Kijana anayetuhumiwa kwa mauaji polisi kisiwani Lamu ajisalimisha

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 17

  • @marymaxwell6209
    @marymaxwell6209 4 года назад +8

    Inchi ni yetu,serikari ni yetu,lakini makosa ni yake😁

  • @awadhtwalal8951
    @awadhtwalal8951 4 года назад +4

    Ni Tchundwa sio chudwa jamanini...
    Habari za mwambao wa pwani wapawe wapwani watangaze

  • @zion3655
    @zion3655 3 года назад

    Polisi wanalala wapi kama watu wanauwawa na wau kuuliwa kwa mapanga

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 4 года назад

    Allah awaongoze InshAllah

  • @rechealmugure9198
    @rechealmugure9198 4 года назад +1

    Police wa lamu wameokoka kaa ni Nairobi woooi

  • @bonfacemuhammed
    @bonfacemuhammed 4 года назад

    hapo ni sawa

  • @brownwawire458
    @brownwawire458 3 года назад

    Kenya ni yetu

  • @mimamuhaji6447
    @mimamuhaji6447 4 года назад

    Sheria ifuate mkondo wake becoz huyu kijana amehangaisha kijiji wkati alipotenda kitendo cha ujama wananchi wa Tchundwa walikuwa wanasumbuliwa na maofisa wa polis walikuwa wakipigwa wa mama akina baba wakiingiliwa majumbani kuliwa hakuna mwananchi anaeza toka nyumbani si mchana si usku ukionekana unapigwa

  • @joyiezpeter1209
    @joyiezpeter1209 4 года назад

    Afadhali hamgemuua polisi sasa wewe hii sijui itakuaje😬😬😬

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 4 года назад +3

    Wasiende kumuua basi

  • @happysoul5356
    @happysoul5356 4 года назад

    Malipo ni hapa hapa Duniani

  • @gladyskendi4282
    @gladyskendi4282 4 года назад +1

    Kwanini askari akiuhawa watu hawaandamani? Lakini raia akiuawa watu wanaandamana

    • @joelhenry3962
      @joelhenry3962 4 года назад

      hapo umeweza

    • @richardray2680
      @richardray2680 4 года назад

      I think it's because folks blame the police for the insecurity in some areas so when a cop is killed there people don't feel the same sympathy they would if it was just a normal citizen. But they should because we are all human in the end.

  • @kennypluckerthecountryguit1400
    @kennypluckerthecountryguit1400 4 года назад +1

    Pumbavu sana

  • @billalphilip5776
    @billalphilip5776 4 года назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂taniuaaaaa