- Видео 300
- Просмотров 426 120
VOAGTV
Танзания
Добавлен 9 июл 2020
We are Online the TV and Radio which provide daily information and edutainment contents on Agriculture, Livestock and Fisheries. | ✨Art Of Perfect Farming✨ | 🍃 Trainings | 🌱 Updates & Facts | 🌿 Agri. Enterpreneurship | 🌾 Agri. Affairs & Policies Updates | 🌻 Showcasing Farmers Businesses
KEEN FEEDER'S LIMITED KUTOKA ARUSHA KWENYE MAONESHO YA POULTRY SHOW 2024 DAR ES SALAAM.
Kampuni ya KEEN FEEDER'S LIMITED kutoka Arusha ni kampuni inayojihusisha na wakulima pamoja na wafugaji wakiwa wamejikita zaidi patika pembejeo mbalimbali. Kwenye wafugaji wanavyo virutubisho ambavyo vinasaidia ukuaji na uzalishaji pia hasa kwa wafugaji wa kuku, ng'ombe na nguruwe. Katika maonesho ya poultry show wamekuja kuonyesha bidhaa zao zinazotumika na wafugaji hasa wa kuku, bidhaa ambzo zinasaidia ukuaji wa kuku, uzalishaji wa mayai bora lakini pia kumkinga na magonjwa mbakimbali.
KEEN FEEDER'S wanapatikana Arusha na wanna branches katika maeneo tofauti tofauti nchi nzima.
KEEN FEEDER'S wanapatikana Arusha na wanna branches katika maeneo tofauti tofauti nchi nzima.
Просмотров: 103
Видео
PROF. RIZIKI SHEMDOE KATIKU MKUU WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI.
Просмотров 6928 дней назад
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof. Riziki Shemdoe, amezungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari kwa niaba ya Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Hamis Ulega, kuhusu uwepo wa Jukwaa la Tasnia ya kuku na ndege wafugwao kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ambao utafanyika tarehe 16 - 17 Oktoba, 2024 katika Hoteli ya Serena, Jijini Dar es Salaam n...
BENSLIGHT MSHIYU MKURUGENZI MWENDESHAJI NABERERA CTK PIG FARM COMPANY.
Просмотров 47Месяц назад
Bi. Benslight Mshiyu mkurugenzi mwendeshaji wa kampuni ya NABERERA CTK akiongelea namna kampuni yao ilivyoanzishwa, uendeshaji wa kampuni hiyo katika biashara ya wanyama hasa Nguruwe, changamoto wanazopitia katika biasharahiyo kuanzia madawa, usafirishaji na masoko.
DOREEN MARO: MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAFUGAJI NGURUWE TANZANIA
Просмотров 53Месяц назад
Bi. Doreen Maro Mwenyekiti wa jumuiya ya wafugaji nguruwe Tanzania akielezea namna jumuiya hiyo ilivyoanzishwa, lengo la kuanzishwa kwa jumuiya hii ya wafugaji wa nguruwe nchini. Changamoto wanazopitia wafugaji wa nguruwe na shughuli nzima za jumuiya hii ya wafugaji wa nguruwe nchini Tanzania.
JULIETH TARIMO MWANZILISHI WA MARANGU PIG FARM
Просмотров 129Месяц назад
Bi. Julieth Tarimo ni mmoja wa waanzilishi wa kampuni inayojihusisha na ufugaji wa Nguruwe iitwayo Marangu Pig Farm iliyopo kigamboni Dar es salaam. Ameeleza namna alivyoanza kufanya biashara hiyo lakini pia changamoto ambazo wanakutana nazo katika biashara hii na hatua walizopiga tangu waanze kufanya hii biashara.
BW. FRANCIS MILINGA kutoka Taasisi ya utafiti wa chakula na Lishe Tanzania.
Просмотров 572 месяца назад
Bw. Francis kutoka TFNC anaeleza umuhimu wa tunda la parachichi katika lishe lakini pia faida za kibiashara la zao hili lakini pia ameeleza umuhimu wa uwepo wa banda maalumu la wadau wote wa parachichi katika maonesho ya nanenane 2024 yaliyofanyika jijini Dodoma na namna jambo hilo litainua thamani ya zao la parachichi.
MFUGAJI HORESI AYOUB URIO KUTOKA MKOA WA ARUSHA.
Просмотров 1832 месяца назад
Bw. Urio kutoka mkoa wa Arusha ni mfugaji wa wanyama na ndege mbalimbali kama ng'ombe, mbuzi, kuku n.k. Katika maonesho ya nanenane jijini Dodoma alikuja na kuku wa aina mbalimbali lakini kubwa zaidi ni aina ya banda ambalo alikuwa anatumia na hapa utapata kumsikia zaidi aina ya kuku walionano, faida zake na pia aina ya banda analotumia na umuhimu kwa wafugaji kuwa na banda kama hili,
PART 1 BW. LIPITA MTIMILA MENEJA MASOKO KUTOKA KAMPUNI YA AFRIFARM TANZANIA.
Просмотров 532 месяца назад
Bw. Lipita Mtimila, meneja masoko kutoka kampuni ya Afrifarm Tanzania akieleza kwa undani shughuli za Afrifarm, kwanini Afrifarm waliandaa eneo maalimu (Avocado Pavilion) na kuweka wadau wote waliopo katika mnyororo wa thamani katika zao la parachichi katika maonesho ya nananane 2024 na mengine mengi kuhusiana na AfriFarm.
AFRICA FINE COFFEES ASSOCIATIONS (AFCA) EVENT ON 22.08.2024.
Просмотров 282 месяца назад
Chama cha kahawa bora Afrika AFCA kwa kushirikiana na Bodi ya kahawa Tanzania TCB wametangaza kuwa Tanzania itakuwa mwenyeji wa kongamano na Maonyesho ya 21 ya kahawa bora za Afrika kuanzia 26 - 28 februari 2025 jijini Dar es salaam. kongamano hilo ni jukwaa kubwa zaidi la kibiashara ya kahawa barani afrika. Uzinduzi huu umefanyika leo jijini Dar es salaam katika ukumbi wa Serena Hotel leo amba...
NANENANE DODOMA 2024 BW. BENO MGAYA PART 1: Mkulima wa zao la Parachichi kutoka Njombe.
Просмотров 422 месяца назад
Bw. Beno Mgaya, mkulima wa zao la parachichi kutoka Njombe ambaye hivi sasa ni mwalimu kwa wakulima wengine wa zao hilo la parachichi akieleza faida za mafunzo aliyoyapata kutoka taasisi ya SAGCOT katika namna ya kufanya kilimo biashara cha zao la parachichi kwa kufata taratibu husika. Ameeleza namna sasa hivi wanavyowasaidia wakulima wengine lakini pia taasisi mbalimbali kama shule, magereza n...
MRADI WA KOROSHO MTWARA ULIOZINDULIWA NA TAASISI YA ANSAF MNAMO TAREHE 30.07.2024 MKOANI MTWARA.
Просмотров 632 месяца назад
ANSAF imezindua mradi wa "Uwezeshaji Wa Wanawake Kupitia Uchakataji wa Korosho na Masoko Kusini mwa Tanzania" (CASH WIN). Mradi huu unaofadhiliwa na Bill and Melinda Gates Foundation kupitia mradi wa Beyond Collective Farming na kuratibiwa na Stichting BoP Innovation Center (Bopinc), unatarajiwa kutekelezwa mwaka 2024 hadi 2026, kwa lengo la kubadilisha sekta ya korosho nchini Tanzania kwa kubo...
NANENANE 2024 DODOMA: MR. GEOFREY KIRENGA Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya SAGCOT.
Просмотров 312 месяца назад
Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya SAGCOT Mr. Kirenga alizungumza na vyombo vya habari katika banda la wadau wa Parachichi katika maonesho ya nanenane kimataifa yaliyofanyika eneno la Nzuguni jijini Dodoma. Mr. Kirenga alieleza uwepo wa washirika wote wa mnyororo wa thamani wa zao la parachichi hapa nchini na namna wadau wote hawa wameweza kuwa katika eneno moja kwenye maonesho haya ya mwaka huu...
SERENGETI BREWERIES LIMITED PART 4: WENZESLAUS TETE AFISA KITENGO CHA UBUNIFU WA BIDHAA MPYA SBL.
Просмотров 342 месяца назад
Mr. Wenzeslaus Tete kutoka kitengo cha ubunifu wa bidhaa mpya ambazo ni beer na pombe kali kutoka SBL akituelezea mtiririko mzima wa kutoka shambani hadi kufikia kwenye glass unavyofanyika.
SERENGETI BREWERIES LIMITED PART 3: ALOYCE KIMARO AFISA KILIMO KUTOKA SERENGETI BREWERIES LIMITED.
Просмотров 342 месяца назад
Mr. Aloyce Kimaro kutoka kampuni ya serengeti akilelezea shuguli za kilimo za SBL, idadi ya wakulima wanaofanya nao kazi, aina ya mazao na namna wanashirikiana na wakulima katika shughuli zao za uzalishaji.
SERENGETI BREWERIES LIMITED PART 2: RISPA HATIBU Meneja mawasiliano na uendelevu kutoka SBL.
Просмотров 262 месяца назад
Rispa Hatibu, Meneja mawasiliano na uendelevu kutoka kampuni ya Serengeti breweries Limited akieleze kuhusu miradi ambayo SBL inafanya katika jamii na hasa wakulima, ameelezea namna wanawafikia wakulima wa shairi na mahindi na uendelezi wa miradi mbalimbali inayoratibiwa na SBL.
SERENGETI BREWERIES LIMITED PART 1: NEEMA TEMBA Meneja Mahusiano ya Kiserikali kutoka SBL.
Просмотров 232 месяца назад
SERENGETI BREWERIES LIMITED PART 1: NEEMA TEMBA Meneja Mahusiano ya Kiserikali kutoka SBL.
NANENANE 2024 DODOMA: MKURUGENZI WA BIASHARA AZANIA BANK GROUP OF COMPANIES
Просмотров 683 месяца назад
NANENANE 2024 DODOMA: MKURUGENZI WA BIASHARA AZANIA BANK GROUP OF COMPANIES
NANENANE 2024 DODOMA: Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Singida alipotembelea banda la kampuni ya ASAS.
Просмотров 1613 месяца назад
NANENANE 2024 DODOMA: Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Singida alipotembelea banda la kampuni ya ASAS.
NANENAE 2024 DODOMA: ESTER MASAO AFISA UDHIBITI UBORA KUTOKA TANPAC
Просмотров 683 месяца назад
NANENAE 2024 DODOMA: ESTER MASAO AFISA UDHIBITI UBORA KUTOKA TANPAC
NANENAE 2024 DODOMA : KUTOKA BANDA LA BBT (BUILDING BETTER TOMMOROW.
Просмотров 443 месяца назад
NANENAE 2024 DODOMA : KUTOKA BANDA LA BBT (BUILDING BETTER TOMMOROW.
SEHEMU YA TATU: MR. FRANK NYABUNDEGE MKURUGENZI MWENDESHAJI BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TADB.
Просмотров 263 месяца назад
SEHEMU YA TATU: MR. FRANK NYABUNDEGE MKURUGENZI MWENDESHAJI BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TADB.
SEHEMU YA PILI: MR. FRANK NYABUNDEGE MKURUGENZI MWENDESHAJI BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TADB.
Просмотров 283 месяца назад
SEHEMU YA PILI: MR. FRANK NYABUNDEGE MKURUGENZI MWENDESHAJI BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TADB.
SEHEMU YA KWANZA: MR. FRANK NYABUNDEGE MKURUGENZI MWENDESHAJI BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TADB.
Просмотров 433 месяца назад
SEHEMU YA KWANZA: MR. FRANK NYABUNDEGE MKURUGENZI MWENDESHAJI BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TADB.
MR. MARK BLACKETT AMEA GLOBAL NETWORK DIRECTOR
Просмотров 243 месяца назад
MR. MARK BLACKETT AMEA GLOBAL NETWORK DIRECTOR
MR. HONEST MSERI MKURUGENZI MTENDAJI ANSAF
Просмотров 193 месяца назад
MR. HONEST MSERI MKURUGENZI MTENDAJI ANSAF
JE ULIPITWA? FULL VIDEO YA WASILISHO LA BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2024/2025. MIFUGO NA UVUVI.
Просмотров 995 месяцев назад
JE ULIPITWA? FULL VIDEO YA WASILISHO LA BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2024/2025. MIFUGO NA UVUVI.
MASELINA KIBENA Mwenyekiti wa shirikisho la vikundi vya wakulima na wafugaji mkoa wa Morogoro.
Просмотров 477 месяцев назад
MASELINA KIBENA Mwenyekiti wa shirikisho la vikundi vya wakulima na wafugaji mkoa wa Morogoro.
ESTER MAHILE MKULIMA WA ALIZETI NA ZABIBU KUTOKA CHAMWINO MKOANI DODOMA.
Просмотров 757 месяцев назад
ESTER MAHILE MKULIMA WA ALIZETI NA ZABIBU KUTOKA CHAMWINO MKOANI DODOMA.
MR HONEST MSERI Mkurugenzi wa taasisi ya ANSAF alipozungumza baada ya kuongoza mkutano na wadau.
Просмотров 557 месяцев назад
MR HONEST MSERI Mkurugenzi wa taasisi ya ANSAF alipozungumza baada ya kuongoza mkutano na wadau.
WANUFAIKA WA MRADI WA KUKU (KUROILA F1) WA TANGA YETU
Просмотров 2239 месяцев назад
WANUFAIKA WA MRADI WA KUKU (KUROILA F1) WA TANGA YETU