Mariamu Alimzaa Mungu Bila Kujua Maajabu ya Dunia kwa Wakiristo-Ustadh Shafii

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 ноя 2024

Комментарии • 83

  • @mashakabundala9955
    @mashakabundala9955 3 месяца назад +2

    Alhamdulilah i am muslim born in East Africa

  • @HassanJaphari-rx7jy
    @HassanJaphari-rx7jy 3 месяца назад +3

    Hongera sana kaka mubarack Christopher kwa kuiona nuru ya Allah(s.w) ya uislamu. Ama kwa hakika sasa upo kwenye njia iliyonyooka kuelekea kwa mola wetu mlezi. Nakuombea kwa Allah (s.w) akujaze kheri Ameen.☝️🕌🙏🙏🙏

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 3 месяца назад +1

      Amiin

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 3 месяца назад

      @@HassanJaphari-rx7jyyaani Christopher ndio kapotea mazima kama kiongozi wake aliemfuata ,hata Leo Bado anaombewa rehema huko aliko ,amejitafutia matatizo mazito Sana kwa kumkataa YESU na kumfuata ambae hataweza kumtetea hata chembe moja kwasababu na yeye Bado anaombewa rehema duniani ,inaonyesha alimaliza vibaya safari yake ndio maana waumini wameng'ang'ana na Maghufira ,(Fin nal jahanam abadaan ) Ila sio tatizo kwa kua angejichagulia njia yake ya hukumu . Cha kushangaza YESU ndie atahukumu Kila mtu Alie mfu na alie hai Sasa sijui atajibu vipi hata Quran inasema Unabii na kitabu vitatoka ktk nyu ya Ibrahimu ,Kisha kwa izhak kwenda kwa Yacub sasa ameiacha njia yeye akaelekea Madina kwa makureish .Mungu amrehemu .

    • @FatmaAlabri-lz2cw
      @FatmaAlabri-lz2cw 3 месяца назад +1

      Allahumma amin

  • @yassinbahibry
    @yassinbahibry 3 месяца назад

    nimekuwelewa sana ustadh wangu shafii yani unajuwa kiukweli Allah aturinde sote pia tuwaombee ndugu zetu waislam wote duniani walio kwenye bala & matatizo makubwa haswa ndugu zetu wapalestina gaza , mwenyezi mungu atudumishe kwenye amani na haqqi maisha yetu yote yarabbi al alamin.

  • @HassanJaphari-rx7jy
    @HassanJaphari-rx7jy 3 месяца назад +1

    MashaAllah Alhamdulillah I'm a Muslim from Tanzania ☝️🕌🙏🙏🙏

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 3 месяца назад +2

    MASHA ALLAH 🇰🇪💚💚💚

  • @futakambaharuna764
    @futakambaharuna764 3 месяца назад +1

    Inshaallah

  • @MohamedMohamed-u3t1n
    @MohamedMohamed-u3t1n 3 месяца назад +7

    Wakristo jamani sisi waislamu tunampenda bwana yesu isa mwana wa mariam kuliko nyie ila sio mungu bali mtume wa mungu

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 3 месяца назад

      @@MohamedMohamed-u3t1n ukisoma vizuri surat Mariam utagundua Issa siye YESU kwana historia inatofautiana kabisa ,Isa wa Quran alizaliwa chini ya mtende na sauti ikatoka chini ya ardhi Madina ,na ukisoma Biblia ambacho ndicho kitabu Cha kweli Cha mitume na manabii ,utaona YESU KRISTO alizaliwa Bethlehemu(,Beitul llahame ) Sasa Madina na Israel wapi na wapi ,wakati mwingine ni mtu ujue tuu kua vitabu vingine vinaongopea watu,kingine kibaya zaidi ,kitabu hicho kimepinga Torati yote ,injili yote na zaburi yote ,mfano ,amri za Mungu ,Usiue ,hicho kinasema waueni ,usiibe ,ukipigana jihad mchukue malizao kua fidia ,usizini oa wake wengi ,usiseme uongo unaweza itetea dini kwa uongo ,nk kwenye injili Yesu mwana wa Mungu huko kwenu sii mwana wa mungu ,alikufa hajafa , aliwambwa msalabani walibabaishiwa mtu mwingine ,Yesu alichagua Mtume Paulo ,ooh Paulo sii Mtume ,yaani vituko vituko tuu ,mara manabii wote walikua waislamu ilhali Quran inasema muislamu wa kwanza ni bi hadija kwani hiyo ni hadija aliishi hata kabla ya Adamu kama ni hivyo, ,hiyo inajumuisha vile ambavyo uongo umefanywa kua kweli ,.ila jambo moja mjue hamtaweza kuona uzima wa Milele nje ya YESU KRISTO kwani Ndie njia ,kweli na uzima na huwezi mwona MUNGU Baba bila kwa kupitia kwa YESU ,hata Mtume alikiri Roho yake amemuwekea YESU na alisema hajui atakavo fanywa baada ya kifo. Heri mngee elewa Hilo mapema mkashikamana na Mungu na mioyo yenu ikaacha kutetea dini badala ya utakatifu na kuhifadhi Mungu moyoni .

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 3 месяца назад

      Siyo kweli, Isa na YESU ni tofauti sana iwe kuzaliwa kwao,mahali wanakotoka na kuondoka kwao duniani,Mf unapofananisha Yesu na Muhammad hiyo ni kufuru kubwa mno, Yesu alikuwa mtakatifu tangu kuzaliwa hadi kuondoka kwake duniani wakati Muhammad alikuwa muovu kama sisi na anaondoka duniani kwa aibu.Uislam ulipokuja na Muhammad umezikuta habari za Yesu zimeshaandikwa lakini Yeye kaja kuharibu na kuposha watu

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 3 месяца назад

      @@FridayMwassa kutofautiana historia haimaanishi ni tofauti halafu hamuwezi kujibu hoja mada nyengine mnakimbilia kumtukana mtume muhammad ili kutoka nje ya mada matusi pekee ndio njia ya kutetea ukafiri sasa hapo sijaona mada inayomtaja mtume muhammad

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 3 месяца назад

      @@FridayMwassa hamuwezi kujibu hoja zaidi ya matusi sasa kuna mada inayomzungumzia mtume muhammad hapo? hicho ndio kichaka chenu makafiri cha kujificha ukishamtukana mtume automatically umeshatoka nje ya mada ukristo ni zaidi ya upofu

  • @KoronelioObedi
    @KoronelioObedi 3 месяца назад +1

    Atawachanganya Yesu mpaka mtakoma Mungu hachunguziki

    • @hamisimkoma7380
      @hamisimkoma7380 3 месяца назад +2

      Kweli ujinga ni mzigo,hujielewa wewe

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 3 месяца назад

      ​@@hamisimkoma7380nikweli anatuchanganya lkni Mungu wa namna hii hayupo Wala hatokei .yakobo 1,17 inatuambia Mungu Hana kivuli Cha kugeukageuka.sasa ulisema yesu Mungu mwanadamu mara nabii mara mtoto nikweli tu anatuchanganya au nyinyi wafahamishaji kwanza mmegahamu vibaya halafu mnatufahamisha na sisi vilivyokuwa sivyo
      Kwa hio someni muelewe vizuri ili mje mtugahamishe vyema

    • @mashakabundala9955
      @mashakabundala9955 3 месяца назад +2

      Mungu hasinzii wala halali mkiambiwa ukweli mnaleta hoja za ajabu sasa subirini kidogo tuu

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 3 месяца назад +2

      Atawachanganya nyie toka lini Mungu akafa!!???

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 3 месяца назад

      ​@@bennymochiwa4800Wewe unayefuatili Mambo ya wakristo ndiyo utachanganyikiwa

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 3 месяца назад +2

    Wacristo ni watu wa ajabu sana

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni 3 месяца назад

    Subhana Allah

  • @abeidmohamed2100
    @abeidmohamed2100 3 месяца назад +2

    { إِنَّهُۥ كَانَ فَرِیقࣱ مِّنۡ عِبَادِی یَقُولُونَ رَبَّنَاۤ ءَامَنَّا فَٱغۡفِرۡ لَنَا وَٱرۡحَمۡنَا وَأَنتَ خَیۡرُ ٱلرَّ ٰ⁠حِمِینَ }
    [Surah Al-Muʾminūn: 109] tafsi r ,Bila ya shaka lilikuwapo kundi katika waja wangu likisema: Mola wetu Mlezi! Tumeamini; basi tusamehe na uturehemu, nawe ndiwe Mbora wa wanao rehemu

    • @abeidmohamed2100
      @abeidmohamed2100 3 месяца назад

      Mmefikisha ujumbe mzur ,upo waz kwa mwenye akili mwenyez mungu tuongoze sis waislam na wasio waislam ktk haki na utupe pepo yako

  • @Ismailmusa-y6b
    @Ismailmusa-y6b 3 месяца назад

    mashallah,

  • @jumahenriquesgeraldo9837
    @jumahenriquesgeraldo9837 3 месяца назад +1

    Wakristo ni wapunguvu tupu. Mungu wao kapewa chakula na viumbe vyake? Yeye ndo ntoaji msaada Kwa wanaadamu na viumbe vyake

  • @BobgIsmail
    @BobgIsmail 3 месяца назад +1

    Wacrsto siyo kama hawayaoni hayo maandiko isipokuwa ubishi na wanajua yakuwa wanakufuru i

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 3 месяца назад +1

    Kwanza hamjiulizi , hiyo ndo inatofautisha Kati ya Ukristo na dini nyingine , Yesu Asipokua Mungu ,basi hata hii dunia HAIWEZI kuepo , Kwanza hamjui kua kuna siri saba za Mungu , na hamjui kua kuna vipindi Saba vya dunia , kabla ujaropoka jaribu, kutafakari , kwakua hiyo ni Siri ,

    • @aliiddi4268
      @aliiddi4268 3 месяца назад +1

      hem tuambie izo siri saba ba sisi tuzijuwe

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 3 месяца назад +1

      Ingekuwa siri wewe ungeijuwa? Kama unaijuwa si siri tena

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 3 месяца назад

      @@Catherine-mh8sw Kitu ambacho hujui ni kwamba Siri ni kitu ambacho MTU furani anajua na mwingine hajui , na Siri za Mungu mpaka ufunuliwe au upewe neema , ndomana Ukisoma kitabua cha warumi 11:25 kuna Siri ya pili ambayo ni Siri ya upofu WA izrael inasema 25 Kwa maana, ndugu zangu, sipendi msiijue siri hii, ili msijione kuwa wenye akili; ya kwamba kwa sehemu ugumu umewapata Israeli, mpaka utimilifu wa Mataifa uwasili., maana ya andiko hili ni kwamba Sisi wamataifa tusijione tunaakili ni neema Tu ndo tumepewa , ila izrael itakuja kutambua siri hii mpaka utimilifu wa mataifa utakapotimia , ndo watajua kua Yesu alikua ni masihi,

    • @SheeMaryam.M
      @SheeMaryam.M 3 месяца назад +1

      Haija Siri vipi na ushaijuwa
      Hii mambo ya kuwa ATI mpka uwe na roho ndio uelewe

    • @yohana1242
      @yohana1242 3 месяца назад +1

      ​@@aliiddi4268Azitolee wapi ndo wanavodanganywa ivo😂😂😂

  • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
    @Mahershalalhashbazi-kf6xi 3 месяца назад +2

    Inasemekana Allah hakuzaa,Wala hakuzaliwa,Wala hana mfano wa kitu chochote;Lakini Allah kumbe ana macho na anaweza kuliia mpaka macho yakavimba.
    👇👇👇👇👇👇
    Wakati mmoja macho ya Allah yalikuwa yanauma,na malaika walikwenda kumwona na kwamba alitokwa na machozi kwa ajili ya mafuriko ya Nabii Nuhu 👉{Wannilah,Juzuu 1,Ukurasa 141}
    Hiiii😭😭😭hiiiii 😭😭😭hnhiiiiii malaika nibembelezeni 😭😭😭

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 3 месяца назад +1

      Alafu ulivyo muongo basi

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 3 месяца назад +2

      ​@@Catherine-mh8swikiwa Hadi Sasa hawajajuwa wamsimulie vip yesu vip watakuwa kumuelezea Allah
      Kwanza ona hata huyu anasimulia hata hajui asemalo kwani yeye ameumbwa na Mungu yupi hata anaesema Mungu wa waislamu na Mungu wakristo wakati sote tumetokea kwa Adam na hawa kwa hio atwambie adamu na hawa wameumbwa na Mungu yupi ajichunguzeKama yupo vyema kiakili

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 3 месяца назад +1

      @@hassanjuma2772 kabisa yani. Ila ni wagumu saaana kuelewa na wabishi

    • @Yohova_First
      @Yohova_First 3 месяца назад

      @@Mahershalalhashbazi-kf6xi
      Ukitaka kujua kama MUNGU kafanana na mwanadamu SOMA VIFUNGU hivo katika QURAN yako utaelewa wakristo tunamaana gani Ukibisha mpaka maandiko yako Sina msaada kwako SUBILI HUKUMU YAKO YA KUWAFIKILIA WENZAKO WAKOSEFU.
      Az-Zumar : 67
      Al-Ma'idah: 64,
      YaSin: 83,
      Al-Imran: 26
      Sad: 75,

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 3 месяца назад

    Wakristo ndugu zangu kitendo cha kuambiwa na wachungaji hamuwezi kusoma biblia na kuijua mpaka uwe na Roho mtakatifu huo.niuongo na ni mbinu za wachungaji mkubali kila mtakaloambiwa Yesu leo ni Mungu kesho ni mwana wa Mungu mtondogoo ni mtume wa Mungu kwa mshaambuwa hamna Roho mtakatifu huwezi kujua biblia mshapigwa changa la macho kalaleni

  • @Austinemarko
    @Austinemarko 3 месяца назад

    17-85 waislamu hamukupewa elimu ila kidogo nayo ni elimu isiyo husika na roho#sasa kama elimu hamna mtamjua yesu kweli makafiri nyie.sio matusi. yuda i:4. Waislamu mtapata taabu sana hadi yesu arudi.

  • @nicksonlyimo1562
    @nicksonlyimo1562 3 месяца назад +2

    Christopher amepotea mazima kabisa ,utakumbuka kwa nini uliasi

    • @erishaaboumpangaje8597
      @erishaaboumpangaje8597 3 месяца назад +1

      Hauna bahati kabisa...endelea tu na ukoloni ukidhani umepatia

    • @Austinemarko
      @Austinemarko 3 месяца назад

      Mkiristo mwenye akili timamau haezi silimu kumfwata allah.allah akiingia motoni utabaki..huyu kapewa mchele na mwanamke😂😂😂 hovyo.

  • @mozesdaniel7484
    @mozesdaniel7484 3 месяца назад +2

    Bakieni hapohapo na Dini yenu ..Maandiko bila Roho Mtakatifu hususa ni Biblia mtasema kama Gazeti
    Sasa Yesu mnakubali vip lakini Nyie Hambatizi kama maagizo yake??

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 3 месяца назад

      @@mozesdaniel7484 biblia imetajwa kwenye agano la kale au jipya ? Nabii gani kaleta biblia?

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 3 месяца назад +1

      @mozesdaniel7484 nice andiko biblia ameleta nabii gani wa mungu?

  • @Yohova_First
    @Yohova_First 3 месяца назад +1

    Sikieni Waislam mliomjadalani.
    Kila NENO lina maana zake na MTAZAMO Yake
    Hivo neno MUNGU kila mtu ana mtazamo wake na maana zake. Nivo tu UKIITAJI UFAFANUZI NITEXT NITAKUFAFANULIA UTAKAE NIULIZA

  • @zaynababdullah3061
    @zaynababdullah3061 3 месяца назад

    😂😂😂😂😂😂

  • @hamissnjumba302
    @hamissnjumba302 3 месяца назад +1

    wewe ndio umebebeshwa kichwani em fanya analysis

  • @fredosanya9604
    @fredosanya9604 3 месяца назад +1

    Yesu aweje Mungu na Mariamu kamzaa? Tumia tu akili ya kuzaliwa sio lazima uende shule... jameni ndugu zetu wakristo tatizo lenu nini?

  • @jumahenriquesgeraldo9837
    @jumahenriquesgeraldo9837 3 месяца назад +1

    Wakristo ni wajinga. Itakuaje Mungu aende nsalani kufanya haja. Mungu haendi na hapati choo, huu ni upagani wakirumi wanao utetea

    • @sports007tv4
      @sports007tv4 Месяц назад

      Sisawa kutukana iman za watu muelekeze mtu kwa maneno mazur ukimtukana atakufanya adui ila ukimuelimisha unaweza ukamshawishi kuingia katika uislam

  • @samwelingasa1638
    @samwelingasa1638 3 месяца назад

    Mm nashauri tutumie akili katika kuongea sio hisia kitu sahihi kipo machoni mwa mtu mwenyewe battle la wakristo na waislamu halitahisha litaisha tukitumia akili badala ya hisia tuheshimiane hakuna kilichokamilika huo ndo ukweli

    • @sadikiissa7756
      @sadikiissa7756 3 месяца назад

      Usijifiche kwenye kichaka cha Hakuna kilichokamilika bali unatakiwa usome na ufanye Utafiti mwenyewe badala ya kupandikizwa vitu visivyo na kichwa wala miguu.

    • @shabamuhidin634
      @shabamuhidin634 3 месяца назад

      ndugu unafunguliwa macho at least uone,hakuna ushabiki,watu wanatoa hoja utafakari kama hutaki si unaacha tu,wapo Wakrsto wanaotaka ukweli wanaskiza wanakubali

  • @nicksonlyimo1562
    @nicksonlyimo1562 3 месяца назад +1

    Shafi biblia mlima mkubwa ,ila tunakukaribisha kwenye ukristo,kwani nafsi zenu zinasukumwa sana kwenye biblia hiyo ni ili usijitetee siku ya hukumu ,poleni kwa kua mlizoea hadithi na ndo maana Neno la Mungu linawapiga chenga kulijua ,

    • @shabamuhidin634
      @shabamuhidin634 3 месяца назад +1

      kwani we hufati Bibilia? huna hoja ya kutoa,kwa njia io huwezi kuvuta watu,lakini wachungaji kila siku wanasilimu we baki apo

    • @selemanimakale2808
      @selemanimakale2808 3 месяца назад

      Kwa ukweli upi uliopo kwenye ukristo unaweza mfanfanya shekhe Shafii kuwa mkiristo?

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 3 месяца назад

      @@selemanimakale2808 pole umerithi Imani usioijua kutoka kwa wazazi ,jabal hiraa Mohamad alitokewa na jini kiumbe lakinj mkewe akamwambia ni utume unakujia ,akakanusha mke kamkamatia ,ukisoma Quran 2:97 utagundua aliiteremsha Quran moyoni kwa Mtume ni adui wa jubril ambae ni shetani ,Sasa wewe unataka watu waamini kitabu kilicho ekwa kwa moyo wa Mtume na adui?? Halafu tumuache YESU ambae ni mkombozi wa kweli ?

  • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
    @Mahershalalhashbazi-kf6xi 3 месяца назад +1

    YESU anasema yeye ni Mungu hapa;(Quran) 👉Al Nur (Mungu ni Nuru/Mwangaza) Yohana 8:13.
    Msipotoshe maamuma ninyi;mtadaiwa roho zao

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 3 месяца назад +1

      Yohana 17:3

    • @mashakabundala9955
      @mashakabundala9955 3 месяца назад

      Saba 54 matayo

    • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
      @Mahershalalhashbazi-kf6xi 3 месяца назад

      @@mashakabundala9955 Mathayo 7 Ina mistari 29 tu. Hiyo iliyo zaidi mpaka 54 Itakuwa ya Quran sio Biblia

    • @Austinemarko
      @Austinemarko 3 месяца назад +1

      Biblia mzima imejaa maadiko yesu mungu#kama kuokoka hawataki cbaci

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 3 месяца назад

      @@Austinemarko yohana 17:3