USTADHI SHAFII AKATAA KUWATUMIA MAJINI NA PETE ILI KUJIPATIA FEDHA ASEMA NI SHIRIKI NA UTAPELI
HTML-код
- Опубликовано: 14 окт 2024
- MWENDELEZO WA MAHOJIANO YETU NA USTADHI SHAFII JUU YA KUFATA ELIMU YA MANABII KATIKA UISLAMU NA KUTUMIA PETE NA MAJINI KATIKA TIBA
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah akuhifadhi sheikh Shafii una ongea ukweli wa haki
Allah akupe umri mrefu sheikh wangu uzidi kutufumbua macho na kutulingania
Kushika fimbo ni utamaduni/culture wa Kiarabu.
Sheikh shaffi na ndo maana na kukubal
Majini yenyewe anayo basi?
Sasa kama Shirk ni dhambi ISIYOSAMEHEKA?ni waislamu wangapi hawajashiriki kufanya shirk???na hao walokuwa wakifanya na wakaacha mbona wanapoteza Muda wao kuswali wakijua hukumu yao Ishapita???
Huyu Mzee ana chuki tu, Mzee wa mitaani
Sasa Suleiman alijulikana kwa Pete au sura? Wewe Mzee vipi? Iyo shetani alochukua Pete ya Suleiman bila ya shaka na sura yake pua ilibadilika akawa kama Nabii Sueliman sio Pete tu
Uko poa mhadhiri wetu, wape watu au waislam elimu wasitegemee au mapango au majini ili wapate utajiri hio ni shirki, watu wafanye kazi kujipatia kipato.
Kwa mtazamo na akili ya kawaida kama utakuwa unafuatilia mawaidha ya ustadhi shafii na interview zake utakujakuona yakuwa kama hajakomaa na hajajuwa hii dini vizuri, jaribu kuwatizama masheikh wotee kuanzia sheikh wa mkowa wa dares salaam sheikh mkuu wa Tanzania Dr sule na baazi ya masheikh wanao trend kama jeshi LA mtu mmoja sheikh mziwanda na wengine utaona wakiwa nanaongea na kufanya mawaidha Yao huwa wanatumia ile sign au saini ya tuliyoizowea kuuita ni saini ya freemason wanayoitoa mapapa na baadhi ya wasanii au wanamuziki wakubwa wa amerika na duniani kwa ujumla, ustadhi shafii hajaijua dini vizuri hau hajasoma vizuri bado Ana safari ndefu ya kurndelea kuisoma dini maana dini haina mwisho Sema inaitaji muda na subra kuijuwa, na ukishaijuwa dini...............