NJIANI HUNIONGOZA - THE YONAZI FAMILY CHOIR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • Wimbo huu ni moja ya nymbo maalumu sana katika Familia hii. Ni wimbo ambao, Mama Naamini Yonazi Salehe, Mama na Bibi wa Familia hii, aliupenda sana katika maisha yake. Alipenda kuishirikisha familia kuuimba kila wakati wa maombi. Ni hakika, ni wimbo uliompa tumaini na furaha. Pamoja na kumbukumbu hii, familia pia inaupenda na kuuimba inapokutana.
    Wimbo huu umeimbwa wakati wa Mkutano Mkuu wa Familia ya Yonazi, 25 December 2022 (Hija2022). Waimbaji waliomo humu wote ni ndugu na wanafurahia kuwa pamoja kwa upendo na umoja.

Комментарии • 21

  • @harrieth56
    @harrieth56 2 года назад +4

    Rafiki na Classmate wangu Pauline, hongereni sana kwa jambo hili jema mlilofanya la kukutana kama familia na kumsifu Mungu as ONE BIG FAMILY UNIT, the YONAZI CHOIR. Sisi pia "" THE GILBERTS""we all drive back home during Christmas-New Year Season with our children and children of our children from wherever we are. We stay together in our old homestead, cook together & eat together but most important of all is attending church services in our village church and donate whatever we've been blessed with. These are our days to remember. However our friends you've gone far ahead of us you've the gracious "YONAZI CHOIR". We've learned from you & we'll walk on your path. Pray for us. .
    Am seeing kaka John, Charles, kaka wa MaliAsili and our son, Katibu Mkuu the Choir Master
    Yours HarriethRose Gilbert Marisa

  • @lydiambwele139
    @lydiambwele139 Год назад +4

    Habari za miaka Pauline. Tulisoma wote jangwani

  • @Nyanda_Jr
    @Nyanda_Jr Год назад +2

    Kwaya nzuri sana. Ubarikiwe Daktari Yonazi

  • @venarsy-yr7ff
    @venarsy-yr7ff Год назад +2

    Bwana awape wepesi wa mambo yote makuu

  • @joycelyntemu4906
    @joycelyntemu4906 2 года назад +3

    Kwaya safi sana rafiki yetu Dr Yonazi. Mungu azidi kuwabariki familia nzima. Amen

  • @simonluca4161
    @simonluca4161 2 года назад +2

    Huu wimbo wangu na wa maisha yangu. Mungu awabariki.

  • @Hemeddymeddy
    @Hemeddymeddy Год назад +2

    Ameeeen Barakhallah

  • @kenthillary4730
    @kenthillary4730 Год назад +1

    Very nice ❤

  • @fare210
    @fare210 Год назад +2

    May God continue blessing you abundantly!

  • @rosenyato8729
    @rosenyato8729 2 года назад +3

    Safi sana

  • @superwarema2309
    @superwarema2309 Год назад

    Murungu avafwie mbonea. Mbarikiwe sana.

  • @bencheseret
    @bencheseret Год назад

    Is this choir from Tanzania?? Sisi wakenya tunawapongeza.....let's embrace our hymns...they are old but new every morning....hizi nyimbo tunazitunga siku hizi hazinipendezi...the way we march imekuwa dancing......so let's go back to our roots

  • @sylvestermavanza1154
    @sylvestermavanza1154 2 года назад +3

    Wow! What a family harmony!
    My God blessings abound.

  • @JOYCEMANGALA-ky5gu
    @JOYCEMANGALA-ky5gu Год назад

    Mungu awabariki Sana 👏👏

  • @paulchagonja8130
    @paulchagonja8130 Год назад

    God bless you. I enjoy

  • @samminyori7814
    @samminyori7814 3 месяца назад

    Amen

  • @marthajepkogei5845
    @marthajepkogei5845 Год назад

    Amen 🙏

  • @samwelipetro3097
    @samwelipetro3097 5 месяцев назад

    Mpaka ni mekumbuka bibi

  • @samwelipetro3097
    @samwelipetro3097 5 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤

  • @liliannamanofficial
    @liliannamanofficial 2 года назад +1

    Glory to God for this family Choir. Mungu awabariki Sana Sana Yesu ATUKUZWE daima🙏🔥💯🎸🎼

    • @yonazivumwe
      @yonazivumwe  2 года назад

      Amen. God bless you sister @Lilian Naman.