Ndio maana dini imekataza nyimbo, je hamuoni ujinga na hamna hata haya yoyote kuwafanya wasanii kuwa viigizo vyema kwenu, mkipigwa rududi na masalafy mnaanza kulalamika mara eti mawahabi ni wabaya, kiufupi usufi ni uwendawazim hawatak kusoma kazi imebak tu kuruka ruka na manyimbo
Alhamdulilah tumestafiddi mwamba kabisaaaaa Allah akuweke tuburudike
ila wanadamu 🙌🙌 walizusha huyu jamaa kafariki na niliona kmya nikaamini et ALLAH aturehemu.
Mtume s.w amesema mwenye kijifananisha na watu basi ni miongoni mwao ALLAH akuongoze shekhe
Tawhiid na vinanda allah awaongoze
Mashallah
Nguli la QASWAYDA
NIMEISIKILIZA MWANZO MWISHO HAKUNA KIBAYA ALICHOZUNGUMZA SHEKHE KWA MWENYE AKILI TU ATAELEWA
Wapate burudanii, akina nani hao? Imbeni miziki tu ijulikane! Mnapotosha saana
Ndio maana dini imekataza nyimbo, je hamuoni ujinga na hamna hata haya yoyote kuwafanya wasanii kuwa viigizo vyema kwenu, mkipigwa rududi na masalafy mnaanza kulalamika mara eti mawahabi ni wabaya, kiufupi usufi ni uwendawazim hawatak kusoma kazi imebak tu kuruka ruka na manyimbo
Nisikia amekufa ameliwa na simba kumbe sio kwe
Q-Chief Bado hatujaona Usomaji wake wa Qaswida kwahiyo hawezi kuwa mwalim maneno haya yanachafua Heshima na Hadhi ya Qaswida
Sikiliza mpaka mwisho
Ajasema mwalim bali anachukuwa kilicho bora kwao na kukifanyia Kazi kwa tasnia yake ya qasida ama uimbaji kwake kama nitaeleweka