Abiria wakwama barabara kuu ya Garissa-Mwingi baada ya sehemu ya barabara kuharibiwa na mafuriko

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 апр 2024
  • Abiria kadhaa wamekwama katika eneo la Tula kwenye barabara kuu ya Garissa-Mwingi baada ya basi walimokuwa wakisafiria kusombwa na mafuriko.

Комментарии • 59