Ottu Jazz Band - Ndoa Ndoano

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 113

  • @henrychaula1174
    @henrychaula1174 2 года назад +15

    Ni Februari 2023, unayekubali kwamba muziki huu bado ni bomba gonga like

  • @jumammbaga9974
    @jumammbaga9974 Месяц назад +1

    Asanteni kwa maisha yenu ya duniani mlitupa tulichokitaka MWENYEZI MUNGU Awape Na Nyie Pepo Njema

  • @humphreyagrey7940
    @humphreyagrey7940 5 месяцев назад

    Mziki huu utadumu milele, walikuwa wanatunga nyimbo kweli kweli sauti,nzuri zilizopangwa,huwa napata Raha sana kusikiliza ngoma zao Hawa jamaa@2024

  • @allyulaya5666
    @allyulaya5666 4 года назад +4

    Dah acha mungu aitwe mungu wenye muziki wao wameshaondoka jumapili ilikuwa aman tu dar nzima

  • @azizabdallah6140
    @azizabdallah6140 2 года назад +2

    Watu wanajua kuimba Sanaa...nyimbo unasikilza na ukoo mzima...hapo hamna computer ni vifaa vimepigwa kwa mikono..na uandishi mahiri Sana

  • @Shentembakivuvukivuvu
    @Shentembakivuvukivuvu 5 лет назад +3

    Hakika hao wazee wetu Mungu aziweke roho zao mahala pema peponi hakika walitunga nyimbo zinye kufundisha na vionjo vya hali ya juu sio miziki ya siku hizi inatamba week 2 umeshachuja hii itadumu daima

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 3 года назад +2

    TX moshi umeondoka na Band yako jamaniii 😭😭😭😭😭😭😭🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @NilsLucas-ws2cj
    @NilsLucas-ws2cj Год назад +1

    Hizi ndio Kali za maisha kizazi na vizazi zipo tu

  • @comradejonasrwegoshoramwal5727
    @comradejonasrwegoshoramwal5727 5 лет назад +4

    Hakika yakale dhahabu.. Nyimbo hata baada ya miongo kadhaa bado tamu

  • @alexedward4069
    @alexedward4069 3 года назад +1

    Welelo etamanaganegeke bhange bhamuhim hawelelo. Ekoshindekaga yekojanaga.ningeekobhojaga Nitankangela Diamond Aje Wei.

  • @dogosele6470
    @dogosele6470 5 лет назад +3

    Daah ninaamiakaa ishirinii natanoo lkn nikisikilizaa hzii nyimboo najihc mkubwaa flani jamn munguu akawpee taahafifuu hukoo akheraa babu zanguu

  • @johnbabu5974
    @johnbabu5974 3 года назад +1

    Ndoa nikuvumiliana.nasikilisa jioni ya tarehe 17/03/2021.

  • @jumammbaga9974
    @jumammbaga9974 5 месяцев назад +1

    Aisee Namkumbuka Marehemu baba

  • @severinmfuse1716
    @severinmfuse1716 4 года назад +4

    Mziki wa heshima na wenye ujumbe wa mafunzo unanikumbusha mwaka 2000

  • @jaafarmkatta1336
    @jaafarmkatta1336 7 лет назад +8

    Jamani list hii ndo basi imepita. Masauti yamepangika. Vyombo ndo usiseme. Kuishi katika zama hizo ni burudani ilioje. Inanikumbusha mbaaaaali.

  • @boniphacefrances8380
    @boniphacefrances8380 7 лет назад +12

    hizi nyimbo kuchuja ni vigumu sana, nitamu pia zinafundisha maadili mazuri

  • @othmanali5362
    @othmanali5362 2 года назад +1

    Safi sana hayo ni maneno yanaingia akilini.ndoa za sasa ni ndowano ya malloo.

  • @deusdeditygeorge4748
    @deusdeditygeorge4748 3 года назад +1

    In Tanzania we will never find group music like msondo ngoma

  • @bahatimlenga7250
    @bahatimlenga7250 5 лет назад +2

    Kwa siku haipiti bila kusikiliza mziki wa msondo. Mungu awalaze pema peponi amina

  • @thomaskihaga5908
    @thomaskihaga5908 7 лет назад +13

    ndoa ndoano naikubali Sana hiyo nyimbo saluti

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 3 года назад +2

    RIP. Moshi,mbwembwe,ngurumo,maina,mzee mabela, Momba 🤲🤲🤲🤲🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @mnandamchirikutv5399
    @mnandamchirikutv5399 3 года назад

    Dah, miziki ya wakubwa sasa, pumzikeni kwa amani wote ikiwemo Mzee small wangamba na Mzee Majuto

  • @stevenotindo9666
    @stevenotindo9666 6 лет назад +4

    mziki unaotuliza moyo na unaomfanya kila mwenye NDOA ajitath mini..

  • @naurumnazaleti6774
    @naurumnazaleti6774 6 лет назад +1

    heshima kwao wazazi wetu kusema kweli walikua wanajua sana sauti nzuri vyombo ndo baraha ahsante sana wazee wetu mungu awalaze mahali pema amen

  • @jameskamoliurukundotanzani6153
    @jameskamoliurukundotanzani6153 6 лет назад +5

    Kila wakati napenda kusikiliza ngoma hizi, mpumzike mahali pema ndg zetu, Tanzania imewamic sana,

  • @thomaskihaga5908
    @thomaskihaga5908 7 лет назад +7

    nawakubali Sana hawa wazee japo mimi nikizazi kipya Wana niliwaza Sana

  • @benedictbuluba242
    @benedictbuluba242 4 года назад +2

    Huu wimbo unanikumbusha kifo cha dada

  • @emmanuelaxwesso2529
    @emmanuelaxwesso2529 7 лет назад +9

    pumzika kwa amani mwamba TX moshi mziki wako bado unaishi

  • @bellybray8025
    @bellybray8025 8 лет назад +8

    Akili ya kuandika wimbo huu ni ya juuuuuuuu zaidiiii TX Mungu akulaze mahala pema

  • @babutoma5878
    @babutoma5878 3 месяца назад

    Baba YA muziki ottu

  • @mohamediddi4425
    @mohamediddi4425 Год назад

    Asante sana Brother Power Nguzo

  • @stanleymyallah9725
    @stanleymyallah9725 8 лет назад +8

    Maneno yenye mashiko ujumbe madhubuti, amahakika cha kale dhahabu

  • @geoffreyzacharia1836
    @geoffreyzacharia1836 5 лет назад +6

    Nyimbo zenye maadili na mafundisho kwa jamii zetu za kafrika ndio hizi nazipenda sana

    • @simonkazibure1628
      @simonkazibure1628 4 года назад

      Kwa kweli hizi haswaa ndizo nyimbo haitatokea kuwepo mfano wake.

  • @gregorygodfrey662
    @gregorygodfrey662 9 лет назад +12

    wanaume hawa walikuwa kazini! rip kwa hawa makamanda! aiseee hiziz nyimbo zao miaka 100

  • @abdallahsimba8923
    @abdallahsimba8923 6 лет назад +5

    Nyimbo tamu ....hakuna tusi hata moja

    • @ramadhanikessy7581
      @ramadhanikessy7581 5 лет назад

      Kweli kabisa

    • @digitalworld5577
      @digitalworld5577 4 года назад

      Hawa ni mafundi walikuwa wanaujua muziki. Wapumzike kwa amani wakongwe wa baba ya muziki

  • @abbakarimmbaga2888
    @abbakarimmbaga2888 6 лет назад +3

    I remember. These best vocalist in.tz,, nyimbo zao licha ya kutoa maadili lkn daa mpangilio wa saut zao,,nk ni kitu cha pekee sana

  • @alfredmunnah721
    @alfredmunnah721 4 года назад +2

    Muziki ulipokuwa unaitwa muziki.

  • @ZurehaIbrahim
    @ZurehaIbrahim Месяц назад

    Nazikubali sana nyibo hizi

  • @gaspergaspain4261
    @gaspergaspain4261 2 года назад +1

    Naipenda hii nyimbo hatar

  • @sangomamourice3539
    @sangomamourice3539 Год назад

    Walipomaliza Hawa wakubwa tukapata aina mpy ya matusi kwenye music badala ya ujumbe

  • @Ommy_Ibra
    @Ommy_Ibra 3 года назад +1

    RIP Tx Moshi ulivyokufa na Msondo ikafa

  • @amosyohana5351
    @amosyohana5351 3 года назад +1

    2021 nko hapa

  • @josephgaitan989
    @josephgaitan989 5 лет назад +1

    2-7-7 radio ya mbao hizi nyimbo ndo mahala pake, dahhh!!!!

  • @georgemasala4167
    @georgemasala4167 4 года назад

    daaah watu wa zamani kweli waliijoi sanaa napenda xana hiii mziki daaah inakosha xana tena xana

  • @alphascaona576
    @alphascaona576 4 года назад

    Bonge la nyimbo kaa yamungu mengi gurumo tx Moshi mbwembwe maina na wengine daa

  • @ghatibisansaba7200
    @ghatibisansaba7200 4 года назад +1

    Tx Moshi utakumbukwa daima Rip

  • @mohamedalawy7913
    @mohamedalawy7913 2 года назад

    Mzee Gurumo maneno yake siyaelewi anasema nini.

  • @naurumnazaleti6774
    @naurumnazaleti6774 7 лет назад +3

    hao ndio baba wa mziki hapa nchini

  • @rajabkafuta3385
    @rajabkafuta3385 4 года назад

    e bwana nyimbo iliokolea ujumbe...zije kuja.

  • @muhamedchambo3931
    @muhamedchambo3931 7 лет назад +5

    hawaishi hamu kabisa

  • @mudrickmbuyu3263
    @mudrickmbuyu3263 7 лет назад +4

    Sauti adimu sana. R.IP. TX Moshi, mzee gurumo, Maina, Momba, Mbwembwe

    • @aymankhadija619
      @aymankhadija619 4 года назад

      INNA LILLAHI😭😭🥺Na Mabera nae kafata mwezi huuhuu..ALLAH atupe mwisho mwema Inshaallah dunia si yetug

  • @janethshayo1879
    @janethshayo1879 4 года назад +2

    So nice!!!!!!!!

  • @passjohn2724
    @passjohn2724 7 лет назад +8

    Napo sikia nyimbo ii machozi unatoka kama mtoto kwani navuta kumbu kumbu mungu wajarie awa watu wampumzke kwa amna wao wame kufa rakini musc wao auto kufa mirere

  • @bintialimchome3828
    @bintialimchome3828 4 года назад +2

    r.i.p Mox,Momba,Gurumo,Maina,Mbwembwe..

    • @kassimally637
      @kassimally637 3 года назад

      Mbwembwe wasnt in the list. Had passed away by this time. You forgot Romario

    • @kassimally637
      @kassimally637 3 года назад

      Rom still alive

    • @holyfieldlambe5788
      @holyfieldlambe5788 2 года назад

      Mjomba Ally Wimbo huo TX Moshi alikuwepo bado hai na sauti yake inasikika.

  • @NilsLucas-ws2cj
    @NilsLucas-ws2cj Год назад

    Zamani kulikuwa na nyimbo pendwa

  • @nelsonkdy2523
    @nelsonkdy2523 7 лет назад +4

    Daa yan napenda xana hizi nyimbo

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 7 лет назад +6

    mi ntasema nini sasa...duh..! ila pumzika kwa amani TX-MOSHI

  • @douglasmichael7494
    @douglasmichael7494 4 года назад +2

    Nazipenda sana hizi nyimbo..zinanikumbusha mbaali sana

  • @najmajoneke7413
    @najmajoneke7413 5 лет назад

    Zilipendwa nzr sana 2019 ndoa ndoano 😩😩😩😩😩

  • @rayfoko8077
    @rayfoko8077 6 лет назад +3

    Chimbuko lao ni wapi hao wazee ? Waende chukua wengine juu waliacha pengu kubwa Tanzania Walele salama waliokutaniwa mbele yaaki

  • @richmahegah7740
    @richmahegah7740 6 лет назад

    good song, kutoka kwa ottu jazz band,

  • @bernardernest440
    @bernardernest440 5 лет назад +1

    Daaah kweli RIP brothers

  • @haydayjuhudi448
    @haydayjuhudi448 5 лет назад +2

    Tunawaenzi wazee wetu

  • @GaudenceKihoro
    @GaudenceKihoro Год назад

    Fresh

  • @richmahegah7740
    @richmahegah7740 7 лет назад +1

    nyimbo nzuri xana hii

  • @prosperndonjekwa5143
    @prosperndonjekwa5143 6 лет назад +2

    Those were those good old days. I remember them with plenty of nostalgia and lots good recollections. RIP. Artists.You made your own history.

  • @raphaelkivuyo7212
    @raphaelkivuyo7212 7 лет назад +3

    Rip mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi tunawamiss sana

  • @hajimsekeni69
    @hajimsekeni69 Год назад +3

    Hakika walijua kuimba yaliyopita yaliyopo na yajayo Alla awahifadhi waliotangulia mbele za haki amiin.

  • @abubakaryjohn5118
    @abubakaryjohn5118 4 года назад

    Tx mosh fundi wa mziki

  • @kendrickneema7278
    @kendrickneema7278 7 лет назад +1

    OK,tamu sana

  • @geraldbenjamin9302
    @geraldbenjamin9302 4 года назад +1

    "Kilio cha MTU mzima"

    • @nawarsigera8283
      @nawarsigera8283 Год назад

      Izi ndo nyimbo sasa na ndo maana ya sanaa kufikisha ujumbe kwenye Jamii kwa kutumia sanaaa siyo nyimbo za siku izi matusi matupu.

  • @frankphilemon1074
    @frankphilemon1074 8 лет назад +2

    ama kweli hizi nyimbo haziwezi kuchuja

  • @jeremiahmwasapilicharlie2926
    @jeremiahmwasapilicharlie2926 5 лет назад

    noma sana

  • @cledeshyukalifa820
    @cledeshyukalifa820 5 лет назад

    yaan ktk ktu nachopendaga kwnye live bend ni drama tu,yaan mpga zle ngoma ndo huaga napenda tu

  • @dottomohammed1703
    @dottomohammed1703 9 лет назад +2

    Nguvu ya mamba iko kumai

  • @richardcharles4334
    @richardcharles4334 7 лет назад

    milele daima

  • @saidzuberi569
    @saidzuberi569 7 лет назад

    imegusa

  • @agustinosaimon6933
    @agustinosaimon6933 7 лет назад +2

    Hizi nyimbo ni kiboko

  • @yusuphnkondokaya6801
    @yusuphnkondokaya6801 8 лет назад +1

    Hii haita kaa irudia momba pembeni

    • @harunamsuya5880
      @harunamsuya5880 6 лет назад

      Yusuph Nkondokaya yani haitokei kama tx kimuziki pumzika Kwa Amani

    • @shentembakivuvu488
      @shentembakivuvu488 4 года назад

      Hakuna na hakuna kama wazee wetu hao

  • @thomaskihaga5908
    @thomaskihaga5908 7 лет назад

    saluti kwap

    • @hezronsengeri8071
      @hezronsengeri8071 6 лет назад

      Thomas Kihaga p

    • @brunobruno5642
      @brunobruno5642 6 лет назад

      jamani hawa wazee waliimba sana

    • @brunobruno5642
      @brunobruno5642 6 лет назад

      pia naomba kuliza wimbo unao itwa baba na mama nipeni domoklasia ya mapenzi nimchugue nimpendae Nani uliimbwa na band gani ? natafuta siupati naupenda sana

    • @johnchatila6632
      @johnchatila6632 4 года назад

      @@brunobruno5642 Uliimbwa na msondo ngoma mtunzi Tx moshi