#MASUFI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 ноя 2024

Комментарии • 294

  • @MunahyaMubaraka
    @MunahyaMubaraka Месяц назад +4

    Nakupenda sana sana sanaaaaaaaa kwaajir ya ALLAH shekh Muhammad nassor bachu . Allah atuongz waislam wotee inshallah kwan naumia sanaaa

  • @omarishamata781
    @omarishamata781 Месяц назад +1

    mashaallah shekhe Allah akuzidishie na awaongoze wliopotea

  • @Omanzikra-ft5cr
    @Omanzikra-ft5cr Месяц назад

    Masha allah sheikh umenena vema mungu akupe maisha mare uendelee kutujuza

  • @faridbashuu
    @faridbashuu Месяц назад +3

    Maulid haina Thawabu tulio ahidiwa na Allah. Ni kujipa kazi bila mshahara...
    Barakallahu feek Sheikh Muhammad Bachu. Shukran Kwa ukakamavu wako. Barakallahu feek

    • @jimjam-xg7rv
      @jimjam-xg7rv Месяц назад

      Ina maana panapo sifiwa mtume MOHAMMAD (S.A.W) ni thambi ama?

    • @faridbashuu
      @faridbashuu Месяц назад

      @@jimjam-xg7rv Sheikh Ashaweka mambo wazi Kakangu.

  • @allynally4015
    @allynally4015 23 дня назад +1

    Kwanza yule abuu rududi ni khanith pili ni mshirikina tatu alipokutana na bachu hakua na hoja na wala hatatokea na hoja maishani

  • @nassorochura7838
    @nassorochura7838 Месяц назад +3

    muhammad bachu upo sahihi tatizo sisi waislamu hupenda sana kukalilishwa bila kusoma na watu haohao wanatoa hadithi ya bi aisha alipo sema mtu atakayefanya jambo ambalo hatukulifanya sisi atarejeshewa mwenyewe sasa tuwaulize watu wa maulid hili ni la nani sasa

  • @AmjadiAlly
    @AmjadiAlly Месяц назад +1

    Bachu.hongera.allah akuzidishie ufahamu.mkubwa tunafajirika wallah

  • @bwagizoselemani8434
    @bwagizoselemani8434 Месяц назад +4

    Daah shekhe wangu kiukwel kabisa jins unavyo zungumza mwenye akili wala hahitaji maelezo zaid upo sahihi sana Allah akujalie

  • @ALiBAba-zz2td
    @ALiBAba-zz2td Месяц назад

    skuizi na nyny mnaazimisha mazazi ya mtume.Mashallah. nimeona na kishki Tv. Shukran sana.

  • @maadinaJuma
    @maadinaJuma Месяц назад +3

    Allah akuhifadhi endelea kufikisha hata akikusiki liza mtu mmoja ukimaliza kwahawa masufi rudi kwa salafi jadida

  • @PapaabdouAli
    @PapaabdouAli Месяц назад +3

    Karibu sheikh wetu Mohammad Nassoro Bachu , Hapa Visiwa vya KOMORO , Uje utowe Giza la Ujinga lama Mashiya . INSHAALLAH ❤

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu Месяц назад

      😂 hao wangazija hawaezeki kabisa

    • @bagalucha
      @bagalucha Месяц назад

      @@Khalid-mf3iuMahurafi wamevamiwa na Shia,kwa vile manhaj zao zina urafiki mkubwa na mashia

    • @MohammedSaid-zk7yg
      @MohammedSaid-zk7yg Месяц назад

      ​@@bagaluchahao mashia ndio msiwajaribu kabisaa mawahabi elimu ya kibanii Umayah msijaribu kuwachokoza wafuas wa ahlu bayt rasul llah alayh Salaam

    • @bagalucha
      @bagalucha Месяц назад

      @@MohammedSaid-zk7yg Na wewe Shia nini?watu shirki na uwongo kwenda mbele,maadui wa uislamu.

    • @MohammedSaid-zk7yg
      @MohammedSaid-zk7yg Месяц назад +1

      @@bagalucha huna ujualo akhy

  • @SurprisedCurling-si9yr
    @SurprisedCurling-si9yr Месяц назад +1

    Wengine huamini Mtume Muhammad sallallahu aleyhi wasalam ahudhuria maulidini... innalliah waina ileyhi rajiun

  • @KhalfanMassoud
    @KhalfanMassoud Месяц назад +4

    Jazaka llahu khaira

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv Месяц назад +2

    Hii kila mwaka Inasemwa na watu maulidi tunaendelea kusoma....
    Sio Lazima watu woooote wasome maulidi..... ndio maana ya kuwepo kukhitilifiana.... Mlokuwa hamsomi maulidi.. Msifatilie wala kuangalia....
    Mbona Kulikuwa Kimyaa
    Endeleeni tu na Raddi kati yenu ma SALAFIYA ALJADIDA NA SALAFI WA KALE....

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Месяц назад +3

    Tatizo la bachu anahisi ana elimu zaidi! Unajua most ya watu wanaishi kwa mihemko!!!! Sasa kujua kwingi mbele giza……. Hawezi kua na elimu ya kumshinda said jafar iwe itakavyokua…….. ( unajua kuna vitu vingi vyakukazia ili jamiii ikae sawa…. Vijana hawaswali na madawa ya kulevya au watu kudhulumiana katika jamii hivi vitu vilitakiwa vipigiwe kelele sana!!! Ila watu hawaoni wao maulidi maulidi!!!!!!!! Kuna mayatima na wajane wanasumbuka pia ilitakiwa waislamu na wanaharakati wayashughulie haya jamiii ingefikia mbali sana…..pia kuna sehemu vya vivuko wanafuzi wakirudi shule unaweza kusimamia kwa kuwavusha ili jamii kuepusha na mabalaaa ya ajali hatufanyi hivyo…watu wamekaaa kupinga maulidi ndio wanahisi kukamilisha uislamu…..watu wanafikra mbovu sana

    • @McT-m1m
      @McT-m1m Месяц назад

      Mbona gazette la mwananch afu umeboronga tu

    • @abdallahkiwe7737
      @abdallahkiwe7737 Месяц назад

      Umenena vema

    • @izmamjamali
      @izmamjamali Месяц назад

      Hapo uko sawa kabisa kwa mwenye akili ya ndani atakuelewa vizury

  • @bwagizoselemani8434
    @bwagizoselemani8434 Месяц назад +2

    Kinacho nishangaza mm watu wakiwa maulidini hata kuswali pia watu tunapuuza mpaka mashekh hawaend kuswal wapo kwenye zefe

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 Месяц назад

    Jazakallahu kheir sheikh

  • @HaamidKhamisi
    @HaamidKhamisi Месяц назад +1

    Leo mashaalha umetoa darsa nikakuelew Sio huelewek

  • @isaack100
    @isaack100 Месяц назад +3

    Say kaanza mwanamke haajar.nanyie na ndevu zenu mwafwata kitendo kile.kisha funga la ashura walianza mayahudi na mtume akafwata mbona?lakni na kufhamu sna uliwahi sema kuna nchi Mungu kawanyima fadhla za Arafa aibuuuuuu wallah

    • @farajichilumba5114
      @farajichilumba5114 Месяц назад

      Sisi twafanya coz mtume alifanya ye asingefanya infebaki stori tu kwama haajira alifanya kadhalika ashura

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Месяц назад

      NA NDEVU ZA KUUMA?😢😢😢😢

    • @abuuaidh6500
      @abuuaidh6500 Месяц назад

      Huyu inaonekana hajui hata lipi ibada

    • @bagalucha
      @bagalucha Месяц назад +1

      @@abuuaidh6500 Haki itabakia haki,na mwishowe itasimama tu,Ikiwa Allah ndie aliekadiria kila kitu,Qayyima yake itasimama,Allah keshatubainishia muongozo wake kutoka kwa mtume wake,hizi tafaraka na uzushi,tayari zikishatokezea kaumu zilizopita.Sisi ibada tutamfuata Allah muongozo wake,na aliyokuja nayo mtume wake,hiyo ndiyo haki.
      Waumini ni watulivu na ni wenye kusubira,

  • @NassirHussein-k5g
    @NassirHussein-k5g Месяц назад

    Maulidi kuzungumziwa Sana Hilo lipo wazi NI Jambo la kheri ..na siku ZOTE kheri hupingwa Sana na SHARRI hutetewa...Bachuu mm nipo Malindi njoo tuchambue vitabu Acha kupotosha

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 Месяц назад

    Masufi wanadai ndio wao wampenda mtume kuliko mwasahaba

  • @EpcDistributor09
    @EpcDistributor09 Месяц назад +3

    Kama huku dodoma sasa hivi kila Kona fujo za maulidi misikiti yabwatu wa Sunnah ni michache mno Allah atuongoze

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      ahaa hivi Dodoma sunnah chache xana eee imetawala bidah sio ni hatari mji ukiwa umejaa bidah kunaitajika watu wafanyiwe daawa waijue sunnah

    • @EpcDistributor09
      @EpcDistributor09 Месяц назад

      @@AbdulIssa-o7e wewe fikiria hatwibu yupo juu ya mimbar uku kuna watu na vikapu wanakusanya sadaka ko ni mtihani

  • @badrudinsalum3139
    @badrudinsalum3139 Месяц назад +1

    Barakallahu fiyka

  • @MansourIssa-d1c
    @MansourIssa-d1c Месяц назад +2

    Maulid ni uchafu uhuni ushenzi mcheni allah watu wa maulid mutachomwa kwa uzushi wenu

    • @MussaHamad-m2q
      @MussaHamad-m2q Месяц назад

      Jinga kabisa

    • @jemedarmohamed3644
      @jemedarmohamed3644 Месяц назад

      Chunga mdomo wako kijana

    • @hassanisihaka910
      @hassanisihaka910 Месяц назад

      Wasipochomwa watu wa Maulid watachomwa wasiopenda Maulidi maana tunadhani tuko sahihi sanaa na tukafikia kipindi tukajiweka pepo kwetu wenyewe
      Tafuta maneno ya hekima na busara kueleza watu sio kwa matusi hiyoo

  • @DiniMwambashi
    @DiniMwambashi Месяц назад

    Leo nimekuelewa vizuri sana

  • @RAMADHANIMohammed-vv6bx
    @RAMADHANIMohammed-vv6bx Месяц назад

    Mbona Saudia kuna wiki nzima kila mwaka kutaja sira ya sheghe Muhammad bn Abdul wahaab

  • @kasimusalimu
    @kasimusalimu Месяц назад +1

    Bachu nimtu wakupenda sifa nakujiona anaelimu kwani kilakitu kama akubun swahaba awez kubun mtu mwengine mbona msikit wamaka umezidishwa kwakubuni watu wengine je inafaa uo niuzuka

    • @nassleydady5783
      @nassleydady5783 Месяц назад

      Labda nikujib kwan msikit ni dini? Tatizo mukiambiw bidaa hamuelew sio kilakit ni bidaa msikit sio dini ila zile ibada ndio dini pale makka ukiondeza ibada ndio kosa sio kuongeza msikiti tatizo hamtak kusoma

  • @SalumKarzai
    @SalumKarzai Месяц назад +6

    Hatuhitaji kila mtu Asome maulid nyinyi wengine kuweni watazamaji na wala hatuhitaji msaada wenu.

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад +2

      Duuh unajisifia katika uzushi subuhana llah kweli alomwacha kupotea Allah huwezi muongoza

    • @SalumKarzai
      @SalumKarzai Месяц назад

      @@AbdulIssa-o7e ndio ujue huna uwezo wa kumuongoa mtu,kumtia peponi wala motoni kiupande wangu Maulid ni Ibada ambayo ukifanya unapata Thawabu

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      @@SalumKarzai subuhana llah haya tuletee dalili ili Jambo liwe ibada tunajuwa bila shaka imetoka kwa Allah na mtume wake tuambie ibada hii ilifundishwa na mtume yupi?? Maana ibada zote mtume alitufundisha Hadi kwenda masharti yake na vitenguzi vyake Sasa tupe dalili ibada hii imefundushwa na nani ili nasi tuifanye tupate hizo thawabu lete majibu ya kiilimu so ushabiki lete dalili ibada hii ilifundishwa na nani?? Ikiwa mtume ndo alitumwa kutufindisha ibada na mpk anakufa akuna maulidi ibada hii ililetwa na nani??

    • @johariabdalla3319
      @johariabdalla3319 Месяц назад +2

      ​@@SalumKarzaisheikh Salum maulidi ni ibada kivipi?unajuwa ni nini ibada?na ili kitu kiwe ibada ni lazima kipitie katika misingi gani?au njia zipi?

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      ​@@SalumKarzaiww ni katika watu wajinga wagatao mkumbo wasojuwa chochote kuhusu dini yao subuhana llah, Allah atuongoze uone hakki utaona kumbe nilikuwa katika ujinga hivyo hapo huwezi ona sawa na mende aishiye chooni hawezi ona arafu Ila ww uli pembeni ndo utajuwa mshikaji mende anaishi sehemu mbaya yenye harufu jitahidi uitafute hakki maisha ya dunia ya kupitia na dunia utaondoka itabaki matendo yako mazuri na njia uipitayo angalia usije ukaingia katika makundi 72 alotaja mtume katika uma wake yataingia motoni isije isipo kuwa kundi moja ni wale watakao kuwa kama Mimi na swahaba zangu.sasa jiangalie swahaba walipiga maulidi mtume mwenyewe alipiga maulidi jibu hakuna ww ujitazame nitaingia kwenye kundi alilosema mtume litasaimika na moto?? Ukiona unafata tuuh mkumbo bhasi ww uhofii siku ya kiama na adhabu za Allah inamana umejizira kuangamia utaweza vumilia adhabu za Allah lakini na za kudumu na kuendelea hufi wala uhumwi Sasa Imani so kitu Cha kucheza ndugu ukicheza duniani bhasi hutopata fursa ya kurudi duniani Tena ujipange

  • @azizijaja3803
    @azizijaja3803 Месяц назад

    Saiv tudili na kukatazana zinaa , Allah hatoenda wachoma wanosoma maulid ilihali Kuna watu wanajifanya waumini ila washenzi na wazinifu

  • @shafisaggaf1889
    @shafisaggaf1889 Месяц назад +4

    Hhhhhhh yani mtabweka sanaa kisha mtachoka kama walivyo choka walio kua kabla yenu lakini maulidi tutayasoma na yatazidi kila kukicha mpka siku ya kiyama.

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Месяц назад

      Kuchoka sahau,ila mpaka ionekane waendao maulidini ni ninyi wenyewe masheikh wali na wajinga ktk dini

    • @shafisaggaf1889
      @shafisaggaf1889 Месяц назад

      @@hafidhwajina6718 Kwani mumeanza kubweka lini na mpaka leo maulidi tunasoma nakila kukicha yanazidi na hakuna siku yatapungua hata mubweke vp

    • @SalumKarzai
      @SalumKarzai Месяц назад

      @@hafidhwajina6718 jitahidini na wali tutaula kama Bachu wenu alivyokula Kenge kwa kicheko 🤣🤣🤣

    • @johariabdalla3319
      @johariabdalla3319 Месяц назад

      Ni haki yenu juu ya maamuzi yenu.Yy ameelezea tu ukweli wa mambo ulivyo.

    • @shafisaggaf1889
      @shafisaggaf1889 Месяц назад

      @@johariabdalla3319 ukweli gani Kweli wa kishabiki hamna kitu hpo na ndio maana munaishia kubweka tu.

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 Месяц назад

    Ma Shaa Allah tumerudi Tena kwa kasi

  • @JabUssi-i7s
    @JabUssi-i7s Месяц назад

    Kumswalia mtume saw kwa waislam muhimu

  • @SurprisedCurling-si9yr
    @SurprisedCurling-si9yr Месяц назад

    Sheikh wallahy ingekua vzuri ungetembelea tana river kwani makhurafi Kule wamepotosha watu sana

  • @omarbaabad2706
    @omarbaabad2706 Месяц назад +1

    Mbona mnapenda kuwachanganya waislamu misikiti ya Sunna ndio misikiti gani waislamu wote tunavyojua misikiti yote niyamwenyezimungu na humo hutajwa jina lake au hii misikiti mnayoita ya kisunna inajambo lingine.

    • @farajichilumba5114
      @farajichilumba5114 Месяц назад

      Wamiliki

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Месяц назад

      Misikiti ya Sunnah ni ile misikiti usiyotanganywa ndani yake kinyume na mafundisho ya mtume mfano kudhikr kwa kukohoa nk,

    • @nadraiddi8064
      @nadraiddi8064 Месяц назад

      Wanajichanganya tu, msikiti wa sunna na misikiti ya faradhi au misikiti ya bid'a. Msituchanganye bana

  • @LASSUH4947
    @LASSUH4947 Месяц назад +1

    Hii mada kama umejiandaa nayo sema tukuletee ustadh said akutengeze hadi ibara uandike kwa kiswahili😂😂😂

    • @UmarSaid-c8k
      @UmarSaid-c8k Месяц назад +1

      Acha kumkweza na kiukwel kama mtume hakufanya jambo hili basi wwe na huto Saidi wako mna mtume wenu kivyenu acha tusubiri Allah atapeana ukweli upo wapi maana macho unayo na huon

  • @mashinebinhawaa8776
    @mashinebinhawaa8776 Месяц назад

    Anakuita abu rududi ukamueleze ni hadhyani au hadhayani sasa km hata lugha ya kiarabu kwako ni mtihani haya mengine utayaweza kweli kaka yangu wacha kujiaibisha kaa kitako usome kwanza wacha kuhangaika kwenye vinara vya elimu kuzidi kujitia aibu umemkosoa mwenzako kumbe ww ndio mwenye makosa *IKIWA HAUNA HAYA BASI FANYA ULITAKALO*

  • @allynally4015
    @allynally4015 23 дня назад

    Huo saidi ndio kwanza mchanga hawezi kusimama na bachu hata sekunde munampaisha tuu

  • @DiniMwambashi
    @DiniMwambashi Месяц назад

    Shehe wangu mimi ninawasiwasi hata hivi vipando ndege, magari, navinginevyo ambavyo mtume hakuvifanya?

    • @abdallahkabuto8392
      @abdallahkabuto8392 Месяц назад

      Wanao msifu mtume SAW mwawaita makurafi,je Allah SWT, alie msifu zaidi mtume mnmpa jina Gani ?

  • @abdillahsuleiman2278
    @abdillahsuleiman2278 Месяц назад

    sheikh kwaio darsa zak znz zote zimekufa au?

  • @MuhammadShali69
    @MuhammadShali69 Месяц назад

    Bachu mbona uliondoka Zenji ukaja Kenya kupotosha watu? Ina maana wazanzibari walichoshwa na kielimu chako kitoto..rudi ukasome ukalinganie watu wa kwenu kwanza

  • @LASSUH4947
    @LASSUH4947 Месяц назад

    Muhammad bachu wallahy sema kma ww ni kidume tukuketee ustadh said popote ulipo sema tu wala hautochangia kitu uje ukojoe tena mbele za watu kwa aibu😂😂😂

    • @alimaulid9543
      @alimaulid9543 Месяц назад +1

      Yule DJ said aliesema nyimbo ni halali?

    • @AliJuma-k2t
      @AliJuma-k2t Месяц назад

      Kama shekh said DJ mbonabachukakojoa

  • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
    @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm Месяц назад

    Mimi nahitaji namba yak shk Bachu ili nipate darasa zaini

  • @nassorozahoro-l5s
    @nassorozahoro-l5s 21 день назад

    Watu wa bidaa hawaachi kuongea na kutukana mpaka ukweli uache kuumiza nyoyo zao

  • @gharibmohamediddi6305
    @gharibmohamediddi6305 Месяц назад

    Hii ndo swalaffi ya eat Africa mpaka thawabu wanagawa na oepo na moto mh!

  • @mohamedomar-j1e
    @mohamedomar-j1e Месяц назад

    NAOMBA DALILI YA KUTOKA KWA MTUME WETU,,AU MASWAHABA,,KUSWALISHA TARAWEHE KWA JUZU MOJA KATIKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI ,,SWAHABA NGANI KASWALISHA WATU TARAWEHE KWA JUZU MOJA NAMBIE

    • @mohamedbwanakweli3249
      @mohamedbwanakweli3249 Месяц назад

      we pia nipe hadithi kwamba kuswalisha tarawehe kwa juzu nzima haifai gani

  • @DiniMwambashi
    @DiniMwambashi Месяц назад

    Shehe mtume atukanwa upande wapili kwanini usielekeze nguvu kule naleo umeongea kwa utaratibu sana

  • @jumasalum1171
    @jumasalum1171 Месяц назад

    Mismiti yote ya Allah kuita mingine ya suna huo ni ujinga mliomezeshwa

  • @AliJuma-k2t
    @AliJuma-k2t Месяц назад

    Nyinyi musisome lakini Sisi tutasoma na ndiokwanza maulidi yananawiri nyinyi kilamukipinga sisindomunatutianguvu zaidi hataibada yamaka niyalazima kulikomaulidi lakini hawaendiwatuwote

  • @answarmohamed4564
    @answarmohamed4564 Месяц назад +1

    Bachu mke wako apiga thwari? 😂😂😂

  • @HusseynSingano
    @HusseynSingano Месяц назад

    Maulid tutasoma ilaayaumil qiyaama

  • @MwalimJecha
    @MwalimJecha Месяц назад

    Si kwenda maulidini tu baadhi ya watu hutumia fursa kwa ajili ya maovu(zinaa) lakini mikusanyiko yote watu wanaweza kutumia fursa hiyo.

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      Na kuswali wengi wao hawaswali watakesha hapo na dhikli zao zile za kukoroma 😂😂😂 ..mpk kuna pambazuka ni Jambo ovu na baya sana maulidi

    • @LASSUH4947
      @LASSUH4947 Месяц назад

      Dah jmn hii ndo hoja ya kupinga maulid mbn tumeshuhudia visa vingi ramadhani watu wanatoka kwenda taraweeh kumbe wanatumia fursa hio kukutana na mawahara wao kufanya maovu bc tuondoe taraweeh pia haifai au mnasaje😂😂😂

    • @LASSUH4947
      @LASSUH4947 Месяц назад

      Ata mkusanyiko wa hajj wameshawah shikwa waty wamezini wengine kuiba hadi leo watu wengi hawataki kukaa krb na wa nigeria sbbu ya wizi kwaio tuondoe hajj au 😂😂😂 dah tafuteni hoja zakielimi za kupinga maulid sio kupinga kwa chuki tu

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      @@LASSUH4947 Acha ujinga ww dini aipelekwi kwa matamanio yako mzushi ww issue so hivyo issue ni ibada ambayo imetumgwa na watu ikapachikwa hilo ndo lamsingi mara nyingi nyi watu wabidah mnatumia akili kutafuta uhalali wa uzushi wenu ila atushangai kama toka mtoto uliona hiyo ndo dini kutoka barabarani na mazefe hutoweza ongoka ni wakaidi sana watu bidah

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 Месяц назад +1

    Waloruhusiwa na mtume kupiga dufu ni wanawake na vigori na wanaume wakiwaiga wanawake enzi hizo wakiitwa muhannasa
    Je wewe mwaume unae n'gan'gania kupiga dufu uko ktk kundi gani ktk haya 3

    • @nadraiddi8064
      @nadraiddi8064 Месяц назад

      Dalili gani iliyovua kuwa dufu ipigwe na wanawake tu?

  • @RayaAli-y9j
    @RayaAli-y9j Месяц назад

    Wewe mjinga

  • @musaju4228
    @musaju4228 Месяц назад

    Hiyo sio itikadi ,lazima ujuwe hilo

  • @MussaHamad-m2q
    @MussaHamad-m2q Месяц назад

    Naomba ujibu maswali haya je mtume aliwah kuigawa tauhidi namna tatu naomba dalili na naomb dalili niwap mtume aliwah kuwakusany watu na kuwashinadnish mashindano ya kur an naomba dalili

  • @MwalimJecha
    @MwalimJecha Месяц назад +1

    Wakati wa mtume watu walipigana kwa panga je wakati huu waislamu wakitumia bunduki na vifaa vyenginevyo ni bidaa?

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Месяц назад

      Ndio

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu Месяц назад

      Watu wakishika bunduki ww beba dufu ujikinge nalo....risasi haitakuingia😂

  • @jumasalum1171
    @jumasalum1171 Месяц назад

    Kipigo cha abuu rududi hakijakutosha au ushazoea kufedheheka kama untaka uislam pambana na makafiri sio waislam wezako

  • @omarbaabad2706
    @omarbaabad2706 Месяц назад

    Shekh Abas naona sasa roho yako imetulia baada ya shekhe kubadilisha kibao na kuwashambulia waislamu wanaomtangaza mtume na kumsifu

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      Kwani mtume atangazwi katika Adhana misikitini na maspika kabisa na anatangazwa katika konngamano mbali mbali za usomaji na mashindano ya quruani. Unamtangaza katika mkusanyiko batwili uso sheriwa na kuridhiwa na Allah na mtume wake mnamtangaza mtume ndani yake kuna ufuska na maouvu yanafanywa watu hukutana na kupeana funguo za kufanya zinaa kheri gani katika Hilo hiyo so hoja kaka jipange upya njoo na jipya la kiilmu katika kutetea maulidi so porojo na maulidi hayateteki Sabu si Jambo liloshariwa na Allah na mtume wake havipo katika quruani hadithi za mtume unayaweka wapi? Na muanzilishi so muhammadi ibn abdi llah uzushi wa watu wakaupachika katika dini bhasi ukafundishwa katika majiis mbali mbali na kuupalilia uzushi huoo

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 Месяц назад

    Kwa hili MASHAALLAH ila usituseme masalafi tena. AKHY UTAPOTEA

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 Месяц назад

      @@abbaspaziaog2188
      Wewe una Usalafi Gani wew na huyo mropokaji Bachu mahizbi nyote vibaraka wa Barahyan na Islam
      Kazi yenu kutukana wanachuoni na kuwazulia uwongo

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 Месяц назад

      @@abuurayaan3902 subhanallah kwahiyo mimi ni hizbi na unauhakika na ukiongeacho

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 Месяц назад

      @@abuurayaan3902 au kwahiyo ww kijana usojitambua unaona usalafi mpaka nikuambie ww mimi ni salafi mbona umekimbia

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Месяц назад

      ​@@abuurayaan3902mfano?

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 Месяц назад

      @@abbaspaziaog2188
      Ndio wewe hizbi na bachu wako

  • @Pure-x7v
    @Pure-x7v Месяц назад

    Bhachu mshahara ushaingia?😂😂 shekh said akusalimia

  • @MussaHamad-m2q
    @MussaHamad-m2q Месяц назад

    Tutasoma maulidi kufeni

  • @BintAlly-k5r
    @BintAlly-k5r Месяц назад

    Ilo la dhinaa nikweli kabisa hadharani watu nanasoma na chochoroni watu wanayao wanafanya . sababu wamekuja maulidini

    • @AbdullahOmar-be4wy
      @AbdullahOmar-be4wy Месяц назад

      Hata Makka watu wakizungumka alqaba wako wanaume kazi yao kugandisha wanawake wenye makalio makubwa viza vya ukweli hivi mtu analipwa kw nia hata mtu hata madrasa inatokezea

  • @swalehseifmuhammed8289
    @swalehseifmuhammed8289 Месяц назад

    Muhmmadi nakuomba somahadidhi vizura uwa kuwa mkweli maana hadidhi zipo zilizo sibitisha kuwa wanaume wapige dufu

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud Месяц назад +1

      Niambie iyo hadithi, huenda haujaielewa ww au mm siijui sasa nitumie tuijadili..... thnks

    • @MattarOnlineTV
      @MattarOnlineTV Месяц назад +1

      ​@@KhalfanMassoudkaka sikiliza mawaidha hao wanaobisha wote Daawa inawaingia hata ikifika wakati wa kubadilika watabadilika inshallah

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud Месяц назад +1

      @@MattarOnlineTV Kweli kabisa, inshaallah...
      اللهم أرنا الحق وارزقنا اتباعه وأرنا الباطل وارزقنا اجتنابه، آمين

  • @AbasiShariff
    @AbasiShariff Месяц назад

    Huyu shekh nsawa kama kumskiliza kasuku

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e Месяц назад

    Kitu kinacho wapelekea hawa watu wa maulidi kupotea kuhusu hili kuna makundi ma 3 katika washerekeao maulidi kundi la kwanza ni wale wafatao mikumbo tuuh na hili kundi ndo la wengi wasojuwa chochote kuhusu dini yao, kundi la pili ni wale wapendao malaji maslahi yani matumbo mbele dini nyuma😂😂😂 kundi la 3 ni la watu walopotea na wakawapoteza na wengine hawa ndo wabaya sana wame watenganisha watu na sunnh ya mtume wao na kuziangamiza sunnah na kuhuwisha bidaah.

  • @abuurayaan3902
    @abuurayaan3902 Месяц назад

    Alafu usisahau kujibu zile taaliq
    Ukubali ALLAH kakudhalilisha
    Kwa uropokaji wako huo

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 Месяц назад +2

      Ww suffiyyah akhy ALLAH akuongoze nikajua salafi kumbe muabudu mkaburi

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 Месяц назад

      @@abbaspaziaog2188
      Acha kupayuka wewe Hizbi na huyo mropokaji wenu vibaraka wa Barahyan na Islam
      Mulidhani Masalafi ni vilaza kama Masufi na kuingililia mambo yasiyo muhusu mbona kakimbia ALLAH kamdhalilisha watu washamjua mropokaji tu huyo mze wa ku Google

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Месяц назад

      Mbona hatuioni idhlali hiyo ewe usiye ropoka

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 Месяц назад

      @@hafidhwajina6718
      Utaona vp wakati ALLAH kasha kutahini na uhizbiya
      Kama huoni huyo mropokaji wenu alivyo dhalilika kwa kuitukana markaz ibnu taymiya maana yake nini na wewe hizbi mpaka pale atakapo kiri ALLAH kamdhalilisha au ajibu maswali alio ulizwa na Abu ruduud

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Месяц назад

      @@abuurayaan3902 ukamwambie soloka nae ameaibisha majadida amejitia kujibu mwisho kimya

  • @AmourAmour-ux3nm
    @AmourAmour-ux3nm Месяц назад +1

    Tushajua hatusomi maulidi tupo nawew kwann umetuaibisha kwa masalfy umetulisha matango pori

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 Месяц назад

      Mmeshikwa pabaya mtatapatapa sana, mwaka huu😂😂😂😂, wazeee wa hazayaaani aka CCM

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm Месяц назад

      @@mobilespecialschool4216 hahahah yaaaaan ndugu profile picture yako tu yaniambia wew si mtu wa Elimu huna mafungamano na Elimu

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 Месяц назад

      @@AmourAmour-ux3nm mbona nyie mlofungamana na elimu ni wajinga, au unasemea elimu gani mana mimi najua physics???

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm Месяц назад

      @@mobilespecialschool4216 duh kumbe Dini sio uwanja wako yanapokuj mambo ya Dini kuwa msikilizaji au uliza kwa lengo l kutak kujua pia tafuta sehem usome Dini yako vizuuuur hutaburuzwa maana saiv ndugu yangu wewe ni chambo

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm Месяц назад

      @@mobilespecialschool4216 umesoma vitabu vya tauhiid vingap, Lugha, fiqhi n.k kam hujakaa na kusomeshwa hivyo vitu usipende kukoment kwasababu ya hamasa

  • @MudiMshindo
    @MudiMshindo Месяц назад +3

    Webwana unang'ang'ania maulidi tu kila cku 😂,hatuachi hata useme nn,tutaendelea kumsifu mtume

  • @makameally1962
    @makameally1962 Месяц назад +1

    Kwaiyo mtume aligawanya tawheed tatu?

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Месяц назад

      Hapana alkufunza umsifu kwa mashair ya kumwita yeye ni mjuzi wa mambo ya siri,

  • @Mbarkakombo
    @Mbarkakombo Месяц назад

    BACHOOOO UMEMKIMBIA ABUU RUDUUD HAJAKUJUWA TU KAMA UMEKUJA KUJIFICHA HUKU ILA NGOJA NIMWAMBIE AKUFUATE الهذيان WEEE

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Месяц назад

      Abu rudud ameshinda,ametufundisha kuwa kuropoka na mropokaji ni sawa,sisi tumeelewa, so hatuendelei kupoteza muda au nini kingine unahitaji,au na maulid ni njia yako ikawa yauma ikiguswa

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      Ewe jadida neno hadhayani ni kupoteza maboya maswali 6 mmeshindwa jibu mmekimbilia kupoteza mada ili kutoka mchezoni kiufipi mmeshindwa hata huyo mafuta mwenyewe kimya mpk leo yule mafuta kumbe ni jahli mi nilikuwa sijui anakwambia dr islamu niletee mwanazuoni hata mmoja alisema kuchukuwq ilmu hata kwa shetani kaletewa zaidi ya 11 duhu ndo nkajuwa mafuta mtupu sasa kama mwalimu mtupu wanafunzi itakuwaje arafu umekomaa neno hilo hadhayani mbona bachu kamtowa makosa kibao abu rudud kusoma quruani aixee anavuruga vuruga na kuharibu kuruani vibaya mno ninyi jadida mmekalia ushabiki na kutowa watu katika sunnah majahli xana na chama chenu hicho ni cha wajinga wasojielewa vitabu vya ulamaa

    • @johariabdalla3319
      @johariabdalla3319 Месяц назад

      Sheikh Bachu hakukimbia,ila anasubir Abuu Ruduud kwanza ahangaike na Hadhayaan na lugha,akishakumaliza huko ndo tunasubiri aje au afike kwenye point zetu muhimu zile tulizomuuliza,akifika huku hapo tutaingia uwanjani kwa hoja.

    • @Mbarkakombo
      @Mbarkakombo Месяц назад

      @@johariabdalla3319 ICHO KIBABU HUKIJUWI ICHO KIMEKIMBIA

  • @mickidadmiraji5949
    @mickidadmiraji5949 Месяц назад

    Sawa sheikh wa facebook ulishatuonyesha kiwango chako finyu cha elim vip tuamin kuwa unacho sema ni kwel

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Месяц назад

      Shekh wa youtubu umedanganywa nini? Au na maulid ni njia yako hutaki iguswe

    • @nadraiddi8064
      @nadraiddi8064 Месяц назад

      Mada za maulidi kila mwaka, hamna ajenda nyyengine? Mashekhe mnatuchosha na mada hizo hizo kila siku. Kwani waislamu wote wakisoma Maulid ndo tutapata utukufu gani? Na Waislamu wote wasiposoma Maulid ndo tutakuwa tayari tumepata Izza dhidi ya Ukafiri unaotutawala leo duniani? Acheni mada pumba

  • @rashid3562
    @rashid3562 Месяц назад

    Et mkusanyiko wa ibada

  • @sheeqassim6274
    @sheeqassim6274 Месяц назад

    ashaanza sheikh wa kujikojolea hahahahaha😂😂😂😂

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Месяц назад

      Hatushangai kwa kazi hiyo mulioifanya,

    • @Hafisa-ws8mw
      @Hafisa-ws8mw Месяц назад

      Alokojowa ni babako

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud Месяц назад

      Kijana nakushauri, fanya uliloamrishwa kufanya na acha ulilokatazwa kufanya au lililonyamaziwa na Allah na mtume wake,,,,, Allah alisha kamilisha kila kitu katika dini yake, Tuacheni kutaka kujifanya wajuzi kumshinda mtume,,, kwnn Mtume ainyamazie siku yake ya kuzaliwa...

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv Месяц назад

    Vipi Majadida Wamekaa kimya...... naona umejia upepo wa huku kwenye Maulidi Yetu......😂😂😂
    Wacha tuendelee kutafuta Viewers..

  • @shafisaggaf1889
    @shafisaggaf1889 Месяц назад

    Jamaa wanahangaika hawa wanafikiri watu wote niwajinga na wapotevu kama wao na masalafi. kwanza salafi nikundi la kigaidi wamevamia dini.
    Dini yenu inamashaka sanaaaaa sanaaaaa.

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Месяц назад

      Sawa shekh sasa ya nini makasiriko

    • @shafisaggaf1889
      @shafisaggaf1889 Месяц назад

      @@hafidhwajina6718 nyie mnao jamba jamba mkihangaika

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud Месяц назад

      Kama salafiy ni kikundi cha magaidi, jee nyie masufi ni kikundi gani? Kama hauna neno la kusema kijana wacha kucoment

    • @bagalucha
      @bagalucha Месяц назад

      Wewe bado kitoto kidogo bado,hujayajua,hata ndevu hujaota,usisukumwe kwa usilolijua

    • @shafisaggaf1889
      @shafisaggaf1889 Месяц назад

      @@bagalucha kma mtu hupimya akili kwa ndevu hata beberu anazo

  • @MussaHamad-m2q
    @MussaHamad-m2q Месяц назад

    😂😂😂😂 hujuwi hata kusoma hio hadithi na tafsir yenyewe sivo ulvo tafsr

  • @SalumuMkungwa
    @SalumuMkungwa Месяц назад

    Acha ujinga wewe bado hujui ukasome kwanza alafu ndo uzungumuze vitu kama hivi kwann nyinyi humunao mabanat waambien wafanye Sunnah yakupiga dufu bhasi

  • @isaack100
    @isaack100 Месяц назад

    Kkkkkkk bhachu watu Bora hao maswahaba hawaja jengewa mimbar kama yako hivi nashangaa

    • @idisaidi287
      @idisaidi287 Месяц назад

      Kwa hio msikitini kwako kuna mimmbari ya kigogo cha mtende ??

    • @johariabdalla3319
      @johariabdalla3319 Месяц назад

      Hii sio hoja ya msingi katika dini,kunazungumziwa kuzushwa kitu ikisha kupachikwa katika dini

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud Месяц назад

      Masufi hoja zenu hata mtoto mdogo asiyeweza kuongea vizuri anaweza kuzijibu, Masufi mcheni Allah maulidi sio dini,,,, maulidi sio dini,,,, maulidi sio dini,,,,
      Allah anasema ".......Mukizozana kitu kirudisheni kwa Allah na mtume wake....... (4:59)".
      Mtume alisema,,,,,,,,,,
      "........Atakayeishi baada yangu ataona ikh-tilafu zilizo nyingi, ni juu yenu kushikamana na sunna zangu na sunna za makhalifa wangu walio waongofu..."

  • @Twahamwela-ch5lz
    @Twahamwela-ch5lz Месяц назад

    Kwan we humuogopi ostadh saidi haha ha haha

  • @husseinkhalfan8378
    @husseinkhalfan8378 Месяц назад

    Kamkimbia abuu fawzaan kaja kuwachokoza masufi Sasa subir akuone

    • @saidhalfan3452
      @saidhalfan3452 Месяц назад

      Acha ushabiki katika Dini usiwe na tabia za mayaudi kugombanisha mashehe zetu, wote tunawapenda na hitilafu zipo na Wote wanapatia kwa jitihada zao.

    • @johariabdalla3319
      @johariabdalla3319 Месяц назад

      Fauzaan bado hajaingia au kufika pale tunapopataka,bado yuko kwenye Hadhayaan kwanza na lugha,anahangaika nazo,tunasubiri afike kwenye zile point zetu muhimu,ikisha tuanze kushindana kwa hoja

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq Месяц назад

      Ahaa Sasa tunajuwa mahizbu salaf pamoja na masufi wako pamoja Katika dawa yaoo

  • @isaack100
    @isaack100 Месяц назад

    Maajabu ya mawahabi kwani Mungu aliwambia mfanye msabaqa ya quran mbona maulidi ya wauma

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Месяц назад

      Musabaqal qur an ipo wewe ndo hujui

    • @idisaidi287
      @idisaidi287 Месяц назад

      Kwa hio nyie hamfanyi ?

    • @isaack100
      @isaack100 Месяц назад

      @@hafidhwajina6718 toa dalili hiyo na jua nyinyi wasomi kama ipo

  • @shuaibabdullahi7544
    @shuaibabdullahi7544 Месяц назад

    Mulize kama ana taka munakasha

  • @ABUUJAAFAR92
    @ABUUJAAFAR92 Месяц назад

    Mahizbiy na masufi ni wamoja tu ....

    • @MohammedOmar-wt3vg
      @MohammedOmar-wt3vg Месяц назад

      Si kweli.....

    • @abuuaisha6110
      @abuuaisha6110 Месяц назад

      ​​@@MohammedOmar-wt3vg Salafii jadida pia wanaingia katika uhizbiy

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 Месяц назад

      @@MohammedOmar-wt3vg si kweli kivipi sasa na wote wamepinda ,,,

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Месяц назад

      Kwani majina hayo ndio mwisho wa wamchao allah?
      Hata uuseme haiwezekani kuwa wote mahizbi

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq Месяц назад

      Usisemee Mahizbi Sema sisi mahizbu salafi maswaafiqa tupo pamoja na masufi

  • @OstaziRamadhan
    @OstaziRamadhan Месяц назад

    Musiache

  • @makameally1962
    @makameally1962 Месяц назад

    Mawahabby ni waongo hamumswalii mtume nyie

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Месяц назад

      Kila swala tunamswalia,baada ya adhana pia aswaliwa na akitajwa tunajitahidi kumswalia ,ila kuruka kwanja huku tukimtaja mtume ndio hatufanyi

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud Месяц назад

      Ni juu yetu kuchukua dini kutoka katika Quran na Sunnah,,,, "....Atakayezua katika Uislamu uzushi na akakiona kua ni kizuri (ibada zuri) ni kana kwamba amezania mtume s.a.w amefanya khiyana kufikisha ujumbe...."

  • @shuaibabdullahi7544
    @shuaibabdullahi7544 Месяц назад +1

    Ongoja u jibiwe na said omar kiboko yahoo
    Elimu ni soma dini kuanza kabla huja aibika bachu mara ngapi uta aibishuwa

    • @abdoumadiousseni4835
      @abdoumadiousseni4835 Месяц назад

      Said mapiano hana lolote ispokuwa anataka sifa za watu lkn kumbuka kuna siku atajutsiya na namajutsoyake hayato mfaa chochote wala ww unaumuyeta kiboko huwezi kwedra kumu tretreya siku hio😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Месяц назад

      Nilijua tukungoje wewe😂😂😂

    • @maadinaJuma
      @maadinaJuma Месяц назад

      Aliburuzwa na bachu saidi mapiano

  • @IsmailSanga
    @IsmailSanga Месяц назад

    Nikwanini MAWAHABI anapotajwa MTUME MUHAMMAD SWALALAEI ALEY WASALAAM wanachukia!?

    • @giltaemi4017
      @giltaemi4017 Месяц назад

      @@IsmailSanga
      Unafiqi mtupu.
      Mara ngapi tunamtaja katika sala ulisha ingia katika nyoyo za watu ukajua kua wanamchukia mtu.
      Au unataka kuwaambia watu ninyi masufi mnajua mambo ya Ghaibu.
      Pia mwalimu wangu alisha wahi kuniambia ukiona mtu Anawaita Mawahabi waislamu wenzake basi mtu huyo Hajitambui wala hajui hata anacho kifanya katika dini.
      Nina uhakika hujui neno Wahabi limeanza vipi na walio lianzisha walikua wana maana gani.
      Na kama unajua basi wewe ni katika wanao ficha chuki dhidi ya mtume na kujifanya kutetea baatwil kwa kumchukia mtume na kumzushia uzushi na uongo na kumtengenezea shirki.

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Месяц назад

      Sio kweli

    • @OmarAbdalla-ug5yg
      @OmarAbdalla-ug5yg Месяц назад

      Sio kweli halfu ww jmaa bora tukunymzie tuuu maana ata cjui tukjbu vipi maan hun hoja ata moj ya kuthibitsha.....

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga Месяц назад

      @@OmarAbdalla-ug5yg Hoja yakuthibitisha ni hiyo aliosema Sheik hapo,Kuwa kunawatu wanakusanyika kwajiili ya kufanya maulid kukumbuka mazazi ya RASULILA,kua ni makosa.

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga Месяц назад

      @@hafidhwajina6718 Kama sio kweli nenda kamsome Sheik ibni Taimia anasema nini kuhusu kudhuru kabur la MTUME.

  • @MuhammadMuhammad-lq2um
    @MuhammadMuhammad-lq2um Месяц назад

    Hututishi bachu maulidi bidaa na kugawanya Tawheed katika sehemu 3 mlitoa wapi? Rububiyya uluhiyya wa asmai ukitupa dalili ya Quran tunacha maulidi

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 Месяц назад

      kwaiyo ikiwa mtu anafanya dhambi na ww unafanya hadi yy aache. ndugu hicho ni Kibri. usishindane na anaefanya uovu

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 Месяц назад

      Tuliitoa kwa abuu idi

    • @AllyAhmad-zg2yp
      @AllyAhmad-zg2yp Месяц назад +1

      Hata wazinifu wanasema kwa mioyo yao "hatuachi" ingawa jambo Lao liko wazi ila ujumbe unafika

    • @giltaemi4017
      @giltaemi4017 Месяц назад +2

      Ukiona mtu anataka dalili katika jambo la dini.
      Basi jua ni mtu sahihi sana kumuelekeza juu ya dalili anayoihitaji.
      Ndugu yangu dalili ni hii juu ya Kumpwekesha Allah katika namna tatu labda ukatae Haqqi uwe munaafig na Murtadi.
      Maana hukmu ya kukataa hata aya moja katika Quraani au hadithi sahihi unakua Kafiri.
      Dalili hii hapa.
      { رَّبُّ ٱلسَّمَـٰوَ ٰ⁠تِ وَٱلۡأَرۡضِ وَمَا بَیۡنَهُمَا فَٱعۡبُدۡهُ وَٱصۡطَبِرۡ لِعِبَـٰدَتِهِۦۚ هَلۡ تَعۡلَمُ لَهُۥ سَمِیࣰّا }
      [Surah Maryam: 65]

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga Месяц назад

      JItahidini kuzungumza sana mshaara unaongezeka kutoka makka.

  • @AlhajiMswaki-de3kb
    @AlhajiMswaki-de3kb Месяц назад +3

    Dufu hatuachi kamwe nyie mawahabi akil hamna

    • @abuusuhaibmchumi
      @abuusuhaibmchumi Месяц назад +1

      Hahaha iblisi mkiambiwa anapenda sana watu wa bidaa zaidi ya wapenda maasiya ndo hivyo kwasababu ukweli hamuutaki mnaona ndio haki ndio dini ila iblis anajua mfanya maaswia ipo cku anaweza kuacha ila weye sio rahisi kuijua haki mn unahisi huko uliko ndio haki na hutaki ujue ukweli juu ya dini yako ndugu yangu maisha ya akhera ni ya milele unajua maana ya milele sasa wewe endelea kukata viuno uone hiyo kesho yako

    • @AllyAhmad-zg2yp
      @AllyAhmad-zg2yp Месяц назад

      Hata abdallah bin suud sahaba huyu aliwakuta watu wamejikusanya vikund vikndi wakiwa wamekusany vijiwe wakimtaja Allah akawakataza kwakua sio utaratibu wa mtume

    • @giltaemi4017
      @giltaemi4017 Месяц назад +2

      Mwalimu wangu aliniambia ukiona mtu anawaita waislamu wenzake Mawahabi basi mtu huyo Hajitambui wala hajui hata anacho kifanya maana Akijua Sababu ya msemo huu wa Wahabi yeye mwenyewe atajiona mjinga.
      Cha msingi Fanya utafiti ndugu yangu usiingie katika jopo la waislamu wajinga wasio jielewa.
      Kwasababu anaejielewa kila anacho kifanya katika dini lazima Uwe na Dalili.

    • @canoksancomprehensivelearn7182
      @canoksancomprehensivelearn7182 Месяц назад

      Kwa hiyo kupiga dufu ndio kuwa na akili? TazaMa maneno ya maulamaa wakubwa maimamu wanne juu ya mwanaume apigaye dufu ana akili sawasawa? Kususa kwenu haki sio kutukomoa Bali kujikomoa watu was Nuh walisema hatuwaachi miungu yetu Yaghuta, Suwaa'a , yauuqa na Nasra wakaangamizwa wakabakia na hasara na ninyi sio was mwanzo kungangania batili mpaka qiyaama

    • @EpcDistributor09
      @EpcDistributor09 Месяц назад +2

      Piga dufu Ila ujiandae hoja za kujitetea kwa Allah