VIDEO: DIAMOND AMJIBU MWIJAKU KUHUSU ZUCHU KUTOKA WASAFI, AKITAKA KUTOKA/INATEGEMEA ALIINGIAJE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 ноя 2024

Комментарии • 12

  • @keadaplatnumz1063
    @keadaplatnumz1063 5 дней назад +2

    Uyo dada anaongea kweli daaah😊

  • @faizamohamed6993
    @faizamohamed6993 5 дней назад +2

    Duh si zuchu anawatilia pesa nyingi sana zitakuwa hazijafika hizo pesa wanazotaka😢

  • @DorcasMukhebi-gx7mk
    @DorcasMukhebi-gx7mk 4 дня назад +2

    I wish ningekua na pesa nimusaidie zuchu ili sisi Kama watu hatujiwezi matajiri waache kututumia Kwa sababu ya onyonge wetu

  • @AllyShamtee-yw2cr
    @AllyShamtee-yw2cr 6 дней назад +3

    mwijaku achinjwe december

  • @Marry-u8m
    @Marry-u8m 4 дня назад +1

    Nikweli WBC kuingie nirahisi ila kutoka nishida aki 😢😢😢weee

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 6 дней назад +2

    HIVI HIZI PESA AU FEDHA ZA KUKUSHINDA WEE UNAEJULIKANA KUWA NI TAJIRI MKUBWA😊

  • @eppiemodest
    @eppiemodest 6 дней назад +4

    Mwijaku wewe kila siku unakuwa kimbelembele. Mikataba yao unajua au unajipenyeza tu. Unamtetea Zuchu hakuna aliyemkataza kutoka atimize mikataba. Who are you Mwijaku? Nani aliingia kwenye issue yako wakati unatoka Clouds kwenda Crown tv. Pua kama tarumbeta. Utafilisika wewe Mwijaku ondoka hapo. Wakati anaandaliwa na Diamond Zuchu kuhusu music wewe ulikuwepo? Take your time . Kila mda ni kumsema Mond tu . Unayapenda maisha yake. Nyoo jali familia yakò. Pilipili iko shamba yakuwashani? Shame on U.

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 6 дней назад +2

    MWIJABU KAKA UNAZO SIO ZA SIFA TU.TOKENI KUTOA MISAADA YA HAO WALIOFIKWA KARIAKOO..HATA MAJI TU YA KUVYWA WAKIWA HAPO WAMESIMAMA NA KAXI ZINAFANYWA..MAGARI NI YAKO,MKE NI WAKO,NYUMBA NI ZENU POA WACHA KUJIONYESHA

  • @DorcasMukhebi-gx7mk
    @DorcasMukhebi-gx7mk 4 дня назад +2

    I wish ningekua na pesa nimusaidie zuchu ili sisi Kama watu hatujiwezi matajiri waache kututumia Kwa sababu ya onyonge wetu