😂😅😅😅😅😂ukisikia mshikaji wa damu Ni madirisha ban 😅😅😅 wewe madirisha ni mbwa mwanangu daahh kiukweli unamsaidia sana dula ban daahh mshikaji hatari sana😂😂😂😂
Madirisha jamani hana tofauti na best yangu mmoja hapa chuga maarufu kama Johnson yaani hatujawai shindwa pisikali yoyote.. Mipango inapangwa chapu inapangika dah! 😃😃 Tx Dulla unanifanya kukumbuka mengi mzee
Madirisha Mtu Na Nusu I need To Be Like Madirisha For Wanang 99 😂😂😂😂 Like kama Unamkubali Madirisha
Oyaaaa we txdullah, madirishaaa mshikilieeeee anakituuuu
😂😂😂😂tx na madirisha mna chemistry nzr sana nakubali
wakwanza leooo nipeni ata likes 10 tyu😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
Hv like hua zinakazigan @fredy6431
Acha ukuma
Sema ukiwa na mwana kama madirisha ni daar hauferi
Usifunge mkanda me mkanda tosha.. daahhh ila Dullah😂😂
Madirishaaa NI mmoja Tu ,,ukiwaaaa na MTU wako kama nadirisha Una uhakika WA kuishiii
Ety unauakika wa kuishi
Madirisha mhunii sana ukipata mwana kama hiyo mbona unyama😅😅
Niko hapa kwaajili ya Madirisha, Madirisha the Legend ✊
Wakwanzaa leoo jmn likes plz team madirisha
Unamshabikia nani sana Ukiachana namimi kwenye maswala ya kuimba 😂😂 6:50 😂😂
😂😂😂😂
Vizuli sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Muokoajiiii huyoooo kwa mbaliiiji madilisha kajiandaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂
Miaka 20 na 20 mnakuwa na 40 na bado mnatembea kwa miguu km wana wa israel.......... This line kills me😂
😂😂😂🙌 ila mtatuua kwa vicheko madirisha man of the match
Dah ebana hebu nipe Namba ya madirisha mwanangu
Feel at home, japokua tupo kwenye gari 😂😂
❤ Kutoka Mozambique 🇲🇿
No one like madirisha I wish niwe na jamaa Kama madirisha very technical man
sanaaa madilisha mzee wa madili
Ila madilisha anakupambania sana ataki ufeliij michongo muhimu😂😂😂😂😂😂😂
Madilisha noma 🙌🙌🙌🙌
Yan mond ndo umeongea nae ivoo😅😅😅😅😅
Dar brother t x dulla nawapenda sana we na brother madilisha
Nimerudi Tena cause it's amazing video 📸📷📸📸📸📷📸📸😅😅😅😅😅40age
😅😅😅😂😂😂😂nawakubali sana madirisha💯💯💯
MADIRISHA NI UNSTOPPABLEEEEEEEEEEEEEEEEE KAMA MAN CITY YA GUARDIOLA 🔥🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣🤣🤣
Hatar
Waliekua wanaisubiri kwaham kama Mimi hapa gongeli lik
Dahhhj wew Tz dulla mhuni Sana nimecheka mpk machozi!!
Madilisha ni mmoja tu bongo dah what an assist 😂😂😂
Gari ya kaka imemvua pichu dada 😂😂😂😂😂 kwa usaidizi wa madirisha
Sema ndo jamii ipo ivyo yaan wanawake wapo after money
Km mwanamke anavua nguo Kwa ajili ya pesa na gari ujue hamda kitu
Ila madirisha ndo mtu wa kwanza kuchelewa kufika mbingun😅😅
Madirisha mbona anakupenda sana
Hii muvi ume upiga mwing broo nakukubali sana kaka
Madirisha wewe utakua kuni yakuchomea wengine 😂😂😂
Kiukweli katika comedy zote hii umenichekesha sana dullah yani nimefurahi kweli yani
Madirishaaa ni mzuri sana akianzia bench! 😂
😂😅😅😅😅😂ukisikia mshikaji wa damu Ni madirisha ban 😅😅😅 wewe madirisha ni mbwa mwanangu daahh kiukweli unamsaidia sana dula ban daahh mshikaji hatari sana😂😂😂😂
Madirishaaa jmn madirishaaaa mbingu ataisikia😂😂
Ah we noma Tx ft madirisha
Nimemkumbuka rafikiangu nae km madirisha
madirisha muhuni sanaaaa😅
😂😂😂😂
Man of the Match Madilisha 😂😂😂😂
Magari yangu utaendesha ww😂😂😂😂
Nani kama TX Mnyama sanaaaaaa😂😂😂❤❤
Wanaomkubali madirisha gongeni like
Sjawai kukufatilia kabisa singanganyi
Kweli hujawahi kudanganya😅😅😅
Madilisha mwana kweli😂😂
Madirisha mmoja ni sawa na watu 100 😂😂😂
Kweli txdula hajawahi kudanganya
Kichaa cha mbwa na changu kama vinaendana😂😂😂😂
Oya dullah madirisha ana kituuh
Hawa wasenge wanajua mpk kero yaan
Madirisha... Madirisha aseee ni game changer
Madilishaa😂😂😂😂😂😂mtu hatari sana🎉🎉🎉🎉
Tulioskiza sauti ya mlango wa gari✋😂
🤣🤣🤣🤣🤣ila madirisha nataka dinner na wew Christmas 😆😆😆😆😆😆😆
😂😂😂😂we Txdurrah sku ukimkorofisha madrisha bac umeisha
jamn madirisha me nakupenda bure bira hat ela 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Imetosha ,mzee apo mwisho 🎉
😅😅😅madilisha bhana from Kenya 😊🎉
Ndo TX ukisikia mwingine feki!😅😅😅😅😅
😂😂😂😂 ila ukiwa na madirisha kama wa3 hata Putin wa urusi hawezi kuvamia
Huyu madirisha kiungo mchezeshaji man of the mechi Kila siku😂
Kama wanaumeote tungekua tunaumoja kama madilisha Hawa kuku wacnge tusumbua kabisa
Ndo utuite kuku jmn
😂😂😂😂😂😂😂😂😂@@elizamlewi389
Hahahaaaaa txdulla mnyama daaaa ila madilisha 🤣🤣🤣
@lways madirisha man of the mach
Saluti sana kaka sikupingi
Madirisha Noma sana , Aseee😂😂
TxLee mnyama Hatujawahi Kudanganya
from kenya with love..napenda hii skit hahahaahaha madirishaa anatisha sana .
Madrisha ni mwana sana😅😅😅😅
ila madilisha kanyoshaa vibaya mnooi😂😂😂😂
Madirisha jamani hana tofauti na best yangu mmoja hapa chuga maarufu kama Johnson yaani hatujawai shindwa pisikali yoyote.. Mipango inapangwa chapu inapangika dah! 😃😃 Tx Dulla unanifanya kukumbuka mengi mzee
another time for madirisha 😊🎉
Ugatwe na mbwa ama ungatwe ni Mimi 😅😅😅😂 dah
oyaaa madirisha nmnomaa
Madilisha mbingu utaisikia hahahahaaaaaaa
Madirisha ni kama KDB pale mancity kiungo fundii😂
Ndani utachagua ma 2 unyatwe na mbwa 🐕 au unyatwe na mm Dulla 😂😂😂😂
Tulio kuwa tunaisubiri Kwa ham gong like😢😢😢😢
kichaa cha mbwa na mm vinaendana😂😂😂😂
Nakubali kaka madirisha 😂😂,,,TX🫡🫡
Madirisha 😂😂😂🔥 man of the match.
Madilisha ni hatari iiiiiiiii good wew ndo fan ulopewa
Madirisha ni noma 🔥🔥🔥,,,anajua kinoma
Nimeisubiria sana hii,umetisha kk
Kali sana
Sasa kutopenda kazi za tx dulla si udwanzi huo.. 😂
Hii gar mlango unalia kama wa nyumba😂
😅😅😅
😂😂😂
Kaka tuko nje ya muda😅😅😅😅😅
🤣🤣🤣🤣ivi tx dulaa wazazi wako wanajua unavyo tesa mtandaoni nakupenda bureeee kaka 👏👏👏👏 mnanifulahishaga Sana na timu yako
Madirisha😂😂😂🙌🙌mbwa sita tena😂
😂😂😂😂😂😂😂😂 madilisha utatuua kaka kwa vicheko❤❤❤❤
TX umetisha Kaká, Niko Moçambique, thank you My brother
Sjaamini kuskia mlango wa gari unatoa sauti kama mlango wa nyumba😅😅😅kweli dullah ujawai kudanganya😂😂😂
Usifunge mkanda mimi ni mkanda tosha😅😅😅
Tunaomba award yakipekee kwako Dullah❤️❤️❤️🇨🇩
Mullah hii mmetisha wanawake wanapenda kudanganywa ukweli hawataki
Apo kwa chakula cha kimwili sasa