DR.SULLE JINSI YA KUSOMA SURAT FATHAH ILI IKUSAIDIE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 ноя 2024

Комментарии • 56

  • @Twahirpizza1994
    @Twahirpizza1994 7 месяцев назад +8

    Ummul qur aan ndio yenye miujiza kuliko surat yoyote allahumma aaamin❤❤

  • @hassannassoro5542
    @hassannassoro5542 7 месяцев назад +5

    Mungu akufanyie wepese Dunian Mpaka kesho akhela Akusamehe pale ulipo teleza na akupe itaji la Moyo wako. Allah kareem

  • @leilahassan6731
    @leilahassan6731 7 месяцев назад +4

    Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu yenye baraka akuweke na familia yako akupe jannatul firdous bila hesabu na afanye nyumba yako na familia yako iwe jannah yako ya duniya Amin Amin Amin

  • @jumakadamila8794
    @jumakadamila8794 7 месяцев назад +3

    Allahuma Salli Ala Sayyidna Muhammad Ya Rabbi Salli aleyhi Wasaliim

  • @MariamJuma-o9z
    @MariamJuma-o9z 7 месяцев назад +3

    Shukran sana Dr sule Allah akujalie mama kwa kutup Elim Safi mashaa Allah shukran

  • @ZiadaMfaume
    @ZiadaMfaume 7 месяцев назад +15

    Hii surat fatha imenipatia kazi alhamdulillah

    • @zenaahmedi8857
      @zenaahmedi8857 7 месяцев назад +3

      Masha Allah

    • @sunwizy608
      @sunwizy608 7 месяцев назад +2

      uliitumiaj naomb unielekeze best

    • @ZiadaMfaume
      @ZiadaMfaume 7 месяцев назад +8

      @@sunwizy608 nilikuwa nikiisoma mara ishirini kila baada ya swala za faradhi, pia nilikuwa nikiongezea kusoma Bismillah Rahman Rahim, mara miamoja ,haikuchukua mda nikapata kazi.

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi 7 месяцев назад

      Hiyo suratul fatiha baada ya swala ya Isha. Usinyanyuke pale swali rakaa mbili za suna kisha soma suratul fatiha mara 41kisha omba unachotaka a​@@sunwizy608

    • @ALINoor-uq5ug
      @ALINoor-uq5ug 7 месяцев назад +5

      Ni Allah kakuruzuku kupitia suratul fatiha

  • @BathulBathul-ep1iu
    @BathulBathul-ep1iu 29 дней назад

    Jazakallahu kheiran

  • @KiduoMasimba
    @KiduoMasimba 6 месяцев назад +1

    Allah akupe ulinzi popote ulipo
    Maali shekh dr alhaj sule wewe
    Familia yako amiyn amiyn

  • @ggv866
    @ggv866 7 месяцев назад +3

    Waleykum salaam waramadhulahi wabarakatuh

  • @AdijaTon
    @AdijaTon 7 месяцев назад +1

    Allah akulipe kheri fidunia wali akhera

  • @ggv866
    @ggv866 7 месяцев назад +1

    Allah akujalie kila la kheri Dr.sule

  • @Azuu-rq6te
    @Azuu-rq6te 6 месяцев назад

    Shukran Sheikh, Dokta Sule jazakah Allah khair

  • @AhmadaNgwache
    @AhmadaNgwache 5 месяцев назад

    Mashaa allah

  • @MwanapiliAthumani
    @MwanapiliAthumani 7 месяцев назад +1

    Insha Allah

  • @SalimKarama-fw7tt
    @SalimKarama-fw7tt 6 месяцев назад

    Jazakallahu kher Allah akulipe Killa la kheri ALLAH MAAK alfa shukran

  • @aishaaisha9876
    @aishaaisha9876 7 месяцев назад +1

    Shukurani sana dokta sule

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 7 месяцев назад +1

    Mashallah ❤️

  • @KuruthumBachu
    @KuruthumBachu 6 месяцев назад

    Maasha Allah Amin Allahumma Amin , shukran Jazakallahu Khair

  • @ZabadiMachemba
    @ZabadiMachemba 7 месяцев назад +1

    Waalykum Salaam, Shukran sana kwa elimu hiyo. Jazakumullah kheir.

  • @BathulBathul-ep1iu
    @BathulBathul-ep1iu 29 дней назад

    Biithnillah

  • @mwanawaziriahmad
    @mwanawaziriahmad 6 месяцев назад

    Allah akujaalie uwe mja wa peponi

  • @Noor2024-l8s
    @Noor2024-l8s 3 месяца назад

    Wallah ina maajabu makubwa

  • @HumoudSalim-ct1tz
    @HumoudSalim-ct1tz 7 месяцев назад +1

    Dr je sowezi kusali usikuu his duwa ya allhamdulillah

  • @Waziri-iv3xp
    @Waziri-iv3xp 5 месяцев назад

    Amiin

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 7 месяцев назад +3

    🙏🙏🙏

  • @ZainaRashed
    @ZainaRashed 6 месяцев назад

    Shukrani Sana

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi 7 месяцев назад

    Inshallah

  • @HadiaMusa-c6v
    @HadiaMusa-c6v 7 месяцев назад +4

    Asalam alaiykum mimi mwanangu akishika buku tu analala na anamtihani mwezi wa 5 nifanye nini nami nipo mbali nae lau salut msaada wako

    • @dulaseif5001
      @dulaseif5001 6 месяцев назад +1

      hakuna dua ambayo inapokelewa zaid kama dua ya mzaz kw mwanawe hivyo jitahid kumuombea dua kw wingi

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 7 месяцев назад +1

    🤲🏽🤲🏽💖

  • @ALINoor-uq5ug
    @ALINoor-uq5ug 7 месяцев назад

    Asalam aleykum Sheikh sule,,je ni vidole gani tunafundishwa kuvaa Pete katika mkono,,naomba uongozi

  • @benhamza5649
    @benhamza5649 6 месяцев назад

    Ilimu Kama Hii ningeomba iwe ikifundishwa punde tu unapoipata. InshaAllah

  • @LodykomboTz
    @LodykomboTz 6 месяцев назад

    Uislamu wa sahivi ni unafik t hakuna kufichana kaanza afandi sele sahivi hermonize na kesho atajitokeza mwingine dini yetu inachezewa kila siku lait kama ypo hai said na omary endekua ameshakatwa kichwa

  • @fahidashishi255
    @fahidashishi255 7 месяцев назад

    Eti nilisikia amekufa kweli au

  • @jumayusuphu322
    @jumayusuphu322 7 месяцев назад

    Surat fatha haiwez kukusaidia anaekusaidia ni Mungu futen kauli

    • @AbuuLuqman99AbuuLuqman
      @AbuuLuqman99AbuuLuqman 6 месяцев назад

      HUWEZI KUFIKA UNAKOKWENDA MPK UWE NA CHA KUKUFIKISHIA .

    • @bornvillagevlog4566
      @bornvillagevlog4566 6 месяцев назад

      Na bona uko swali lazima usome surah al Fatah? Kisha kwa hiyo surah al Fatah umaanza kwa kushukuru mwenyezi mungu kisha the rest does you favour, surah al Fatah very important

  • @ALIKASSIM-j5j
    @ALIKASSIM-j5j 7 месяцев назад

    Wee ... Ni wimbo pia

  • @salimkimani956
    @salimkimani956 6 месяцев назад

    Salat baadiya niya yake yatakuwa vipi

  • @mohamedrandu7712
    @mohamedrandu7712 7 месяцев назад

    Mm niko Qatar Naeza toa vipi sadak yangu

  • @ALIKASSIM-j5j
    @ALIKASSIM-j5j 7 месяцев назад

    Unamaanisha .... Mtume na sahaba zake wakua hawaisomi vilivyo ? Maana shida walikua nazo hadi wengine kulala msikitini kwa kukosa makao .
    Na makhalifa 4 waliuwawa .

  • @ALIKASSIM-j5j
    @ALIKASSIM-j5j 7 месяцев назад

    Nisura ipi sio na mawasiliano Na Allwah...!? Wakati Quran yote ni maneno yake Allwah.

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 7 месяцев назад

      Kuwa na Adabu wewe Kafiri. Utapotea

  • @ALIKASSIM-j5j
    @ALIKASSIM-j5j 7 месяцев назад

    Sule Acha kupotosha waislamu kwa ujanja na kilimi ladha
    Hio sura ilishuka kwa mtume na akaifundisha sahaba zake ....
    Je ... Alifanya hio Dua ya fathi jasadi ?
    Ndio Suratul Fatha Ina Fadhila ... ila hatakiwi mtu kuiongezea fadhila Au Kuekea mitindo na nama ya kuisoma kwa utashi wake tu.

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 7 месяцев назад

      Wewe kafiri umekuja kufanya nini humu? Subiri siku ya kutolewa roho yako ndio utajuwa adhabu yako?

  • @zabibunyirasafali852
    @zabibunyirasafali852 7 месяцев назад +1

    Manshallah