RADI KWA HEMED JALALA|| USHIA NA UISLAM, NIVITU VIWILI TOFAUTI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 янв 2025

Комментарии • 256

  • @mamajassi2584
    @mamajassi2584 Месяц назад +1

    mashia naomba allah awaongoze jamam inasikitishaa😭😭

  • @shabanikagobe6744
    @shabanikagobe6744 5 месяцев назад +1

    Allah akulipe heri nyingi

  • @DJumbeChame
    @DJumbeChame 3 месяца назад

    Sheikh umuelewe shekh mwenzako.alqur anikarim,imebadilishwa haifytwi kimakusudia allah.

  • @Stanbul.Y
    @Stanbul.Y 2 года назад +3

    Shukran Shekh watu
    Warekebushi wataelewa InshaAllah

  • @abasijuma6989
    @abasijuma6989 2 года назад +4

    Mashia ni mashetani walio vaa joho la uislam

  • @HassanIddy-v1b
    @HassanIddy-v1b Месяц назад

    Shukrani kwa kuwabainisha hao makafiri

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 Год назад +2

    Huyu Mwamba Anajua
    Dadekii Allah akulipe kwa Ujasili wako wa Kuutetea Uislam

  • @mkude
    @mkude 3 года назад +4

    Mashaallah ALLAH akuhifadhi sheikh kwa kuweka bayana ubaya wa mashia

  • @MbanoMrage
    @MbanoMrage 6 месяцев назад

    Maashaallah Allah akulipe kila la kher. Tuaelewa kabisa mashia ni makafir

  • @jumaibrahim9029
    @jumaibrahim9029 2 года назад +1

    Shukran ya sheikh Allah akujalie kila lakreri

  • @haidarykufakunoga5973
    @haidarykufakunoga5973 2 года назад

    Fii Quruubihim Maradhwi fazahaa dahummu LLAHU Maradhwa.

  • @omarsirleem7105
    @omarsirleem7105 Год назад +1

    maneno ya kikafiri kabisa hayo,unawalaani maswahaba hadharani,vipi ww utakua Muislam SubhanaAllah,amkeni bana

  • @muhammadmassoud3576
    @muhammadmassoud3576 Год назад +3

    Tutasema kwa sauti ya juu mashia ni makafiri wa wazi wazi.

    • @maase2023
      @maase2023 10 месяцев назад

      Mashia ni waislamu kama sisi masunni acha kuingia kwenye dhambi ww

    • @JohnKaliagi
      @JohnKaliagi 3 месяца назад

      Khaa kumbe na waislamu kuna makafiri mmezoea kuwaita wakristo,na shia wanawaita ninyi makafiri,,sasa kafiri nani ,fumbo atafumbua yeye meenyezi mungu

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 Год назад +1

    KWAHIYO YEYE MWENYEWE RASUL MUHAMMAD SALALWAHU ALIHIWASALAM YEYE NI NANI SHIYA AU ALL SUNNA

  • @ommynatkibonge9609
    @ommynatkibonge9609 2 года назад +2

    Mi nlijuwa mhuni anayodalili Ya kutowalaani abubakar na Umar na Aisha mungu awalaani

    • @abeidpazia1720
      @abeidpazia1720 2 года назад

      Utalaaniwa ww mashia woote ni makafiri..Bora mkristo Ana unafuu mkubwa.. maana aweza silimu jeee Shia ataslimu wapi

    • @mamajassi2584
      @mamajassi2584 Месяц назад

      yaan ww ndo wakwanza kulaaniwaa

  • @saidmbaruok2731
    @saidmbaruok2731 2 года назад +1

    Ukimkubali Allah subhaana wataala na mtume wake alafu ukawakataa baadhi ya maswahaha bas wew si muislam

  • @hassanheresiwambura8341
    @hassanheresiwambura8341 3 года назад +2

    Mashallah shekh nimekuelewa sana

  • @khalfanhemed4808
    @khalfanhemed4808 3 года назад +1

    Mashaalah Allah akuzidishie kheri shekhunaa

  • @banihashim5347
    @banihashim5347 2 года назад +1

    Safi sana, wapige hao washenzi

  • @abasiismaili167
    @abasiismaili167 2 года назад +1

    Ndugu we umechokaa

  • @hasanainkhalid5367
    @hasanainkhalid5367 2 года назад

    Wewe shekh unamatatizo umesomea comedi unatuletea comed

  • @dottosaidy457
    @dottosaidy457 3 года назад +2

    Ahsante kwa elimi

  • @mbanomrage604
    @mbanomrage604 2 года назад +1

    Mashia sio wenzetu. Shekh sharifu hata ukitoa ushahid lkn Bado mashia watakupinga kwakua wameshashibishwa ushia lkn mashia Ni makafiri Hilo halipingiki. Mashia wanatumia nguvu nyingi kuusambaza ushia Hadi pesa wanatumia tunashukuru mashekhe zetu Kwa kitupa elimu kuhusu mashia

  • @jumajuma1324
    @jumajuma1324 Год назад

    Hayo nimijikafiri tushayajua hayatupumbazi

  • @mbanomrage604
    @mbanomrage604 2 года назад +5

    Ushia ni ukafir na hao mashia nimakafiri Hilo halina mjadala. Nashangaa sana kuona mashekhe wakubwa wa Bakwata wakiwakumbatia mashia na kuawatetea

  • @AliMohamed-gv7nw
    @AliMohamed-gv7nw 2 года назад +5

    Mashia nimakafiri kazi yao kutukana maswahaba tu

  • @hassanimangare8966
    @hassanimangare8966 2 года назад

    Ukiswali katika tashahhd sema Allahumma swalli ala Muhammad tu bas, usipotia waala aali Muhammad huna swala hivi, hujui aali Muhammad ni pamoja Alii. Isome vizuri qur an utamjua Alii ninani. Ukishindwa njoo nikufundishe.

  • @mrishomrisho5349
    @mrishomrisho5349 2 года назад

    shukran sheikh

  • @AdamuMkimbu-x1q
    @AdamuMkimbu-x1q 4 месяца назад

    Duuuu

  • @khamisptrany9393
    @khamisptrany9393 2 года назад

    Ndugu yangu haifai kukatakata maneno ukajenga ufaham mbovu na ukawazulia watu

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 Год назад

    WALIKUWA WASIMAMISHWE HAWA WASIINGIE MSIKITI WA AL SUNNA WAWE NA MISIKITI YAO TU BASI NA WASIPEWE NAFASI KUZUNGUMZA KWA KUWAPOTOSHA WAISILAMU WA AL SUNNA KWA NGUVU SANA NA WAJIKAZA KWA KUWAPOTOSHA WAZANZIBARI WALIKUWA HAKUNA MASHIA SASAIVI WANAWAKE WENGI WANAINGIYA KWENYE USHIA

  • @kassimsuleiman733
    @kassimsuleiman733 2 года назад +3

    Mashia wote duniani ni makafiri na kama hamujatubia basi mutaiyona adhabu za Allah.

    • @AzizAziz-le1pj
      @AzizAziz-le1pj 2 года назад

      Kasimu Suliman , usiingilie mchezo usioujua huyu Shekh kama kweli Shekh ni mfitinishaji hajui USHIA , ukisoma ukaelewa madhehebu mbalimbali za kiislam basi utagundua HAKUNA DHEHEBU LENYE ADABU NA HESHIMA NA LENYE KUMTAFUTA , KUMUABUDU KWA UNYENYEKEVU MOLA MTUKUFU ILA NI USHIA , Hebu jujadili ewe Kasimu nini ukafiri wa ushia uujuao wewe na uthibitisho wake ????? Ewe kasimu usilishwe matango pori usiwe MNAFIKI tujadili hapa

  • @alannceasar3444
    @alannceasar3444 2 года назад +2

    Wacha kuedite vibaya ayatu llahi sayyid gani wacha amalize

  • @rashidmwaita5163
    @rashidmwaita5163 2 года назад +4

    Fanya mjadala wa uso kwa uso na jalala ndo utajua huna elimu

  • @alannceasar3444
    @alannceasar3444 2 года назад +2

    Mashia hawatukani maswahaba

  • @SaidKatuga-qx1xr
    @SaidKatuga-qx1xr 6 месяцев назад

    Mashia wanajijua kabisa kuwa Ni wa motoni ila wamekhiari maisha ya dunyaa na ibilis alayhi laana kawazuga kwelikweli hawana nguvu ibilisi kawateka vilivyo.mimi niliwasikia wamtaja Ally (r.a)kuwa mtume nikawapa Aya ya 40 Qur'an Al ahzab ghafla wakaruka eti hapana hatusemi Ni mtume ,Hawa kweli Ni MAKUFFAR kabisaaaaaa!!!! La shakka.

  • @YessuswedyRamadhan
    @YessuswedyRamadhan 4 месяца назад

    Shekh mpumbafu sana huyo ety anapinga siakasome kwanza au wakamzibue maskio yake

  • @pambwemaulidpambwe5526
    @pambwemaulidpambwe5526 2 года назад +1

    Ukisoma na kuelewa utaamini kuwa MASHIA sio waislamu wapo sawa tu na Makadiani@ Ahmadiyya. Hakuna mjadala hapo wao sio waislamu. wana shahada zaidi ya tatu

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 2 года назад

    Hao ni washenzi sana

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 4 месяца назад

    Alafu kiongozi wa bakwata ndiyo marafiki wakubwa wa Mashia

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 2 года назад

    MUNGU AKUBATIKI SHEIKH WETU KWA KUTUXINDUA JUU YA HAWA MASHIA WAJINGA

  • @HamadHamduni
    @HamadHamduni 10 месяцев назад

    Huyo jalala mungu amlaani

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 2 года назад +2

    MASHIA WANA SURA ZA MBWA NA NGURUWE

  • @khuswayikidaghanya6321
    @khuswayikidaghanya6321 5 месяцев назад

    TUNAOMBA MDAHALO WA WEWE NA SHEKHE JALALA TAFADHAL SHEKHE WETU ILI TUUUJUE UKWELI ZAIDI

  • @khamissalum9285
    @khamissalum9285 2 года назад +1

    Mashia niwahuni nazaidi nimakafiri

  • @kitaaofficial4119
    @kitaaofficial4119 2 года назад

    HIZI NDIO FITNA ZA MADHEHEBU..!! UISLAMU NI KUMUAMINI ALLAH NA MTUME MUHAMMAD (SAW)
    TAKBIIR

  • @ramadhanitwahili6837
    @ramadhanitwahili6837 2 года назад

    Njaaa tu uyo shehe jalala wanasema jibrii alikosea kumpa utume muhamadi eti alitakiwa kupewa utume ni saydina ahalii jibrii kasea akampa muhamadi kweli hawa mashia wanakili timam malaika sio viumbe wenye hila kama sisi binadam, Allah awaongoze kwenye heli

  • @hamynas
    @hamynas 2 года назад +1

    unachofanya siyo uadllifu wala haq
    unatafuta vipande pande vya mawaidha ya sheikh jalala halafu unamsingizia sheikh jalala

    • @Mapyatv
      @Mapyatv 10 месяцев назад

      Jitambue

  • @feisal6592
    @feisal6592 2 года назад

    Lniliswali ndani ya msikituu mpaka mmojaa waonakaniuliza wew ninShia nikamjibu mim ni muislam kamili karithika na majibubyangu akanijibu tunakuomba ukuje ukuwe Shia nikamjibu mim nimuislam

  • @feisal6592
    @feisal6592 2 года назад +2

    Ushia ni uislamu full Shia n mim nanavyi juwa shia ni imamu wanayomfuta

  • @chaposhamo8970
    @chaposhamo8970 2 года назад +5

    ndo maana jina lake ni jalala takakata

  • @feisal6592
    @feisal6592 2 года назад

    Aslmku muoombaa m,uguu hachipo

  • @mustafaibrahim5200
    @mustafaibrahim5200 8 месяцев назад

    na mwenye mashaka juu ya ukafiri wa mashia huenda naye ni katika wao

  • @kaporokaporo4982
    @kaporokaporo4982 2 года назад

    Midahalo ya aina yeyote, Kati ya dini na dini, dhehebu na dhehebu, ife, kubakie kukumbushana. Hli likishindikana, kila mmoja ashike lake, MUAMUZI NI JALALI.

  • @issambamba9236
    @issambamba9236 Год назад

    Hivi we mpuvu ndo unapatikanawapi?

  • @HamadHamduni
    @HamadHamduni 10 месяцев назад

    Mashia hata mfanye Nini,hamuwezi kuuthibitisha ushia kua ni uislaamu,kwasababu ushia uko kinyume na Quran na suna

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 2 года назад +1

    kAMA SYYEDNA ABUBAKAR ALIRIDHIWA NA MTUME KUWA KHALIFA MBONA WAISILAMU WALIMCHAGUA KWA KUMPIGIA KURA KULE KWENYE UWANGA WA SAKIFA , NA MBONA ALI HAKUTOA BAIYA KWA ABU BAKARI MPAKA ALIPOPITA MIEZI SITA , JARIBU KUFIKIRI SIO KUKURUPUKA.

  • @machoguhamery3731
    @machoguhamery3731 Год назад

    Hakika yule Mungu aliyemwambia Musa na Msafara wake toka Misri baada ya kuliona jeshi la Firaun. mbele bahari ya shamu,nyuma jeshi ya Farao hakika. Musa na bana Israel wakapata hofu kubwa.Musa akaijaa hofu ya watu wake.Mungu akamshushia ujasiri akamwambia: Musa " Simameni kimya hakika hawa wamisri na jeshi lao mnaloliona leo hamtaliona milele"Walahi jeshi lote la Firauni waliangamizwa wote. Leo tunawaona Waislamu waliokuwa wakinadi kuwa dini yao ni Dini ya kweli ya Mwenyezi Mungu wakawa ni wenye kuwatukana sana Wakristo kuwa ni Makafiri na kuwa biblia sio kitabu cha Mwenyezi Mungu. Leo wanatukanana wao kwa wao wakiitana kuwa ni makafiri na koruani yao imefanyiwa tahalif maana yake imebatirishwa.Wamegeuzisna panga wao kwa wao.Hakika Mungu wa Wakristo ndiye Mungu wa kweli tumfuateni.

  • @aunbandali
    @aunbandali 2 года назад

    Unapotoa mifano basi pia uweke link za hizo videos ili tuweze kusikia kikamilifu kuliko kuchagua kinachokupendeza. Huo sio uislamu unaofanya.

  • @ramadhanimwajamvi4957
    @ramadhanimwajamvi4957 2 года назад

    Hauna akili shekh

  • @asriyaaljabry27
    @asriyaaljabry27 2 года назад

    Bila shaka katika madhehebu ya shia kuna tofauti kati yao wapo hawatukani maswahaba wala mama yetu Aisha radhi za Allah ziwafikie ila hoja iko kwa wale wanatukana maswahaba na bi Aisha wanaojiona wako tofauti warudi kwa Allah Allah Rahim

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf Год назад

      unaweza ukatujuza nani anatukana na nan awatukani?

  • @allymohamed2724
    @allymohamed2724 2 года назад

    Kumbuka hata BARA ARABU vazi rasmi ni kanzu. Iwe kwa Mwiislam. Mpagani. Mkiristo. Utamaduni ndo huo hukooo

  • @ommynatkibonge9609
    @ommynatkibonge9609 2 года назад

    Tahriif ilifanyika kwenye kwenye mpangiliyo ya ayah...sura ya kwanza kuteremka ni ipi???

  • @aishaally2611
    @aishaally2611 2 года назад

    We sheikh ni mpuuzi sana,Eti Sayyid na Ali ni mtu tu katika uislam,muulize Othman Maalim akueleza fadhila za Sayyid na Ali

    • @hashimsaid5546
      @hashimsaid5546 2 года назад

      Kwani sayyidna Ally ni Nani Kama sio mtu tu swahaba tu wa mtume Kama wengine Hana la ziada kuwazidi kina aboubakar na omary hawafikii hata kidogo

  • @maase2023
    @maase2023 10 месяцев назад

    Ww unajiita ustaaz kwa hsani yako katafute kazi ingine ufanye tu lkn hili la dini acha kabisa maana huna elimu

  • @ramadhanimtetu7246
    @ramadhanimtetu7246 2 года назад

    Ustaadhi tubainishie Zaidi na Zaidi tuzidi kuwajua hawa Jamaa

  • @AbdurahmanMahfoudh
    @AbdurahmanMahfoudh 9 месяцев назад

    Ayaturajim iko wapi mimi sio shia

  • @salusuleiman1437
    @salusuleiman1437 2 года назад +1

    Asalam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh

    • @salusuleiman1437
      @salusuleiman1437 2 года назад

      Ivo mbona jamani uislam munaifanya ni ngumu sas cc tulio kua hatujui kusoma tuwaelewe wpi ety jamani munatuchanganya akili

  • @ssalimsalim3864
    @ssalimsalim3864 2 года назад

    Sasa tatizo liko wapi??
    mbona mnahukumiana?Quran ni maneno ya mw/mungu,hukumu anayetoa mw/mungu sasa kila mtu asali na aombe anavyojua na mw/mungu sub-hanahu wataala yeye ndie atae toa hukum who was right and who was wrong,sasa kama ni makafir kama ulivyowaita QUESTION: Kwani makafir wanaruhusiwa kwenda kuhij Maka?? acheni kutuzingua.

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 2 года назад +1

    Lakini black shia hawajipigi visu, wala hawana sauti ya kuwatusi masahaba na mama Aisha, kwa sababu wao si mashia wa mioyo, ni maslahi tu.
    Mashia white naona ndio wana huo ukafiri.

  • @adnaankhanbhai7057
    @adnaankhanbhai7057 Год назад

    Nyie mashia mwatakiwa mu uliwe kwaza kabla ya mayahudi

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 2 года назад +1

    HAWA MASHIA NI BALAA SANA. NI WASHENZI NA WANAFIKI.

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 3 года назад +4

    Mashia wahindi wanawatumia hawa Waswahili wenzetu kutupoteza

  • @shurahbiil9988
    @shurahbiil9988 2 года назад +1

    Shekhe endelea kuwabainisha hao makafiri wa kishia

  • @ismailnasibu49
    @ismailnasibu49 2 года назад +2

    Wewe sheikh subir jahannam tu. Huwez kukata clip na kutengeneza fitna..
    Hakuna shaka juu ya waislaam kwamba qur ani imefanyiwa taharif, ila mjadala unakuja katika suala la aina ya tahrif.
    Iy0 taarif ya qur an ni ya aina gani?

  • @khamisomary7428
    @khamisomary7428 2 года назад +1

    Tunaomba clip nzima
    Tunajua hilo ulilofanya

  • @mugabekazimiriam6693
    @mugabekazimiriam6693 2 года назад

    sam time watu watakua wana sema kweli kua mna lipwa kuliko kutoa mafunzo ya mwenyezi emungu na mtume wake

  • @SelemanSalim-s3e
    @SelemanSalim-s3e 7 месяцев назад

    Huna elimu hata kidogo ww Kaa na jalala ana kwa ana uone moto

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 2 года назад

    WABAKI NA USHIA WAO
    WATUACHE NA UISLAM WETU

  • @asomasom9666
    @asomasom9666 2 года назад

    Mda Zina badilisha wao walikuwa wapi kama sio ukafiri tuu

  • @jumamohamed1233
    @jumamohamed1233 2 года назад +2

    WEWE UNAUPUNGUFU WA AKILI, YAANI UMEWEKA VIPANDE VYA MAWAIDHA UKASEMA MASHIA WANAWATUKANA MASWAHABA KWA VIPANDE HIVYO, HUYO MWANAWACHUONI WA KISHIA ALIKUWA ANANUKUU MANENO YA WATU WALIOKUWA WANASEMA MASWAHABA WA MTUME WAMELAANIWA, HIVI MTU AKINUKUU NDIYE ANAKUWA AMESEMA?

    • @SHEIKHMWAIPOPOTV
      @SHEIKHMWAIPOPOTV 2 года назад +2

      Muongo wewe huna elimu tatizo ni Hilo nimekuona unakata maneno Mimi swari dogo tu mashia Kama ni makafiri mbona wanaenda hija kafiri anaweza kwenda hija mbona mnawachanganya watu

    • @SHEIKHMWAIPOPOTV
      @SHEIKHMWAIPOPOTV 2 года назад +2

      Hivi kafiri anaweza kufunga ramadhani hebu Pima hayo kwanza ndio uenderee

    • @maalimjobe7636
      @maalimjobe7636 2 года назад

      @@SHEIKHMWAIPOPOTV .ndivyo mnavyodanganywa.kufanya jema kisha ukafanya kufru unabaki kuwa muislam au unakuwa umekufuru?angalia quran suuratut tawba aya ya 65-66"......je Allaah na alama zake na mtume wake mnafanyia mzaha?msilete udhuru leo mmekwishakufuru baada kuwa waumin,..........."hao wanaoambia wamekufuru walitoa shahada,waliswali,walihij ,walifunga nk.msisema msilolijua juu ya dini ya Allaah

    • @shalbaonlinetv
      @shalbaonlinetv  2 года назад

      @@SHEIKHMWAIPOPOTV tatizo lako ni upofu wa kuona na uziwi wakusikia na uvivu wakusoma

  • @allykagoma5168
    @allykagoma5168 2 года назад +4

    Mm nadhani mjipange vizuri hapa naona mnafanya dhulma mwite Jalala ufanye nae muhadhara kama unajiamini kweli badala ya kuweka clip vipande vipande.

    • @ramadhanimtetu7246
      @ramadhanimtetu7246 2 года назад +1

      JALALA HAWEZI MJADALA
      ALIKIMBIAGA MJADALA KULE ILALA SHARIFU SHAMBA

    • @abuukauthar4607
      @abuukauthar4607 2 года назад +1

      Mashia yatosha kua ni viumbe wa Shari kwa kuwatusi kwao maswahaba na wakeze pamoja na kuitakidi kua qur an ni pungufu

    • @alikassukunha7667
      @alikassukunha7667 2 года назад

      Ww kafir tu

    • @mtorosenga1272
      @mtorosenga1272 2 года назад

      Wewe hujaelewa nini hapo?

  • @venancegaspatv1961
    @venancegaspatv1961 3 года назад +3

    na wakazibadilisha aya za Quran.........hakuwa anamaanisha AYA ZA QURAN ZIMEBADILISHWA ALIKUWA ANAONGELEA SUALA TOFAUTI NA UNALOZUNGUMZIA,umeweka nusu video kuupendezesha uongo wako

    • @jamalsalum8726
      @jamalsalum8726 2 года назад

      Kwani Mashia Golo nyie mnasemaje kuhusu Maswahaba wa Mtume(SAW)

  • @khamisihamadi629
    @khamisihamadi629 8 месяцев назад

    Umeelewa taharfu ya Quran hapo

  • @almurajjabuaswabbu250
    @almurajjabuaswabbu250 2 года назад +2

    Kuonesha hujui unachokifanya hata aayatullah udhmaa huelewi

  • @abiabi9353
    @abiabi9353 2 года назад +2

    Huyu kijana ni mshenzi kweli.yani anachukua kipande cha clip cha sheikh Jalala akielezea watu wanaosema takhriful Quran alafu anadai jalala anakubali taarifu.labda kichaa ndo atasubscribe Chanel hii ya fitna

    • @brmtvtibaasili8289
      @brmtvtibaasili8289 2 года назад

      Ww ndio mshenzi mshiia ww tena mshenzi na nusu

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 года назад

      @@brmtvtibaasili8289 unajua hadith ya mtume inayo sema kuwa utamjua muumin kwa jinsi anavyo mpenda Ali na utamjua mnafiki kwa jinsi anavyomchukia imama Ali.vitabu vinaonyesha abubakar,omar na aisha walimbughudhi sana Imam Ali.kwahiyo wao ni kina nani?....

    • @chaposhamo8970
      @chaposhamo8970 2 года назад

      hawa wanaokana kuwa sheikh hasemi ukweli either hawataki kuuona ukweli au ni maiti hai wanaotembea

    • @maalimjobe7636
      @maalimjobe7636 2 года назад

      @@abiabi9353 umesahau kuwa umar amemuoa mtoto wa ally?ummukuluthum

  • @feisal6592
    @feisal6592 2 года назад

    Msikiti ulikuwa Dar town

  • @maasaingorongoro3799
    @maasaingorongoro3799 2 года назад

    Acheni tusubiri hiyo siku ya hukumu, mbivu na mbichi zitajulikana kazi yenu hiyo ya kukufurishana na kumilikishana pepo na mmeacha mamia kwa maelfu ya watu wanakufa bila DINI, kwani mganyiko/ makundi katika UISILAMU, MTUME s.a.w alisha yasema wazi, sasa cha kusikitisha mtetea watu wachache walio wengi wanaangamia 🤔

  • @mugabekazimiriam6693
    @mugabekazimiriam6693 2 года назад

    hivi kweli nyinyi kama waislam wapi aya aima khadith inayo kuruhusu kumtukana

  • @mahmud_chilu
    @mahmud_chilu 2 года назад +1

    unalipwa bei ngapi inayoshinda malipo ya Mola wako? mpaka ufanye fitna namna hii kijana

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 2 года назад

    Mbona ukafili ulikuwepo wakati wa mtume na waliingia nae makubaliano mbalimbali .He makafili ni sawa kuwaita waislamu . Haiwezi kuwa dalili .Na tusipambane na shia mbona hao sikatika Sisi mtume Alisema tusiingie ata ktk misikiti yao.Tukafanye daawa ili mashia wasivute vijana wetu.

  • @munezeroabiba6493
    @munezeroabiba6493 2 года назад +1

    We salaf habisme ukafiri mloutenda pale saqifa bani saida kumpinga Mtukufu Mtume SAWW pale tayari mulisha ritadi makafiri wakubwa mnaumiya saana mambo yenu yako sasa hadharani tulisha elewa haturudi nyuma acheni kujichosha majinga mwe

  • @KAIPAAA3211
    @KAIPAAA3211 2 года назад

    Wote mazezeta wapumbavu mtume Muhammad alikuwa muislam tu hakuwa Shia, Sunn, Aswal,Suf wote matapel tu

  • @jailaniramadhan1788
    @jailaniramadhan1788 3 года назад +2

    Unatafuta umaarufu tu we

  • @msemasungura5651
    @msemasungura5651 2 года назад

    Ww hunalolote
    Ww sio wakwanza umesoma vitabu vyako

  • @ismailnasibu49
    @ismailnasibu49 2 года назад +2

    Yaan wewe sheikh ni kilaza.. Hujui ata maana ya Ayatullah l-udhma.
    Ma ayatullah l-udhma wak0 wengi sasa wewe umekata kipande na hujaelewa jalala kakusdia ayatullah yup hajamtaja jina. Wewe ukamleta wakwak0 unaemjua. Subr jahannam tu

  • @kiaquranacademy2510
    @kiaquranacademy2510 3 года назад +7

    Hahahaha Allah akulipe kwa uongo wako sheikh wetu. Hakika umefanikiwa kukata video na kufikia malengo yako.

    • @ummuhkhalfan5542
      @ummuhkhalfan5542 3 года назад +1

      Yule mshia wa mwisho kabla kipindi hakijaanza kamaliza mchezo

    • @fahmiidrissa5537
      @fahmiidrissa5537 2 года назад +1

      Wata akikata video imeeleweka alhamdulillah

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 года назад

      Sheik wako wakiwahabi anajichanganya sana.kwanza alidai neno shia halikuweko wskati wa mtume.alipo pewa ushahidi sasa anabadilisha mada kuwa haoshia alotaja mtume ni wapi. Huu ni ujuha wa wengi wa masheokh wakiwahabi.yani hawajui hata kujenga hoja kwenye debate

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf Год назад

      @@abiabi9353 ni kweli kwamba kuna surah inaitwa nurayn na wilaya iliondolewa kwny quran katika itikadi zenu?

  • @muhmmadilutando9561
    @muhmmadilutando9561 2 года назад +3

    Ushia ni ukafiri wa wazi kabisa

  • @feisalamos472
    @feisalamos472 2 года назад

    Waisalimu.tumuogope.alaah.tofauti.za.nini.jamani.tutumie.muda.mwingi.kumjua.alaah.sio.kutofautiana.alaah.atauunganishe

    • @abeidpazia1720
      @abeidpazia1720 2 года назад

      Mashia wote ni makafir,, hakuna shaka juu ya hilo

  • @mugabekazimiriam6693
    @mugabekazimiriam6693 2 года назад

    mwenzie mu islam aima kumwita kafiri aima kumtoa katika dini