Nabarikiwa Sana na nyimbo zako dada, hakika una mafuta ya roho mtakatifu ndani yako, Mungu akulinde akutunze pamoja na mume wako na watoto wenu, nawapenda.. from tz
Mungu wa mbinguni akubariki wewe na familia najua Matokeo ya kazi hii ni kwa sababu familia na jamaa zako wanajitoa kuhakikisha kazi ya Mungu inakuwa nzuri na ubora wa hali ya juu. God bless you... I appreciate you na huwa nabarikiwa sana na jumbe zipatikanazo kwenye nyimbo zako. Tunakuombea un yenyekevu na hekima juu ya Huduma yako. Nakupenda mjoli wa Mungu...... siku moja uwepo aridhi ya Tanzania utuhudumie tutafurahi sana
Mummy you really don know how much your music bless my soul when l listen to them 🙏💖 l am blessed you are true worshipper of christ you are a blessing to the next generation 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🤲🤲🤲
Wow my favorite song God bless you my sister Nely. Mavumbini ndo palikuwa mahali pangu ni kila nala vumbi kulala kwenye mavumbi asante wewe ni Mungu wangu acha ni kuabudu
Upo zaid ya wote unanyimbo zuri zaid hzi nyimbo ulizo ziludia nazipenda toka miaka hyo asantr sana. Tumludie Mungu na karibu roho. Mungu awe nawe kila mda usije teleza wala kupatwa nabaya siku zote
Mungu wa aliye hai Mungu wa viumbe vyote tunashuka mbele zako jina lako lihimidiwe, Mungu wa maagano Mungu muweza yote tunashuka mbele zako jina lako lihimidiwe. Bado natakasika. Mungu akubariki
Bonjour da Neema,nilikufata jana Ku Rtnc Bukavu nikapenda sana,ila tunakuchunga kwa hamu sana sana ukuye punir Rose mwando utapata batu kutambuka sana,ni Akili Augustin pa Bukavu
Wew n mungu wang..... Hakika ww n mungu unayeweza, usiyeshindwa na kitu acha nikuabudu... 21 Dec 2020 tunapoelekea kumaliza mwaka nmebarikiwa na huu wimbo Da NEEMA barikiwa sana 🙏🙏
Nabarikiwa Sana na nyimbo zako dada, hakika una mafuta ya roho mtakatifu ndani yako, Mungu akulinde akutunze pamoja na mume wako na watoto wenu, nawapenda.. from tz
You are blessed, more grace and favour from God.
Utabaki kuwa Mungu katika ali yangu yote ya maisha ninayo pitia najua unatuwaziya yaliyo mema Mungu awalinde nakuwabriki
Mungu wa mbinguni akubariki wewe na familia najua Matokeo ya kazi hii ni kwa sababu familia na jamaa zako wanajitoa kuhakikisha kazi ya Mungu inakuwa nzuri na ubora wa hali ya juu. God bless you... I appreciate you na huwa nabarikiwa sana na jumbe zipatikanazo kwenye nyimbo zako. Tunakuombea un yenyekevu na hekima juu ya Huduma yako. Nakupenda mjoli wa Mungu...... siku moja uwepo aridhi ya Tanzania utuhudumie tutafurahi sana
Mummy you really don know how much your music bless my soul when l listen to them 🙏💖 l am blessed you are true worshipper of christ you are a blessing to the next generation 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🤲🤲🤲
God bless you mum.your songs are very torching.haswaa nakwangalia wewe.
Hallelujah hallelujah hakika nimebarikiwa sana na huu wimbo nimeusikiliza Kwa makini kuna kitu nimejifunza asante MUNGU 🙏🙏
Wow my favorite song God bless you my sister Nely. Mavumbini ndo palikuwa mahali pangu ni kila nala vumbi kulala kwenye mavumbi asante wewe ni Mungu wangu acha ni kuabudu
Hallelujah hallelujah we ni mungu wangi Yesu wa mililele
...kila siku nazidi kukufwatilia na kuzidi kubarikiwaa,
Dada Mungu akupe Njia Dhabiti
Ubarikiwe sana da nene Mungu akuinue zaidi 🙌🙌🙌
Wimbo mzuli sana barikiweni na Yesu.
Aabudiwe Mungu wetu. Mubarikiwe saana
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu nyimbo zako Zina nibariki sana Mungu azidi kukuinua Kwa utukufu wake.
Upo zaid ya wote unanyimbo zuri zaid hzi nyimbo ulizo ziludia nazipenda toka miaka hyo asantr sana. Tumludie Mungu na karibu roho. Mungu awe nawe kila mda usije teleza wala kupatwa nabaya siku zote
Ubarikiwe na Bwana
Mungu wetu ana stahili sifa na maabudu ya kutoka kwetu. Hâta Nami nashuka ubarikiwe dada
Mungu wa aliye hai Mungu wa viumbe vyote tunashuka mbele zako jina lako lihimidiwe, Mungu wa maagano Mungu muweza yote tunashuka mbele zako jina lako lihimidiwe. Bado natakasika. Mungu akubariki
Amen ,Mungu akubaliki Mama ,pamoja na familia yako Baba awalinde Asante sana .
Amen ,god bless you my cc❤
May Almighty God bless you abundantly my sister,your songs has been a blessing to my life....strong massage
Mwaka huu baba nashuka mbele zako ili uniongoze 👏🏽👏🏽
Ubalikwe sana
Prospère énormément la Bethel de Dieu
Wimbo nzuri sana barikiwa
Ubalikiwe watumish
Courage
Amen dada nakuwaga nabarikiwa niksikiya nyimbo zako
Wewe ni Mungu wangu acha nikwabudu hakuna usiloleza Jehovah, upendo wako ni wa ajabu, be blessed neema!
Glory to God. More grace and favor mama.
oh Yesu acha nikuabudu wewe ni Mungu wangu. hakika sijajutia kukujua Yesu.barikiwa dada Neema unanibariki sana
Nyimbo ya mungu kweli kweli.
wimbo nzuri sana, hongera
Uko rait mungu yesu yesu ndiye mungu
Nabarikiwa sana nikisikiliza nyimbo zako,, mungu akubariki
Hallelujah 😭😭😭😭😭huuu wimbo unanguvu Sanaa sichoki kuusikilza❤️❤️❤️ najivunia nyie wazazi wangu 🙌🙌🙌
Uko vzr
Tunakuabudu n'a tutaendelea kukuabudu tuuu Mungu wetuuu🙏🙏🙏
Mungu huu kila kitu kwangu Mungu awabariki zaidi ya sana
Nlikuwa mavumbini 😭😭😭
Amen mama
I love this song be blessed sis Neema
Dada yangu Mungu wa mbinguni akuinue zaidi umenibariki sana
Barikiwa sana maman tu es une inspiration pour nous barikiwa
Congratulations my daughter. Be blessed
Mungu ni Mungu tuu Asante yesu 🙏🙏
Amen God is good
Bonjour da Neema,nilikufata jana Ku Rtnc Bukavu nikapenda sana,ila tunakuchunga kwa hamu sana sana ukuye punir Rose mwando utapata batu kutambuka sana,ni Akili Augustin pa Bukavu
Jesus answered, “I am the way and the truth and the life. No one comes to the Father except through me.
wow amazing
Amina dada Mungu aendelee kukuinua daima.
Wew n mungu wang.....
Hakika ww n mungu unayeweza, usiyeshindwa na kitu acha nikuabudu...
21 Dec 2020 tunapoelekea kumaliza mwaka nmebarikiwa na huu wimbo
Da NEEMA barikiwa sana 🙏🙏
Amen
Hakika wewe ni Mungu wangu
Unanibariki sana kipenzi barikiwa pia
Nakupenda mungu azidi kukutumia
Amen amen 🙏🙏🙏🙏vraiment ❤️❤️
Wimbo huu umenifungulia mwaka vema
Amen amen, stay blessed y'all 🙏🏾
Kabisa wewe nimuguwagu ubarikiwe
Imeni towa machozi wakati nasikia ii nyimbo inani fariji
Ubarikiwe Sana mtu wa Mungu
Kwakweli dada nimebalikiwa sana
Amen
Peke yako Bwana wa kuabudiwa na kusujudiwa🙏
Amen,ubarikiwe
Amen asanta mungu , Mungu akulinda
Amennnnnnnnnn
Amina
Martin mbele
CYBER HUG from UGANDA
mungu akubariki
Barikiwa mama.
I just come across her songs oh Lord I feel inspired ..blessed sister
Amen
Powerful
Amen 🙏
Amen Amen!!!
Amen 💯💯🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ameen
😊
Pure worship
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mubarikiwe !
Amen