Tatizo la watanzania ilo kila mtu kapatashida akihojiwa Ila ukweli mnateleza2 Mana mnakua chini a watu Leo mtto wa raisi kuwa nayeye raisi sio ishu Ila mtoto wa shehe kuwa padri iyo ndo ishu
Naomba niwakosoe kidogo kuna tafauti baina ya msanii wa hip hop Na msanii wa rap lunya ni msanii wa rap Nikki mbishi songa fid young killer one, wakazi stereo hao ndio wasanii wa hip hop...
Kaka naombaunisaidie inifanyie mpango nalunya mimi naimba kama lunya
Chamaro ..most talented young 👑
younglunya BIG brand anajibrand sana ndo manaa ana sigin dealers kubwa tofaut na babayake FATHER COUNTRY🗣
Yuo are best rapper in Music Yuong Lunya
Best rapper in Music😂😂 kwan kuna Rapper wa Muvi
Lunya 🔥🔥🔥
Congratulations brop
Blaza angu
Omaaaàhiii
Sana
Mbuziii
Lunya kawaxahau OMG wnzke☹️
Tatizo la watanzania ilo kila mtu kapatashida akihojiwa Ila ukweli mnateleza2 Mana mnakua chini a watu Leo mtto wa raisi kuwa nayeye raisi sio ishu Ila mtoto wa shehe kuwa padri iyo ndo ishu
Alikiba mwenzako kakimbia hizo records label,MBUZI jiandae kutoa Ngoma 1 Kwa miaka 5 mbele.
Naomba niwakosoe kidogo kuna tafauti baina ya msanii wa hip hop
Na msanii wa rap lunya ni msanii wa rap
Nikki mbishi songa fid young killer one, wakazi stereo hao ndio wasanii wa hip hop...
Yaah sure umemsahau na mwalimu dizaster vina
Kuna tofauti kati ya RAP na HIP HOP? Rap ni flowing na Hip Hop ni genre au Title ya aina flan ya mziki ambapo ndani yake lazima urap. CORRECTION....
Rap is what someone does Hip Hop is what one lives.
Mh
Mwamba katoboa
Inasikitisha hata ma presenter awajui kutofautisha kati ya Hiphop na Rap. Lunya anafanya Rap hata io tuzo ya Hiphop kamati ilikwama.