Kiala Chenja

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2024

Комментарии • 94

  • @sangomamourice3539
    @sangomamourice3539 11 месяцев назад +2

    Bendi yangu Bora ya muda wote asante wakuu

  • @samsonbinkulwa733
    @samsonbinkulwa733 Год назад +2

    2023 Naendelea Kusikiliza Ngoma Hii Naipenda Sana Nipo GEITA MBOGWE NANDA TANZANIA 🇹🇿

  • @MbarakaOmary-fd6sp
    @MbarakaOmary-fd6sp Год назад +1

    Da aisee vyakale nidhahabu punzikeni kwaamani uk mliko msondondo ngoma bado itaishi moyon mwawatu🇹🇿🇹🇿🇹🇿 10/7/2023

  • @PeterShikoli
    @PeterShikoli Год назад

    Wazee wa kazi nakubali nimependa nyimbo hii imengusa mahali nko Kenya mwenzenyu

  • @mrokana6493
    @mrokana6493 2 года назад +1

    Hii Ni Safi sanna mbwembwe .Moshi. mains na Tasha mmetenda haki.mabela ooyee

  • @neemamgenineemamgeni
    @neemamgenineemamgeni Год назад +2

    Sijui nixemaje naipenda Sana hii band kwakweli

  • @mtumiajisimu1266
    @mtumiajisimu1266 7 лет назад +9

    Nikiwakumbuka huwa nafika mbali sana naishia kulia tu, dunia tunapita . tupendane,

  • @jumashaame475
    @jumashaame475 Год назад

    Nyimbo yangu bora kabisa,othman momba, Joseph maina,tx moshi William,mzee muhidin gurumo,mzee Mabela na wengine,mungu awarehemu

  • @christermlewa8471
    @christermlewa8471 Год назад

    Hakuna wakuziba pengo lenu,miaka 100000000.......❤❤

  • @JOSEPHMwakipesile-n7l
    @JOSEPHMwakipesile-n7l 7 месяцев назад

    Yaaani nyimbo izi zinaliza Sana nikikumbuka ❤

  • @charlesbonifacekamotha3171
    @charlesbonifacekamotha3171 2 года назад +1

    Big up ujumbe uliyopo humu kamwe hauwezi kchuja vizazi vyote

  • @thabitingulungu1062
    @thabitingulungu1062 3 года назад +3

    Daaah yaan nikizisikiliza hizo nyimbo naishiaga kulia tuu, Rip all of you Baba ya music

    • @domytoredo6680
      @domytoredo6680 Год назад

      All the way from Mombasa Kenya kuikweli msondo ngoma walikuwa wakalii sana penda nyimbo zao Hadi leo Mambo hadharani

  • @BonifaceTagalile
    @BonifaceTagalile 7 месяцев назад

    Msondo Ngoma hawajawahi kuniangusha Yupo Tx Moshi Mbwembwe Joseph Maina Maalimu Gulumo Mkongwe huyu Shoti Romalii hatariiiiii

  • @gordonkadege
    @gordonkadege Год назад

    msondo kweli timu ya taifa kwenye mziki wa dansi big up legend rip

  • @petrokalinga319
    @petrokalinga319 3 года назад +1

    Mungu awa lehemu Hawa walio tangulia mbele ya khaki maana kazi waliifanya

  • @digitalworld5577
    @digitalworld5577 2 года назад +2

    Hapa TX, pale Mbwembwe, Kule Josee Mahina, huku Gurumo, huko Momba....hii safu ya waimbaji ilikuwa ikihanikiza sehemu yoyote, basi burudani ilikuwa hautamani wamalize kuimba. Roho zao wote hao waliotangulia wapumzike kwa amani.

  • @jumbempalasinge3528
    @jumbempalasinge3528 7 лет назад +4

    Nyimbo hii alimtungia mke wa marehemu diwani chenja mtunzi kama kawa tx moshi au ally muhoja kishiwa

  • @abdallahmanjawila-gk1nq
    @abdallahmanjawila-gk1nq 5 месяцев назад +1

    Masharubu🙏🙏

  • @PeterDaniel-yf6qi
    @PeterDaniel-yf6qi Год назад

    Daaaaaa Kuna wakati nikiiiisiliza hiii nyimbo machizi yanatiririka bila kupenda. Any way wakongwe mungu awape kauli thabiti.Momba, Moshi, maina, ngurumo, mbwembwe

  • @mkwizumussahussein723
    @mkwizumussahussein723 6 лет назад +3

    Tungeweza tungepata siku moja kila mwaka siku ya kuwaenzi wanamziki wetu waliotangulia mbele ya haki walituburudisha sana na sasa ile ladha haipo tena

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 2 года назад +1

    😭😭😭😭😭😭😭daaaaahhhh pumzikeni kwa Aman 🤲🤲🤲🤲🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @amonsecha5753
    @amonsecha5753 2 года назад +1

    Wimbo unaniburudisha sanaaaa

  • @ImaniGhambi-t2y
    @ImaniGhambi-t2y Год назад

    Kwa upande wangu napendekeza BASATA wafungue chuo cha mziki vijana tujifunze kuhusu maadili ya mziki wa asili ya TANZANIA TAIFA LETU

  • @JohannesDalmas
    @JohannesDalmas Год назад +1

    Enzi hizo muziki ukiwa muziki we, acha tu

  • @joelnassari105
    @joelnassari105 7 лет назад +8

    R.I.P TX MOSHI WILLIAM NA WANA MSONDO NGOMA WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI NA WOTE WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI TUNAWAOMBEA KWA MUNGU

  • @peterkipugulu147
    @peterkipugulu147 2 года назад +1

    Ahaaaa mwamba Joseph Maina, wenyewe tulipensa kukuita mkubwa wa mtungi.R .l .P joseeee

  • @prophetjamesmzigaba4447
    @prophetjamesmzigaba4447 2 года назад

    Daaa Mbwembwe pumzika mzaz hakika tunajifunza mengi

  • @zahorsalum4976
    @zahorsalum4976 2 года назад

    Jmn mungu wetu umechukua watu muhimu jp Hawana elimu yaakhera lkn 🥱🥱🥱🥱🥱

  • @shabanimusa873
    @shabanimusa873 Год назад +1

    R.i.p Tx Moshi William,Jose Maina,Othman Momba,Suleiman Mbwembwe,Muhidin Maalim Gurumo&Mabera

  • @AbubakarOmari
    @AbubakarOmari 6 месяцев назад

    Selemani bwebwe mungu si angekurudisha tu

  • @ahmadbumbo2040
    @ahmadbumbo2040 2 года назад +2

    BABA YA MUZIKI

  • @jamesnoel4182
    @jamesnoel4182 6 лет назад +9

    Huu ndio muziki wa kweli kitambo hicho siyo siku hizi wabana pua tu.....

  • @husseinmohamed4965
    @husseinmohamed4965 4 года назад +1

    Wazee wa Kazi Tx,Mbwembwe,Momba,Gurumo,Maina na kundi zima la Msondo Hongereni Mliotangulia Mbele ya Haki Allah amipunguzie Adhabu ya Kaburi.

    • @khelefomar4097
      @khelefomar4097 4 года назад

      Sio awapunguzie awaondoshee Kwa Rehma zake

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 Год назад

    Aisee sina la kusema hawa jamaa wapumzike kwa amani tuu... daaaaa

  • @jaqureenphirinoya5435
    @jaqureenphirinoya5435 7 лет назад +3

    Ni muziki ambao utaishi miaka said ya Alfie Ella ulela tuwaenzi Assisi has waliotangulia Mbeki ya haki

  • @iddyjuma5427
    @iddyjuma5427 6 лет назад +1

    mbwembwe rip lovely voice kizima huaribika kufa na kupotea

  • @najmasaleh9231
    @najmasaleh9231 7 лет назад +3

    Hao watu wote hapo safu ya mbele wametangulia ama kweri udongo umemeza vingi

  • @aggreybilly
    @aggreybilly 8 месяцев назад

    Baba ya muziki
    🇹🇿

  • @JosephMaluwa
    @JosephMaluwa 11 месяцев назад

    Iyo ndio miziki yenyewe

  • @nicksonmghase1861
    @nicksonmghase1861 3 года назад +1

    Always they Will cntnue to hit in all coming generations RIP team

  • @sharifumbulu9173
    @sharifumbulu9173 3 года назад +1

    Siwapingi pumzikeni kwa amani

  • @andrewkitema9838
    @andrewkitema9838 Год назад +1

    The song that touches my feelings

  • @godfreymushi13
    @godfreymushi13 4 года назад

    Legends wameuaa tamoto bend na wazir wa Sana'a na utamaduni tupo tuuu maadil yanaporomoka tupo tu

  • @nicksonmghase1861
    @nicksonmghase1861 3 года назад

    Chenja huyo kawa mpweke

  • @nafaboycomedy4967
    @nafaboycomedy4967 2 года назад +1

    Ilove this

  • @abouayman8713
    @abouayman8713 3 года назад

    h band kaz yake ilikua n kuelimisha....watu wazma hawa

  • @josephsemindu9830
    @josephsemindu9830 2 года назад

    I would like to download thi

  • @fortunatafelician5625
    @fortunatafelician5625 2 года назад

    Wandugu mi mliniua kwasauti zenu na ujumbe wa maana

  • @saidmwaim5825
    @saidmwaim5825 3 года назад

    UNAPATA UJUMBE MZURI, UNABURUDIKA, UNAFUNDISHA, ACHA KABISA HAPA TX, BWEBWE, MAINA, GURUMO, MUNGU WALAZE MAHALA PEMA PEPONI.

    • @isayandolomindolomi1853
      @isayandolomindolomi1853 2 года назад

      Aaaa ukipigwa huu wimbo nasimamisha shughuli niwasikilize wazee Hawa ni KIBOKO.

  • @OmariHanya
    @OmariHanya 8 месяцев назад

    Msondo kiboko nanai anabisha

  • @JacobMarton-bb5nd
    @JacobMarton-bb5nd 10 месяцев назад

    hii nyimbo hata ukiwa na mchepuko nyumba ya wageni hakudai hata mia mkitoka 😂

  • @BeatriceJowzey
    @BeatriceJowzey Год назад

    Msondo ngoma

  • @PeterDaniel-yf6qi
    @PeterDaniel-yf6qi Год назад

    Agaaaaaa,

  • @mkilimamoses2311
    @mkilimamoses2311 2 года назад

    Masikini watu nyie mmetangulia kabla yetu?!!!.mbwembwe,maina,moshi nawengine wengi.laleni salama huko mliko ndugu zetu.kifo ni safari ya wote.

  • @kijanisaini5688
    @kijanisaini5688 2 года назад

    Mbwembwe xauti mashine

  • @thomaskasura7333
    @thomaskasura7333 4 года назад +1

    Baada ya miaka mia itakuja tena kama hii RIP wote

    • @sizyametals7608
      @sizyametals7608 2 года назад

      Mungu mkubwa anaweza kuwaleta wengine ila sikia sauti mbwembwe aina mfano

  • @rajabsenga9823
    @rajabsenga9823 7 лет назад +2

    sasa hivi muziki akuna kabisa kazi kubana puwa tu

  • @chackescharles8950
    @chackescharles8950 2 года назад

    Ni hatari sana

  • @issamagabiro3162
    @issamagabiro3162 Год назад

    hawa jamaa, walikuwa wanajua, Hawakuwai kukosea .

  • @rogersmasofa6549
    @rogersmasofa6549 4 года назад +21

    Gonga like kama umeisikia voic ya mbwembwe

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 Год назад

    Taifa star's

  • @bitekileo8030
    @bitekileo8030 5 лет назад

    Acha maisha yaendelee

  • @balozimchomvu7779
    @balozimchomvu7779 6 лет назад +2

    Electronic voice, mbwembwe.

    • @johnchatila6632
      @johnchatila6632 4 года назад +4

      Mbwembwe alikuwa hatar saut ya umeme kwrli

  • @hamisimsalapai7785
    @hamisimsalapai7785 6 лет назад +1

    hii sauti ya mbwembwe ukiiga unaweza kupaliwa

    • @juliuskawonga450
      @juliuskawonga450 4 года назад

      😂😂😂😂😂

    • @amaniyamungu9070
      @amaniyamungu9070 4 года назад

      Kabisa mbwembwe alikuwa vizur

    • @ashadakio6116
      @ashadakio6116 4 года назад

      Hata momba

    • @JohnChatila-z7c
      @JohnChatila-z7c 26 дней назад

      Bila kumsahau master Wao mkuu Bwana Tx moshi William maana huyu ndiye alikuwa mtuzi WA nyimbo ktk band ya msondo Ngoma ya Watanzania 😂🎉❤❤

  • @rogersmasofa6549
    @rogersmasofa6549 4 года назад +2

    😁

  • @papaakizwi4615
    @papaakizwi4615 7 лет назад

    RAHA SANA

  • @mfaumerashid8045
    @mfaumerashid8045 4 года назад

    Dah

  • @malwetabrother6494
    @malwetabrother6494 7 лет назад +1

    duuuu udongo huu unameza watu muziki UCO chuja

  • @papaakizwiikizwii4311
    @papaakizwiikizwii4311 7 лет назад

    TUMERUDI NYUMA SANA KIMUZIKI

  • @patrickndojimembughuni3166
    @patrickndojimembughuni3166 6 лет назад

    Dah nani kabaki hapa? Maana Gurumo, mahina, mbwembwe, Tx, Momba wote Marehemu

    • @amaniyamungu9070
      @amaniyamungu9070 4 года назад

      Kabaki huyo mpiga tarmbeta romalio mnga'ande huyo mfup alafh mnene

    • @peterodilo5253
      @peterodilo5253 2 года назад

      Yupo romalio kaka

  • @husseinchengo411
    @husseinchengo411 4 года назад

    M