Ottu Jazz Band Makutubu Official Video

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 48

  • @JohnChatila-z7c
    @JohnChatila-z7c 3 месяца назад +1

    Tunaosikiliza huu wimbo nda ni ya mwaka 2024 gonga like hapa

  • @sangomamourice3539
    @sangomamourice3539 Год назад +1

    Music ukitwa music acha tupunguze kuwaza

  • @ahmedkhamis2542
    @ahmedkhamis2542 Год назад

    Mungu aweke Roho zao pema kwenye wema.jumbe makhsusi hizo.

  • @fasterwalker1464
    @fasterwalker1464 6 лет назад +4

    Alianza mbwembwe,momba,tx Moshi maunda na mzee muhidini ngurumo mungu awalaze kwa amani

  • @dottokondo7299
    @dottokondo7299 5 лет назад +1

    Mungu awape pumziko LA milele jamani mbaka nalia nikikumbuka

  • @ikanotv2921
    @ikanotv2921 3 года назад +1

    Nani kama hao japo kat.angulia mbele ya haki bado tinao kwa jumbe zao nzuri hazichuji hata miaka 2000

  • @najmasaleh9231
    @najmasaleh9231 8 лет назад +1

    Natazama safu yote ya uwimbaji hapo wametangulia mungu zilaze roho zao mahala pema peponi

  • @bonifasernest809
    @bonifasernest809 6 лет назад +5

    Sio kwa kicheko hiko het huhaaaaa😂😂😂😂huhahha#2019 na bado iko tu juu yani #

  • @husnajohn7466
    @husnajohn7466 6 лет назад +3

    Romari na huo mdomo wa bata unaopuliza hataree sana, to be honest we will always love you guys hampo ila nyimbo zenu bado zinaishi

    • @yusuphmsangi7191
      @yusuphmsangi7191 Год назад

      Mdomo Wa Bata Ulipulizwa Na Mzee Ally Rashid Nayeye Marehemu

    • @AlexKing-yg2cc
      @AlexKing-yg2cc Год назад

      ​@@yusuphmsangi7191mdomo wa Bata ulipulizwa na marehemu Mnenge Ramadhan. Marehemu mzee Ally Rashid alikuwa bado kujiunga Msondo.

    • @JohnChatila-z7c
      @JohnChatila-z7c 3 месяца назад

      Mzee Ally Rashid na kati ya Zanzibar

  • @robertmussa4542
    @robertmussa4542 6 лет назад +6

    Mungu awape pumuziko la milele kwani dunia tunapita.

  • @erneymufa2136
    @erneymufa2136 4 года назад +2

    Old is gold

  • @anthonyfaru9908
    @anthonyfaru9908 5 лет назад +2

    Dongo kwa sikinde hasa bichuka aliwasaliti akarudi sikinde haaa

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 5 месяцев назад

      Wakamwambia mdomo uliponza kichwa 😂😂😂😂

  • @jumbeomari3044
    @jumbeomari3044 6 лет назад +3

    Tx na msondo hapo anaimbwa bichuka nae aliwajibu

  • @macherathomas6474
    @macherathomas6474 6 лет назад +1

    Unune ufurahi ujumbe umefika, penda sana vers ya Mwembwe wahenga walisema mdomo uliponza
    kichwa.

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 5 месяцев назад

      Haf ndo alianza yy kufariki kabla ya wenzake wote

  • @joelnassari105
    @joelnassari105 7 лет назад +4

    Pumzikeni kwa Amani Magwiji wa Muziki wa Tanzania Msondo Ngoma baba ya Muziki tutazienzi kazi zenu daima. ..hakika mlistaili kuitwa baba ya muziki

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 4 месяца назад

    Ujumbe sahihi

  • @abdallahmtosa6979
    @abdallahmtosa6979 3 года назад +1

    Kumbukumbu hizo zenye mafunzo kwetu inshallah mwenyezi Mungu awape kauli thabiti

  • @simiyudennis88
    @simiyudennis88 6 лет назад +2

    Kwa mkubwa kuwe na heshima.

  • @ramadhanrwambo6220
    @ramadhanrwambo6220 3 года назад

    Samba mapangala virunga

  • @abuathumani1955
    @abuathumani1955 6 лет назад +2

    Ujumbe Umetulia

  • @yohanachogavano4862
    @yohanachogavano4862 6 лет назад +3

    poa sana

  • @shaabannyuge6857
    @shaabannyuge6857 6 лет назад +2

    Dongo hlo kwa Bichuka Hassan

  • @husseinkatunduchamavamba2880
    @husseinkatunduchamavamba2880 7 лет назад +2

    Natamin Sana kujiunga na msondo lakini ipo siku nitaenda kuonana na lomalio nadhani sasa ndo kiongozi wa band

  • @PeterClementKahind
    @PeterClementKahind 5 месяцев назад

  • @websterkinte8270
    @websterkinte8270 10 лет назад +1

    Msondo ngoma ya watanzania....Kunta...Kinte.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Год назад

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍。

  • @machelepatrick7116
    @machelepatrick7116 5 лет назад

    Dongo kwa Bichuka. Je, aliwajibu kwa wimbo gani akiwa huko DDC? Kweli Dunia Njia na Sote tutapita. R I P Guys.

  • @yusufukazamba2391
    @yusufukazamba2391 4 года назад

    Huo ndo ulikuwa muziki mingine ni bigiji tu kgm ujiji hapa

    • @hassanikindawila4349
      @hassanikindawila4349 4 года назад

      Mlitupa raha momba tx mains gurumo mbwembwe mabela mwanyiro mungu awalaze pema amen

  • @bellybray8025
    @bellybray8025 8 лет назад

    usi mzomee mkubwa ndo sababu kazi zenu hazina upibzani

  • @yusuphomary5653
    @yusuphomary5653 8 лет назад +2

    RUclips

  • @JumaMrisho-fu6do
    @JumaMrisho-fu6do Год назад

    P0