Peter msechu ft Amin Nyota ❨official music video❩ directed by einxer

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 дек 2014
  • Song title; NYOTA
    Song writers; PETER MSECHU & AMINI
    Audio producer; AMYZ/C9 RECORDS
    Video director; EINXER

Комментарии • 723

  • @luluanania-cb1bw
    @luluanania-cb1bw 3 месяца назад +67

    Tunaongalia huu wimbo 2024 like hapa❤

  • @goldenpoze
    @goldenpoze 5 месяцев назад +70

    It’s 2024 and it’s still a hot banger🔥🔥👏

  • @bizzonganilevanu9330
    @bizzonganilevanu9330 5 месяцев назад +41

    2024 nipe like zang

  • @lilianwaflotina1288
    @lilianwaflotina1288 Месяц назад +21

    Nipo 2024 ngonga like

  • @perfectchikwende1707
    @perfectchikwende1707 Месяц назад +17

    2024 kama uko live na goma kali kama hili piga like yako kibabee

  • @ndegeboe7883
    @ndegeboe7883 2 месяца назад +9

    .......2024 hii ngoma 🔥

  • @fredythomas1848
    @fredythomas1848 Год назад +23

    Naikubali sana ii ngoma 2023 gonga like hapa

  • @jumachanewstrends6899
    @jumachanewstrends6899 4 года назад +230

    Uliye husika kuungalia huu wimbo 2020 naomba tupiaa like ako hapoo

  • @isabhatototwin6542
    @isabhatototwin6542 12 дней назад +1

    best of all time ( Nyota na ing'ae kwako we bwana amini...nakuombea bado 2024🎉😢

  • @goddamwakimi5889
    @goddamwakimi5889 14 дней назад +1

    Wimbo mkali sana huu, 2024 mpaka leo unadum

  • @ChidyKenny-dc1ue
    @ChidyKenny-dc1ue 25 дней назад +2

    Bado tupo nao 2024❤❤❤

  • @dicksonbonyi9559
    @dicksonbonyi9559 Год назад +35

    It's 2023, april.but this song hits as if it's new.its a timeless jam.

  • @AbrahmanAdballah-xm1yc
    @AbrahmanAdballah-xm1yc 17 дней назад +1

    Bonge la ngoma kama uwelewi utaelewa tu Bigap

  • @sele2507
    @sele2507 3 года назад +4

    Hongera kwa kufikjsha views 1 million

  • @samwelykashililika6530
    @samwelykashililika6530 3 года назад +1

    Hongera kwa kutimiza viewers million 1

  • @frolajoseph6937
    @frolajoseph6937 Год назад +1

    Big up msechu kazi nzuri

  • @rakshiminimakuka9802
    @rakshiminimakuka9802 2 года назад +8

    Ambao bado wanangalia ngoma hii mwaka huu naomba like

  • @salha.d5060
    @salha.d5060 8 месяцев назад +1

    Nyota naing'aeee kwakoeee nakuombeaaa

  • @victormgaya708
    @victormgaya708 9 лет назад +32

    kaka ujumbe umefika kwa jamii, umewagusa wengi hasa wenye ndoa zenye matatizo, wakisikiliza ujumbe huu wanavamiwa na machozi.
    PAMOJA SANA

    • @maverickcreativesolutions8285
      @maverickcreativesolutions8285 3 года назад

      Ukilinganisha huu mziki na mziki wa sasa unaona tu tofauti hauhitaji nguvu nyingi kutambua. hii nyimbo unaisikiliza hata na mzee wako. unajenga na wala matusi hakuna. good stuff

  • @jumalichawi4223
    @jumalichawi4223 9 лет назад +1

    Msechu upo juu huu wimbo umetulia.

  • @mbotasimon7188
    @mbotasimon7188 9 лет назад +17

    Kwa wale tunaojua mziki huu ndy mziki ambao hauwezi kufa hata siku moja, kuanzia Melody mpaka waimbaji ni raha tupu, ila watanzania wengi hawajui muzik ila wanajua kelele za muzik that's why kuna baadhi ya wanamuzik wanaoneka wanajua kuliko hawa wenye vipaji vya mziki not only that pia mziki umeshiliwa na watu bila wao mtu huwezi kunufaika na kipaji chako,unadhani kama kweli watanzania wanajua mziki na biashara ya mziki ikawa free bila kushikiliwa na watu wachache si hv vipaji vya msechu na Amini wangekuwa milionea kuliko hv ambavyo unawaona wanapiga mziki wa kuganga na njaa, Amini and Msechu nawakubali sana kaka,msijali kuna siku ukweli utajulikana, like kama tuko pamoja kwa wale wanaojua mziki

  • @zumibrown1939
    @zumibrown1939 9 лет назад +2

    Amin na Msechu,kwakweli nawakubali,dah....mungu azidi kuwapaisha kwakweli,nikimfikiria Linah,cjui kwanini aliamua kutemana na Amin kwakweli

  • @freddieelice6377
    @freddieelice6377 3 года назад +5

    Baada ya 1M nimekuja kuangalia tena 🔥🔥🔥

  • @josephmagembe4294
    @josephmagembe4294 4 месяца назад +2

    Daah amazing song❤

  • @realscholarships-bolde.2344
    @realscholarships-bolde.2344 21 день назад +2

    "We don't search for old songs"
    "We search for gold memories"🎶🎶
    2024
    Everlasting masterpiece🎉❤

  • @isaacluvanda5022
    @isaacluvanda5022 3 года назад +3

    Hakika .ni wimbo unao ishi ,living song .gonga like kama unakubaliana

  • @amosjulius1523
    @amosjulius1523 7 лет назад +16

    Kwakweli ya Amini Ni Madogo, Tatoo Tu inamliza, ILA nimependa hapo mwisho unaona bora ule zako Tu, halafu ukampa "KWENDRAAAAAAAAAA"

  • @OmarmakameHaji
    @OmarmakameHaji 6 дней назад

    Nipo hapa kuwajua wanaoangilia 2024

  • @AM-mx6ns
    @AM-mx6ns 9 лет назад +11

    Kaka tunakusibiria to a mambo! Wimbo nyota yangu umejaa falsafa ya changamoto za ndoa!! Big up brother

  • @jumawaziri4217
    @jumawaziri4217 8 лет назад +17

    Huu wimbo ndio umekuwa chakula cha masikio yangu kwa sasa

  • @neemasulle4548
    @neemasulle4548 3 года назад +2

    Ninekuongezeaaa viewers 😂😂😂 Una milioniii na moja😂🙆🏽‍♀️

  • @lafredoh2953
    @lafredoh2953 4 года назад +125

    The chemistry of those two guys is amizing...who's still watching this ngoma 2020..gonga like ya nguvu apa!

  • @tuzungumzeafya
    @tuzungumzeafya 2 месяца назад +3

    Here 2024 song is stil hot 🔥

  • @Chiefmukama
    @Chiefmukama 3 года назад +1

    Nipo hapa kushuhudia 1M after six years

  • @fredylickykayansikorey6937
    @fredylickykayansikorey6937 7 лет назад +1

    brother umefanya vizuri mpaka nimekukubali xana zidi kutoa nyingine mzuri zaidi ya hz

  • @Mrs.Adam7
    @Mrs.Adam7 3 года назад +2

    Niko hapa baada ya ngoma kuhit 1M😃 🔥 🔥 🔥🔥🔥

  • @edgarmagogozwa9175
    @edgarmagogozwa9175 8 месяцев назад +1

    Moja ya wimbo wangu bora wa muda wote🔥🔥🔥

  • @suinance-jr
    @suinance-jr Год назад +16

    It's 2023 and still I feel blessed listening to this song🙏

  • @mussamwita2155
    @mussamwita2155 9 лет назад +1

    Msechu umetisha sana kaza buti utafika mbali

  • @wemamahulidiy2029
    @wemamahulidiy2029 Год назад +1

    Hongera sana brow maana hii nyimbo ina mafundisho

  • @princemazani4066
    @princemazani4066 3 года назад +10

    From Zimbabwe and l love this song still watching 2021 👌

  • @sadockgotta962
    @sadockgotta962 8 лет назад +14

    Natamani my x girl friend angeisikia hii music.
    ya good brother.

  • @MaridadiRashidilikwesoLikweso
    @MaridadiRashidilikwesoLikweso 5 дней назад

    huu wimbo uko bomba sana

  • @geofreysadok4823
    @geofreysadok4823 3 года назад +1

    Nimerudi kuuangalia huu wimbo na kuuskiliza

  • @johnsonpaulo2933
    @johnsonpaulo2933 3 года назад +1

    Kaz nzur # Amos msechu team

  • @babyruhuu9478
    @babyruhuu9478 Год назад

    Ila Hapa Ulinipiga Na Kitu Kizito Sana.
    Nimelijua Hili Baada Ya Kuoa Na Kuwa Na Maisha Yangu Mwenyewe.
    Huko Kucheza Na Part yako Hujapenda Wala Huogopi Maradhi Labda Pia Huyo Awe Mpangaji Mwenzio Ila Siyo Mke Wala Ndugu yako Ayafanye Hayo.
    Karibu 2022 Tuko Pamoja

  • @kibibimimi3927
    @kibibimimi3927 9 месяцев назад +1

    kazi hii ilinipoza sana moyo miaka ile ya mateso

  • @emmanuelkarera7155
    @emmanuelkarera7155 4 года назад +1

    Amini Amini una sauti amaizing Sana yaan after Alikiba unaweza kuwa Ni wewe, ila unafanya mzaha na muziki huu jaribu kutoa nyimbo serious hasa usikae Sana toa nyimbo Mara kwa Mara na shirikisha watu akina mr.blue na kiba mwenyewe, Mimi mwenyewe Ni mshabiki wako mkubwa Sana naumia kuona uko kimya jaribu usikubali kuwekwa chini ng'ang'ania kwenye chati kaka

  • @mudysalum4093
    @mudysalum4093 8 лет назад

    Mudy Salum kaka ongeza bidii wimbo nyota ukojuu safi sana

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk 3 месяца назад +1

    Namkumbuka dj arungu aiseee whose 2024

  • @josephatmitimingi3016
    @josephatmitimingi3016 4 года назад

    Ujumbe umefika kwa wote si mwanaume au mwanamke. Ila🥰🥰🥰

  • @charlessimon7728
    @charlessimon7728 3 года назад +4

    Nimekuja kuview na mimi mwaka 2021

  • @KeylineMkojera
    @KeylineMkojera 16 часов назад

    Nalia na Mungu wangu😢

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 года назад +1

    Ngoma Kali sanaaa 👊 👊🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @jamilahsakina1561
    @jamilahsakina1561 Год назад

    Nyimbo video inaonekana Kama mpy ❤❤❤nyimbo isiyoisha utam ❤❤

  • @michaeltuingilegewaubaridi8570
    @michaeltuingilegewaubaridi8570 9 лет назад +1

    Tisha sana msechu yaniii,gudgud bana ,,,,amin aminia ubaridi ubaridini

  • @erastonyaga875
    @erastonyaga875 3 года назад +4

    Views ml moja hongera na mi ndo nimekuja kuona now

  • @fredysaligwekibanda5615
    @fredysaligwekibanda5615 9 лет назад +2

    Nakuelewa sana kaka!!keep it up!!hakika ww ni mwanamuziki!!big up to you & amini!!!

  • @nuruhnyiti3190
    @nuruhnyiti3190 3 года назад +25

    2021 but still hot

  • @TheKEBELO
    @TheKEBELO 9 лет назад

    Msechu we ni zaidi ya msanii hongera mwene wachu

  • @e-tvnews9231
    @e-tvnews9231 2 месяца назад +1

    unyamaa sanaaa

  • @edwingwesso129
    @edwingwesso129 5 лет назад +91

    Tunao upenda huu wimbo bado 2019 achia like

  • @zaidihussein4311
    @zaidihussein4311 Год назад

    Nyimbo nzur mno na Ina mafundisho

  • @samsonmwakikuti5318
    @samsonmwakikuti5318 2 года назад

    Hiyo vocal inayomalizia kwa mbaaali inaonyesha kweli msechu noma!

  • @shozylamparboom8393
    @shozylamparboom8393 4 года назад

    Zidi kusema na Mola ataitikaaa.... Aseee hii nyimboo ni yenyeweee kabisaaa

  • @kimaronemes5689
    @kimaronemes5689 2 года назад +34

    2022 still listening 🎧 the masterpiece

  • @user-ew1ss7we7f
    @user-ew1ss7we7f 6 месяцев назад

    Mr msechu usikae kimya toa njimbo kali zaidi ya hii

  • @mbarukhamad7780
    @mbarukhamad7780 9 лет назад +11

    mr peter u deserve some thng this is awere song!!! great work

  • @nammavanguuchocho4680
    @nammavanguuchocho4680 3 года назад

    Duu nyota bonge ngona bado linaishii

  • @harifumunir6004
    @harifumunir6004 9 лет назад +70

    Nimeipenda sana hii Peter msechu, ni yanayonitokea sasa

  • @michaelmmbishi1144
    @michaelmmbishi1144 7 лет назад +8

    bonge la collabo mzee baba

  • @michaelpaulo626
    @michaelpaulo626 5 лет назад +1

    Nyimbo hii inanikumbusa Bali xana da lafiki yangu Steven da mungu amulaze mahali pema peponi 🙏😤😤

    • @petermsechu
      @petermsechu  5 лет назад

      Michael Paulo steven ndio nani??

  • @mcgabby
    @mcgabby Месяц назад

    Ety saivi vijana wako kwenye Amapiano 😂😂😂🙌🙌

  • @jofreyMsangwa
    @jofreyMsangwa 6 месяцев назад +2

    Naomba like za kutosha 2023 tunao cheki ngoma hii

  • @Georgeshema_0933
    @Georgeshema_0933 Месяц назад

    to day 2024 may song still hitting,big up a lot broo

  • @GetrudaJedani
    @GetrudaJedani Месяц назад

    Huu wimbo naukubali san

  • @mahembajulius7036
    @mahembajulius7036 3 года назад +1

    Tuliokuj baada dozen selection

  • @abm4183
    @abm4183 9 лет назад +23

    Nyota na ing'ae kwako weee nakuombeaa wao wao waooooo duuh bonge la ngoma...msechu na amin mmeua...yani kazi nzuri mno great music everything on point...sichoki kusikiliza yani naimba hata nikiwa bafuni...keep up the good spirit...msechu yo funny tho mwishoni pale wakati unabugia nyama sijui kuku ileee lol...

  • @johnstoneolefa913
    @johnstoneolefa913 Год назад +3

    wow! Peter Msechu from all the way from Tusker Project Fame to the world! proud to be an East African. listening from Nairobi, Kenya.

  • @sandykimmaster7977
    @sandykimmaster7977 Год назад +1

    Nyimbo moja inakufanya itazamwe mapenzi kwa upana wake... Love always wins guys

  • @florahjoseph6964
    @florahjoseph6964 Год назад

    Adi leo naupenda😋😋😋

  • @hansmswagara2789
    @hansmswagara2789 5 месяцев назад +1

    Yamenikut imenibidi nije kuichek hii 2024 iko pw sn

  • @praygodayubu4971
    @praygodayubu4971 3 года назад +2

    Tunao Maliza mwaka 2020 huku bado tunaskiliza This good Music Pitisha like hapa Kizalendo

  • @vanessajames2192
    @vanessajames2192 5 месяцев назад

    2024 nimekuja kusikiliza nyimbo nzuri kutoka kwa Msechu

  • @hilalyissa5630
    @hilalyissa5630 4 года назад

    Hii ilikua ni kitu bora sanaa kutoka kwenu asee...... 2020 bado tunaishi nayo.

  • @eunicejoseph3223
    @eunicejoseph3223 8 лет назад

    umetisha baba ongera

  • @nicelove4162
    @nicelove4162 9 лет назад

    msechu nakukubali yamenikuta hayo

  • @hassanhimboko6249
    @hassanhimboko6249 9 лет назад +1

    Wimbo mzuri brothers, huu ndio muziki tunautaka

  • @superrama84
    @superrama84 9 лет назад

    Mziki wa KIBABA sana huu.

  • @andrewraphael3098
    @andrewraphael3098 3 месяца назад +1

    😂😂😂😂 kabla jamaa ajawa muombolezaji wa serikali😂

  • @joshuamogaka6042
    @joshuamogaka6042 8 лет назад

    msechu c uko juu uko mkali zaidi ya venye ulikuwa tpf

  • @mdl6463
    @mdl6463 3 года назад +4

    Weka like 2021 hapa

  • @johnteonas3144
    @johnteonas3144 Год назад +1

    Nimekuja kutazama ih nyimbo baada ya Boflo Star Seach Kigoma

  • @yasinimalya4001
    @yasinimalya4001 8 лет назад

    Wimbo mkali na video kali. Big up msechu

  • @mcbarton4252
    @mcbarton4252 3 года назад

    Kama bado unabisha hii ni nyimbo kali ya mda wote basi kaombewe

  • @hamzaadrin941
    @hamzaadrin941 3 года назад +3

    Wote tulio upa seport huu wimbo mpka elf 2020 tia comment hapa niambie umegundua nini mimi natamani hawa jamaa waungane kama rostam

  • @Auntie89afrique
    @Auntie89afrique 9 лет назад +1

    Tisha baba loloo..km mbele vle

  • @rehemaurungu1219
    @rehemaurungu1219 7 месяцев назад

    Wlikutana mafundi tupu yaan Huwa sichoki kuusikiliza huu wimbo😊

  • @user-cv5jo6pz5h
    @user-cv5jo6pz5h 4 месяца назад

    Old is gold..kazi nzuri sana. Much respect

  • @gracenyanza432
    @gracenyanza432 6 лет назад +2

    daaa huu wimbo haunichoshagi kbs