kharusi ya kaka Abdul khalim na dada Arafa From AQAZ

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 янв 2025

Комментарии • 171

  • @maydashaineng9403
    @maydashaineng9403 4 года назад +2

    Wow brother Abdul kila la kher ktk ndoa yko tunamkaribia wifi araf ktk ukoo wa al-mendhiiri kwa amani♥♥♥♥♥♥

  • @shuhaiftkhamis8059
    @shuhaiftkhamis8059 4 года назад +6

    Allah akupe kila la kheri katika ndoa yako akupe kizazi chema chenye kuijuwa dini yetu

  • @Shasha12345-Xu
    @Shasha12345-Xu 4 года назад +11

    Ma sha Allah kila la khery habibty Allah ajaalie kila la khery kwenye ndoa yenu na muishi kwa kusikizana na kufaana na kifo iwe sababu ya kutengana kwenu na lisiwe jengine lolote. Kila la khery mamaaa

    • @nadiabakary1466
      @nadiabakary1466 4 года назад

      Mashaallah dua nzuri Hii Nawe pia Allah akujaze kheri muombeaji dua nzuri

  • @fakishaame6542
    @fakishaame6542 4 года назад +3

    Subhannah Allah duuh yaan wake waume wanachanganika wanacheza ngoma mtihani huu yaan maaswii kitu cha kawaida ety kwny harusi unaanza safar yko ya ndoa na kumuudhi Allah hio baraka iko wap kw kwl Allah tuongoze ktk njia iliyo nyooka

    • @mohammadally3871
      @mohammadally3871 4 года назад +2

      Wakwanza Ni ww Allah akuepushe kuangalia video zisizo faa

    • @aminamahiza4059
      @aminamahiza4059 4 года назад

      Assalamualaikum Mimi ninashida na namba za ustadh hafidh jamani

  • @fatmaramadhan6909
    @fatmaramadhan6909 4 года назад +6

    Mashallah ukht arafa mungu akujaalieni kheri ktk maisha yenu ya ndoa Aamin

  • @hawaashaban8567
    @hawaashaban8567 2 года назад

    Masha Allah mabrouq jina ya huo mziki wa qaswida pls nahitaji

  • @abubakariddijuma3907
    @abubakariddijuma3907 4 года назад +1

    Hongera Dada mungu akupeni kila la kheri na awafungulie rizki za halali. By Felicity

  • @abduljabbarmohammed4188
    @abduljabbarmohammed4188 3 года назад +1

    Abdul Kalim Allah aijaze kheri nikah yako brother.

  • @ummuomar267
    @ummuomar267 4 года назад +4

    Yaani camini Mungu akupe maisha marefu yenye kheri

  • @aaaabbsbba5254
    @aaaabbsbba5254 4 года назад +2

    MashaAllah Allah awaongoze vyema ktk ndoa yenu nawapenda sanaa

  • @JUBRANBULAYHl-yb4ke
    @JUBRANBULAYHl-yb4ke 5 месяцев назад

    Mungu akubariki wewe na wako, mungu akukusanye katika wema, mungu akujalie uzao na tumbo zuri.
    Mungu afungue milango ya riziki, fadhili, baraka na rehema, Amina, Mola wa walimwengu❤🎉☝🤲☝

  • @safiarukuni8650
    @safiarukuni8650 4 года назад +7

    Mungu awajaalie waishi na kupendana ktk ndoa yao. Amiiiin

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 года назад +1

    Mashallah kila la khery katika maisha ya ndowa Allah awape subra na uvumilivu amin

  • @sabriyasuluh6254
    @sabriyasuluh6254 4 года назад

    Mashaallah ukhty arafa umepndeza 😘😘allah akulindie ndoa yko aminn

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo 5 месяцев назад

    Ma sha Allah
    Mungu awabariki na awahifadhi

  • @othmanshaib9089
    @othmanshaib9089 4 года назад +3

    Mashaallah allah dad yetu arafa kayafanye tulio kufundisha chuoni pia zingatia ya Kiongozi fakky bin mbarouk kaambali na simu ya mumeo

  • @keyhassan2050
    @keyhassan2050 4 года назад +1

    Mambo Pambe 😘😘😘😘
    Wallah atawac wac hawana wenyewe adi raaa😀😀😀mumependezana kweli tuuu💗💗💗Allah awajaalie kheir Inshallah👐

  • @binnyislamkombo3420
    @binnyislamkombo3420 4 года назад +3

    Mashaallah ukhty Arapha mw.mung awajaalie kila leny kher inshllh

  • @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 4 года назад +1

    Maashaallah Allah awape maisha mazuri na subra ktk nafsi zenu big show

  • @habibtyomary7843
    @habibtyomary7843 4 года назад +4

    Bismillah mashallah kila la kheri habebty 😍❤👌

    • @sulemohd4812
      @sulemohd4812 4 года назад

      Jmni.mbona.mimisikuyahayusiyangu.mbona.sikuwa.usojuu.km.maharusiwasa.

  • @zulfaanwar8101
    @zulfaanwar8101 4 года назад +5

    Masha Allah Allah Aidumishe milele ndoa yenu InshaAllah

  • @ashirafhamad813
    @ashirafhamad813 4 года назад +2

    Ukhty Arafa utawaacha warda na nasra pekee yao katika kusoma kaswida nilikuwa nakukubali sana arafa kwenye kusoma qaswida

  • @abubakarmzee3374
    @abubakarmzee3374 4 года назад +15

    Kwa mujibu wa dini yetu ya kiissllam hii ni haramu wala watu wasizuguke sana hii ni haramu na mwisho wa hizi sifa ni wewe na molla wako mche Mungu ndugu yangu

  • @charifhadidja
    @charifhadidja 2 года назад

    Ndolah djéma ya fouraha na raha insha allah👏💃♥️🤝

  • @ashuraali3099
    @ashuraali3099 4 года назад +1

    Mashaallah, umependeza ukhty arafa

  • @najmamuss2806
    @najmamuss2806 4 года назад +2

    Maashallah hongera san kipenz

  • @jasminali5921
    @jasminali5921 4 года назад +1

    Mashaa Allah tabarakallah hongereni saana Allah atujaalie na sie tupate waume wemaa

  • @khadijaramadhani6580
    @khadijaramadhani6580 4 года назад +1

    Umependeza sana biharusi mashaallaaaa

  • @dogosidemdachi1669
    @dogosidemdachi1669 4 года назад +2

    Mashallah mume pendeza Allah awape masikizano kwenye ndos yenu

  • @JUBRANBULAYHl-yb4ke
    @JUBRANBULAYHl-yb4ke 5 месяцев назад

    فلايبارك الله لكم وعليكم ويجمع الله بينكم على خير ويرزقكم الله الذرية البطنة الصالحة
    ويفتح الله أبواب الرزق والخير والبركات والرحمة اللهم آمين يارب العالمين ❤🎉☝🤲☝

  • @bongoommyho6255
    @bongoommyho6255 4 года назад +1

    Hongera baby Wangu arafa kila la heri inshaallah

  • @bintichausa4744
    @bintichausa4744 4 года назад

    Jamani nilipitwa Arafa kaolewa🥰🥰🥰mabrooq alfu mabrooq

  • @bintichausa4744
    @bintichausa4744 4 года назад

    Hongera my Allah awadumishe kwenye ndoa yenu

  • @utaani1
    @utaani1 4 года назад

    Nguo ya bibi harusi nzuri masha Allah nimeipenda

  • @berthasimon6977
    @berthasimon6977 4 года назад +2

    Hongera sanaaa shemeji yangu, Much respect 😘😘😘😘🙌

  • @tauhidaalikhamis871
    @tauhidaalikhamis871 4 года назад +1

    Mashaallah arafa kila la khery ktk ndoa yko

  • @shuhaidaomar3347
    @shuhaidaomar3347 4 года назад +1

    hongera dada arafa mola ukujalie kheri kwenye ndoa yakoo

  • @hakimadeyum3375
    @hakimadeyum3375 4 года назад +2

    Hongera sna boss wangu

  • @khadhoujjojo338
    @khadhoujjojo338 4 года назад +1

    Alf mabrouk 😍😍Maa shaa Allah mumependeza... Allah akujaalieni maskizano kwenye yenu ndoa🤲,🇰🇪

  • @bisurashuzza4940
    @bisurashuzza4940 4 года назад +1

    Mashallaa umependeza tena sana

  • @yusrahaji5749
    @yusrahaji5749 3 года назад

    Mashallah umependa arafa😍😍😍😍

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 4 года назад +4

    Mashaa allah ❤️

  • @RahmaHussein-k8g
    @RahmaHussein-k8g Год назад

    Mashaallah❤

  • @marymusi8235
    @marymusi8235 4 года назад +16

    Tena hushangaa mabwana harusi walivyokua hawana wivu kukubali wake zao kuonyeshwa mitandaoni huku wamapambwa kama hivyo huo ni kukosa wivu huko

    • @badalabdallah7761
      @badalabdallah7761 4 года назад +3

      Ndoa siku hizi ni kama maonyesho tu ndugu yang wanashindwa kujielewa binadam kwamba hiyo ni nusu ya dini

    • @hidayambarka6733
      @hidayambarka6733 4 года назад

      Mashaah

    • @isimailmiraji2995
      @isimailmiraji2995 4 года назад

      Wanataka kusaidiwa amba

    • @ummyabdul1874
      @ummyabdul1874 4 года назад

      @@isimailmiraji2995 😂😂😂

    • @dereva6452
      @dereva6452 4 года назад

      ruclips.net/video/WvlNyr_jBNo/видео.html

  • @eshaomari6363
    @eshaomari6363 2 года назад

    Allah ibarik,,,♥️♥️

  • @bidalamwachedi2885
    @bidalamwachedi2885 4 года назад +1

    Assalamualaikum,mashallah gd weding

  • @imammuhamed3524
    @imammuhamed3524 4 года назад

    Hongera mshihiri mungI akujalie

  • @ummisoud6774
    @ummisoud6774 4 года назад

    Masha Allah hongera dada hongera

  • @suhaifamasoud4965
    @suhaifamasoud4965 4 года назад +2

    Mashaallah dada arafa 😍

  • @smilefaty6387
    @smilefaty6387 4 года назад +4

    Sasa kifabri wewe mwenyewee waliii unatetemekaaa bwana harusi itakuwajeeee huyu kifabri mayyitiiii kweliii😂😂😂😂

  • @rehemakawambwa9914
    @rehemakawambwa9914 4 года назад +1

    Mashaallh Ongereni maharusi

  • @lutfyasuleiman5568
    @lutfyasuleiman5568 3 года назад

    Ulinzi mAkin sana big up art bashite and kunguru

  • @maalimjuma6061
    @maalimjuma6061 4 года назад +1

    Mashllh hongera Arafa

  • @samsungj7pro64gb5
    @samsungj7pro64gb5 4 года назад +5

    MashaAllah ❤❤

  • @salwasuleiman3525
    @salwasuleiman3525 4 года назад +2

    Maa shaa Allah

  • @mafundaali9974
    @mafundaali9974 Год назад

    Massallah

  • @maryamali-wl7lh
    @maryamali-wl7lh 7 месяцев назад

    Mashall

  • @jabirkombo5483
    @jabirkombo5483 4 года назад +2

    Goood ongezeni biiidiiii

  • @Salhiya-hr7dy
    @Salhiya-hr7dy 4 года назад +2

    Mashaallah Allah awadumish ila waliiii unatetemeka mpak chango uyi bwn harusi hasemeki na hao wapambe walokaa hal wanamchafulia mwenzao picha tu

  • @khamoshmikidadi9262
    @khamoshmikidadi9262 4 года назад +2

    Mashallah mng awadumishe

  • @zahraiddy2017
    @zahraiddy2017 4 года назад +1

    Maashallaah

  • @rojamiller6607
    @rojamiller6607 4 года назад +1

    Hongera dada Arafa

  • @ilhamamour3321
    @ilhamamour3321 4 года назад +1

    Jazakallahu mashalla

  • @zainabuselemani892
    @zainabuselemani892 4 года назад +1

    Mashaa Allaaah

  • @sulemohd4812
    @sulemohd4812 4 года назад +1

    Mashallah

  • @tushdon9726
    @tushdon9726 4 года назад +7

    Mashallah ....bibi harusi hana furaha mbona kama kalazimishwa vile

    • @tauhidaalikhamis871
      @tauhidaalikhamis871 4 года назад +1

      Unajua ukijihashua utaambiwa huna hya ,nibr unune watu watafumb midomo

    • @tushdon9726
      @tushdon9726 4 года назад +1

      @@tauhidaalikhamis871 ukinuna sana haipendez na ukijisahau sana haipendez ....wakati wakupiga picha lazima uchangamke ndio picha zipendeze

    • @ashuraalijma6659
      @ashuraalijma6659 4 года назад

      @@tauhidakhamis717 hhhhh Bas haya

    • @nassrajaffar5386
      @nassrajaffar5386 4 года назад

      @@tauhidakhamis717 eee tupe umbea best

    • @tauhidakhamis717
      @tauhidakhamis717 4 года назад

      @@nassrajaffar5386 Mh tpe nanaaa

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 4 года назад +2

    Mashaallah💓💓💓💓

  • @afiyaliy8879
    @afiyaliy8879 4 года назад +1

    Hongera dear

  • @huaweiphone9120
    @huaweiphone9120 4 года назад

    Mashaallah dada arafa

  • @sumeyyaothman7608
    @sumeyyaothman7608 4 года назад +3

    Huyo alokaa hapo kaharibu picha kweli

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 4 года назад +1

    Uyo shekh Anae ozesha BDO
    Asomeshwe kur an BDO haswaa
    Na hadisi pia Anasoma vibya makosa haswa kur an Afundishwe

  • @hassanabdalla7644
    @hassanabdalla7644 4 года назад

    Simple but very nice

  • @tauhidakhamis717
    @tauhidakhamis717 4 года назад +2

    Nkion hivi n me ntmn kuolewa

  • @salimjuma5429
    @salimjuma5429 4 года назад

    Hongera mshihiri

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 4 года назад +1

    Mashallahu

  • @mauahamisi7547
    @mauahamisi7547 4 года назад +2

    Mashaallah maisha marefu twawaombea

  • @zlfamz3540
    @zlfamz3540 3 года назад +1

    Sisi pia twaomba tupate waume wema

  • @feisal6592
    @feisal6592 2 года назад

    Sasaa nimewapa homewark mpaakaa saii hakuna jawabu kwanini namumesomaa kituuu simbpoll kabisaa

  • @mohamedally8663
    @mohamedally8663 4 года назад +1

    Mashaallaah

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 4 года назад +1

    Mbn MA bulgadi Wana cheka

  • @bfbfalhamadi2265
    @bfbfalhamadi2265 4 года назад +1

    الف مبروك

  • @feisal6592
    @feisal6592 2 года назад

    Zaitunii ananitosha tuu oky sio lazima wengine maanaakee imekuwa lingii

  • @marymusi8235
    @marymusi8235 4 года назад +8

    Lakini waislam wa leo sijui tunakwenda wapi tena ni maustadh hao haifai kwa waislam pia na mbiharusi wa kiislam kujitoa kwenye mitandao tena mumejipamba kama hivyo ni wake za watu munapata dhambi jamani sio uislam huo

    • @hadijakhonde7609
      @hadijakhonde7609 4 года назад

      Mashallah imefana namuomba mungu yangu ikamilike kama nyie

    • @sulemohd4812
      @sulemohd4812 4 года назад

      Huyumwanaumehanawivu.anaonekana

  • @rabiamussa3228
    @rabiamussa3228 4 года назад +3

    Uyo alokaa kaharibu picha

  • @ashasalim5967
    @ashasalim5967 4 года назад +1

    Hongera dada karib kwenye chama

  • @khamoshmikidadi9262
    @khamoshmikidadi9262 4 года назад +11

    Ao walokaa apo wamemuharibia mwenzao picha s wangeondok

    • @abdullsaid2708
      @abdullsaid2708 4 года назад +1

      Usilamu aliekaa apo kitanda mlaumu mover camera yeye ndio mwenye jukumu hill hajaipenda kaz yake kw7b mwenye jukumu la kutengeza mazira mazur ya kazi ni yy akipendezesha shughul ni yeye na akiharib pia ni yy km hivi alivoharib

  • @omaromar-eb6og
    @omaromar-eb6og 4 года назад +4

    Natamani namm niolewe jmni

  • @aminhsaid2670
    @aminhsaid2670 4 года назад +1

    Mashaallah

  • @zaharahaji1642
    @zaharahaji1642 4 года назад +1

    MashaAllah

  • @mwaishabushiri1130
    @mwaishabushiri1130 4 года назад +1

    Respect timu ulinz

  • @sabahisalum7249
    @sabahisalum7249 4 года назад +1

    Nice

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 4 года назад +2

    Hongera Arafa

  • @mussavande-mcstar1890
    @mussavande-mcstar1890 2 года назад

    Na iwe ya kheriii Nikah

  • @omarmuhtar2593
    @omarmuhtar2593 4 года назад

    Oo

  • @ahmedalkiyum7592
    @ahmedalkiyum7592 2 года назад

    Kasida nzur ila hao mabwana wana sifa hatari ndio nini usalama au hahahah

  • @masikashambi6059
    @masikashambi6059 4 года назад

    Ma shaa Allah

  • @mchallamchalla5557
    @mchallamchalla5557 3 года назад

    Muungu akujae kila kaheri kwenye ndoa yko

  • @dullahamoud6037
    @dullahamoud6037 4 года назад +1

    Hivo kufanya mabaidigad ni ushamba

  • @hamadsuleimaan802
    @hamadsuleimaan802 4 года назад +3

    Nimependa biti ya leo nyoyo za wazazi ipo vyema sana

  • @aqazrohqiati
    @aqazrohqiati 3 года назад

    Maaf Kak, Aqaz sebenarnya apa sih artinya?