@@FaustinaMalandu5-mv6rvVipi huwa unafanya protein treatment?? Nywele yako unaipa unyevu kila siku?vipi kuhusu kusuka misuko protective? Ukifanya hivi trust me nywele hazitakatika
Samahani kwa kurudi kuuliza tena!! Hiyo lorys ya kitunguu mbona huwa huwa tunasetiwa nayo nywele saloon nyingi tu nimeona sehemu umereplay comment kwamba ni yakuoshea tu sio ya kukaushia ebu nieleweshe mpenzi
Karibu mpenzi, steaming ya rolys siyo ya kusetia hairuhusiwi kubaki kwenye nywele , hapo wanaosetia wanakwenda kinyume na maelekezo ya waliotengeneza , Kwa sababu wameandika kabisa weka ukimaliza Osha
@@VumiliaJackson-w1t karibu Sana mpenzi Tumia steaming ya yai , asali au iliyochanywa yai pamoja na asali ....zote hizo ni nzuri Sana Kwa kulainisha nywele.
Pole Sana mpenzi....Nunua steaming ya olive oil ....ni nzuri sana Kwa nywele ambazo hazina dawa itakusaidia na pia uwe unafanya steaming Kwa wakati utapata matokeo mazuri.
Habari dear hii steaming ya dark and love ata mwenye natural hair anapaka
Be blessed faith
Ameen
Yeah mwenye natural hair anatumia mpenzi
Ipi nzuri Kwa nywere natural na kavu
Tumia steaming ya olive oil
Asante kwa somo mm nywele zangu ni natural hlf ni nyepesi nitumie steaming ipi hapo
Asante
❤
Mm natumia stimingi ya dark ana love na mqfuta ninayopaka ni blue magic ila nywele zangu zinakqtika cjui sababu ni nywele za dawa
@@FaustinaMalandu5-mv6rv unaweka dawa Gani mpenzi , unaweka dawa Kila baada ya muda Gani, pia huwa unafanya steaming Kila baada ya muda Gani?
@@Faithbeautyclasses dawa naweka tcb uwa naweka baada ya miezi mi2 ila steam naweka kl wiki mbili
Tumia dawa ya box achana na ya kopo@@FaustinaMalandu5-mv6rv
@@FaustinaMalandu5-mv6rvVipi huwa unafanya protein treatment?? Nywele yako unaipa unyevu kila siku?vipi kuhusu kusuka misuko protective? Ukifanya hivi trust me nywele hazitakatika
Ni steaming ipi nzuri kwa nywele natural na lain sana?
Dark and lovely ya cholesterol au olive oil
Steaming unatakiwa kuiweka kila baada ya siku ngapi?
hiyo stimingi kitunguu swaimi itumika hata kwa wenye nyweIe NexhiIo
Hbr iyo ya mayonise naweza kusetia
Zinapatika wapi
Samahani kwa kurudi kuuliza tena!! Hiyo lorys ya kitunguu mbona huwa huwa tunasetiwa nayo nywele saloon nyingi tu nimeona sehemu umereplay comment kwamba ni yakuoshea tu sio ya kukaushia ebu nieleweshe mpenzi
Karibu mpenzi, steaming ya rolys siyo ya kusetia hairuhusiwi kubaki kwenye nywele , hapo wanaosetia wanakwenda kinyume na maelekezo ya waliotengeneza , Kwa sababu wameandika kabisa weka ukimaliza Osha
Kabisa sio ya kusetia au kunyooshea inakata nywele ukifanya hvo
Je steaming ya "perfect" ni ya kuosha au kusetia?
Ya beckon nzr pia na matumiz yake yakoj
Misster mi nywele yangu ngumu sana alafu nyingi nitumie ipi ili zitumike kwa haraka
@@VumiliaJackson-w1t karibu Sana mpenzi
Tumia steaming ya yai , asali au iliyochanywa yai pamoja na asali ....zote hizo ni nzuri Sana Kwa kulainisha nywele.
Mi yangu ina dawa stiming ipi inanifaa hapo!niwe napaka
Weka ya dark and lovely mpenzi
@@Faithbeautyclasses asante
nyweIe zangu ahazina dawa hiyo ya kitunguu swahimi naweza kuitumi nyweIe yangu inakatima sana
Pole Sana mpenzi....Nunua steaming ya olive oil ....ni nzuri sana Kwa nywele ambazo hazina dawa itakusaidia na pia uwe unafanya steaming Kwa wakati utapata matokeo mazuri.
Habar hyo ya ulira cholestero shngp
Kopo dogo ni elf8 mm nimemunua
Hello dear hiyo steaming ya kitunguu swaumu huwezi kuosha afu ukatumia kubodyl
Hapana mpenzi huwezi KUTUMIA hii imetengenezwa Kwa ajili ya kichemshia kwenye steamer na kuosha hairihusiwi kukaushia kwenye nywele
Unapatikan wap
Napatikana Dar es salaam Tegeta Azania mpenzi