IJUE SAUTI YA MUNGU || PASTOR GEORGE MUKABWA 26/09/2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 ноя 2024

Комментарии • 105

  • @ibrahimumsongole1377
    @ibrahimumsongole1377 Месяц назад +4

    Baba Mungu Anipatie Kibari cha kuijua kweli Yake

  • @MwambaForreal
    @MwambaForreal 9 дней назад

    Napokea Wana wangu, kutoka kaskazini na kusini, pia kutoka mashariki na magharibi sawasawa na neno la Mungu.

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 24 дня назад +1

    Hitaji nililo nalo Muñgu Baba nikujuevwewe zaidi na niijue sauti yako Ameeeni ❤❤❤❤

  • @Marie-AnneSenge
    @Marie-AnneSenge Месяц назад +2

    Napata mafundisho makubwa sana sana, Mungu abarikiwe milele na akutunze mutumishi wake...

  • @justineswai5885
    @justineswai5885 26 дней назад

    Asante baba

  • @neemasezinga3356
    @neemasezinga3356 Месяц назад +4

    Mungu baba nahitaji neema nipokee kutoka kwako hasa bwana mponye binti yangu tatizo la figo yake moja inyofanya kazi kwa asilimia 4 tu kama uishivyo nasema asante kwa kuwa umemponya katika jina kuu la Yesu Amen

    • @AndronikoSaanya
      @AndronikoSaanya Месяц назад +1

      Kwa jina la Yesu amepona...
      Ongeza imani yako kwa Mungu, jina lake ni Jehoba Rapha Mungu aponyaye, hajawahi kushindwa na ugonjwa wowote, ni wewe tu kumuamini...
      Na mimi ninaamini pamoja nawe, kwa jina la Yesu kristo wa Nazareth, mwanao amepona. Amen...

    • @jeremiaisowe4443
      @jeremiaisowe4443 Месяц назад

      Amen🙏

  • @JemaRashidi
    @JemaRashidi Месяц назад +1

    Amina baba ahsanteee kwaajili ya mafunzo yako tunabalikiwa sana

  • @finessarone5559
    @finessarone5559 Месяц назад +1

    Amina mtumishi napokea uponyaji sana katika Maisha yangu ubarikiwe sana mtumishi WAMUNGU

  • @GeorgeHoja-v3o
    @GeorgeHoja-v3o Месяц назад +1

    Mungu baba naomba kufanyika kama nabii na niwabariki wengine kupitia kibari chako maandiko na mamlaka yatumike katika Neno lako takatifu , damu ya yesu kristo ikanifunike na kunitenga na kila kizuizi cha maono yangu kwa jina la yesu na kwa damu Amina

  • @hussenhafidh3729
    @hussenhafidh3729 Месяц назад +1

    Asante Yesu Wangu kwa kuongea na mm leo hii, Nakuomba niisikie sauti yako Yesu katika kila eneo la maisha yangu.❤

  • @Anifanusura
    @Anifanusura Месяц назад +1

    Hivi hawa washirika wako naona wameiva sana mimi niko mbali napona.Mungu akutunze Mtumushi wa Mungu.

  • @kayitarecharles6993
    @kayitarecharles6993 Месяц назад +6

    Mungu wangu narajia musaada wako kwenye maisha yangu wa kushinda vizuizi kwenye maisha yangu kwa jina la YESU 🙏❤🇷🇼

  • @priscillahwairimu6252
    @priscillahwairimu6252 Месяц назад +18

    Baba hili ndilo hitaji langu kutoka kwako eeh mungu wangu mponye mtoto wangu Jude mjalie afya njema aweze kuwa mwenye afya njema afaulu kwa masomo yake yeyote asimpokonye kibali chake baba nifungulie neema ya kupokea kutoka kwako unitoe kwenye madeni niwe huru

    • @elizabethmwaka4731
      @elizabethmwaka4731 Месяц назад +1

      Jude apokeee uponyaji katika jina la yesu, ugonjwa sio sehemu yake katika jina la yesu yeye yusalama maana ni haki yake kama mwana wa mungu

    • @bathshebanyaboke7192
      @bathshebanyaboke7192 Месяц назад

      1:23:17 mtoto apokee ponyaji ktk Jina la Yesu Amina

    • @nancyfidelis-hp1hh
      @nancyfidelis-hp1hh Месяц назад +1

      Jude pokea uponyaji katika jina la Yesu Kristu

    • @linetmokami4247
      @linetmokami4247 Месяц назад +1

      Mtumishi nakfuuata sana mungu akbariki

    • @amsiypauline4500
      @amsiypauline4500 Месяц назад

      Jude apokee uponyaji wake in Jesus name

  • @haruonharounkithinji574
    @haruonharounkithinji574 Месяц назад +2

    God bless you pastor George Niko Kenya God bless you

  • @monicahjames7308
    @monicahjames7308 Месяц назад +3

    Halleluyah Roho Mtakatifu wa BWANA nisaidie kuskiza sauti ya BWANA 🙌🙌🙌

  • @andreakadunda6022
    @andreakadunda6022 Месяц назад

    Namshukuru Mungu Kwa ajili Yako Pastor mafundisho Yako yamenivusha Kutoka hatua Moja Hadi nyingine.

  • @MamaAlani-d9f
    @MamaAlani-d9f Месяц назад

    Amina Amina Baba nina ushuuda kbs na Kuisikia sauti Ya Mungu ..barikiwa sana

  • @nancyfidelis-hp1hh
    @nancyfidelis-hp1hh Месяц назад +1

    Mungu naomba ukombozi katika kila eneo kwenye familia yangu,

  • @Rebecca-d7l
    @Rebecca-d7l Месяц назад +2

    MUNGU ni julishe mapezi ya ko ju byashara yangu ❤❤

    • @shshygibb2236
      @shshygibb2236 Месяц назад

      True Prophet Pastor George Mukabwa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤God protect you uplift you washängae..oye from St Pölten ❤❤❤❤ Niederösterreich ❤❤❤❤❤❤❤Salamu za Mungu kwa wanawe!!!❤❤❤❤❤❤Amen!

  • @darlingqueendee3822
    @darlingqueendee3822 Месяц назад +1

    Amen Amen be blessed

  • @TediSadoki
    @TediSadoki Месяц назад

    Aminaa naomba neema ya kuisikia sauti yake naomba uniombee nasikia kukabwa shingoni nakukaukiwa kwenye koromeoo naitaji misaada wamaombi🙌🙌🙌

  • @Judith-mw4ys
    @Judith-mw4ys Месяц назад

    Mungu nipe neema ya kusikiliza sauti yako 🙏

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 24 дня назад

    Muñgu Baba tusaidie

  • @JenniferBuyari
    @JenniferBuyari Месяц назад +1

    Mungu wa mbinguni, muumba mbingu na inchi nakuomba unipee neema ya kuendelea kuishi tena. Huokoe nafsi yangu kutoka kwa hili shambulizi la Lebanon, nirudi nyumbani nikiwa mzima baba yangu

    • @FelistaMeena-yb4cw
      @FelistaMeena-yb4cw Месяц назад

      Usiogope kwa maana Mungu yuko pamoja nawe, atakushindia na atakupa nguvu. (Isaya 41:10) Mtumaini Mungu na ulinzi wa Mungu uko nawe. Hautakufa bali utaishi ulitumikie kusudi la Mungu. (Zaburi 118:17). Damu ya Yesu ikutetee na malaika wake wakuzunguke

  • @افلينافلين-ي9ك
    @افلينافلين-ي9ك Месяц назад

    Amennn. Mungu nisaidiye nijuwe kutambuwa sauti yako

  • @ElizabethMuthui-k5g
    @ElizabethMuthui-k5g Месяц назад

    Amen,, thankyou lord 🙏🙏

  • @ChristinaSanga-pl5jm
    @ChristinaSanga-pl5jm Месяц назад +1

    Katika mlima wa Bwana itapatikana nami nakuombea Mungu nipe Neema ya kupokea kutoka kwako

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 24 дня назад

    ❤❤❤❤

  • @dommykiragu2891
    @dommykiragu2891 Месяц назад

    Mungu wangu na baba yangu naomba unipiganie kila aina ya vita ambayo imeinuka iniweke chini kwa jina la yesu kristo

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 Месяц назад +1

    Bb naomba uponyaji Kwa kijana wangu roho za pombe mungu ukazitiishe Kwa damu Yako yenye nguvu

  • @jasminerashidi2782
    @jasminerashidi2782 Месяц назад

    Asante Sana pastor kwa kweli nimepata majibu ya maswali mengi ambayo nim3kiwa nikijiuliza

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 24 дня назад

    Wengi kweli mtumishi umenena tusikilize sauti ya Muñgu

  • @LucyNyato
    @LucyNyato Месяц назад

    Ninamuelewa sana pastor huyu Mungu amtunze daima

  • @Agnes-rl8co
    @Agnes-rl8co Месяц назад

    Ewe Jehova jire naitaji neema

  • @sulizosawala2520
    @sulizosawala2520 Месяц назад +2

    Jesus have mercy on me. Locate me in your mercy, in your joy, in your light. Amen

  • @MarySangiwa-fz1jc
    @MarySangiwa-fz1jc Месяц назад

    Mungu naomba umsaidie mwanangu afaulu na aendelee na masomo.yake chuoni.

  • @FranciscaManga-j4c
    @FranciscaManga-j4c Месяц назад

    Mkumbuke bAba 😢😢 anafaa kufanyiwa operation mwez ujao ,, haja ndogo inaziba plz mtumishi

  • @byaombeyussufu5740
    @byaombeyussufu5740 Месяц назад

    Amen Amen baba kwa neno zuri

  • @NaomMwongeli
    @NaomMwongeli Месяц назад +1

    Nijalie niondokee madeni

  • @LeonardPaschal-rx4ik
    @LeonardPaschal-rx4ik Месяц назад

    hakika mwenyezi mungu aendele kukulinda sababu mafunzo haya yananifanya nipone

  • @kayitarecharles6993
    @kayitarecharles6993 Месяц назад

    Amen 🙏 thank you Lord 🇷🇼

  • @YonaBilalama
    @YonaBilalama Месяц назад

    Hekima ya baba kwa watoto ubalikiwe sanaa baba

  • @LucyLema-m7e
    @LucyLema-m7e Месяц назад

    Naomba uponyaji wangu na dada yangu

  • @SmilingBeaver-od7hy
    @SmilingBeaver-od7hy Месяц назад

    Amen,be blessed man of God

  • @JolleetNiaze
    @JolleetNiaze Месяц назад

    Amen amaizng🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ValerianUbamba
    @ValerianUbamba Месяц назад

    Mtumishi una neema kubwa sana ya utumishi

  • @StellaMkhodya
    @StellaMkhodya Месяц назад

    Amina mchugaji unanifunza hakika

  • @RobsonAnthony-cx3wv
    @RobsonAnthony-cx3wv Месяц назад

    Yesu nipe kupata maisha ya kukupendeza wewe

  • @zaloycealoyce4354
    @zaloycealoyce4354 Месяц назад

    Ameen🙏🙏 barikwa sana

  • @carolinChambangwe
    @carolinChambangwe Месяц назад

    God bless you pastor 🙏🙏

  • @beatricekalinga1223
    @beatricekalinga1223 Месяц назад

    Pastor George Hakika MUNGU amekutuma kwetu ktk Neno lake,
    MUNGU ROHO MTAKATIFU akutunze Baba.

  • @AndrewManyeti
    @AndrewManyeti Месяц назад

    amen pastor

  • @Sidi-f1g
    @Sidi-f1g Месяц назад

    Mungu nisaidie nisikia sauti yako

  • @kareganjagi8640
    @kareganjagi8640 Месяц назад

    Amen amen 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @DavyImbuwe-hz8er
    @DavyImbuwe-hz8er Месяц назад

    Naomba mutusaidiye kuomba .Mana najitaidi kupambaba nikifika mahali natak kutoboa maisha najikuta nashuka gafra...Mimi Niko Burundi.

  • @nitikekubetta9152
    @nitikekubetta9152 Месяц назад

    Amen

  • @doreenntinyari7138
    @doreenntinyari7138 Месяц назад

    Ameen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o Месяц назад

    AMEIN

  • @MohammedAlsalamah-h1x
    @MohammedAlsalamah-h1x Месяц назад

    Haky hili neno ni langu mungu nisaidia nisikia sauti yako

  • @ansirandunguru
    @ansirandunguru Месяц назад

    Ameen

  • @emmanuelmukubwa9200
    @emmanuelmukubwa9200 Месяц назад

    Baba nahitaji Neema ya kupokea kutoka kwako

  • @Noor2024-l8s
    @Noor2024-l8s Месяц назад

    Jamani huyu baba ni zaid ya mtumish.

  • @NancyNaomi-od6ng
    @NancyNaomi-od6ng Месяц назад

    Naomba kushiriki maombi hayo

  • @NasmaHamis-d8t
    @NasmaHamis-d8t Месяц назад

    mung sema na mm

  • @maggytonga8410
    @maggytonga8410 Месяц назад

    Baba hili ndilo hitaji langu,nakuomba umponye mtoto wangu Marion anachangamoto ya damu,mponye baba rudisha pletlets zake tena kwenye damu yake.

  • @AngelRimoy
    @AngelRimoy Месяц назад

    BWANA NINAHITAJI NEEMA YA KUPOKEA KUPOKEA KWAKO

  • @gloryuronu6549
    @gloryuronu6549 Месяц назад

    Aminaaa

  • @AgnesNyaleso
    @AgnesNyaleso Месяц назад +1

    Amen amen amen 🙏💖🙏🙏

  • @peninahmwende3537
    @peninahmwende3537 Месяц назад

    Amen 🙏

  • @PaulineHalima-p5i
    @PaulineHalima-p5i Месяц назад

    Amen

  • @AgnessKachele
    @AgnessKachele Месяц назад

    Amen 🙏🙏

  • @SarahKabungu
    @SarahKabungu Месяц назад

    Amen amen

  • @FlorenceMusau-uf5xv
    @FlorenceMusau-uf5xv Месяц назад

    Ameen

  • @prisca4612
    @prisca4612 Месяц назад +1

    Amen!!!

  • @mosesngulu3981
    @mosesngulu3981 Месяц назад +1

    Amen 🎉

  • @SarahKabungu
    @SarahKabungu Месяц назад

    Amen Amen

  • @MaryMwihaki-if7ry
    @MaryMwihaki-if7ry Месяц назад

    AMEN AMEN, 🙏🙏

  • @TumainiManga
    @TumainiManga Месяц назад

    Amina

  • @esthershaluah3770
    @esthershaluah3770 Месяц назад

    Amen and Amen 🙏

  • @FabiolaMwas
    @FabiolaMwas 17 дней назад

    Amen 🙏🙏

  • @hffh7717
    @hffh7717 Месяц назад

    Amen Amen amen 🙏🙏🙏🙏

  • @AnnNanjala-fw5vu
    @AnnNanjala-fw5vu Месяц назад

    Amen

  • @everinemasoka6923
    @everinemasoka6923 Месяц назад

    Amen Amen

  • @hffh7717
    @hffh7717 Месяц назад

    Amen Amen 🙏🙏

  • @AgnesAjiambo
    @AgnesAjiambo Месяц назад

    Amen

  • @EdaAlex-q5u
    @EdaAlex-q5u Месяц назад

    Amen

  • @Patience763
    @Patience763 Месяц назад

    Amina

  • @LadiusKarashani
    @LadiusKarashani Месяц назад

    Amina

  • @RosePreygod
    @RosePreygod Месяц назад

    Amina

  • @nellykadenyi
    @nellykadenyi Месяц назад

    amen amen

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 Месяц назад

    Amina

  • @kellycrispin2265
    @kellycrispin2265 Месяц назад

    Amen