MAHALI NI PAZURI THE YONAZI FAMILY CHOIR
HTML-код
- Опубликовано: 9 фев 2025
- Wimbo huu umeimbwa wakati wa Mkutano Mkuu wa Familia ya Yonazi, 25 December 2022 (HIja2022). Waimbaji waliomo humu wote ni ndugu na wanafurahia kuwa pamoja kwa upendo na umoja.
Mahali Ni Pazuri
1. Mahali ni pazuri, ndugu wanapokaa
Wakipatana vyema, na wakipendana x2
2. Kama umande mzuri unyweshashavyo shamba
Ndivyo na Mungu wetu abariki ndugu x2
3. Upendandano hujenga boma nzuri kwao
Wakae kwa amani waliookoka x2
4. Na ulimwengu wote wavutwa nuruni
Halafu kundi moja na Mchunga mmoja tu x2