TUNDU LISSU AMRARUA VIBAYA MBOWE AKIOMBA KURA UKUMBINI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 18

  • @ALESIACHIJOKA
    @ALESIACHIJOKA 11 дней назад +2

    Mungu aendelee kukupa HITAJI LA MOYO WAKO daima UBARIKIWE SANA.. mungu Fanya wepesi kwa lisu jamiii inamuHITAJI kweli kweli bariki mioyo ya watu.iwe upande wake . Amen 🙏 Amen 🙏❤❤❤🎉🎉

  • @ahmedally-zo9jj
    @ahmedally-zo9jj 10 дней назад +2

    Lissu ni lijitu likubwaaaaaa😂😂😂

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 11 дней назад +1

    Chadema ina vijana wapo smart sana

  • @edmundstephano2184
    @edmundstephano2184 10 дней назад

    Mimi ninauchungu Sana na ukitaka uone kwamba Sisi japo tunachekelea lakini tuko uchi nenda katembelee sehemu nyeti za nchi mfano mahosptalin, vijijini, mpaka magerezani na kwingineko ndo ujue, yaani mimi mpaka nasema iki ni kifungo cha watu wengi kama watu wa vijijini wanaweza kukubalia kiongozi yeyote, eti wanampigia kula duu! Kwamaisha gani walionayo Mimi wazazi wangu niliamua kuwatoa ili wasifieko waje tubanane apa mjini ilimradi kinachopatikana tunagawana hicho

  • @edmundstephano2184
    @edmundstephano2184 10 дней назад

    Nchi hii imeoza Sana inatupasa tufanye maboresho na maboresho siompaka viongozi wakongwe, hamna ata chipkizi anafaa atupeleke mchaka mchaka na atufundishe kukipenda cha kwetu,

  • @HassanMohamed-fn8ue
    @HassanMohamed-fn8ue 10 дней назад +2

    Chadema tulikuwa na imani nayo sana ila katika uchaguzi huu tumeona ni tawe lachama gani poleni sana

    • @matiacetz7721
      @matiacetz7721 10 дней назад

      Lissu na mbowe wote wanastahili hii nafasi Kwa iyo atakaechaguliwa apo sawa tu

  • @hamadmakame6040
    @hamadmakame6040 10 дней назад +1

    USIENDE UBELIGIJI SASA

  • @FimbombayaKimbwi
    @FimbombayaKimbwi 11 дней назад

    Pamoja Sana

  • @edmundstephano2184
    @edmundstephano2184 10 дней назад

    And then muheshimiwa mboe yeye anadai kwamba apewe ridhaa ili akamilishe ndoto zake je, kama Sisi watanzania tunaojielewa hivi inaingia akilini wote kuungana ili kuzitimiza ndoto za mtu moja? Jaman apo amechemka wenye ndoto ni Sisi kwaiyo aombe ridhaa ili atutimizie ndoto zetu.

  • @edmundstephano2184
    @edmundstephano2184 10 дней назад

    Eti mnipe kula nitimize ndoto zangu, mmmmmh analake jambo huyu

  • @edmundstephano2184
    @edmundstephano2184 10 дней назад

    Watu hawaulizi maswali ya akili, badara ya kuuliza je ukipewa hiyo ridhaa nini kitaendelea kuhusu chadema

  • @CharlesSomeke-p8m
    @CharlesSomeke-p8m 10 дней назад

    Na hao wazungu ni wajumbe wa chadema

  • @ErastoMaridadi
    @ErastoMaridadi 11 дней назад +1

    Mbona mnaonekana kama watu wa mtaani,nidhamu hakuna

    • @BethuelofficialTz
      @BethuelofficialTz 10 дней назад

      Kama CCM juzi Hadi kikwete akawaambia wawe serious mambo makubwa yanapozungumzwa. Chadema very smart

  • @matiacetz7721
    @matiacetz7721 10 дней назад

    Hii nafas inahitaji mtu mwenye ujasiri

  • @NicksoniKalimu
    @NicksoniKalimu 10 дней назад

    Kaka chama kimekuha chakihuni