WATU WASHAKUWA MIUNGU || HAWATAKI UWARADI || UWAELEKEZE - SHEIKH: MSELEM BIN ALLY

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 янв 2025

Комментарии • 23

  • @ramadhanmohamed-p8x
    @ramadhanmohamed-p8x 2 месяца назад

    Mwenyezi MUNGU Akujaalie maisha marefu yenye kher baraka furaha na mafanikio mema maishan MWAKO

  • @abdulndete8969
    @abdulndete8969 2 года назад +7

    Hakika sheikh anaelimu kuubwa utoki patupu ukimckiliza .mwenyezi mungu akuepusha na adhabu yamoto naakupe kheri nyingi inshaallah

  • @JamailSaidi
    @JamailSaidi Год назад +1

    Allah akuongezee umri shekh,jamii ya waislam inakuitaji sana

  • @hamadiomari7804
    @hamadiomari7804 Год назад

    Shukuran sana sheikh mselemu mungu akupe afya njema uwishi vizur uwendeleze kutowa dawa

  • @janemukurasi6691
    @janemukurasi6691 Год назад +1

    Mungu Azidi Kumuweka sheikh wetu anafundisha vizuri sana

  • @DanyChitanda
    @DanyChitanda Год назад

    Allah akujsalie umri mrefu vizazi vyetu vielimike firdaus yawemakazi yako maalim inshaallah

  • @iddysisco1636
    @iddysisco1636 2 года назад

    Allah Kareem..jumbe zuri kutoka kwa mola wetu mlezi allah atuifadhi atufungulie yoote yalio magumu kwa kupenda kwake inshallaah

  • @qurankareem2275
    @qurankareem2275 2 года назад

    Ametakasika Mwenyezi Mungu Alieumba mbingu 7 bila ya Nguzo

  • @abumuhammad157
    @abumuhammad157 2 года назад

    Kutokana na elimu yaakoo tunapata mmanufaa alhamdulillah

  • @vasalustatioarygsupplies2788
    @vasalustatioarygsupplies2788 2 года назад

    Mashaallah Allah AKULIPE la kheri

  • @sulemcha3198
    @sulemcha3198 2 года назад

    Allah akuweke shekh

  • @douglaswallace5971
    @douglaswallace5971 2 года назад +1

    Mashallah Allah akuhifadhi Allah alete nusra kupitia Mujahideen inshallah.

    • @FatmaMohamed-zl8lt
      @FatmaMohamed-zl8lt Год назад

      Kwel kabisa shkhe mselm madarasa yke ni mazr snaa maana unaelewa Kila anacho kiongea

  • @abdallahothman1350
    @abdallahothman1350 2 года назад

    Daaa shehe wanguu mashaa allah

  • @buhitexmohamed4785
    @buhitexmohamed4785 2 года назад

    ALLAH U AKBAR maeneno ya busara sana shekh , Baraka lahu fiku

  • @AbdulazizAli-e2i
    @AbdulazizAli-e2i 10 месяцев назад

    Mol akuzidishiy malim

  • @shabanikijazi4350
    @shabanikijazi4350 2 года назад +1

    Allah Akbar subhana Allah

  • @mohmozahmed4201
    @mohmozahmed4201 3 года назад

    Subhanallah shekh wetu Allah ambariki anaongea vitu vikubwa sana

  • @suleiman3226
    @suleiman3226 3 года назад

    Mashallah kama kuna mtu ana group la mawaidha ya shekh mselem aniunganishe

  • @mohammedabdalla2884
    @mohammedabdalla2884 2 года назад

    Sami'inaa wa Atwa'anaa

  • @DIRECTORIH2
    @DIRECTORIH2 2 года назад

    Inshallah