца назад

    Nataka kuweka wakala wa interchick zanzibar. Wa kuku na vyakula vya kuku broiler

  • @ematenbusinesssolution9949
    @ematenbusinesssolution9949 Месяц назад

    namba zenu kwa dodoma mko wapi

  • @franaelisumari5108
    @franaelisumari5108 Год назад

    Hongera sana kaka na kampuni yenu.

  • @AbdallahRashid-d6t
    @AbdallahRashid-d6t 5 месяцев назад

    Naomba naomba ya sim kujuwa zaidi

  • @FridayFilmstz
    @FridayFilmstz Год назад +2

    Asante sana kama wanatoa nafasi za kununua share wanafanyaje?

  • @MohdJumaa-q3l
    @MohdJumaa-q3l 2 месяца назад

    Vp nifanye

  • @beduikubwa189
    @beduikubwa189 Год назад +1

    Namba yasim

  • @malavasu6039
    @malavasu6039 3 месяца назад

    Sisi hapa mwz hatu pati kuku vifaranga brooiler bei

  • @levinamoshy3148
    @levinamoshy3148 Год назад +2

    Kuku wa interchick watamu! Ms Editha uniletee

    • @ayapoa
      @ayapoa  Год назад

      taarifa imefika tayari

    • @MohdJumaa-q3l
      @MohdJumaa-q3l 2 месяца назад

      Nataka kuwa wakala zanzibar wa interchick eneo lipo .

    • @MohdJumaa-q3l
      @MohdJumaa-q3l Месяц назад

      @@ayapoa vipi nifanye. Nihuwe

  • @onesmoramadhan-zw6yd
    @onesmoramadhan-zw6yd Год назад

    Dodoma munapatikana wapi au naweza pata mawasiliano yenu mimi niko Dodoma

  • @MageMrema
    @MageMrema 9 месяцев назад +1

    Nataka kuku nipo babat

  • @LukasiJeremiah
    @LukasiJeremiah 5 месяцев назад

    Nipo mwanza ninayo mabada yangu , nawaomba vifaranga,

  • @TATUMAZINDA
    @TATUMAZINDA 4 месяца назад

    Ninahitaji vifaranga

  • @MageMrema
    @MageMrema 9 месяцев назад +1

    Nataka kuku wanyama kashingo nipo babat napataje tunachangamoto ya kuku

  • @johnshirima6176
    @johnshirima6176 Год назад

    Mimi nina mabanda naomba namba zenu niko arusha

  • @FELISTERJOSHUA-gd7pt
    @FELISTERJOSHUA-gd7pt Год назад +1

    Tulio mikoani tutapata frusa hii?

  • @deusswai3310
    @deusswai3310 6 месяцев назад

    Mawasliano amjaweka phone no

  • @annamlozi4538
    @annamlozi4538 5 месяцев назад

    Matangazo bila mawasiliano sijaona maana.

  • @johnmgonja-iy8tl
    @johnmgonja-iy8tl Год назад

    Habari za leo? Naitwa John Mgonja nilo banda la kuku 100 nimefunga mifumo ya chakula na maji naomba kujiunga na nyinyi.Naomba mnisapoti.l

  • @johnmgonja-iy8tl
    @johnmgonja-iy8tl 11 месяцев назад

    Habari za leo? Mimi NI mfugaji mdogo nafuga kuku chotara na broilers Niko Moshi je naomba uteja kwenu wa broiler,itawezekana? Bei mnayonunulia ni SH ngapi?

  • @harrymbogo
    @harrymbogo Год назад

    Maana naona Kama wanakupa ukawalee hao..I need to know the profit of that business

  • @happymangesho1139
    @happymangesho1139 5 месяцев назад

    Nipo dodoma napataje kuku

  • @happymangesho1139
    @happymangesho1139 5 месяцев назад

    Nipo dodoma napataje vifarana

  • @judithbulugu5959
    @judithbulugu5959 Год назад

    Mawasiliano tupo arusha tuna hamu ya kupata mafunzo kwanza

  • @geoffreysalemba1797
    @geoffreysalemba1797 Год назад

    Naitaji kujifunza kuhusu ufungaji kiundani zaidi

    • @ayapoa
      @ayapoa  Год назад +1

      Karibu katika ofisi za interchic siku ya j,mosi saa 4:00 Asubuh kwaajili ya Mafunzo

  • @ZuberiOdarukusi
    @ZuberiOdarukusi 9 месяцев назад

    VP kwa watu wa mikoani utaratibu upoje

  • @ShekhaMaridadi
    @ShekhaMaridadi Год назад

    Nipo lindi nahitaji mafunzo kutoka kwenu

  • @moshilesso8372
    @moshilesso8372 Год назад

    Asante kwa fursa ya mafunzo na ninahitaji kujifunza mimi ni mkulima mdogo. Mahali mnapotoa mafunzo ni wapi? Nipo Dsm

    • @ayapoa
      @ayapoa  Год назад

      Ofisini interchik, j.mosi kwanzia saa 4

  • @gaspercharles2244
    @gaspercharles2244 Год назад

    Mm niko Dodoma ninaweza kunufaika na utaratibu wenu wa ufugaji?

    • @ayapoa
      @ayapoa  Год назад

      Unaweza wasiliana nasi kwaajili ya kupata utaratibu

    • @mapenziluwa8061
      @mapenziluwa8061 Год назад +1

      Mpo vzr!

    • @ayapoa
      @ayapoa  Год назад

      @@mapenziluwa8061 Asante sana, endelea kupata huduma bora kutoka kwetu

    • @VictorP5082
      @VictorP5082 Год назад

      @@ayapoa mwanza mnapatikana wapi?

    • @epifaniamzena1077
      @epifaniamzena1077 Год назад

      ​@@ayapoahello ninaomba kuwezeshwa na campuni ninapenda sana kazi ya kufuga mtaji tu ndo nakosa

  • @epifaniamzena1077
    @epifaniamzena1077 Год назад +1

    Kama nipo iringa na ninahitaji huu uwezeshwaji nafanyaje

    • @ayapoa
      @ayapoa  Год назад

      Unaweza wasiliana nasi kwaajil ya kusaidiwa au kupewa ushauri

    • @blinkarmymy
      @blinkarmymy Год назад

      Habari mie nipo dar es salaam nahitaji kuwezeshwa ni hatua gani za kuchukua?

    • @ayapoa
      @ayapoa  Год назад

      @@blinkarmymy fika ofisini kwetu

    • @adelineurassa2603
      @adelineurassa2603 Год назад

      Niko kiwangwa naweza je kuwapata?na kuwezeshwa?

    • @kalumangachannel4760
      @kalumangachannel4760 Год назад +1

      Hallow

  • @anthonymasaka2096
    @anthonymasaka2096 9 месяцев назад

    Nina taka vifaranga wa kashingo wa nyama

  • @emmanuelmtui4076
    @emmanuelmtui4076 Год назад

    Binafsi nahitaji kufuga banda ninalo...mnaweza nikopesha vifaranga?...huwa ninafanya biashara ya kuuza nyama kuku...nimekwama vifaranga

    • @ayapoa
      @ayapoa  Год назад

      wasiliana na interchik kwa huduma ya vifaranga

  • @harrymbogo
    @harrymbogo Год назад

    Company ipo sehemu gani..? Na faida yake inakuajee..

    • @ayapoa
      @ayapoa  Год назад

      Tunapatikana Dar es salaam, kama unatokea kariakoo panda gari za kuelekea tegeta utashukia kitui cha interchic utakua umefika kiwandani kwetu
      Faida
      mafunzo
      kama ni mfugaji ambae utaanza na kuku weng utapatiwa chakula na Vifaranga

  • @esmahabuu5802
    @esmahabuu5802 Год назад

    Kwa arusha mko wap

  • @mariamswalehe6916
    @mariamswalehe6916 8 месяцев назад

    Kama mtu anataman kuanza ufugaji wa kuku mnawasaidia vp