KAMA NYWELE ZAKO ZINAKATIKA NA HAZIKUI, NI KAVU NA NGUMU HILI NI SULUHISO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 90

  • @carenmgongolwa8127
    @carenmgongolwa8127 2 года назад +3

    Yan jaman hizi product za mega ni nzuri mnoooo yan mm nimetumia mara moja tu na matukeo ni mazuri nywele imejaa na inapendeza

  • @HildaTengio-s7t
    @HildaTengio-s7t Месяц назад

    Mimi nywele yangu ni natural jmn hazikui Zina MBA sana

  • @kettylucas5557
    @kettylucas5557 Год назад

    Habari Vivian Mimi nywle zangu nimeziaribu kwa bodray yan zimekua nyepes nifanyeje zirudi kwenye ubora wake

  • @leahmuntali8885
    @leahmuntali8885 4 месяца назад

    Hongera kwa mafunzo mazuri ya nywele. Swali langu hizo conditioner " leave in na deep conditioner unazitumia zote kwa wakati mmoja au inakuwaje?

  • @neemagondwe926
    @neemagondwe926 2 года назад

    Naweza tumia dawa mega maan Nywele angu Ni kavu na ngumu.....

  • @mariampaulo7894
    @mariampaulo7894 4 месяца назад

    Conditioner inaitwaje?

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 Год назад

    😳😳 mm shida yang shampoo maan shampoo nilio nunua ya mega ya ghana ina sulfate sasa bidhaa zingine zote hazina sulfate kasoro shampoo

  • @kibouttv7148
    @kibouttv7148 4 года назад

    Waooh hiyo conditioner inaonekana ni nzuri Sana na inalainisha nywele vizuri hadi raha, Asante kwa kushare nasi Vivianatz

  • @ashuramajidi6074
    @ashuramajidi6074 Год назад

    Kukaa kwenye draya au stima kuna ulazima?

  • @fahmatjuma8115
    @fahmatjuma8115 2 года назад +2

    Habari

  • @bwilokisinga5
    @bwilokisinga5 Год назад

    Unaweza kutumia leave in na deep conditioner kwa wakati mmoja na ni mafuta gani mazuri kwa nywele natural

  • @JenniferMangasini
    @JenniferMangasini Год назад

    Asante

  • @asumthasalumnassor8910
    @asumthasalumnassor8910 2 года назад

    Jamn naombeni ushauri me natumai dawa ya olive oil, lkn nywele zangu zinakatika na hazikui, nahitaji kubalisha dawa nitumie dawa gani

  • @adelinadeogratius1027
    @adelinadeogratius1027 2 года назад

    Nice hair

  • @logobonking1561
    @logobonking1561 2 года назад +1

    Deep conditioner unatumia mar ngap kwa wiki au kila ubapofumua nywele na kusuka au kuzioxha

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 года назад

      Yes dear kila ninapofumua na kila ninapoziosha

    • @LatifaUkhti
      @LatifaUkhti 5 месяцев назад

      Nikiitaj naipataje

  • @Thisisgrace979
    @Thisisgrace979 Год назад

    Nywele zangu ni laini mno na ni kavu, pia hazikui (natural)

  • @rebeccatweve2988
    @rebeccatweve2988 4 года назад +1

    Thanks vivie

  • @yasintamyamba6785
    @yasintamyamba6785 4 года назад

    Asanteeee💓

  • @rispernandesh5532
    @rispernandesh5532 4 года назад

    Iko poa sana....naipenda Mega Growth

  • @mauwam3627
    @mauwam3627 4 года назад +10

    Mafuta ya nywele je ukishamlza kutumia hiyo conditioner tutumie mafuta gn

    • @زيتونتنزانيا
      @زيتونتنزانيا 4 месяца назад

      Tengeneza mafuta ya para hichi. Nunua para hichi yale malını yapondepinde usisage nabrenda kisha anika juani mpka iwe imekauka yakikauka inakuwa mweusi kisha kamua utapata mafuta fresh ya parachichi

  • @happykisanga4144
    @happykisanga4144 4 года назад

    Asante vivianatz. Nina swali izo brush ya nywele Kama za chuma unazo tumiaga wakata umepaka gel unabrashi ili zilale na kukaa vizuri zinapatikana wapi

  • @MwanahijaAbdul-le4ci
    @MwanahijaAbdul-le4ci Год назад

    Dear nishauri nitumie dawa gan maana nywele zangu hazikui Kila Niki suka then zinakatika sana

  • @aminakunja277
    @aminakunja277 2 года назад

    Kwani deep conditioner ndo steaming jaman Mimi zinanichanganya

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 года назад

      Hapana dear zipo tofauti, nitaweka video nielezee utofauti wake

  • @QueenTito-os3pe
    @QueenTito-os3pe 8 месяцев назад

    Hivi mfano mimi nywele yangu sio kavu sana ni kawaida tu na huwa natia tcb ya kopo na nataka kutumia megga ya box sasa vp nywele haitatika kweli

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  7 месяцев назад

      Kaa kama miezi mitatu bila kuritachi then ndio ubadilishe dawa, hazitakatika dear

  • @EroniaEronia-h9d
    @EroniaEronia-h9d 6 месяцев назад

    Naomba jina yaayo mafuta yanaitwaje

  • @jamilkhamiss1601
    @jamilkhamiss1601 4 года назад

    Napendaga iyi products but kwa South Africa nasumbuka kuipata kweli

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 года назад

      Polee dear haribu kununua online

  • @witnessmtoi4198
    @witnessmtoi4198 4 года назад

    Watu husema ukicroach sna nywele hukatika mbele jeh nn ni suluhishoo

  • @givenessmacmillan5964
    @givenessmacmillan5964 4 года назад +2

    Kwa nywele za dawa je unaweza ukatumia pia????

    • @lynalyna3968
      @lynalyna3968 4 года назад

      giveness macmillan yes tn nzr sana

    • @leoniaosward2901
      @leoniaosward2901 4 года назад

      @@lynalyna3968 jamani.mbona huku mkoani tunauziwa mega ni nyepesi.mno kwa nini?? au ni feki?

  • @rehemakyamba3390
    @rehemakyamba3390 4 года назад

    Iyo mega inapatikana maduka yote urembi

  • @tujiakilumile8400
    @tujiakilumile8400 4 года назад

    Nakupendaga

  • @vailethmartine4998
    @vailethmartine4998 3 года назад

    Habari naomba utuorodheshee bidhaa za mega au seti nzima nnayozakiwa kuwa nayo (mega pruduct)

  • @AnifaJackson
    @AnifaJackson 3 месяца назад

    Je napajate niko mbeya

  • @catherinehassan7759
    @catherinehassan7759 4 года назад

    Vizuri ukitutajia na bei

  • @LatifaUkhti
    @LatifaUkhti 5 месяцев назад

  • @DorkasHansuli
    @DorkasHansuli Месяц назад

    Niko tunduma napateje

  • @suzanromanus9110
    @suzanromanus9110 4 года назад

    Sorr Mpenzi mie ninayo cantu leaving conditional so nikifanya kam ivo hazitakatika kwel au mpka niigumie hiyo mega mpndwa

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 года назад

      Hata hiyo ni nzuri pia dear

  • @VeronicaGodwin-hg2jj
    @VeronicaGodwin-hg2jj 8 месяцев назад

    Unayapataje

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  8 месяцев назад

      Maduka ya urembo dear unayapata

  • @fridageorge3582
    @fridageorge3582 4 года назад +1

    Nakupenda sana ubarikiwe🙏

  • @ClaraMasao
    @ClaraMasao Год назад

    ni bei gani

  • @salimasanga4096
    @salimasanga4096 2 года назад

    Nywele zang kabisa

  • @munirahamida4815
    @munirahamida4815 3 года назад

    Bei gn my

  • @bwilokisinga5
    @bwilokisinga5 Год назад

    Maji unayospray nywele ni maji tuu ya kawaida auu

  • @ReginaSiteven
    @ReginaSiteven Год назад

    Hellw nywele zangu zimekatika kwa mbele

  • @antiagaspary9208
    @antiagaspary9208 2 года назад

    Unatumia mafta gan kupaka USO dear

  • @mijarajabu5554
    @mijarajabu5554 4 года назад

    Dear nywele yako ni aina gani...low medium ama high porosity? Au product ni kwa all hair types?

  • @SophiaJoseph-bg6oo
    @SophiaJoseph-bg6oo 8 месяцев назад

    Hayo mafuta yanaitwaje tafathari

  • @SharifaMgude
    @SharifaMgude Год назад

    Nita yapata wap hya mafuta jaman

  • @halimampili5006
    @halimampili5006 11 месяцев назад

    unaweza kutumia hata kwa natural

  • @norahwalter387
    @norahwalter387 3 года назад

    Ni shi ngap dear??

  • @neriahbrayceson1319
    @neriahbrayceson1319 2 года назад

    NoKo

  • @PRIYYAL-j4y
    @PRIYYAL-j4y 5 месяцев назад

    Shingapi

  • @ummuhashbal3426
    @ummuhashbal3426 3 года назад

    Sh ngapi hayo mafuta?

  • @cuteme9292
    @cuteme9292 4 года назад

    Samahan mbona mm nikiosha nywele zang zinarud sana

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 года назад

      Ni kawaida dear, ukipaka leave in conditiona zinanyooka vizuri

  • @hopewakesho8623
    @hopewakesho8623 2 года назад

    Niko na swali unaeza paka kaa mafuta zikiwa zimesongwa nywele?

  • @hejopantumsifusimon21
    @hejopantumsifusimon21 4 года назад

    Bei yke t mm hoi

  • @lucyleonard8815
    @lucyleonard8815 4 года назад

    Nywele zako zinakuwa hatar

  • @rehematupa2585
    @rehematupa2585 4 года назад

    Inapatikana maduka gani

  • @tausiyassin9423
    @tausiyassin9423 4 года назад +2

    kwaiyo aya n mafuta au n nn na shngp

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 года назад

      Elfu 12 dear kariakoo

  • @angelaandrew1563
    @angelaandrew1563 2 года назад

    Na matunzo ya nywele za dawa

  • @JacklineOlest-bw6no
    @JacklineOlest-bw6no Год назад

    Asante