#SILVERLANDS

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 50

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 6 дней назад

    Mtangazaji uko safi kwa maswsli.

  • @mmbagaamos2334
    @mmbagaamos2334 2 года назад +3

    Hongereni silverland Tanzania Ltd. Naomba elimu hii ya kuku aina ya saso hasa kwenye hizo aina tatu mana wao ukinunua vifaranga wanajua tu ni saso. Mimi napendelea saso alieboreshwa kwenye utagaji

    • @musasimbeye7134
      @musasimbeye7134 Год назад +1

      Samahani mkowapi nahitaji vifalanga

    • @ashuraamiry6457
      @ashuraamiry6457 Год назад

      Nahitaji huduma ya vifaranga tafadhali naomba msaada

  • @zawadiabdallahussi2994
    @zawadiabdallahussi2994 Год назад +1

    Huku Zanzibar mna wakala wenu na kama yupo nitajie eneo nahitaji hao kuku wa sasso xr nipo Zanzibar

  • @thabitnjovu9358
    @thabitnjovu9358 2 года назад

    Good explanation sister I get it.thank you.

  • @alamukajuni9463
    @alamukajuni9463 2 года назад +1

    Njiwa

  • @mtaigaagness3358
    @mtaigaagness3358 2 года назад +1

    Naitaji ao sasso xr

  • @gabrieljohn6422
    @gabrieljohn6422 2 месяца назад

    Naona kwa sasa mmebanwa hamna vifaranga

  • @emanuelyohana3049
    @emanuelyohana3049 5 месяцев назад

    mnauza ghali sana

  • @leahmollel6589
    @leahmollel6589 2 года назад +2

    Hawa ni kweli hata mimi nawafuga wachache na wanakula kila kitu! Ni watamu na ni wakubwa kiukweli!

  • @BashaUsi
    @BashaUsi 5 месяцев назад

    Munapatikana wapi

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 2 года назад +2

    Namba za simu .

  • @Aloyce-d2u
    @Aloyce-d2u Год назад

    Naitwa Aloyce nipo Nyakato Mwanza,mimi ni mfugaji mdogo sasa ninaweza je kupata Vifaranga wa Sasa XR?

  • @ShuaibuMussa-n2o
    @ShuaibuMussa-n2o 5 месяцев назад

    Vifaranga Bei gani

  • @EdinaMwamili
    @EdinaMwamili Год назад

    Naomba namba za simu

  • @santinachalamila6879
    @santinachalamila6879 Год назад

    Naomba namba tafadhali

  • @mahadhitindwa2330
    @mahadhitindwa2330 Год назад

    Sijapenda ndugu mtangazaji ulivyomuacha dada yetu bila ya kumuaga au kusema neno la mwisho😂

  • @BashaUsi
    @BashaUsi 5 месяцев назад

    Na sasso wanauzwa bei gn

  • @mariagama-f3w
    @mariagama-f3w Год назад +1

    Nahitaji sasso silver jmn 500

  • @godfreymwaipungu4369
    @godfreymwaipungu4369 4 месяца назад

    Mi nataka saso niko segerea

  • @johnmgonja-iy8tl
    @johnmgonja-iy8tl Год назад

    Habari za jumapili? Naomba kujua bei ya vifaranga 100.

  • @rispersum3235
    @rispersum3235 8 месяцев назад

    Naombeni namba zenu

  • @emanueljmassawemassawe-qs2zl
    @emanueljmassawemassawe-qs2zl 3 месяца назад

    Ofisi yenu moshi inapatikan wapi

  • @johnjulius2531
    @johnjulius2531 11 месяцев назад

    Daeesala mnapatikana wapi??

    • @Voice_of_Agriculture
      @Voice_of_Agriculture  11 месяцев назад

      Kampuni ya silverlands iko katika mikoa kadhaa, unaweza ukawasiliana nao

  • @ZuberiOdarukusi
    @ZuberiOdarukusi 10 месяцев назад

    Nasikia munatoa elimu je niko Lindi napataje elimu kwa vitendo

    • @Voice_of_Agriculture
      @Voice_of_Agriculture  10 месяцев назад

      Unaweza kuwasiliana na kampuni ya silverlands kwa namba +255 766 192245

  • @ElinaikeElisaa
    @ElinaikeElisaa 10 месяцев назад

    Kwenye maboks hawaandik aina ya saso

  • @gracebenjamin6564
    @gracebenjamin6564 2 года назад +2

    Kuku wangu ni saso lkn hawatag vizuri ninunue chakula gani

  • @mcerickfordofficial2453
    @mcerickfordofficial2453 2 года назад +2

    Sawaaaa mrembo wa masoko, nataka hao sasoo

    • @fatumakhamis7599
      @fatumakhamis7599 2 года назад

      Mbona Hawa sasoo hawajibu txt tulioko mikoa ya Kanda ya ziwa tunafaidikaje na huduma zao?

  • @fatumakhamis7599
    @fatumakhamis7599 2 года назад +1

    Matawi yenu Yako mikoa Gani?

  • @agredifaemmanuel5590
    @agredifaemmanuel5590 2 года назад

    Mnapatkana wp

  • @agnesmathias-ke4tf
    @agnesmathias-ke4tf 6 месяцев назад

    Nawapataje ili nipate vifaranga

  • @ExcitedFinishLine-kv8qh
    @ExcitedFinishLine-kv8qh 7 месяцев назад

    Arusha wakala yuko wp

    • @RajabMwanga
      @RajabMwanga 6 месяцев назад

      Ngarenaro ostabay pale nmechukua mimi hapo

    • @RajabMwanga
      @RajabMwanga 6 месяцев назад

      Iipo duka kubwa sana

  • @mmbagaamos2334
    @mmbagaamos2334 2 года назад

    Mawakala wapewe elimu juu ya aina ya saso. Kama mtu anahitaji wa mayai au nyama achukue vifaranga kwa mahitaji ya soko lake.

    • @hellenprosper4738
      @hellenprosper4738 Год назад

      Kabisa alafu unaenda kuchukua vifaranga wana majibu ya hovyo hatari hadi

  • @johnurio4374
    @johnurio4374 7 месяцев назад

    Nomba za simu

  • @agredifaemmanuel5590
    @agredifaemmanuel5590 2 года назад

    Nipo bunda mara nawezakpata vifaranga na vp kuhusu bei ya kifaranga

  • @thabitnjovu9358
    @thabitnjovu9358 2 года назад

    Good explanation sister I get it.thank you.