F U N D I

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025

Комментарии • 231

  • @barakafredy7726
    @barakafredy7726 Год назад +44

    Mwanangu dulla first view hapa naomba like yako

  • @theprincejr1417
    @theprincejr1417 Год назад +71

    Huwezi fananisha tx na vtu vya kijinga , suit ya elfu saba 😂🙌,like zake ziwe 10 tu 👍

    • @fredrickmaitha4427
      @fredrickmaitha4427 Год назад

      Elfu saba za tz ni ngapi Kenya??ju elfu saba Kenya ni mingi sana😢

    • @joshyrova3543
      @joshyrova3543 10 месяцев назад

      Yaani leo nimecheka mpaka nikagaagaa kwenye sakafu🤣🤣🤣🤣

  • @JustinMwehu812
    @JustinMwehu812 Год назад +28

    Wakwanza mimi apo kutoka Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @Daudramso7379
    @Daudramso7379 Год назад +9

    Nainjoi sana namba za views znavyoongezeka na likes kazi nzur kaka

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Год назад +20

    Wakwanza leo dulla ww umeshindikana😂😂😂😂

  • @Msanii12
    @Msanii12 Год назад +11

    Munakuja kuteka ulimwengu wa kuchekesha nimecheka sana leo 🔥🔥🔥💪 *333#

  • @igiranezablaise4399
    @igiranezablaise4399 Год назад +15

    Tulio wahi. tupeane like wenyewe😂😂😂😅

  • @lemeiyapapai1526
    @lemeiyapapai1526 Год назад +6

    Dah ila dullah ndugu yangu umeshindikana mkuu😅😅😅😅

  • @JacksonJuma-u5q
    @JacksonJuma-u5q Год назад +1

    😂😂😂😂😂 Dulla TX mwamba sana umetisha mwanang 👊👊👊👊

  • @wazirifadhili
    @wazirifadhili Год назад +2

    ninao uwezo wakutoa vpimo huku kuvileta hukuu wee dulaa umepigaje apooo😂😂😂😂😂

  • @simonandrew1489
    @simonandrew1489 Год назад +1

    Hahah Haha Kazi Nzur Mwamba

  • @zakazakazi-fn6zy
    @zakazakazi-fn6zy Год назад +2

    Daaash😅😅😅 hii ya leo kibokoooooo is 😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @amedeusmmbando2778
    @amedeusmmbando2778 Год назад +2

    😂😂😂😂🙌 ila fundi umetisha sana

  • @NaomyJohn-hd4bq
    @NaomyJohn-hd4bq Год назад +5

    Jmn sijachelew😂😂😂ivi charld ww shida yako suti au mdaa,ww mwachie fundi😅😅😅😅dk7 na bei elf7😂😂😂😂😂

  • @RobsonWisdom
    @RobsonWisdom Год назад +5

    Madilisha usikae mabaliiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @geralddeus1434
    @geralddeus1434 Год назад +7

    Unashona au unaprint😂😂😂😂

  • @YuzzoGraphics
    @YuzzoGraphics Год назад +2

    Kaka niko kwenye basi nacheka kama taira paka abiria wananishangaaaaaaaaa

  • @MR.MAICO.T.V
    @MR.MAICO.T.V Год назад +16

    Tuliotizama huku tunaisubili suti tujua nipeni like Zang 😂

  • @Swahili_Nation_Studios
    @Swahili_Nation_Studios Год назад +6

    Suti elfu7 😂😂dullah hemu kuwa serious

  • @jamesyangtz7823
    @jamesyangtz7823 Год назад +1

    😂😂😂😂😂 daah uyu jamaa sio poa

  • @linkmedia9254
    @linkmedia9254 Год назад

    Kazi nzuri ila jitahidi kupunguza noise kaka

  • @dullahndewa
    @dullahndewa Год назад

    talented sana bro

  • @youngpanther7616
    @youngpanther7616 Год назад +2

    Yan huoni kua fundi ni mzurii

  • @misanangasa8296
    @misanangasa8296 Год назад +3

    Hatari sana 😅😅

  • @joachimbaldwin8511
    @joachimbaldwin8511 11 месяцев назад

    Taja kabila moja kama tx dulla kwa ubishi kwa jambo ambalo lipo seriously yaani 😂😂😂😅😅

  • @ernesttesha3615
    @ernesttesha3615 Год назад

    Hahahaaa Hawa jamaaa nimewashindwaaa😅😅😅😅

  • @GraceEdward-q2c
    @GraceEdward-q2c 10 месяцев назад

    Mbavu zangu jamani 😂😂

  • @joshuavictor7694
    @joshuavictor7694 Год назад +2

    Tx mnyamaaaa mkaliii kweny hiz kaziii😅

  • @Adenpropictures
    @Adenpropictures Год назад

    Tx dullah number 1 hata familia yangu inalitambua hilo😂😂😂😂

  • @dullahndewa
    @dullahndewa Год назад

    oya wajina una rocha kweli suti dakika 10 hhahahahaahahaha!!!!! umetisha my brother 💪

  • @MaldyMaldwex
    @MaldyMaldwex 11 месяцев назад

    na inspire watu kibao kuangalia izi videos,,unajua aiseeee sjawahi kutocheka

  • @Don_Will.i.am07
    @Don_Will.i.am07 Год назад

    😂😂😂😂😂 et mbona kama huenjoy😂😂😂

  • @alfredjohn5693
    @alfredjohn5693 Год назад

    Kaka mguu haypiti🤣🤣🤣asee mbavu sina😂😂

  • @GIFTfurniture-uk6vc
    @GIFTfurniture-uk6vc Год назад

    huo upande mmoja avae kiatu kirefu hahhaahhaaa umetisha 😂😂😂😂😂😂

  • @hassanabdul7141
    @hassanabdul7141 Год назад +1

    We jamaa noma

  • @fadhilichaula3501
    @fadhilichaula3501 Год назад +1

    Fundii n mmoja tu tx dulla😂😂😂 suit dakika saba

  • @jamesjesus6937
    @jamesjesus6937 Год назад +4

    Madirisha hapa unahitajika

  • @GhislainNyakasane-sb9tl
    @GhislainNyakasane-sb9tl Год назад +1

    Sauti aiskiki viruzi lakini Kazi nzuri rekebidha TX

  • @andrewraphael3098
    @andrewraphael3098 Год назад +6

    It tx dullah mnyama 😂😂😂😂

  • @jamesjohn2601
    @jamesjohn2601 Год назад

    Wanaume wanavaa kikapuu😂😂😂😂😂😂

  • @ThabitAlly-n4p
    @ThabitAlly-n4p Год назад +1

    "Eti kaka mguu haupiti"😂😂😂😂

  • @ginelisangakrambi9546
    @ginelisangakrambi9546 9 месяцев назад +1

    Dullah utaniua mnyama wew 😂😂😂😂😂😂😂

  • @kemboidennis2003
    @kemboidennis2003 Год назад +10

    🎉❤😂 nice one

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 Год назад

    Dullah akili mbili😂😂😂

  • @samiramulwa
    @samiramulwa Год назад +1

    😂😂😂😂😂 yani uyu fundi ananikumbusha kitambaa changu nlimpeleka fundi anashonee nguo za shule za mtoto alivyo zifanya adi leo najuta

  • @TomsonKakule
    @TomsonKakule Год назад +1

    Ivi vichwa haki hein!! 🇨🇩🇨🇩 Tuna wapenda

  • @dengahmediatz3113
    @dengahmediatz3113 Год назад

    😂😂😂 et mbn kama uinjoi

  • @Babu.Suwa.Yoshua01
    @Babu.Suwa.Yoshua01 Год назад +1

    😂😂😂😂 hii ina itwa no stress

  • @ellyjacob9897
    @ellyjacob9897 Год назад

    Hahahahaha hahahahaha dula we ni mwehu 😂😂😂

  • @mr_ola_tz
    @mr_ola_tz Год назад +1

    Unahisi umwalimu wako unaweza ukauleta kila sehemu😂😂😂😂

  • @salehemsuya1406
    @salehemsuya1406 Год назад +1

    kaka vaa vyte ndio unisifie😂😂😂

  • @maguetomfalme5815
    @maguetomfalme5815 Год назад

    Tx 😂😂😂 nakukubali mzee baba

  • @shortgun_76.13
    @shortgun_76.13 Год назад

    Mbona sasa hauenjoy😂😂😂

  • @jrculdickson6629
    @jrculdickson6629 Год назад

    Sema wew jama unazingua kazi za watu😂😂😂😂suti buku saba kushona dakika 70 nimecheka sana aise😂

  • @Petromfilinge
    @Petromfilinge Год назад

    Hapa kazi ipo kwahuyo fundi

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 Год назад +1

    Pamoja sana 👊👊😅

  • @frankchristopher5063
    @frankchristopher5063 Год назад

    Nimecheka Sana 😂😂dullah kiboko

  • @Simber0705
    @Simber0705 Год назад

    Dodoma inafundi mmoja2😂😂😂😂😂

  • @sagevali
    @sagevali Год назад +4

    Sijawahi kudanganya Ndo imeishia au?

  • @barnabasmarsel3876
    @barnabasmarsel3876 Год назад

    😂😂😂😂😂Tx dullah mnyaaaaaamaaa😂😂😂tumekoma kaka

  • @mbokasanga3525
    @mbokasanga3525 Год назад

    😂😂😂 kaah mbavu zangu mimi jmn

  • @andrewmtweve6805
    @andrewmtweve6805 Год назад +1

    Daaah Ila dulla 😂😂😂😂😂

  • @_Daddie_
    @_Daddie_ Год назад +4

    SIJAWAHI KUDANGANYAAA toa episode plzzz

  • @imahsumaye2765
    @imahsumaye2765 Год назад +2

    You never never disappoint 😜😜😜😜😜 brooo ,,,,,, tx dullah mnyama 😂😂😂😂😂ukilewa usichatii ✋🫡🫡🫡

  • @elizamlewi389
    @elizamlewi389 Год назад +1

    Pendaaa sanaa mnyama na unyama wake

  • @azizimyavilwa8199
    @azizimyavilwa8199 Год назад

    Dullah 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @ChirstinaCaradius
    @ChirstinaCaradius 10 месяцев назад

    Ety ruka ruka nikikwambia Kaa vzr kwenye upimaji

  • @paulalove1223
    @paulalove1223 Год назад

    😂😂😂😂😂kwa fundi unaeza ukalia ukute mambo sio

  • @lemeboyofficial
    @lemeboyofficial Год назад +1

    Siwezi fanya utoto huo like🤪🔥🔥

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 Год назад +9

    Wewe unazan walimu wako unaweza kuuleta Kila sehemu? 😂🎉

  • @alfredjohn5693
    @alfredjohn5693 Год назад

    Hiv dula unaakili kweli!😂😂

  • @robertmajula1313
    @robertmajula1313 Год назад

    😂😂😂😂 nimecheka sana

  • @enockmwilongo5771
    @enockmwilongo5771 Год назад

    Tx we balaaa sana 😂😂😂😂😂😂 suti kwa wazoefu dk 7 kwel

  • @EvaManeno-p5d
    @EvaManeno-p5d Год назад

    Haha😂 Duuuh siupasuwaji huu

  • @DavidLwesha
    @DavidLwesha Год назад +1

    Kaka mguu haupitii huku 😂😂😂😂😂😂😂

  • @salumumawaya
    @salumumawaya 7 месяцев назад

    😂😂 vipimo vimepatikana😂😂

  • @frankbalingi3895
    @frankbalingi3895 Год назад

    Nyie jamaa😂

  • @zkytv6926
    @zkytv6926 Год назад +2

    Fala sana Tx 😅😅😅😅😅😂😂

  • @benardwankoka3447
    @benardwankoka3447 Год назад

    Hahaaa kweli fundi😂😂

  • @PauloGidamarocha-yp7bh
    @PauloGidamarocha-yp7bh Год назад +5

    Wa kwanza kulike

  • @dutchsafari7562
    @dutchsafari7562 Год назад +1

    Mbona kama hau enjoy 😂😂😂

  • @turnfidennikazo9437
    @turnfidennikazo9437 Год назад

    😂😂😂😂 iyo sutii 🔥

  • @dicksonmalulu4201
    @dicksonmalulu4201 Год назад

    hii comedy imefungua mwaka...

  • @giftykitira5544
    @giftykitira5544 11 месяцев назад

    I started laughing before sijaona suti aliyoshona😂😂

  • @godfreykassano833
    @godfreykassano833 Год назад

    Ila Dulla we ni Kenge 😂😂😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @promisehezron706
    @promisehezron706 Год назад

    😅😅😅duu nyie watu mmenifany nichek hd watu wameshtuka

  • @MusaBashiry
    @MusaBashiry Год назад +4

    Fundi maiko😂😂😂

  • @lucasmafikiri2171
    @lucasmafikiri2171 Год назад

    Huyu jamaa hapanaaa

  • @promisehezron706
    @promisehezron706 Год назад

    Nani anatakiwa kuwa makin😂

  • @PiliYasini-ig1vl
    @PiliYasini-ig1vl 10 месяцев назад

    😂😂😂😂😂Chad na suti zake 🙌🙌

  • @PeterKomba-qv2oe
    @PeterKomba-qv2oe Год назад +2

    Kuna tx dullar afu Kuna comedian

  • @sagevali
    @sagevali Год назад +1

    Wa 6 Leo 😂😂😂😂😊

  • @mirajidrissa9139
    @mirajidrissa9139 Год назад

    Fundi kapatikana😂😂😂😂❤

  • @ElishaGeorge-f7n
    @ElishaGeorge-f7n Год назад +3

    From Congo DRC namupenda dulla

    • @LambeDon_
      @LambeDon_ Год назад

      Wakike au wakiume kwanza punguza speed 😂

  • @aysherrashid8527
    @aysherrashid8527 Год назад +2

    Dullah Dullah...😂😂😂😂

  • @andrewraphael3098
    @andrewraphael3098 Год назад +4

    😂😂😂😂😂😂 suti ya buku 7 😢

  • @ahmedsdk6736
    @ahmedsdk6736 Год назад

    Mim huwa nikienda kw fundi hata kupunguza nguo huwa nasikiliza kwanza bei Akisema Buku nguo 1 najua hakuna huduma nzur ila akisema Buku 5 najua kuna huduma nzur tunaanza punguzana sasa 😂😂😂

  • @mohamedymadeni9428
    @mohamedymadeni9428 Год назад +5

    TX dullah mnyama

  • @DanielChaula
    @DanielChaula Год назад +4

    Suti ya kuvalisha picha mdoli🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MussaSalumu-f7z
    @MussaSalumu-f7z Год назад +3

    Sina mchezo wa kuwapiga wateja picha labda wakwanza utakuwa wewe😅😅