Swala ta maiti ni takbira nne tu takbira ta kwanza surati fatha takbira ya pili kumswalua mtume s. a. w takbira ta Tatu kumuombea maiti dua na uchache wa dua ni kusema Allahumma ghfirlahu warhamhu na takbira ya nne unasema Allahumma LA tahrimna ajrahu wala taftina baadahu waghfir Lana walahu ukimaluza hapo unatoa salamu kulia na kushoto
Asante sana 🎉

Jazza kallah khair
Asanteeen sana ❤
Shekh iyo dua ya kumsomea maiti ya kiume na yakike ni dua iyo ulio soma Kwa wote
Swali yangu : wanawake nao wanahusika na swala hii ya jeneza?
Ndio lkn sio laxima