ZIARA YA SIKU SITA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MKOANI RUVUMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 9

  • @saidhamoud5314
    @saidhamoud5314 Месяц назад

    Mungu akupe afya njema uzidi kuniletea Maendeleo Tanzania

  • @mashakakakulukulu5744
    @mashakakakulukulu5744 Месяц назад +1

    Tunamuombea Rais wetu kila la kheir katika kutekeleza miradi mbalimbali. Amma kwa hakika maendeleo ni makubwa mno katika nchi yetu.

  • @SalumuMussa-zw5dy
    @SalumuMussa-zw5dy Месяц назад

    Gud

  • @kawiche4911
    @kawiche4911 Месяц назад

    WATANZANIA SIO MASIKINI, TANZANIA ITAJENGWA NA SISI WENYEWE, MADINI YETU URITHI WETU, UTAJIRI WETU WOTE

  • @Papaa_Hillary_Mrema
    @Papaa_Hillary_Mrema Месяц назад

    Mheshimiwa Rais Dokta Samia mimi kama Kijana Mjasiriamali katika Sekta ya Kilimo hususani Mazao ya Nafaka nafarijika kuona Ushirikiano wa Tanzania na Mataifa ya Russia na China Hawa ndiyo Washirika wetu wakubwa kuelekea Tanzania ya Uchumi wa Viwanda

  • @Papaa_Hillary_Mrema
    @Papaa_Hillary_Mrema Месяц назад

    Mheshimiwa Rais Dokta Samia ziara yako katika Mkoa wa Ruvuma unakwenda kufungua fursa katika Korido ya Kusini hususani kutoka Bandari ya Mtwara kuelekea Bandari ya Mbamba Bay kuelekea Mikoa Jirani ya Mozambique, Malawi na Zambia

  • @Papaa_Hillary_Mrema
    @Papaa_Hillary_Mrema Месяц назад

    Mheshimiwa Rais Dokta Samia najua una hofu ya Mungu naomba ukiwa na spare time umkaribishe Nabii Rolinga wa Omega Ministry akufanyie maombi binafsi na maombi ya kuombea Taifa letu Tanzania. Huyu Nabii huwa anabeba ujumbe mzigo wa Mungu hivyo atakusaidia katika Vita vya kiroho dhidi ya Utawala wa Serikali ya Awamu ya 6 ni kubwa ila Mungu ndiye tegemeo pekee

    • @kawiche4911
      @kawiche4911 Месяц назад

      MAOMBI ACHA UJINGA CHAPA KAZI

    • @Papaa_Hillary_Mrema
      @Papaa_Hillary_Mrema Месяц назад

      @@kawiche4911 Acha kudhihaki Watumishi wa Mungu pia kumbuka huyu Nabii Rolinga alitabiri Kifo cha Hayati Rais Magufuli miezi 3 kabla ila Watumishi wa Ofisi ya Rais Ikulu wakamdharau. Kumbuka hata Utendaji wa Kazi unahitaji Neema na Kibali cha Mwenyezi Mungu kwanza